SH.OTHMAN MAALIM :- WANAWAKE AINA HII KUMI JIHADHARI NAO | UKIWAOA NYUMBA YAKO ITAKUWA JAHNAM

  Рет қаралды 173,092

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@daijuma3956
@daijuma3956 10 ай бұрын
allah akujaze kheri mwalimu wangu
@jumaali4031
@jumaali4031 2 ай бұрын
Shukran 😢sheikh Athman ALLAH akupe umri maneno yko n dahwa ALLAH WAKIL.
@MwinyiSaid-xb1nm
@MwinyiSaid-xb1nm 10 ай бұрын
😭😭😭 othaman leo umeniliza.subhanallah
@abdullali1789
@abdullali1789 11 ай бұрын
Shukran shekh Athman Mungu akujaliye Kila neema duniani na akhera.
@emmanuelyjmnyampanda2213
@emmanuelyjmnyampanda2213 Жыл бұрын
Asant sana sheikh othman kwa mawaidha haya kwan nimeelewa na hususa yamenigusa kuyaona kwa mke wangu aliniacha
@bakarirashid8858
@bakarirashid8858 Жыл бұрын
Mashaallah
@oooooo5471
@oooooo5471 10 ай бұрын
ماشاء الله تبارك الله ❤
@somwanaissa2484
@somwanaissa2484 10 ай бұрын
Mashalla
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm Жыл бұрын
mashallah mashallah shekhe wetu sema wanawake ndo wanamitihani kweli kwanza hawana malezi pili wanataka maisha ya Dunia ndoa kama izo kudum mtihani kweli ndo maana wanachika ovyo sababu wanataka maisha ya Dunia hawataki kulithika na maisha yalivyo tena msemo wao mwanaume Hana pesa namtakia nini
@user-ox6ey1gb8t
@user-ox6ey1gb8t 9 ай бұрын
mashaallah Allah akulipe pepe
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 4 ай бұрын
Mashaallah tabarakaah 😂😂😂 Shukran Sheikh wetu mawaiza mazuri Shukran ❤❤❤
@noelafrank2447
@noelafrank2447 Жыл бұрын
Jmn mmeona picha tuu mawaidha mazuri hamjayasikia mmekimbilia picha jpo mm ni mkiristo lakin napenda sana mawaidha ya shehe anaongea ukweli
@titanharris6430
@titanharris6430 Жыл бұрын
Njoo katika dini inayojieleza ambayo haina shaka ndani ❤
@qudirbruno1337
@qudirbruno1337 Жыл бұрын
Sawa pia karibu ktk uislam omba kwanza mungu
@KhamisGAGA
@KhamisGAGA Жыл бұрын
FUNDI
@akilimalibilali
@akilimalibilali 9 ай бұрын
​@@qudirbruno1337lol lol 1aaaæ
@user-gi3io1ew8e
@user-gi3io1ew8e 8 ай бұрын
😂❤Ata Mimi ni mkirsto but nependa mawaidtha ya watu wa kwali kwa family zetu Amina 🙏 kabisa 🥰
@polepoletutafika3
@polepoletutafika3 Жыл бұрын
Subhanallah
@Africa822
@Africa822 Жыл бұрын
othaman maalim mungu akuingize peponi, nawewe mwandishi badilika penda pepo kuliko pesa, ondoa iyo pic ya laaana
@alifaki4651
@alifaki4651 11 ай бұрын
Mashallah
@Popo-nc8ig
@Popo-nc8ig Жыл бұрын
Mashaallah Allah ukufungulie milango ya kheri
@meddykeita5220
@meddykeita5220 Жыл бұрын
Wallah wapo masha Allah wapo sheikh yaa. Mtihan wallah
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 11 ай бұрын
MashaAllah
@hassanramadhani682
@hassanramadhani682 6 ай бұрын
Mawaidha mazur Sana hakika yanafundisha
@nyachiroictsolutions9331
@nyachiroictsolutions9331 Жыл бұрын
mashaallah shekh darsa limenishika shukran sana
@user-te5jr1rz7w
@user-te5jr1rz7w 2 ай бұрын
Jamani wanaume ndio waharibifu sio sana wanawake kufanya mabaya
@naomimlungu6536
@naomimlungu6536 11 ай бұрын
Maasha'allah allah akuhifadhi 🤲🤲
@abdinoorkamau9745
@abdinoorkamau9745 Жыл бұрын
Masha.allah may Allah akuhifadhi insha.allah maalim wetu...
@user-vr6pi8xj3l
@user-vr6pi8xj3l 11 ай бұрын
mungu amuifadhi shee wetu
@abrahmanifarouckissa5662
@abrahmanifarouckissa5662 Жыл бұрын
Maashaallah mawaidha mazuri kabisa
@fahimahmed6917
@fahimahmed6917 Жыл бұрын
MashaALLAH swadakta
@nourinalli6974
@nourinalli6974 Жыл бұрын
Masha Allah 🙏🙏
@shemaadihoseni1619
@shemaadihoseni1619 8 ай бұрын
Allah Akbar
@zaitunjuma870
@zaitunjuma870 Жыл бұрын
mashallah hakik ni ukweli mtupu
@user-fi6tb3hs9e
@user-fi6tb3hs9e 7 ай бұрын
Mawaidha mazur Allah atuepushe na sifa za wanawak hao waovu
@kakamama5104
@kakamama5104 Жыл бұрын
Mashaallah❤
@mrsab303
@mrsab303 Жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-pk9xd5rv2q
@user-pk9xd5rv2q 7 ай бұрын
جزاك الله خيرا يا شيخ
@Laizer3
@Laizer3 4 ай бұрын
Mim n mkristo lakin mawaidha nimeyakubali sana shekh
@suleimanijuma-ge3jg
@suleimanijuma-ge3jg 3 ай бұрын
Safi sana
@ChachaDaudi
@ChachaDaudi Жыл бұрын
Elimu nzuri
@user-bw3gt9hk3j
@user-bw3gt9hk3j 11 ай бұрын
Naisapoti sana,
@omarimakoko2133
@omarimakoko2133 Жыл бұрын
silimu ndugu yangu
@asedtembo4742
@asedtembo4742 Жыл бұрын
Mawaidha haya yamenigusa moja Kwa moja
@yusrahhussein9424
@yusrahhussein9424 Жыл бұрын
As salaam alaykum warahmatullah wabarakatuh alhamudulillah kwa mawaiza ukweli wapo Pia wanaume wenye sifa izo za wanawake kama Ayo pia ikiwa mwanamke utaziona tabia izo kwa mwanaume ni haramu kuolewa nae ao kuingia kwenye ndoa nae ALLAH atulide sote kiume na kike maa salaam ikiwa nimekosea muni swamehe
@AmirAli-qq1mi
@AmirAli-qq1mi Жыл бұрын
Mmmmmmh
@osamaally221
@osamaally221 10 ай бұрын
Sisi sote ni wachunga na kila mchunga ataulizwa Kwa kile alichokichunga.
@smabsalimabsali9688
@smabsalimabsali9688 3 ай бұрын
Kweli kabisa sheikh maneno yako
@user-yh2gy1lp7w
@user-yh2gy1lp7w 8 ай бұрын
Nikweri sisi Wanamake nishinda tu
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 Жыл бұрын
Asalaam Aleikoum sheikh Waimea wenginee hawanaa imani ,,mwanamumee Mwngine huwa bil Akks Ameshindaaa mwanamkee kwa maovu zakee.
@matipashankanawaaooo1199
@matipashankanawaaooo1199 Жыл бұрын
Allh akujalie mume mwema
@mohameddahir2149
@mohameddahir2149 Жыл бұрын
Wallahi ni kweli, huyo ni dayus.
@aishajuma5079
@aishajuma5079 Жыл бұрын
😂😂😂MashaAllah
@gobaonlinetv9690
@gobaonlinetv9690 Жыл бұрын
Hawa wenye online tv dini wameieka pembeni, hata mnafikia hatua kutuwekea picha za wanawake walio uchi na mashekhe nao hawawaambii
@KIFUNDY6-qk7ef
@KIFUNDY6-qk7ef Жыл бұрын
Umekosea san mtangazaji kueka picha isio na maadili ya uislam mbele ya shekh wetu mkubwa huyu
@aishajeylani2621
@aishajeylani2621 8 ай бұрын
Mambo
@noelafrank2447
@noelafrank2447 Жыл бұрын
Yaaan shehe yaukweli yooote na nakir Kwa tabia hizi ninazo ila nimepona kupitia mawaidha
@user-hx8bh1jt4k
@user-hx8bh1jt4k Жыл бұрын
Maa shaa Allah...hongera sana na Mungu akuongoze zaidi uwe mke mwema Kwa mumeo
@HemediSangoda-qs5xl
@HemediSangoda-qs5xl 9 ай бұрын
Mada saf maashaallaah lkn Kuna shubha mwanamke alie uchi apo sjui nani kaedit
@SalumMohammed-kr2do
@SalumMohammed-kr2do 9 ай бұрын
Jamaani sio vzuri kuwambatanisha hizo picture za wanawake wa uchi na mashekh zetu
@friesinger0963
@friesinger0963 10 ай бұрын
Sheikh tafadhali Ondoa iyoo picha ya uyo mwnamke inavunja heshima ya dini ya kislaam na heshima ya sheikh mwenyewe !!
