Kısa cha mja mwenye Subra na Hekima - Sheikh Othman Maalim

  Рет қаралды 344,072

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Пікірлер: 146
@bahatiomar5297
@bahatiomar5297 9 ай бұрын
Tabarakaallah mashaallah sheikh Allah akujaze Baraka na kher inshallah
@nadirmahfoudh1812
@nadirmahfoudh1812 Жыл бұрын
Masha'Allah. Mola akuengezee ilmu na ufasaha wa kufikisha da'awa
@Awatee
@Awatee Жыл бұрын
🤲🤲🤲
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq Жыл бұрын
Ameen yaarabb na cc Allah a2ruzuku faham InshaAllah
@MwanakomboMbeho-wl6hw
@MwanakomboMbeho-wl6hw 5 ай бұрын
Amiiyn
@NasriaNassor
@NasriaNassor 3 ай бұрын
Assalam'alaikum Warahmatullah Wabarakatu. Shekh nnasuali nataka unipatie jibu Inshaallah. Niliomba msaada wa kuchimbiwa Kisima kwa ajili ya watoto wa Madrasa, M/Mungu akanipatia mfadhili lkn nimetumiwa pesa ilili nichimbishe hicho kisima. Suali langu liko hapa ( nitakapo maliza kilakitu kma kuna pesa imebakiya jee nifanye nn) Natumai nitapta jibu Inshaallah
@AidathRweyongeza
@AidathRweyongeza Ай бұрын
Swali lako zuri ila nachojua hapo hapo madrasa unaweza fanya marekebisho na ukanunua masahafu
@SajaliAmri
@SajaliAmri Ай бұрын
Manshalhaa swali zuri lkn chamsingi unaweza kuwasaidia waja wa Allah kwakuwalisha mayatima nawasio jiweza ukawafanyia duhaa bc Allah atakujalia kila lenye lakher kwenye maisha yako nakesho iliyo njema inshaallah
@MejumaaNikaull
@MejumaaNikaull 9 күн бұрын
Pesa itayobaki pole kwa kujibu mm na sio sheikh pole ila ningekuomba ufanyie jambo lolote apo msikini bora liwe jambo la msikiti tu sheikh atamqlizia asante
@a.856
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@drmussa1220
@drmussa1220 Жыл бұрын
Hasbun Allah wa nimal wakeel ) Allahumma inna naj aluka Fi nuhoorihim wa na oozhubika min shuroorihim )🤲🤲🤲🤲
@IssaNasibu
@IssaNasibu Жыл бұрын
Allah akujaalie umri mrefu na mwisho mwema
@zulfatzulfat-cp3hj
@zulfatzulfat-cp3hj Жыл бұрын
Mungu atufanyie wepes kwenye mioyo yetu
@gamalashur5412
@gamalashur5412 Жыл бұрын
MASHA ALLAH TABARAKA ALLAH ALLAH AKUPE UZIMA NA AFYAA NA UMRI MREFU AMEEN
@mohmgonda
@mohmgonda 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉 mashaallah Allah ubarik sheikh
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p Жыл бұрын
Ma sha Allah Tabaraka llah Allah akupe afya njema n akufanyie wepesi maisha yko n kkuzidishia elimu n hekm uzidi kueneza dini ya Allah
@saidamwalili2849
@saidamwalili2849 9 ай бұрын
😂
@love_579
@love_579 8 ай бұрын
Ameen❤
@ramaaman4020
@ramaaman4020 Жыл бұрын
Subra inataka uvumilivuwahaliyajuu,Shukran Shekh Wetu
@issakawaya8315
@issakawaya8315 Жыл бұрын
Allah atupe moyo wa subira
@mudathirbwatani6422
@mudathirbwatani6422 Жыл бұрын
MashaAllah ,
@OmarijMfunga
@OmarijMfunga Жыл бұрын
Amina rabi Amina Allah akuzifidhie ekima nasubra shekhe wangu maalimu othiman naakupe mwisho mwema nawaisilamu wote atupe mwisho mwema nawasiompenda Allah laana yake iwejuu yake Allah umma amina
@LeilAMbegu
@LeilAMbegu Жыл бұрын
Mashaalah barakallah
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Жыл бұрын
Mashaallah
@NasiriMlanao
@NasiriMlanao Жыл бұрын
Sheikh Allah akuzidishie neema na Afya njema
@IbrahimKumbuka
@IbrahimKumbuka Жыл бұрын
Mashaallah Allah a2pe hekma na busara
@khadijaomar7996
@khadijaomar7996 Жыл бұрын
MashaAllah, Allah azawajal atuzidishie subra na iman❤
@kibibiabdalla1451
@kibibiabdalla1451 Жыл бұрын
MashaAllah tabarakaAllah
@LukomoHiga
@LukomoHiga Жыл бұрын
Allah akupe pepo inshallah
@BashiruAhmad-o4t
@BashiruAhmad-o4t 6 ай бұрын
Engela sheikh kwa mawaiza mazuri Allah akujalie kauli sabiti amen
@Rashidy-o5c
@Rashidy-o5c 6 ай бұрын
Shekhe othman Allah akupe umri mlefu na uzid kutupa Faida au manufaa kwako nakupenda shekh wetu
@MwanakomboMbeho-wl6hw
@MwanakomboMbeho-wl6hw 5 ай бұрын
Amiiyn
@MwanaidiKiondo-y6x
@MwanaidiKiondo-y6x Жыл бұрын
Mashaa llah allah akuhifaz Dunian na Ahrera
@newtoneoyugi3617
@newtoneoyugi3617 4 ай бұрын
Mash'Allah, Allah azidi kukufunulia elimu katika kuwafaidisha waumini wa Mwenyezi Mungu
@aminasaid5209
@aminasaid5209 11 ай бұрын
Mashallah Allah ajubariki shekhe wetu
@salimmariga149
@salimmariga149 Жыл бұрын
Jazak Allah kheiryan
@KhadijaKirunda-yu1iv
@KhadijaKirunda-yu1iv Жыл бұрын
Allah akulinde kwa kila shari
@WardaSalum-s5s
@WardaSalum-s5s 7 күн бұрын
Mungu atufanyie wepec, napale palpo funguw mungu afanye wepes afunguwe kw mawaidh Yako
@BanyiteranyakoAbdoulhakimu-i6g
@BanyiteranyakoAbdoulhakimu-i6g Ай бұрын
manshallah
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p Жыл бұрын
Walkm mslm warahmtullah wabarakatuh
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq Жыл бұрын
بركه الله فيك الشيخ
@RUKIAGALGALO-l4e
@RUKIAGALGALO-l4e 5 ай бұрын
Shukran Kwa mawaidha Bora sana mwenyezi mungu akujalie maisha marefu
@KhalifaAlnabhani
@KhalifaAlnabhani 7 ай бұрын
Mashaalllah alllah akujaalie umri mrefu wenye Baraka nyingi na akujaalie muisho mwema ❤❤
@HawaAthumani-xv7xf
@HawaAthumani-xv7xf 8 ай бұрын
Maaashaa Allah, Allah akujaalie umri mrefu uzidi kutufikishia daawa,,Allahumma aamin
@MoiseMaik-b8b
@MoiseMaik-b8b 4 ай бұрын
Masha Allah ,Allah akuongezee mema mwalimu wetu
@mohammedbushir8593
@mohammedbushir8593 Ай бұрын
Ahsante shekhe mashaalla hadi raha ulivokua fasaha lisani mola akuzidishie uzid kutuelimisha .inshaallah
@apexmombasa6809
@apexmombasa6809 Жыл бұрын
Ma sha Allah
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 Жыл бұрын
Allah atuongoze
@HileHile-ns9xv
@HileHile-ns9xv 9 ай бұрын
Maasha Allah akuzdishie
@mozaalmahruqi4252
@mozaalmahruqi4252 Жыл бұрын
Ahsante skh Othman maneno yate mazuri..ila wanawake pia tunabeba mengi kutoka kwa waume na mara nyimgi tunabeba zaidi kuliko wao... alhamdulillah kwa ajili ya kulinda families. Mara nyingine hata hizo talaka tunapokea kwa kudhulumiwa.
@AbdulYusuph-d9o
@AbdulYusuph-d9o 5 күн бұрын
Allah akujaalie ilmu na afyanjema katka maisha
@MwanamkuuSaid-zy4rx
@MwanamkuuSaid-zy4rx 8 ай бұрын
Shukran Allah atujaze subra katika mioyo yetu inshaallah 🙏🙏🙏🙏🙏
@salimawishenga7588
@salimawishenga7588 11 ай бұрын
Barakallahu fiyk yaa yaa Shaikh Uthuman
@fatmajuma7741
@fatmajuma7741 10 ай бұрын
Mungu atajalie na subra
@nurmohamedhalane5518
@nurmohamedhalane5518 2 ай бұрын
We love you sheikh Othman malim me and my nation 🇸🇴 I learnt 2ru you quthba more knowledge
@KhamisMdzomba-w6h
@KhamisMdzomba-w6h Жыл бұрын
Jazakallah kheir
@HiyaraMohamed-bq6mp
@HiyaraMohamed-bq6mp Жыл бұрын
MashaAllah🥰 mwenyezimungu Atupe Imaani
@AlIAbshrI
@AlIAbshrI Ай бұрын
Mashaallah ❤❤❤ 🎉🎉🎉
@kayeyemapesa7533
@kayeyemapesa7533 Жыл бұрын
Allah Akujaalie
@MAKAMEMACHANO
@MAKAMEMACHANO 8 ай бұрын
Honger baba mungu akubarik San kwa kufikish ujumbe
@Bibishosh
@Bibishosh 11 ай бұрын
Mashallah tabarakallah
@MishymzongeMwanamisimbwanamzon
@MishymzongeMwanamisimbwanamzon Ай бұрын
Allha akulipe heri shehe nimejifunza mambo mengi sana
@KasichanaNdege
@KasichanaNdege 2 ай бұрын
Amiini rabi Àmiini
@aminaSuleyman-d6y
@aminaSuleyman-d6y 11 ай бұрын
Jazzallahu ghaira kwa mawaidha mazury yenye manufaa kwetu
@YussufMkombe
@YussufMkombe Жыл бұрын
Subhanallah 🤲❤
@ملاكالقحطاني-ط3ش
@ملاكالقحطاني-ط3ش 24 күн бұрын
MashaAllah ❤❤❤❤
@AdelaMadjanga
@AdelaMadjanga 4 ай бұрын
Sheikh wangu mola akujaliye umri mrefu nakufata toka congo D R C❤
@AishaCute-xr4sh
@AishaCute-xr4sh 10 ай бұрын
Manshaa Allah ❤❤
@AbdremaneAbdala
@AbdremaneAbdala Ай бұрын
Masha Allah.mimi niko Musumbiji. Jiji la Mocimboa da praia .cabo Delegado
@JumaKamaro
@JumaKamaro Ай бұрын
Mungu akupe Maisha marefu
@KasichanaNdege
@KasichanaNdege 2 ай бұрын
Amiini raba Amiini
@GatekaFatma
@GatekaFatma 8 ай бұрын
Allah akusamehe makosa yako shekh wangu
@lilyshamis3396
@lilyshamis3396 4 ай бұрын
Mash Allah akupe umri mrefu wenye ibada utujuze
@gonew-b5b
@gonew-b5b 8 ай бұрын
Mansha’Allah Jazaakum Allahu kheir Shekh Shukran
@ConfusedLargeWaterfall-vx8ps
@ConfusedLargeWaterfall-vx8ps Жыл бұрын
Masha Allah
@fadhilimnalale2742
@fadhilimnalale2742 7 ай бұрын
Allah akujaalie mwisho mwema Kwa rehma zake 🙏
@BabSaleh
@BabSaleh 4 ай бұрын
Ma Sha Allah❤❤❤
@HamisiPeter-e4q
@HamisiPeter-e4q 5 ай бұрын
Mungu akujalie kheli mungu akupe maisha marefu
@IssamarianochabaneIssamariano
@IssamarianochabaneIssamariano 4 ай бұрын
allah akuzidishiye akusamehe ww na famíliayako
@RahimKomba
@RahimKomba Ай бұрын
Najiskia furaha na rah nikiskiliza mawaidha yako Allah akuongoze Mimi ni mkristo ila iman yangu ni Islamic naomba msaada wako
@AdamFixes
@AdamFixes 12 күн бұрын
Allah akuongeza hakika upo kwenye njia ya kweli endelea kusikiliza na kusoma Quran yenye tafsir ya kiswahili
@AmourHassan-bg2iu
@AmourHassan-bg2iu 6 ай бұрын
Mashallahu. Jazaka Allahu khaira
@HafswaRajab-n7i
@HafswaRajab-n7i 10 күн бұрын
MashaAllah
@BentiM-q2c
@BentiM-q2c 20 күн бұрын
Mashaalah ❤
@BurhaniBakari-i6b
@BurhaniBakari-i6b 7 ай бұрын
Allah akuifadhi sheikh wetu.❤
@kinanzibabatz
@kinanzibabatz 7 ай бұрын
Inshallah mwenyez MUNGU akuzidishie
@OmariJuma-tq1ge
@OmariJuma-tq1ge 9 ай бұрын
Mungu akujalie uwe ni mwenye kuitoa elim yako kwa wengine
@KhadijaKirunda-yu1iv
@KhadijaKirunda-yu1iv Жыл бұрын
Allah akutilie wepes ktk kazi zako
@JamalBizy
@JamalBizy 3 ай бұрын
Inshallah Allah atujaalie tuwe wenye subra
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 Ай бұрын
Jazakhalahul
@MariyamusefukhamissiMariyamuse
@MariyamusefukhamissiMariyamuse 9 ай бұрын
Alhamdulillah MashaAllah tabaraqallahu ❤❤❤❤❤
@IrankundaLiliane-ry9rd
@IrankundaLiliane-ry9rd 5 ай бұрын
Masha Allah masha allah
@NgosariNgosari
@NgosariNgosari 3 ай бұрын
Allah akulipe
@Muhammadnabii1Muhammadnabii2
@Muhammadnabii1Muhammadnabii2 6 ай бұрын
Masha Allah ❤
@saidmuhammad8847
@saidmuhammad8847 Жыл бұрын
Ma sha Allah, Sheikh Othman swala yangu if your prating jamaa and Imama went to rukuu and you have note finish sura fatiha
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
U have to follow the Imam wats soever hutakiwi kumhalifu Imam
@ZenaHamisi-no3xs
@ZenaHamisi-no3xs 9 ай бұрын
Mashallah❤
@aishaumutete9916
@aishaumutete9916 3 ай бұрын
Djazallah khaira
@PrinceTmaxson
@PrinceTmaxson 10 ай бұрын
Assalamu aleikum Ramadan ni siku gani
@HamzaMohamed-g6i
@HamzaMohamed-g6i 7 ай бұрын
MaashaAllah
@BilalMohamed-ow6dv
@BilalMohamed-ow6dv 8 ай бұрын
Allaha akujaalie maisha malefu
@zombiamoss9260
@zombiamoss9260 Жыл бұрын
Mashallah
@JUMAMWANDELE
@JUMAMWANDELE 7 ай бұрын
Mungu akupe uzima
@hadijachao4015
@hadijachao4015 3 ай бұрын
Assalam alekum warahmattullah wabarakattuh
@lilyshamis3396
@lilyshamis3396 4 ай бұрын
Allah atupe umri mrefu wenye ibada izidi kutupa dawa
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 3 ай бұрын
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
@pettyrick-x2b
@pettyrick-x2b 25 күн бұрын
Takbir🎉😊
@AishaIshmael-y1s
@AishaIshmael-y1s 6 ай бұрын
mashaAllah
@IBRAHIMJuma-k6h
@IBRAHIMJuma-k6h 15 күн бұрын
Nashukuru
@ZainabaliJuma
@ZainabaliJuma 9 ай бұрын
Alhamdulillah
@Mohammedjuma-pg8qz
@Mohammedjuma-pg8qz 9 ай бұрын
Allah akuifadhi
@KasichanaNdege
@KasichanaNdege 2 ай бұрын
Amiini rabi Amiinì
@HileHile-ns9xv
@HileHile-ns9xv 9 ай бұрын
Nkwel sheik pia mm nlikua najifunza kunyamaza ila alizd kunpanda kichwan na kunifanya munyonge nkakabiliana nae mpaka xx ananieshimu alhamdulilah
@KasichanaNdege
@KasichanaNdege 2 ай бұрын
Kwako pia mola akujalie
Mambo ma 8 muhimu maishani
27:47
Said Salim Matango
Рет қаралды 59 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
UTAKUJA KUJUTIA WAKATI WAKO UNAOUPOTEZA// SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:18:04
arkas online tv
Рет қаралды 48 М.
KISA CHA NABII SULEIMAN MFALME TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI
1:11:03
arkas online tv
Рет қаралды 237 М.
MAWAIDHA HUBADILISHA MAISHA YAKO // SHEIKH OTHMAN MAALIM
29:46
arkas online tv
Рет қаралды 46 М.
SIFA ZA WACHAMUNGU  JEE NA WEWE UMO ? // SHEIKH OTHMAN MAALIM
53:20
arkas online tv
Рет қаралды 58 М.
02 SURAH AL BAQARAH (Tafsiri Ya Quran Kwa Kiswahili)
3:24:01
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 2 МЛН
ADABU ZA SIKU YA IJUMAA NA FADHLA ZAKE  / SHEIKH HASSAN AHMED
37:33
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 93 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН