KAMA NINGEKUWA NA ASMAAH NISINGEHANGAIKA| JUKUMU LA KULEA MTOTO SIYO LA BABA PEKE YAKE

  Рет қаралды 59,818

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 115
@richarddominick3172
@richarddominick3172 9 ай бұрын
Sema mwana ukimskiza Yuko sawa sana
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 8 ай бұрын
Sana
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 9 ай бұрын
Baba levo ww ni my role model Nakukubari sana mwamba.🎉🎉🎉
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 9 ай бұрын
😏
@rosejeremy9484
@rosejeremy9484 9 ай бұрын
Wewe ni mwanaume Wa mfano big up brother wanaume mjifunze hapa
@mrbabadtz9074
@mrbabadtz9074 9 ай бұрын
Yes, mwambie na mumeo
@aftapat5365
@aftapat5365 9 ай бұрын
@@mrbabadtz9074ndio muache umalaya haujui maumivu ya mwanamke kukukimbia nakwenda kwa mwanaume mwingine huwa sisi wanaume haitoki moyoni
@BabaFarzan-ml4er
@BabaFarzan-ml4er 9 ай бұрын
Ukizaa na Matahira/Majini utakaa na team moja na B Baba Fundi majumba
@thescop1003
@thescop1003 9 ай бұрын
Safi babalevo , yani ukiwa na dem mmoja asee uko hatarini
@wilbatnyato4679
@wilbatnyato4679 9 ай бұрын
Upo sahihi baba Revo kisheria
@wandemanonimanoni-jg5vi
@wandemanonimanoni-jg5vi 9 ай бұрын
Mie namsapoti baba Levo jmn..mama Ruby hajatulia
@mckobatz5861
@mckobatz5861 9 ай бұрын
Baba levo is so smart 😊
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 9 ай бұрын
Huyo mama Ruby hakufai, mwanamke ukiachana naye hakuna haja ya kurudiana naye maana hamuendani tayari!
@EsterMkini-es7zh
@EsterMkini-es7zh 9 ай бұрын
Mwanaume ukimpeleka polisi mh usimuamini tena hawapendi hzo pigo
@alhabsi6430
@alhabsi6430 9 ай бұрын
Huyo mama watoto hakutulia kataka mwenyewe,kawatupa watoto
@elibarikilukasimakala5534
@elibarikilukasimakala5534 9 ай бұрын
Real Gentleman 😁
@zainabumsafir1182
@zainabumsafir1182 9 ай бұрын
Ila kumbuka unawatt bb Leo na ni wakike watakuwa watakuta hii
@Iampanther_
@Iampanther_ 9 ай бұрын
Babalevo kampenda mamarubi ndo kinachomtafuna😂😂pole bhana, hisia hazina ushauri
@kondoatown8765
@kondoatown8765 9 ай бұрын
Aisee hadi baba levo na pua lake lile anagombaniwa asa mimi nikija Dar si ntagombaniwa sana aisee
@dclassTurpin-jx3wh
@dclassTurpin-jx3wh 9 ай бұрын
kaka njoo hela yako tu😂😂
@Aishahamisi-ho5ix
@Aishahamisi-ho5ix 9 ай бұрын
😂😅😂😅😂😅😂😅😂😂😅
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 9 ай бұрын
🤣🤣🤣Baba levo🙌 fanya kitu kinakupa amani ya nafsi yako mapenz hayashauriw jmn
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 9 ай бұрын
uko sahihi
@sanndyberg645
@sanndyberg645 9 ай бұрын
Kweli muhahoo
@salama1113
@salama1113 9 ай бұрын
Hilijamaa chawa ila linaongeaga ukweli
@twalebleboss9687
@twalebleboss9687 9 ай бұрын
BIG UP BRO.....#SAFIIIII
@isaya43.12
@isaya43.12 9 ай бұрын
Ila matatizo ya familia mnaleta mtandaoni😢
@jacklineisack133
@jacklineisack133 9 ай бұрын
Watu wajifunze😅
@lydi791
@lydi791 9 ай бұрын
baba Levo yeye ataki kuwa kabati😂😂 Yani anazungumuza naisiya kali 😂😂
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 9 ай бұрын
Nakumbuka baba levo alikuwa anaongea Hadi kwenye vyombo vya habar kuwa mke wangu Rudi tulee watoto huyo Dem akagoma baba levo piga chin kudadek
@juliusmkopekwa336
@juliusmkopekwa336 9 ай бұрын
Uko-sawa-tu-baba-levo
@mwananganzi
@mwananganzi 9 ай бұрын
Bado hujaijua dunia ya wanawake
@gracewairimu800
@gracewairimu800 9 ай бұрын
Ila ukimsikiliza Baba levo Ana Point zake kwanini akaamua kua na huyo mchepuko
@tagx_boe
@tagx_boe 9 ай бұрын
Hapo hakuna imani.ila ni kiburi cha ibirisi kimewatala wawili hawa.hakuna kinachoshindkana.
@KhadijaMangule
@KhadijaMangule 9 ай бұрын
😂😂😂 oscaosca analeta utani wakat watu wako na mood😂😂
@ashrafadam4629
@ashrafadam4629 9 ай бұрын
Hommie boi uko sahh kabsa achana nae by the way ndg yako n watoto wako na xo mwanamke uliezaa nae watt achana nae aende zake hana maana uyo na mwanaume co rahs kumuoa mwanamke ambae tayar amekwisha kuwa na faml kwn nae atajiuliza kwnn aliachana na mwanaume aliewah kuwa naw na kupata nae mtt br lea wanao achanae uyo mama ruby
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 9 ай бұрын
Mapua tulia acha sifa
@ghulamhaji7856
@ghulamhaji7856 8 ай бұрын
Acha umalaya mapua
@Whoisthismantalking
@Whoisthismantalking 9 ай бұрын
Huyo mwanamke ni mpumbavu sana. Kuna kipindi babalevo alihangaika sana kumrudisha mke wake ili wawalee hao watoto akajifanya kiburi. Hakuna haja ya kuangaika na mwanamke mpumbavu kama huyo. Kama mwanamke anaweza kuondoka na kuacha watoto wadogo pekeyao na baba yao huyo ni zaidi ya mshenzi. Huyo ni mnyama wa kupitiliza achana nae
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 9 ай бұрын
Mama ruby tulia kwa ndoa yako mimi sina kingine cha kukushauri dada
@RandB_Channel
@RandB_Channel 9 ай бұрын
Baba Levo tulikwambiaka ona sasa mengine yana anza
@jurmainezaidi739
@jurmainezaidi739 9 ай бұрын
Uyo demu anazingua, ungemuacha tuu ubaki na Asma.
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 9 ай бұрын
Wanaume mbwa tu hawajawaigi kurizik shetan hawa,,,,,,hta ujimanue mbk kiwake unajichosha tu
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 9 ай бұрын
We paka tu 😂 hamjawai kuwa na akili kilichofanya uyo mzazi mwinzie arudi ni pesa tu lkn alimkimbia na kujiona yeye mzuri na kumwachia watoto jamaa anaongea kwa uchungu coz anajua aliyoyapitia kabla ya kupata pesa Mana alikuwa anadharaulika kwaiyo nanyinyi acheni tamaa wakati wa Mungu ndio wakati sahihi angesubiri leo yasingemkuta , kapelekewa moto mwisho kaona mmh mbona jamaa Kawa mtamu ndio anarudi kiunafki😂 wanawake wote paka tu
@ibrahimmbilizi1726
@ibrahimmbilizi1726 9 ай бұрын
Ulevi kitu kibaya sana Oscar auna ushairi baba pili uyo demu wamondi babalevo
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 9 ай бұрын
Huyo mama Ruby ulifanya kosa kumrudisha sio mwanamke poa kabisa
@JamilhaSelemani
@JamilhaSelemani 9 ай бұрын
Chefuuu unajickia unavyo ongea me ushauri wng mama Rubi tafuta pesa achana na mapenzi
@khadija5761
@khadija5761 9 ай бұрын
Hiyo ni kikiiiiii
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 9 ай бұрын
Ila baba levoo ww akili zako unazijua mwenyewe ila mama rubi tuliaaa kipenzi Hawa baba zetu hatuwawezi Lea watt wako huyo asma achana nae atakupotezeaa mudaa
@aby.beka1630
@aby.beka1630 9 ай бұрын
ulifikilia kabla ya kuongea iv~
@julianapeason6254
@julianapeason6254 9 ай бұрын
Ni kweli arulie alee watoto maana mwanaume mwenye pesa na asiekuwana hofu ya Mungu ni mateso plus ila ningekuwa mimi ningemsahau huyu baba ndani ya sekunde 0 maana haya ni mateso
@NasraNasibu
@NasraNasibu 9 ай бұрын
​@@julianapeason6254kikubwa dua
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 9 ай бұрын
@@aby.beka1630 nimefikiriaa sana maana hakuna mwanamme anaeroshekaa na mwanamkee mmojaa hata baba ako ujuwee kuwa unamamdogo wako chobingoo
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 9 ай бұрын
NA HIKI KIREDIO HAKIFAI KUWA KWENYE MITANDAO KINA MAADILI MABOVU SANA HAPO MNAFUNDISHA NN?
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 9 ай бұрын
Jamaa yupo sawa..sema tu hiki kizaz cha haki sawa ndio shida
@khamysamursally5932
@khamysamursally5932 9 ай бұрын
Nimekupenda kwa kauli yako upo sahihi akina mawazo ya kesho kabisaa
@martinjosephat4694
@martinjosephat4694 9 ай бұрын
Hahaha pengn hatujaelewana vema alikua. Analeta. Mt. Anapma. Kama. Anaeza. Kulea. Ana pima pimajee
@NiceWatson-y7e
@NiceWatson-y7e 9 ай бұрын
Wanaume kama hawa unawaacha wafanye yao yakishawakuta watarud wenyew na kipind wanarud wanakuwa washachelewa
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 9 ай бұрын
Utakuwa hujui story yao wew mwanamke kaenda katombwa huko kachoka karudi kuomba msamaha
@allahisone6386
@allahisone6386 9 ай бұрын
​@MrTop-wj7no DAH 🤦 UNAMAJIBU KONKI
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 9 ай бұрын
USIPOELEWA HAPA HUTOELEWA TENA CHOCHOTE..MPAKA KIFO CHAKO..
@WitnessShamba-wm4tq
@WitnessShamba-wm4tq 9 ай бұрын
Baba level nichukue na Mimi tuwe watatu babu👌
@allahisone6386
@allahisone6386 9 ай бұрын
DAH 🤦😳
@lydi791
@lydi791 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 9 ай бұрын
Pambania kombe mwaya.🤣🤣🤣
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 9 ай бұрын
Eeeh una taka msereleko
@abbasnassib9532
@abbasnassib9532 9 ай бұрын
Huyo Oscar anavuta bangi nini?
@allahisone6386
@allahisone6386 9 ай бұрын
😳🤦
@chany9950
@chany9950 9 ай бұрын
🥺🥺🥺
@abdulazackabdul1894
@abdulazackabdul1894 9 ай бұрын
🤒
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 9 ай бұрын
kaka umetupa mbinu
@lisamandela9987
@lisamandela9987 9 ай бұрын
Kwel hatuna thaman Sasa huyo asmah alikuwa house girl huruma 😢
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 9 ай бұрын
Amekosea sana mjinga uyu
@tradamus4158
@tradamus4158 9 ай бұрын
Kosa ulilofnya nikurudiana na huyo mwanamke ambae alishakupeleka mpaka police na huyo mwanamke alivyo ona unamzungu tu basi akajirudisha saabu ulikua na piss kali kushinda yeye ikamuuma na wew babu levo bichwa yako ilivyokua ya kuku ukarudiananae hukujua kua unaleta tatizo ndani ukisha move on bro sahau kuhusu ya nyuma ishi maisha yako
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 9 ай бұрын
Hashtag Mapambano 😆🤣🤣🤣
@Shadia544
@Shadia544 9 ай бұрын
Wanaumee woote mbwa tuu hamlidhiki mbwa nyieeee😂😂😂😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 9 ай бұрын
Fala wew ko hapo unasikia kosa lake nani??
@abbasnassib9532
@abbasnassib9532 9 ай бұрын
Wewe unayeridhika,una maEx wanganui!?
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 9 ай бұрын
Aaaaaa AA sio mbwaaa ndioo baba zetu ila nyiee baba zetu muwe mnaridhika
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 9 ай бұрын
Sasa kama wanaume wote mbwa basi Mama ako alibanduliwa na mbwa na ukazaliwa wewe!sasa hapo jichachagulie mwenyewe kuwa wewe upo kwenye kundi gani kama Baba ako jibwa basi Mama ako atakuwa hana akili nzur anawezaje kuzaa na dog🤔🤔
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 9 ай бұрын
Mume wangu sio mbwa😂😂
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 9 ай бұрын
Fanya kama Sheikh Abdulrazack , Bi fatma na diva 😂😂😂
@lydi791
@lydi791 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@MasoudSultan-ks6kc
@MasoudSultan-ks6kc 9 ай бұрын
MUJOMBA TULIKUSHAURI UTAPO CHOKOZA WA MUJINI WATAKUSHUGULISHA WAMEKUTEKENYA SASA UMERUKA JIPAMBANIE ILA UMEANZA SAFARI NDEFU NA NDALA JEE ULIJIPANGA?
@sisifaty9183
@sisifaty9183 9 ай бұрын
Kumbe uli nubwenge
@patriciousnjau7792
@patriciousnjau7792 9 ай бұрын
Navaa viatu vya mke wa baba Revo vinanipwaya.Nimewah kupitia hii hali.Baba Revo kama huwezi kuwaupande wa mkeo hujampenda bado.Mkeo kama amekosea kaa nae chin muongee.Hunifahamu sikufahamu.naomba kaa na mkeo muongee yaìshe.Mlee familiya yenu. kwa upendo.Ni shabiki wako tu lakin nayajuwa madhara yake.Please i beg you on behalf of your children.
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 8 ай бұрын
Kwahio ulishawahi kumuacha mmeo ukaenda kudanga mwaka mzima au sio😂
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 9 ай бұрын
Ila bro ww ni malaya😂😂 Unaleta wake tano wote kuwaangalia
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 9 ай бұрын
Kiki kubwa 😂😂😂🎉
@RamadhaniMaarifa
@RamadhaniMaarifa 9 ай бұрын
Huyo asma ni yule wa Cheka tu au mwingine!!?
@malianonicass7029
@malianonicass7029 9 ай бұрын
Ndio ni yeye
@hanifamziray277
@hanifamziray277 9 ай бұрын
Ndio muoe mke wa2 ugomvi uishe
@allahisone6386
@allahisone6386 9 ай бұрын
YEAH 🎉
@mandelamushi2527
@mandelamushi2527 9 ай бұрын
Wanawake tunawawepanda acheni jaaam
@mandelamushi2527
@mandelamushi2527 9 ай бұрын
Upendo ni kama umeme ukikata umeme ni sawa na kukakata Umeme
@mandelamushi2527
@mandelamushi2527 9 ай бұрын
Baba leo yuko sawa kwanza mwanamke ni mwanamke je!!!nikishambulia siku zote 30th itakuwaje
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 9 ай бұрын
Baba levo upo sahihi na pmj na yote hongera kwa kutunza watoto wako ushauri kwa wanawake wakishaolewa wawe wavumilivu na utulivu
@kelvinnyunza-us9jj
@kelvinnyunza-us9jj 9 ай бұрын
😂😂😂
@mellahcoffee
@mellahcoffee 9 ай бұрын
😂
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 9 ай бұрын
Hata ujitetee vipi? hata uwalee watoto peke yako vipi mwisho wa siku malezi ya mama yao ndio furaha yao acha upumbavu
@rahmaidd8818
@rahmaidd8818 9 ай бұрын
We NDO mpumbavu
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 9 ай бұрын
@@rahmaidd8818 Mpumbavu ni mama yako mzazi fala wewe, nimemwambia baba levo sio wewe kilandage
@happynkya9770
@happynkya9770 9 ай бұрын
hao ndo wanaume bhna,,, hapo inabidi tu wanawake tuwe kama kuku mtetea hawana wivu jogoo anapanda mtetea mbele ya mtetea mwingine ambaye amempanda mda siyo mrefu na wala huyomtetea mwingine hajaliwala nn
@florenceelikana3040
@florenceelikana3040 9 ай бұрын
Hahahaha umewazaa
@buberwazimbeiya7406
@buberwazimbeiya7406 9 ай бұрын
Umenichekesha sana😂😂😂😂
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 12 МЛН
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 16 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1
41:27
YahStoneTown
Рет қаралды 477 М.
WAWILI WATIWA MBARONI KWA MAUAJI SINGIDA.
4:47
CALES TV
Рет қаралды 2,7 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /50/ #love
23:19
BabaJoan
Рет қаралды 184 М.
KILICHOMPONZA YONA KUMEZWA NA SAMAKI : THE STORY BOOK
29:26
Wasafi Media
Рет қаралды 504 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20