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm Жыл бұрын
siku hizi mwanamke anakupenda ukiwa unamaisha mazur pesa je yeye kwao wanavyo hivyo mpaka nyumbani kwako alete izo kejer za pesa
@user-jd2kb5ll3p
@user-jd2kb5ll3p 10 ай бұрын
Wana wake wakiarabu Hao ndo mambo Yao kujitia makeup mara kwa mara na kuoga balaa hadi siku ya outing😂😂
@alimalongo6281
@alimalongo6281 10 ай бұрын
Haswa mimi ninapitia hayo jameni nitajitoaje kwa hio mtengo?
@Abusabri254
@Abusabri254 5 ай бұрын
Assalaam aleikum shekhe wangu,lakini kulibaki watu tena ktk kikao hicho? au kila mara kuna mtu anakimbilia nyumbani kwa uwoga.
@ramazaniddy4231
@ramazaniddy4231 Жыл бұрын
Toa hiyo picha hapo sio sasa
@Djumaibrahim
@Djumaibrahim 7 ай бұрын
Sasa mwanamuke wapili utamutambuwa vipi
@TheFire_Gamer
@TheFire_Gamer Жыл бұрын
Lakini kuweka picha ya mwanamke hivo itakua ni vizuri?
@yamdinhopapaa4144
@yamdinhopapaa4144 Жыл бұрын
Haipendezi
@ayububakari9942
@ayububakari9942 Жыл бұрын
HII CHANNEL KUNA MAWILI KAMA SIYO YA MHUNI BONGO FLEVA BASI NI YA MTU BIDAA KWA SABABU HAWANA HAYA KUWEKA MIPICHA MICHAFU MWANAMKE YUPO UCHI !!
@allymohd5855
@allymohd5855 Жыл бұрын
Sio vzr ndug waislam kuwk pich kam iy ya mwanamk kahab muhun kweny jamb la kislam
@ayububakari9942
@ayububakari9942 Жыл бұрын
@@allymohd5855 USISHANGAE KWANI HATA HUYO MWENYE CHANNEL NI MUHUNI /MSANII..
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 Жыл бұрын
Mtihani kwakweli Allah Atuongoze
@siti3197
@siti3197 11 ай бұрын
Astaqfiru.. llah
@RashidAbdallah-qv5qb
@RashidAbdallah-qv5qb 11 ай бұрын
Kakosea San shehe mkubwa unanuwekea piacha hii
@ahmedabry293
@ahmedabry293 Жыл бұрын
Kwani lazima muweke picha za wanawake nyie vipi..
@ayububakari9942
@ayububakari9942 Жыл бұрын
HII CHANNEL KUNA MAWILI KAMA SIYO YA MHUNI BONGO FLEVA BASI NI YA MTU BIDAA KWA SABABU HAWANA HAYA KUWEKA MIPICHA MICHAFU MWANAMKE YUPO UCHI !!
@hassanbahati1061
@hassanbahati1061 Жыл бұрын
Nitamjuaj km anatabia hii
@ayububakari9942
@ayububakari9942 Жыл бұрын
HII CHANNEL KUNA MAWILI KAMA SIYO YA MHUNI BONGO FLEVA BASI NI YA MTU BIDAA KWA SABABU HAWANA HAYA KUWEKA MIPICHA MICHAFU MWANAMKE YUPO UCHI !!
@moshdbdallahmash4021
@moshdbdallahmash4021 Жыл бұрын
Sawa sawa maalim tunao hao
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Жыл бұрын
Yaweza kuwa chanel hii ni ya mkristo
@MwamvuaJafari-fq4ku
@MwamvuaJafari-fq4ku 11 ай бұрын
Mashaallah
@FariOfficial142
@FariOfficial142 Жыл бұрын
Mashallah
@sumaabushir1179
@sumaabushir1179 Жыл бұрын
Mashaallah
Mawaidha ya Othman Maalim wema hauozi | kisa cha kijana aliyevuta bangi
52:54
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 13 МЛН
MAMBO NANE UKIYAFANYA MALAIKA HUKUOMBEA DUAA / SHEIKH HASSAN AHMED
32:41
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 348 М.
MJUE SWAHABA MYAHUDI KUTOKA KWA BINGWA WA HISTORIA //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:07:16
KISA CHA MKE WA MTUME MWENYE MKONO MREFU //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:07:12
arkas online tv
Рет қаралды 44 М.
Si kila ukweli ni wa kusema -Sheikh Othman Maalim
24:59
Kalamutz
Рет қаралды 131 М.
Umuhimu wa Wazazi | Sheikh Othman Maalim
1:20:58
Adil Twahir
Рет қаралды 498 М.
JUA KU ISHI NA MARAFIKI NA MA ADUI... OTHMAN MAALIM
34:54
Said Salim Matango
Рет қаралды 1,6 МЛН
MWANAMKE KAMA HUNA TABIA HIZI CHAFU | JUA WEWE NI MKE MWEMA | SHEIKH OTHMAN MAALIM
57:41
OTHMAN MAALIM.....VISA VYA VITA YA BADRI
3:01:33
ADE LINK HABARI
Рет қаралды 129 М.
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН