Safi Afande kazi nzuri ss tunataka amani tu ya inchi Mama yupo na anapambana SAMIA SULUHU HASSAN Amir jeshi mkuu
@MaajidabdillahАй бұрын
Kwa Tanzania wapinzani hawana maandamano halali eti labda waandamane ccm ndio yatakua halali ila yupo hakimu muadilifu
@LOLISO_MPАй бұрын
Mungu yupo
@aminahkhuzwayo-iv1wlАй бұрын
Aman Kwanza
@RamadhaniKitala-gx6wcАй бұрын
Kwani wakat wakat mnawakamata walikuwa wanafanya fujo
@manilabonalumanula9210Ай бұрын
Katazo
@nikodemmwahangila3334Ай бұрын
Sukuma ndani
@LOLISO_MPАй бұрын
Tanzania ya wauwaji Tanzania isio na haki ila mungu yupo atawalipa Ishaallah endeleen na kututesa ila mjue sote tutakufa
@MohamedJuma-tp2hnАй бұрын
Safi sanaa,tunataka amani
@ChristianMkumbo-ix2keАй бұрын
Mkamateni samia diyo anaevunja sheriya
@mahadshekh398Ай бұрын
Unafikiri umejificha mpuuzi wewe.
@ChristianMkumbo-ix2keАй бұрын
Matusi ya nini
@ajsmainde5138Ай бұрын
kinyume na sheria, sheria gani hizo😅😅😅 mnakatwa.
@SameerMellАй бұрын
Tanzaia yetu ya peke yetu 😂
@AleiHadji-js3edАй бұрын
Nyerere Alitufanya tuwe Wazalendo na Tusiaminiane pia tuwe kigeugeu ndio Leo utaandaa mpango Ovu unabakia peke Yako ???😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ismu3881Ай бұрын
😂😂kelele nying halaf watu hawajaenda watu wanafiki sana
@bujashidaniel5537Ай бұрын
Maandamano ya Amani sio mpango ovu ,, kasome vzur Katiba ya jamuhur ya Muungano wa Tanzania ‘
@nicelemoTripleFiveАй бұрын
Majibu ya Serikali yawe ni kuonesha jitihada za kuwakamata na kuwawajibisha wahalifu ndani ya vyombo vya Dola wanaoteka watu na sio kukataza maandamano yanayolenga kushinikiza hatua hizo muhimu zifanyike kudai haki. Tukosoe penye udhaifu jamani
@dikakimishawasumbwahalisit7596Ай бұрын
Mimi niko juu ya mtii naangalia tu steering akufa au jambazi
@raibethnicholaus1493Ай бұрын
Ukivaa viatu vya wahanga utajua namna gan inaumiza achen utemi kwa haki za watu
Hv ww muliro una elim gani ya sheria au mnaongeaga tu kama mnaota kama kuna viaxhiria vya uvunjifu wa aman dunian pote kama kuna uvunjifu wa aman wanakatama wanaovunja sheria na wengne kuendelea na shuhul zao za kisheria mnafanyaga kaz kijinga sana na kwa mazoea yan makin anajua kabsa kichwani kwenu hakuna kitu hzo nafas cjui mnazipewaje
@LOLISO_MPАй бұрын
Tanzania ya wauwaji Tanzania isio na haki ila mungu yupo atawalipa Ishaallah endeleen na kututesa ila mjue sote tutakufa