Kakara kukuru Hakuzaa wala hakuzaliwa ujumbe umefika kimeeleweka

  Рет қаралды 6,038

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@AbdouliHasani
@AbdouliHasani 18 күн бұрын
Salim Allah akujalie usij ukaacha hikazii aliyoyifany bwan mutume Muhammad s,w, tunafaidik San 2najuw maduii wakoweng Allah akurindenao ishaallaa nakupend kwajilii ya Allah waisilam wotee taqibir
@salimdaawah123
@salimdaawah123 18 күн бұрын
Aameen ameen ameen tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@SalamaMustafa-q5h
@SalamaMustafa-q5h 21 күн бұрын
Maashallah Allah atakulipa salim❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@janieali5521
@janieali5521 21 күн бұрын
MashaAllah Tabaraka Rahman. Kazi kubwa ya kufundisha hao watoto wa nasari. Mungu awazidishie subra, baraka na elimu zaidi.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Aameen ameen ameen
@AbdouliHasani
@AbdouliHasani 18 күн бұрын
Ya Allah 2jalie mwishomwem waisilam wotee amin nakubalii shehee salimu dawa Kenya 🇰🇪 na kupenda kwajilii ya Allah Allah a2lind sotee waisilam wotee duniyanii nakesho Ahlelaa ya Allah 2lind na azabuu ya kaburin
@salimdaawah123
@salimdaawah123 18 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@mwanaidiissa10
@mwanaidiissa10 21 күн бұрын
Mashallah nimemis kweli nimesubiri haswa Allah awajaalie afya muendelee kuwalingania
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Aameen ameen ameen tumerudi viwanjani
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 21 күн бұрын
Ma sha Allah
@abdinasirmohamed3490
@abdinasirmohamed3490 21 күн бұрын
Masha Allah ❤
@KhamisJuma-ni1vk
@KhamisJuma-ni1vk 21 күн бұрын
Masha Allah Sheikh Salim. Yani Kwa Mafundisho Hunayo Fundi Sha Kwa kweli Mtu Asipo Kuelewa Basi Awezi Elewa lakn Kazi Yao Wanaelewa lakn Wanaogopa Kusema Kweli
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Yeah wataelewa tu inn shaa Allah
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 21 күн бұрын
ASALAM ALYKM WARHATULLWAH WABARAQAT❤❤ SIKIA HABARIIIIIII kwa saut ya mwalim SALIM MASHALLAH
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 19 күн бұрын
@@salimdaawah123 pamoja ISHALLAH
@Jingajinga64
@Jingajinga64 21 күн бұрын
Ati hana dini halafu....😅😂😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Huyu ni msabato alikuwa anajificha tu
@faridbashuu
@faridbashuu 21 күн бұрын
😂😂😂 kirandee
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
🤣😂🤣 mpaka kieleweke inn shaa Allah
@UwimanaAyubu
@UwimanaAyubu 21 күн бұрын
Asalam aleikum ww hao wenzetu lazima watapata ukweli
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
@SaleheKijazy
@SaleheKijazy 21 күн бұрын
Tuko pamoja wa Kwanza leo
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 21 күн бұрын
Haya hiyo chukua 😂😂 afu mnapenda like nyie
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
@MwangiMuhammad-q8r
@MwangiMuhammad-q8r 21 күн бұрын
Wa Alaykum Salaam Warahmatullahi Wabatakatuhu
@SaidMgeni
@SaidMgeni 21 күн бұрын
مشأ الله تبارك الله
@HajjiVuai
@HajjiVuai 11 күн бұрын
Ndugu salim nakupenda kwa ajili ya Allwah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 11 күн бұрын
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@MohamedMeja
@MohamedMeja 21 күн бұрын
Mashaallah
@hassanwario-w7n
@hassanwario-w7n 20 күн бұрын
Salim nakuomba ukuje uko juja mahali inaitwa juja farm tuko na shida sana hatuna miskiti uko naomba ukuje utuweke kwa mtandao Ili wale wameguzwa na mungu waweze kuchangia in Shaa Allah... please ukuje uko brother
@salimdaawah123
@salimdaawah123 20 күн бұрын
Inn shaa Allah tutapanga hilo
@Adm9464
@Adm9464 21 күн бұрын
Koran is definitely a walking and talking book. You ask you get answer . No guessing game unlike other books which are the thinking and writing of the human being.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Sure the Qur'an is a miracle
@ZakiyaAnwar-w1r
@ZakiyaAnwar-w1r 21 күн бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awabariki na kuwaongoza muendelee kutangaza dini yake inshaAllah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 19 күн бұрын
😂😂😂dini ya haki.
@mahmudmugarura2175
@mahmudmugarura2175 21 күн бұрын
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
@hassansharif5716
@hassansharif5716 21 күн бұрын
Masha Allah
@josemu870
@josemu870 21 күн бұрын
Mash Alllah
@Fumokale
@Fumokale 21 күн бұрын
MashaAllah
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 21 күн бұрын
Mashallah,daawah inaendelea
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Alhamdulillah
@spinicahakama4500
@spinicahakama4500 21 күн бұрын
❤❤❤ mashallah
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 21 күн бұрын
Huyu asiye kuwa na dini anateta kuna dini zingine. Sawa, lakini zingine sote sio dini wa haki mbele ya Mungu. Dini ya kiislamu pekee ndio ya haki mbele ya Mungu. Sheikh Salim hukumfahamu huyu jamaa....anajaribu kusema kutokua na dini (pagan) ndio dini yake.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Sikumpata vinzuri but next time inn shaa Allah
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 19 күн бұрын
Hakuna Nabii aliyetangaza mambo ya dini ni mohamed pekee ndio anaongea mambo ya dini kwa kitabu chake
@Shillingi
@Shillingi 21 күн бұрын
Tatizo kuongea bila kuonyesha mandiko wachanae nae haina haja yakubisha
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Inn shaa Allah
@fatumahamisi1604
@fatumahamisi1604 21 күн бұрын
Huyo kijana hata hajielewi na aondoke asitupotezee mda
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Inn shaa Allah
@oopsm3574
@oopsm3574 21 күн бұрын
Fukuza watu kama hao
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Inn shaa Allah
@dibasora6481
@dibasora6481 21 күн бұрын
Alhamdhullillah Kwa dawaah nimerudi tena nilikuwa out of network kiasi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Welcome karibu sana
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 21 күн бұрын
Teremsha vitu Sheikh Salim
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist 21 күн бұрын
Ati mtoto wa Mariamu? Yesu ni NENO la Mungu, Hakuna wakati Mungu alikosa kuwa na NENO lake, Yesu kuitwa Mwana wa Mungu sio mambo ya kuzaa ya binadamu, yaani Uislamu kweli fikira za ubinadamu, nyama, hakuna Roho Katika Uislamu,
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 күн бұрын
🤣😂🤣🤣kwani Mariamu hakuzaa mtoto ukristo ni mzigo
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 күн бұрын
Kwaiyo alie zaliwa na binadam anaweza kuwa nani malaika au vp😂😂😂
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist 2 күн бұрын
@@fatmaally7252 HUWEZI FAHAMU mambo ya Kiroho na fikra za kibinadamu, Mariamu ni njia tu Aliyoitumia Mwenyezi Mungu kumleta Mwanawe ambaye Ndiye NENO LAKE, na MASIHI mkombozi wa ulimwengu, Usipoifahamu Torati na Unabii wa kale, HUWEZI FAHAMU maana ya Injili, utaishi kucheka na kuona ukristo ukiwa ujinga maana kwa akili Yako haufahamu Torati, umuhimu na maana ya Kafara za Torati na umwangikaji wa damu wa wanyama wasio na hatia, njia za Mwenyezi Mungu aliyechagua uzao wa Yakobo na kuwapa Torati na Sheria 613 , Ambazo Yesu Kristo mwenyewe alizikamilisha alipoteswa, akasulubiwa, akafa, akashula mahali pa wafu na kuzinusuru Roho za watakatifu wa Kale, na kufufuka pamoja nao siku ya tatu, na KUPAA nao Hadi Mbinguni
@MkambaSaleh-kr7pi
@MkambaSaleh-kr7pi 21 күн бұрын
@mkamba1Daawa hadikiyama 1:01:38
Muhadhara aina yake kakara kukuru kimeeleweka mpe huyo
1:12:01
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 3 М.
Muhadhara kukuru kakara nipe ni kupe wakamata mwendo ujumbe umefika kimeeleweka
1:06:55
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 15 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
UNIVERSITY FILMS
Рет қаралды 21 М.
Muhadhara kukuru kakara waendelea hoja za letwa kimeeleweka leo
1:26:30
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 3,9 М.
MCHUNGAJI ASHANGAA KUONA MAKATAZO YA ULAJI NGURUWE KWENYE BIBLIA
1:00:32
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
Mmoja asilimu daawah inaendelea
1:19:52
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 6 М.
Kakara kukuru wajitokeza kwa wingi na kuuliza habari yawafikia inavyotakikana
1:23:11
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН