Serikali iwe makini , Wekeni alama zinazoonekana Mabarozi wa maeneo husika waelimishwe wayajue hapo hakuna ardhi itakayovamiwa.
@kilimanjarotv25522 сағат бұрын
njia ya dodoma kukua kidunia kwa kasi ni kuitangaza kwa nguvu iwe bize kila kona ya dunia tengeni bajeti ya matangazo kitengo cha ufanisi mama aongeze hakuna tz hicho kitengo cha ufanisi na teknolojia na sayansi na ugunduzi jifunzeni kwa wenzenu dubai imekua kwa matangazo na plan za baadae
@kilimanjarotv25522 сағат бұрын
ongezeni nguvu kwenye kilimo na viwanda kiwanja kiwe bize kusafirisha bizaa tangazeni fursa za uwekeaji duniani kama mlivyo tangaza bandari duniani alafu pia accaunt za serikali ni nyingi tengenezeni matangazo spons kwenye youtube wawekezaji waone dunia nzima iko kwenye mtandao siku hizi
@kilimanjarotv25522 сағат бұрын
majengo mengi unayaona DUBAI QATAR ABU DHABI N,K mengi watu hawakai sana wamejenga kwa mpango wa baadae kuondoa ujengaji holela ila wamezingatia kwanza barabara maji na umeme vikae kwenye mfumo mtu akitaka kujenga kila kitu kipo tayari ni anaoneshwa tu ramani umependa wapi
@victorjames3730Күн бұрын
Kwanini umlipe fidia mtu aliyevamia eneo? Huyo ni kama mwizi