For the very first time I'm agreeing with you 100% .
@patricknthiwa2627Ай бұрын
Amen,munishi asante Sana ukweli mtupu barikiwa sana
@warakawayohana28962 ай бұрын
Umefanya uchambuzi yakinifu ubarikiwe sana
@issujar.j.francis32202 ай бұрын
Ubarikiwe,
@SAVETHEGENERATIONFAUNDATION2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana
@felixmakinda76892 ай бұрын
Barikiwa mtumishi. Ndugu yangu mkubwa ni mchungaji. Juzi tulikuwa tunazungumza kuhusu maswala kama hayo. Aliniambia jinsi walivyoitwa kwenye mikutano kama hiyo. Alisusia. Inanikumbusha ule wimbo wako, "kuhubiri hiyo ni taaluma, dawa bora kuhubiri injili..." Tumemsahau Mungu, tukiongozwa na tamaa na umero. 🇰🇪
@johnkarani4572 ай бұрын
Ukweli mtumishi
@metroskenya2 ай бұрын
Very true
@braysonshehi5992 ай бұрын
Ni kweli kabisa Mtumishi hapo umefungua macho wengi sana, na kwa hali ilioko sasa itabidi watumishi kuelekeza waumini kwa hali inayofaa bila tamaa ya pesa
@apostlekyande31432 ай бұрын
hiyo ni sawasawa kabisa mtumishi
@AmisseMwenetombwe2 ай бұрын
Amen 🙏 from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@GisubizoTheddy-xg3mh2 ай бұрын
Umesema kweri
@Chr1962 ай бұрын
Kutoitii sauti ya Mungu
@yonamwakyusa2 ай бұрын
Umesema kweli Mtu Wa Bwama"Imeandikwa angalia ulipo anguka ukatubu"
@King_Of_Everything2 ай бұрын
👍👊✌️.
@GraceWilliam-d1w2 ай бұрын
Nisahihi kabisa munishi
@lordsiko2 ай бұрын
A good research brother.Read Ezekiel 9:4-7 . Shall soon be effected....,
@jacksonnyaga40212 ай бұрын
Kanisa lilipokaindi ujumbe wa Mungu kupitia nabii William Branham hapo ndipo shetani alichukua ushukani na kutawala makanisa hadi Leo hii.
@EmanuelMwashibanda2 ай бұрын
Sawa mnishi sema tupone
@OmmyJames-xn7ji2 ай бұрын
Kumfuata paulo😢
@DonMooFILMES_Express2 ай бұрын
Hivi huyu mzee ndio yule alivuma enzi za nyuma kwa kwaya zake?. Kuna kwaya moja naikumbuka kipande akiimba KUNA MAKANISA MENGINE YA AJABU, HATA SHETANI WANA MBARIKI... Kama ni huyu nimekumbuka mbali sana enzi hizo nipo Kigoma kwetu 😢
@mburujamburuja5482 ай бұрын
Ndio yeye.
@DonMooFILMES_Express2 ай бұрын
@@mburujamburuja548 daaah! Nimekumbuka mbali sana
@petermochengo86472 ай бұрын
maana shina moja la mabaya ya Kila namna ni kupenda fedha ambayo wengi haliwakiitamani hiyo wamefaeakana na imanina kujichoma kwa maumivu mengi 1Timotheo 6:10
@salvatorybakilana23782 ай бұрын
Shalom Baba Munishi , pole na majukumu , nashauri tuu Baba yangu si vyema kutaja majina ya watumishi wenzako kwenye clip zako kwasababu pamoja na kwamba kuna mengine wamevuruga yapo mema mengi wamefanya na Mungu hachaguagi vyombo vikamilifu, naamini hata wewe baba yapo ambayo kwa namna moja hukupatia lakin hakuna mtu anakuja kukusema huku
@thanksrjhood95082 ай бұрын
injili ya kweli, inaendana na kusema kweli. Paster Munishi anawafungua macho.
@salvatorybakilana23782 ай бұрын
@@thanksrjhood9508 kweli inayoletwa bila staha sio kweli inakuwa tuhuma au udhalilishaji
@Linet-d7j2 ай бұрын
Soma mathayo mtakatifu,,,24, yote iko na jibu, and the annoiting is with God and remember Jesus Christ promise to send Elijah to come and restore all things, and munishi why are you selling the blood of Jesus at market price if you sing to the Lord that's the sacrifice you offer to the Lord,why sell it where is the holy spirit to guide you and why does he not reviled that to you repent and go back to the old rugged cross of Jesus Christ