Sh.salim Sh.ali Sh.abdi Sh.suleiman Sh.hassan Asalam aleikum nyinyi nyote nawaombea to mungu muendelee to hivo
@salimdaawah1233 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
@mohamednurmohamed88123 ай бұрын
TAqbirrrrr ALLAH UH AKBAR❤❤❤❤❤❤❤❤furaha kubwa sana karibu ndugu yetu kwenye Dini ya Haki ALLAH Barik Ustadh Salim with the Dawa team ❤❤❤❤❤❤❤❤
@salimdaawah1233 ай бұрын
Aameen ameen ameen tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@abdallahazizi9993 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awajalie elimu walimu wetu ilimuendelee kuwafikishia wanduguzetu katika adamu inshaallah
@salimdaawah1233 ай бұрын
Aameen ameen ameen
@khadijayusuf79683 ай бұрын
Waalaykum salaam warahmatullah wabarakat walimu wetu mashallah kazi inaenda vìzuri
@salimdaawah1233 ай бұрын
Alhamdulillah tunashukuru ujumbe unafika pole pole
@MOHDNASSOR-zv5cx3 ай бұрын
ALLAH awabariki masheikh zetu INSHAA ALLAH ❤
@salimdaawah1233 ай бұрын
Aameen ameen ameen
@SaidiAbdallah-fp6yv3 ай бұрын
Kazi nzuri, mashaallah
@salimdaawah1233 ай бұрын
Alhamdulillah ujumbe unafika pole pole tu
@CapperSeven3 ай бұрын
MashaAllah huyo mwenye amesilimu alikua anaitwa Joseph ukimtajia majina kachukua Yusuf. Ndugu Salim jaribu kuwauliza jina yao tena wakisilim ndio wabaki tu na jina yao wengine. Kuna mwingine alisilimu alikua anaitwa David ungemwambia kwa Islam ni Daud ilibidi achukue jina ingine, na sio vibaya lakini ni nzuri ukikutana na wakristo wenye jina la manabi uwaeleze Solomon ni Suleiman, Jacob ni Yakub, John ni Yahya. Watafurahi mno kuona jina Lao halisi kwa Quran. Jazakalah masheikh wetu
@salimdaawah1233 ай бұрын
Inn shaa Allah shukuran kwa ukumbusho huo
@kennodhiambo3 ай бұрын
@@salimdaawah123 Kwa nini lazima mtu akisilimu abadilishwe jina?
@hassanmpemba57473 ай бұрын
Asalam alaikum sheikh salim mafundisho mazuri masha Allah
Assalam alayikum warahmatulilah wabarakatuh naona musomaji iko anatupia vijembe hahahaha😂😂😂
@salimdaawah1233 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh 😂😂
@ibruzah0013 ай бұрын
ALLAHU AKBAR ♥️
@sadamhirbo82463 ай бұрын
Mm pia sijabaki nyuma
@salimdaawah1233 ай бұрын
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
@josemu8703 ай бұрын
Allahamdhulla kwa neema ya uislamu
@salimdaawah1233 ай бұрын
Alhamdulillah
@husseinjahazi44173 ай бұрын
Ma sha ALLAAH
@salimdaawah1233 ай бұрын
Alhamdulillah
@nubianqueen67003 ай бұрын
JazakumAllah khair! Kizazi chake kiko. Na Mahdi ni kizazi chake pia.
@salimdaawah1233 ай бұрын
Masha Allah kweli kabisa
@mohamedhaji22423 ай бұрын
asc Salim ningependa kusikia story yako ya kuingia uislamu kama itawezekana inshaalah.
@salimdaawah1233 ай бұрын
Inn shaa Allah coming soon
@imranashraf-wi1yt3 ай бұрын
Alahpak aap ko slamt rky 🤲🤲💜💜💜🇵🇰🇵🇰🇵🇰
@HajjiVuai3 ай бұрын
Salim nawapenda nyote kwa ajili ya Allwa.
@salimdaawah1233 ай бұрын
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@SakubuBakari17 күн бұрын
Asalam alaikhum warakhamtullah wabarakatuh, yaani sheikh wetu SALIM 😂 unajua kuhoji mtuu hadi anayingiya miti. Yaani anakimbia mbio Bila kuangalia nyuma 😂😂😂😂, sheikh weeye kiboko yaaoo, ALLAH akuhifadhi ,na akupe umri mrefu na mwisho mwema ,aamin
Maximum ninakupenda Sana Sana Makati unaongelesha Wana dada
@salimdaawah1233 ай бұрын
Tunakupenda sana pia kwa ajili ya Allah
@alilim19583 ай бұрын
Nshawatangulia 😂
@salimdaawah1233 ай бұрын
Masha Allah
@sadamhirbo82463 ай бұрын
Mbona sioni sh.suleiman leo hope Ako poa
@salimdaawah1233 ай бұрын
Yuko angalia video mpaka mwisho ndiye amemalizia kusoma
@abubakarhassan2170Ай бұрын
Na pia ni uzuri sana Kutumia karatasi kisha malizia na maji.mimi natumia zote mbili.
@aishahazary40973 ай бұрын
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh.Hivi shehe Salim inafaa sisi tunaoangalia kwa you tube kuomba duwa mtu anaposilim?.Au mpaka uwe karibu na eneo la tukio.
@MkambaSaleh-kr7pi3 ай бұрын
Aisha sema Allahu Akbar kila uonao kheri juu ya muongozo takbirr
@nassrubushoot57503 ай бұрын
Aende DCI akaripoti😂😂😂
@salimdaawah1233 ай бұрын
Yeah 😂🤣😂😂🤣🤣
@saadnaim55183 ай бұрын
MAFAKIRI
@malikdodo51903 ай бұрын
Ata mandela wa south Africa aliitwa terrorist when he was fighting for freedom but after signing agreements against his fellow Africans they called him African hero . What does that tell us..?
@salimdaawah1233 ай бұрын
Yeah sure when you're not in their side wanakuita terrorist but ukiwa pande yao wanakuita freedom fighter
@faridbashuu3 ай бұрын
😂😂😂 Mtu wa Al Shabab ameyeyuka tuu hivoo🤣🤣🤣 Hii kiwanja huwa Raha Sana... Amenifurahisha... Aende Kwa DCI akawasaidie na Habari Moto Moto 🤣🤣🤣
@salimdaawah1233 ай бұрын
Majibu tumempa 🤣😂🤣🤣😂😂
@saadnaim55183 ай бұрын
KTK ILE AYA YA HIJA WAKICHINJWA WANYAMA TUWAPE MAFAKIRI NA WALE MASIKINI WANAORONDEA RONDEA