Huba Leo Ijumaa Usiku 25-10-2024

  Рет қаралды 23,742

KASKAZINI - Tv

KASKAZINI - Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 162
@mamalaozphilemonmtawali.8467
@mamalaozphilemonmtawali.8467 5 сағат бұрын
Wagapi tunafurahia penzi la Tima Devi🙋‍♀️tujuane.
@RoseSulle
@RoseSulle 5 сағат бұрын
❤😅🎉
@lilianwagurali5804
@lilianwagurali5804 5 сағат бұрын
Mie nafurahia sana❤😍
@barnabasmarsel3876
@barnabasmarsel3876 5 сағат бұрын
Lakin tima hachelewi kumbadilikia mtuu 😂😂
@AnithaNahimana
@AnithaNahimana 5 сағат бұрын
Mim hapa napenda sanaa❤🎉
@Benti-f3o
@Benti-f3o 5 сағат бұрын
Nafrahia sana ila tima puguza hasira 😂😂😂
@isabellahchaks4155
@isabellahchaks4155 5 сағат бұрын
Wacha Tima wangu aenjoy , enjoy mama umeteseka sanaa
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 4 сағат бұрын
Nelly unapitia magumu kweli,pole yako
@LyidiaRupia
@LyidiaRupia 2 сағат бұрын
Yan kanifa nilie asee
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 5 сағат бұрын
Couple ya Tima n'a Devi wanapendezana sana❤❤
@Arafa-dt9sh
@Arafa-dt9sh 5 сағат бұрын
Maskini nelly pole sana dah! Nimemkumbuka fey alivokuambia kuwa abby sio mume yameangukia wapi hana hata chembe ya huruma hongera tima n devi yaan hadi mm nna furaha❤❤❤❤❤❤❤
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 4 сағат бұрын
Na ni mama kuja sasa alafu ndo kinaanza kumramba atamkumbuka mdogo wake
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 4 сағат бұрын
Mama kijacho sasa nelly namuhurumia
@MiriamTiloli-tb5xx
@MiriamTiloli-tb5xx 5 сағат бұрын
Izo like mnaombaga zann jmn mbona mimi sijawai pata
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 2 сағат бұрын
Mungu asante kwa ajili ya penzi la tima na devi number one❤❤❤
@Esher-rq7zx
@Esher-rq7zx 3 сағат бұрын
Kusema kweli tima na dev nawapenda ❤❤
@DorcusMulokozi
@DorcusMulokozi 5 сағат бұрын
Kunawatu walisema hawaangalii tena huba na wako hapa tuwachinje kabla ya mwaka mpya😂😂😂
@Mwanamvua-ze5ls
@Mwanamvua-ze5ls 5 сағат бұрын
😅😅😅😅 wataangalia nn t
@HawaHassani-i3z
@HawaHassani-i3z 5 сағат бұрын
Kwa ajiri ya time na dv
@DianeUzomushaka
@DianeUzomushaka Сағат бұрын
Kabisaaaaaaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AnethJoseph-x6t
@AnethJoseph-x6t 5 сағат бұрын
Wa tatu kivuruge kama judde nipo hapa msinikanyage😂😂😂❤
@شاميمشاميم-ر9ت
@شاميمشاميم-ر9ت 5 сағат бұрын
Devi na tima mi nawaombea mapenzi yenu yazidi kunawiri nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤
@haluarahma3071
@haluarahma3071 4 сағат бұрын
Tima maya kula bata kwa furaha devi naye anaejoy❤❤❤
@bettymuks7072
@bettymuks7072 5 сағат бұрын
Aah Nelly wangu anateseka Jamani 😢Tima and Dev ❤
@hutahuta1170
@hutahuta1170 5 сағат бұрын
Masikini neli kumbe abi hakupendi alipenda pesa
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 4 сағат бұрын
Tokea mwanzo
@maryamudunga1094
@maryamudunga1094 3 сағат бұрын
Na yy hakusikia
@dorisgideon38
@dorisgideon38 5 сағат бұрын
Na mimi leo nimewah nipewe like bhas
@wangagirl3508
@wangagirl3508 3 сағат бұрын
Nyumba ya jb na kizazi chake wanateseka sanaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hiyo ndio shida ya mali za kiganga mwishoe na mbaya sanaa heri wa mungu too tuwe na subra
@UwimanaLiah
@UwimanaLiah 6 сағат бұрын
Kumbee miee wakwanzaaa
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 5 сағат бұрын
Nelly ulikanywa na dadako lakini hukuskia sasa ndoa hiyo imekuwa kitunguu kukutoa machozi
@Mutako-ig1ik
@Mutako-ig1ik 5 сағат бұрын
Ndio mapenzi ya Mataperi Nely sema hukujua maniki ya Mungu pole
@JladyKadzo
@JladyKadzo 4 сағат бұрын
Tima na dev 🎉🎉🎉🎉maua yenu jamani my favorite 😍 couple in huba❤❤❤
@fatmaalghafri6087
@fatmaalghafri6087 5 сағат бұрын
Maskini Nelly Hapaswi kuteseka hivi 😢
@BanglaDesh-i7w
@BanglaDesh-i7w 5 сағат бұрын
Yeyw ndio alilazimisha mapenzi kwa Abby lakini alikua yuapenda dadake fei
@SarahBitwale-pv8ep
@SarahBitwale-pv8ep Сағат бұрын
Anapswa kwa sababu hakusikia toka mwanzo
@DorcusMulokozi
@DorcusMulokozi 5 сағат бұрын
Sijui ni mm kwakuwa nipo single penzi la tima na dev halijaninogea limepwaya😂😂😂
@SaumuOmar-y3l
@SaumuOmar-y3l 5 сағат бұрын
Jmn kumbe papa uko kwa huba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@safiakhamiss756
@safiakhamiss756 5 сағат бұрын
Watt waafumbili hawaielewi huba wanaelewa jua kali ya kudanga ya kimaria
@HappyHappy-i4p
@HappyHappy-i4p 4 сағат бұрын
Weeee ugomvi huo😂
@safinaijumaa8109
@safinaijumaa8109 4 сағат бұрын
Abby ata hcho kingrez haskii jmn ama kwel daaah😢 nelly me najifunz san🙌
@aishabakari8040
@aishabakari8040 3 сағат бұрын
Ndoa ndivo ilivo mwaya naichukia kama nn 😢
@Aisha-k2o
@Aisha-k2o 2 сағат бұрын
Abiy wewe nimuuwaji afadhali deviy ana utu
@MutoniCherissa-wl1ue
@MutoniCherissa-wl1ue 3 сағат бұрын
Nampendaga Nicol saana kwakweli 😂😂😂
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 3 сағат бұрын
Dev uwe na msimamo basi alafu tunatamani kuona familiya ya tima na devi wakiwa pamoja jamani kish na kaka yake
@WetchiKhams
@WetchiKhams 5 сағат бұрын
Mbarikiwe🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@TeddieJohn-lm5co
@TeddieJohn-lm5co 4 сағат бұрын
Maskini Nelly🥹 hajawahi kupata furaha ya kudumu kwenye mahusiano mpaka huruma 😢
@belitadaudibery-bb9zq
@belitadaudibery-bb9zq 4 сағат бұрын
Tuko wengi 😂😂😂😂😂
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 5 сағат бұрын
Mm naona kwa hapa tena huba ikaribiie kwisha
@AaaAaa-s7e
@AaaAaa-s7e 3 сағат бұрын
Pole nelly wangu
@hyasintamalisa
@hyasintamalisa 3 сағат бұрын
Tima anaboa sana kwanza aliolewa na jina Kisha hapa anajifanya tuu. Kisha kwa sasa tunaweza kusema kesha olewa na wanaume 4 si.........
@RahmaSuleiman-j8g
@RahmaSuleiman-j8g 5 сағат бұрын
Mimi wa pili nipeni lak zenuu
@ELIZABETHNNKO-e6j
@ELIZABETHNNKO-e6j 5 сағат бұрын
Maskiniiiiii nimemwonea Nelly huruma
@jacklinefatma6263
@jacklinefatma6263 2 сағат бұрын
Abby nelly mbona unafuatafuata mwenzio kama malaika wa roho😅😅😅😅
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 4 сағат бұрын
MI SIPEPESI MACHO,,,MAJINA MAKUBWA STORI MBOVU,,TUNAANGALIA MAZOEA TU
@SubaraSubra
@SubaraSubra 5 сағат бұрын
Devi na tima ongereni tunawapenda sana penzi lenu from 🇷🇼
@marryofficial9143
@marryofficial9143 5 сағат бұрын
Dj huna bayaaa yaan mpka rahaaa ila abby hana utuu kbs kwakuw mkwe pesa za majini na ndoa tenaa inakufa jmn khaaa😢 nelly polee sana maskini
@DativaWilison
@DativaWilison 5 сағат бұрын
Jaman papaa kwenye huba tena
@AshaNzara
@AshaNzara 3 сағат бұрын
Papa kumbe wapatikana huba pia😂😂😂🎉🎉❤❤
@Zahra-i5h6k
@Zahra-i5h6k 5 сағат бұрын
❤❤❤
@zuwenahasanimohamed7332
@zuwenahasanimohamed7332 3 сағат бұрын
Kwaiyo monica akaondoka na ela za tesa😢
@SalinaSherono
@SalinaSherono 3 сағат бұрын
Jamani papa amefika hapa tena kutoka house girl
@safinaijumaa8109
@safinaijumaa8109 4 сағат бұрын
Daaah pole nelly mamaa Najifunz meng kwa hii huba😢
@Awlo-g6d
@Awlo-g6d 4 сағат бұрын
Nileteen ❤❤❤ yakub na monika❤❤❤❤
@AsilaA-s7m
@AsilaA-s7m 4 сағат бұрын
Huyu chidy au alibakwa kule jeila😢😢haeleweki nahizi ndoto zake plush hasira kilo 200 mmh kun kitu.
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 3 сағат бұрын
Nelly pol sana unapitia wakati mugumu ila kipindi ca tima na devis na enjoy sana
@GloryKavishe-of1mr
@GloryKavishe-of1mr 5 сағат бұрын
Mkiwahi hua mnapewa nn
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 5 сағат бұрын
Wiki nyuma alikuwa kibibi na tesa😂😂😂😂😂 sasa hivi tesa na Nicole ila sio kwa majibu hayo 😂😂😂wanikosha
@aminaabubakare1973
@aminaabubakare1973 15 минут бұрын
Oh poor Nelly urizani umepata kuumbe umepatikana
@ShahiraKduli
@ShahiraKduli 6 сағат бұрын
Me wa pili ten gulf like hap
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 5 сағат бұрын
🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲❤
@MonicaMlowe-dr3yo
@MonicaMlowe-dr3yo 2 сағат бұрын
Masikini Nelly wanaume ni watu wabaya sana 😭😭😭
@wangagirl3508
@wangagirl3508 3 сағат бұрын
Majamaa wamenda kuishiii ploti moja hatari 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@IreneErasto-w9e
@IreneErasto-w9e 3 сағат бұрын
Pole nelly uliambiwa lakini jaman hadi huruma 😢😢
@Dayotz
@Dayotz 5 сағат бұрын
Tuache kudharau watu kisa maisha yko ymenyok yakikunyokea na ww mhu
@AnithaNahimana
@AnithaNahimana 5 сағат бұрын
Pore san nelliy..iyo sio ndoa kabid chidi kaw nin tena jamani..pore
@Asha-t5o
@Asha-t5o 3 сағат бұрын
Nelly. Pole. Uliingia. Pasipo stahili
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 3 сағат бұрын
