Рет қаралды 244
Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeipongeza Serikali ya awamu sita kupitia Wizara ya Ujenzi kwa muendelezo mzuri na kasi ya ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato na Barabara ya Mzunguko wa Nje Dodoma (Outer Ring Road).
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Selemani Kakoso wakati kamati hiyo ilipokagua maendeleo ya mradi huo.