Tangu nianze kuangalia hii cjawah kupata like naombeni like jomoniii nawapenda❤❤
@AyshaAlly-p1v3 ай бұрын
Kwan like zinafaida gani Dada
@AsanteMsafiri-v7h3 ай бұрын
Sio kosa lake fupisha jina lake ni pididy
@AmigoDrummer3 ай бұрын
❤
@AmigoDrummer3 ай бұрын
🎉
@عمرانالحجري3 ай бұрын
Sema kisosej anakakichuguu kwa nyuma
@EspoirBudade-on9ef3 ай бұрын
Umekaona kumbe nawewe😂😂😂
@manenoramadhan14323 ай бұрын
😂😂😂
@ZaheerShaibu3 ай бұрын
Nilijua nimeona mimi tuh
@FredyRuvugo3 ай бұрын
hatari
@mohammedkidody56183 ай бұрын
😂😂😂
@spesiozabisansaba64243 ай бұрын
Kumbe kisoseji ni mzuri hivi🥰🥰🥰
@GabrielSky643 ай бұрын
Allo.acha tu😅
@salumthiago64433 ай бұрын
Wacha tamaa kijana
@williammatano40713 ай бұрын
Kumbe siko pekeangu
@mohammedkidody56183 ай бұрын
😂😂😂
@mindicarrashid31313 ай бұрын
Sijaona alie king, wote wakali kupita maelezo
@AngelKibasa3 ай бұрын
Woow wakwanza mie leo time mkojani piga keleleeeeee
@danielaugustino7053 ай бұрын
Wanaombaa like wotee p Diddy anawasubili utapataa hadi like million 100....😅😅😅😅😂😂😂
@jamalishabani2053 ай бұрын
Kazi nzuri trm
@isackmollel39963 ай бұрын
Twende kazi
@TAJIRI0013 ай бұрын
Big uo kwa team yote. Kazi safi munafanya. Nawapenda sana.
@alhimnamussasaid36193 ай бұрын
BUSHURA USILIE WEWE NI MZURI SANA UJUE ❤❤🎉🎉🎉 MTOTO ZIWA KONZI UNANIMALIZA WALLAHI
@MusaNasib-s3zАй бұрын
🎉🎉🎉
@FinishiBanda3 ай бұрын
Frist me
@KoreanDramaMoviesKiswahili3 ай бұрын
❤❤❤
@AmigoDrummer3 ай бұрын
Amigoo😂😂
@zaidtale68833 ай бұрын
kisoseji ameamua kutuonyesha makalio live bila chenga
@AlmasHussein-d8m3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@alitante42793 ай бұрын
Utoto umezd huyo chandimu
@JimmyJoshua-bk1wy3 ай бұрын
Wakwanza from Kenya 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿
@Kitufeactorfilm3 ай бұрын
Tunasasapoty San Kaz zenu ila mbn zakwetu amsapoty jamn najuwa hii Kaz ni mzuri San ila
@MustaphaJafary18 күн бұрын
Wanajuwa sana jamaa aoo..
@AlexKasena-d9p3 ай бұрын
Chandimu hayuko serious kabisa😅😅
@anwarKhan-gn6yt3 ай бұрын
Mke wa samofi amekosea kidogo alipokuwa anamuambia huyo Shakira kuhusu chupa,amesema amehangaika Sana kutafuta chupa maana anajua mumewe Kuna kitu amefanya. Sasa hapo kwa sisi wataalamu amekosea kusema neno chupa ilhali alitakiwa ampe historia kidogo Shakira kuhusu chupa,
@ibrahimsalim83683 ай бұрын
Historia gani ambayo shakira haijui na wanaishi nyumba moja vituko vyote yuwaviona na kuvijua
@AhmedyMahmudu3 ай бұрын
Kwani siku wana sherehekea kuhusu chupa hukumuona kisoseji?
@japhary-cf6cw3 ай бұрын
Kwahiy umeshamwag .Me ndio nimeshamwag
@TALLUBOY3 ай бұрын
Chandim HEYO LIZER MIX KILLER HABAAAAA!
@EvansLangat-l6h3 ай бұрын
Mambo ndio hii sasa❤❤❤
@Lusso323 ай бұрын
Kazi nzur mkojan gang
@GabrielSky643 ай бұрын
😂😂😂 chandimu unajua kuzuga zuchu tena
@MohdMohd-w4c3 ай бұрын
Bushura me nakukubali kwa kweli
@KidogeDolie3 ай бұрын
Nimechelewa jamani jana tulikuwa tumefungiwa network ichi zima
@vicentmapunda31463 ай бұрын
Mtu analia na machoz hayatoki... nacheka mimi😅😅😅😅
@SwedJunior3 ай бұрын
Wakwanza leo😅
@MjukuuWasemsei3 ай бұрын
Kumbe kisoseji Yuko vizuri Dera linaficha vingi
@AsanteMsafiri-v7h3 ай бұрын
Umalaya tuu unakusumbua
@AgnesJohn-f1r3 ай бұрын
@@AsanteMsafiri-v7h😂😂 kwa hiyo asimsifie jamani
@mohammedkidody56183 ай бұрын
😂😂😂
@HassanSeify3 ай бұрын
Usijiite mtoto wa kitanga mwanaume wewe
@SalumKiroba3 ай бұрын
Kaz nzur mkojan ila Kuna pengo hum tutaftie mganga mwakatobe
@omaryndambaye14393 ай бұрын
kama kawaida yangu kwenye moja na mbili nashikilia mimi namba 1 sasa ninyimeni like zenu na leo
@MgonjaFide3 ай бұрын
Kwani hii movie niyakwako tukupe like
@HusnaSalum-p1q3 ай бұрын
Chandimu akili zake kweli ndimu 😂😂
@YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on3 ай бұрын
Ah Kumbe Kisoseji anapendeza sana😅😅😅😂🎉🙏🙏🇹🇿
@StevenWilbert-f8x3 ай бұрын
Mnachelewesha sana bhana😢
@rashidjuma13383 ай бұрын
❤🎉🎉🎉😅
@dennisevarist3 ай бұрын
Kumbe kisoseji naye yumo bhana
@MustaphaSwai3 ай бұрын
Kali sana
@milajmsolima3 ай бұрын
ila uyo mlizi ananifurahisha kweli
@vicentmapunda31463 ай бұрын
Ila bongo bna!mtu anajiliza hata machozi hyatoki😅😅😅😅😅
@ObediKashililika3 ай бұрын
Kipo kwa mbali
@jonesdegrandson92613 ай бұрын
Ila chandimu mpuuzi kwelikweli😂😂😂
@SalumKobero3 ай бұрын
Nasubir likes zang😂
@MohammedAli-g9q2 ай бұрын
Nasubiri likes 👍🏻 zangu Jamani 😊
@AmadDialloy3 ай бұрын
Alfu next mutuletea mapema jamani twaombaa mbona Kali
@hamisnchumilar51153 ай бұрын
Scene za huyu mlinzi hazieleweki skuiz sjui shida sauti
@aboubakaraliy27483 ай бұрын
Wazee muko faster second chache mumefika
@TheDonn0073 ай бұрын
Kisoseji Ana traakoooo haloooooo😂
@HasnaSunga22 күн бұрын
Chandimu kma whozu
@ahmedhamid19083 ай бұрын
Wakwanza
@elizabethmahenzo72203 ай бұрын
❤❤❤❤🎉
@matoboy28203 ай бұрын
Ubay ubwel
@abdallahdullah73783 ай бұрын
wapili naombeni like zenu
@mussa-jn6pt3 ай бұрын
1
@damashenry65063 ай бұрын
Shedafa
@benOfficial363 ай бұрын
😂😂😂
@ibrahrapper66063 ай бұрын
Chaandimu uwe unaongeaa. Kawaidaa bhn😊
@mohamedijelejeza3 ай бұрын
nice
@amerially87153 ай бұрын
Huna by
@MwinyiSalum-e3x3 ай бұрын
Sehemu ya 27 iPo wap
@GiftMbena2 ай бұрын
Jamani naombeni like zenu
@Boniphaceshayo53 ай бұрын
Wale wa arusha manyara dodoma na singida likes zenu jamani 🎉
@EmmanuelMunyororo3 ай бұрын
Famonga ni nduguyake na kamugisha mbona wanafanana?
@alhimnamussasaid36193 ай бұрын
Kweli damu nzito kuliko maji, bushura anaumia kwa mjomb wake japopkua alipitia maumivu na mateso makali
@AzizaJuma-p7x3 ай бұрын
Kabisaaa yaani
@FaridaMwasenga3 ай бұрын
Umeona
@amosdaudi5153 ай бұрын
🫡🫡🫡🫡
@DinhowayneDinhowayne3 ай бұрын
Sikilizeni nyie, mbona munakuwa wachenzi? Kwani hata mukipewa like munafaidika na nini? Kwani hii filamu ni ya kwenu ama ni nyie munaeshutiwa? Musiwe wapambavu wa kuomba like kila wakati kama ni nyie munaeigiza!!!😮😮