Nely pole sana kwa yote 😢😢😢
@ROBINSONDAVID-n7n
@ROBINSONDAVID-n7n 4 сағат бұрын
NICOLE,,the bosslady
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 3 сағат бұрын
We papa si unadaiwa na cendy kule umefikaje uku 😂😂😂😂😂😂
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 4 сағат бұрын
Kwann happy asimtimue tu
@rachaelmapenzi8747
@rachaelmapenzi8747 4 сағат бұрын
Mnasinyaa
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 5 сағат бұрын
Mmmhhh Nelly pole ila na ww upo nyumban c upikee unasbr mtu aletee chakula kweli na upo nyumban
@jacklinezombo5806
@jacklinezombo5806 4 сағат бұрын
Tima na dev wanabambaa ❤❤❤❤❤❤
@PrincessRene-k3e
@PrincessRene-k3e 5 сағат бұрын
Maskin nely hajawah kupat mtu anaempnda kweli
@SharifaMombo-eh2bg
@SharifaMombo-eh2bg 5 сағат бұрын
Wangapi wamemuona papa
@JescaYusuph-m4y
@JescaYusuph-m4y 4 сағат бұрын
Papa tapeli wa pesa zacandy 😂😂😂😂
@manirambonajeanne3876
@manirambonajeanne3876 4 сағат бұрын
Mimi papa hata simupendi hanamuvuto wakuigiza simupendi
@DavidSafari-k4x
@DavidSafari-k4x 3 сағат бұрын
Papa jambazi lacandy yuko huku pia Acha atapeli mapenzi ya watu
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie 5 сағат бұрын
Dj 🎉🎉🎉❤❤
@FedhaLuhunde
@FedhaLuhunde 4 сағат бұрын
ivi jiya anaitoa nani uku KZbin jmn🙏🙏🙏🙏natft sipati
@dorcasmueni2290
@dorcasmueni2290 5 сағат бұрын
Tima!! Davi nto mnaendana😃😃sio yule kitumbo jb
@VandezKalesh-i2x
@VandezKalesh-i2x 5 сағат бұрын
Aki mapenzi ww"dev na tima mnaweza"
@JenifferPatrick-u4m
@JenifferPatrick-u4m 5 сағат бұрын
Pole xana Nelly yatapita 2
@BanglaDesh-i7w
@BanglaDesh-i7w 5 сағат бұрын
Nelly aliyatak mwenyewe alikatazwa mara ngapi kuhusu abbi
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 4 сағат бұрын
Nelly na kimimba chako utakoma sasa ndo utamkumbuka fay alichokuwa anakwambia
@SharifaMombo-eh2bg
@SharifaMombo-eh2bg 5 сағат бұрын
Hiki kipindi kimeweka kila mtu kwa nafasi yake it's time for Nandi to come back 😮😮
@epiphanywilson6466
@epiphanywilson6466 4 сағат бұрын
WATU WA HUBA KUWENI NA SUBRA KILA MTU ATAMILIKI HII BAR
@khaymaapink8966
@khaymaapink8966 4 сағат бұрын
😂
@dorcasmathew-z1z
@dorcasmathew-z1z 5 сағат бұрын
Duuuh papaa samia huku tena anafanyaje kashamtapeli candy huko kahamia huba
@NifashaRomy
@NifashaRomy 5 сағат бұрын
Aby hajawah mpenda nely jomn 😢
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 3 сағат бұрын
Nelly h😂😂😂😂kitakulamba umezidi gubu manung'uniko leo yamekukuta Haha Ha
@hamzarobert2372
@hamzarobert2372 3 сағат бұрын
Tima na devi nawapenda
@Wafula-d1z
@Wafula-d1z 3 сағат бұрын
Happy wewe si mkei means mkenya 😂😂
@NifashaRomy
@NifashaRomy 5 сағат бұрын
oooh mimba ishamkataa baba chanJAA
@GeorgeCharo-b3k
@GeorgeCharo-b3k 3 сағат бұрын
Huyuu chidi kiboko yake ni kibibi😂😂😂😂
@barbiemdoo6598
@barbiemdoo6598 4 сағат бұрын
Yakubu na monika itakuwa walikimbia na ela za tesa
@RoseMutheu-w2n
@RoseMutheu-w2n 3 сағат бұрын
😂😂😂😂
@DinahNish-bm9sr
@DinahNish-bm9sr 5 сағат бұрын
Ni siku sijaangalia huba hivi happy na chidy imekuaje wawe pamoja😅😅
@LovenessMwetha-ou7tq
@LovenessMwetha-ou7tq 4 сағат бұрын
Oh nelly Fey alikwambiaaa Abby si mtu mzur
@TAMTHILIA-g5j
@TAMTHILIA-g5j 4 сағат бұрын
TAZAMA TAMTHILIA YA MZANI WA MAPENZI YA LEO IJUMAA kzbin.info/www/bejne/i5y7kqGrqqh5i7M
@SalmaNguzo-h6h
@SalmaNguzo-h6h 5 сағат бұрын
Huba mnayumba tamthilia inaanza au inaisha
@salmasalmarian504
@salmasalmarian504 2 сағат бұрын
Huba Kila m2 maisha imemchapa 🤣🤣🤣🤣
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 4 сағат бұрын
abby mbona waanza kumtesa mrangi rangi wako jmn
@HappyChona
@HappyChona 4 сағат бұрын
Papa wa busati
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 5 сағат бұрын
😂😂😂 nelly vingerez vingiii asubir bollywood akiitwa
@VandezKalesh-i2x
@VandezKalesh-i2x 5 сағат бұрын
Akiamungu nelly akabeba mimba ya abby aki kitamramba
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 5 сағат бұрын
Papaa kwenye huba tena
@Asma-i1t2b
@Asma-i1t2b 4 сағат бұрын
Masikini nelly pole sana yani nkama najion 😢
@karamamohamed-q8b
@karamamohamed-q8b 5 сағат бұрын
Good 👍 no 5
@SalamaA-x6k
@SalamaA-x6k 5 сағат бұрын
Tima na Devi nawa penda sana❤❤❤
@NyamizSamwel
@NyamizSamwel 5 сағат бұрын
❤❤❤❤
@slokidog
@slokidog 5 сағат бұрын
nimewayi leo gonga link apa
@McT-m1m
@McT-m1m 4 сағат бұрын
Papa umefika huku
@HappyHappy-i4p
@HappyHappy-i4p 4 сағат бұрын
Papa wa house girl 😂 alaa
@sanetag2173
@sanetag2173 5 сағат бұрын
Nelly Kisha Femi alikwambia haya yakumbali matokeo
@TatuMringo
@TatuMringo 4 сағат бұрын
Uyu chidi uko alipotoka kakutana na p did nn
Jua Kali Leo Ijumaai Usiku 25-10-2024
20:12
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 48 М.
VITUKO VYA KWENYE DALADALA ( DAY2)
11:30
Steve Mweusi
Рет қаралды 37 М.
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 11 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 30 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 49 МЛН
DUNIA (Ep 12)
22:49
ASMA FILMS
Рет қаралды 80 М.
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 78 М.
THE MAGIC (Mazingaombwe ) EP 26 MKOJANI - SAMOFI - TIN WHITE
18:50
MKOJANI GANG
Рет қаралды 18 М.
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:59:36
JUA KALI LEO IJUMAA USIKU 25/10/2024 | Full Epsode HD
19:46
Mr Exclusive Tv
Рет қаралды 1,1 М.
BABA YANGU KIPOFU Full  episode /53/ #love
20:30
BabaJoan
Рет қаралды 149 М.
I LOVE MY TEACHER | 1 |
18:16
CLAM VEVO
Рет қаралды 447 М.
Surah Mulk - سورة الملك Recitation For Inner Peace & Restfulness | NOOR
3:53:10
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 11 МЛН