KANISA MSIDANGANYWE/HAO NI WAHUNI TU.(Askofu Ngonyani na Askofu Katunzi)

  Рет қаралды 3,178

Ngonyani Tv

Ngonyani Tv

Күн бұрын

Bishop Ngonyani is a Graduate of B.A in Bible & Theology- Africa, preceded by Theological Seminary Diploma in Bible & Theology- ESBC.
Curretly he is undertaking Master degree of Divinity at Global University.
With the vast knowledge and experience in Biblical studies, you are privileged to partake a part of the knowledge through this KZbin channel.
You are welcome.
Video Shooting - Paul Mpate
+255719513758
WhatsApp`.

Пікірлер: 14
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 2 жыл бұрын
Daaaaah Safi Sanaaa Watumishi, Darasa Ni Zuri Sanaaaaa.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Safi
@benardmuceru7569
@benardmuceru7569 3 жыл бұрын
nafurahia mafundisho mazuri, je kuna uhusiano wa 1the 4:16-17,Bwana mwenyewe ashuka,na sauti ya barangumu,tutanyakuliwa tutabadilishwa na Ufunuo 4:1,2 naona mlango mbinguni, sauti ya barangumu,panda huku,nilikuwa katika roho,mwalimu naomba kuelekezwa vizuri
@SeifumpeliMpeli
@SeifumpeliMpeli 4 ай бұрын
Mbona mnaongeza maneno neno kanisa umetoa wapi
@charlesamir550
@charlesamir550 3 жыл бұрын
Waadventista Wasabato ndiyo wenye tafsiri sahihi ya unabii wa Danieli na Ufunuo.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 жыл бұрын
Nilitamani sana hii crip ingesambaa Afrika na dunia nzima sijawahi kuona muubili mwenye IQ kama Huyu wahubili wengine janja Tu na kupotosha watu kila mara huwa narudia kumsikiliza hii crip nasasa korona haipo na walikua wanaongopea watu kuhusu korona cijui watawambia nini watu
@bibletv9818
@bibletv9818 3 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu aliye hai. Hiyo ndiyo aina ya injili tunayoihitaji.sasa kuna watumishi wa ajabu, wanatokwa mapovu bila pointi ila tu kulazimisha waaminiwe. Wanaangalia upepo unakoelekea kisha wanainamia huko. Mbarikiwe watumishi kwa elimu sahihi. By Melksedeck G. Kashaga.
@bibletv9818
@bibletv9818 3 жыл бұрын
Mwuliza maswali mwerevu, mjibu maswali mwerevu, huu ndio uzuri wa elimu, siyo matumizi ya misuli na mapovu kama ya akina sijui Mbarikiwa, sijui nani. Asanteni watumishi.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Kabisa
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 2 жыл бұрын
AAAAAAH Lakini Corona Imetikisa Mpaka Shule Na Vyuo Kufungwa Ulimwengu Mzima🤣🤣🤣🤣
@kingment9220
@kingment9220 2 жыл бұрын
Hakunamo mchungaji humo utopolo
Bishop Ngonyani_Ukweli wa mambo kuhusu mfalme Daudi.
25:53
Ngonyani Tv
Рет қаралды 1,5 М.
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Trump Azuia MISAADA Tanzania, Je TUTAKUFA Lini? Tazama Video Hii
4:17
Habari na Uchambuzi
Рет қаралды 14 М.
MASWALI YA MUHIMU KWENYE MAISHA | ASKOFU GWAJIMA
10:22
Antary Muddy Rwegoshora
Рет қаралды 2 М.
5 Ways to Handle People Who  Don't Respect You | STOIC PHILOSOPHY
29:24
James The Stoic
Рет қаралды 1,4 МЛН
SOMO : VIPINDI SABA VYA KANISA { SEHEMU - 1 } BY FJ KATUNZI
56:52
MARANATHA ONLINE TV.
Рет қаралды 9 М.
Sauli amuozesha mwanae kwa mahali ya govi za wafilisti.
25:10
MUNGU ATAWAONDOA WATESI WAKO - ( EXODUS 2:15 )
Mwangaza TV Kenya
Рет қаралды 322
Bishop Ngonyani_Taifa la Israel
36:35
Ngonyani Tv
Рет қаралды 1,8 М.
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН