Jua Kali Leo Alhamisi Usiku 24-10-2024

  Рет қаралды 42,217

KASKAZINI - Tv

KASKAZINI - Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 777
@WetchiKhams
@WetchiKhams 4 сағат бұрын
Ninakuombea wewe ambae unapitia magumu ambayo ni Siri ya moyo wako Yale ambayo uwezi kumsimulia mtu MUNGU ASIKIYE KILIYO CHAKO 😢😢🙏🙏
@qweeniepoul7842
@qweeniepoul7842 4 сағат бұрын
Be blessed
@bilalsasya604
@bilalsasya604 4 сағат бұрын
Amiiin
@farijimligo1394
@farijimligo1394 4 сағат бұрын
ubarikiwe pia wee pamoja na kizazi chako baraka zikawe juu yenu utokapo na uingiapo 🙏
@user-ju9mi1ft4v
@user-ju9mi1ft4v 3 сағат бұрын
Amiin
@EroniaEfraimu
@EroniaEfraimu 3 сағат бұрын
Asante kwa kutukumbuka 🙏
@mamaikram7573
@mamaikram7573 4 сағат бұрын
mwenyezi mungu atupe mwisho mwema insha allah
@mwanashachikoko3333
@mwanashachikoko3333 3 сағат бұрын
Allahumma amiin 🤲
@user-ju9mi1ft4v
@user-ju9mi1ft4v 3 сағат бұрын
Amiin yabb Amiin
@UwamahoroSumaya-ul2zv
@UwamahoroSumaya-ul2zv 3 сағат бұрын
Amiina 🤲❤️
@Nuru-e1w
@Nuru-e1w 3 сағат бұрын
Amiin inshaallah
@familylove5417
@familylove5417 3 сағат бұрын
Ameen
@mohammedabdala7526
@mohammedabdala7526 3 сағат бұрын
Kumbe watu washagundua kuombeana dua ndio njia yakupata like ok Ahsanten kwa dua vipenzi
@RizikiMwasa
@RizikiMwasa 3 сағат бұрын
Umeona ehe sema bola hawa kuliko wanao omba like
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww 3 сағат бұрын
😂😂😂😂saii wamekuja kwa style hiyo hawaombi like direct 😅😅
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 2 сағат бұрын
Asa sibora kutoa like kwa dua kuliko mm wa kwanza
@elvira9325
@elvira9325 2 сағат бұрын
Hatari
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 2 сағат бұрын
Tena hero Hawa kuliko hao WA mm WA kwanza nipeni likes
@hamiardangote8
@hamiardangote8 3 сағат бұрын
Mungu awabariki wanawawake wote wanaogupenda wanaume tusio na pesa
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 2 сағат бұрын
Amen
@itsrosettesevenn8965
@itsrosettesevenn8965 2 сағат бұрын
Amen
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 Сағат бұрын
Amen
@GraceElimanuely
@GraceElimanuely 3 сағат бұрын
Yani me naangalia juakali kwajili ya ana na device na juma na Eva jamn wananifrahisha sana Kaz nzuri sana jamn
@UwamahoroSumaya-ul2zv
@UwamahoroSumaya-ul2zv 3 сағат бұрын
Nimependa vibe la Aisha fish 🥰🥰🥰🥰🥰🤍
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 3 сағат бұрын
😂kama chiku kunywa ulewe pesa yangu utoe😅
@EdithJacob-md2qs
@EdithJacob-md2qs 3 сағат бұрын
Nmefurah kumuona mashavu wa kombolela yupo kwenye juakali mungu mwema wallah
@WinifridaPeterFabian
@WinifridaPeterFabian 3 сағат бұрын
Yani nakwambia uko tunakoelekea ata sisi tutakuwepo kwenye juakali 😂
@ashamkenga6072
@ashamkenga6072 2 сағат бұрын
Tusiwe na haraka mahi kila mtu atashiriki kwenye jua kali😂😂​@@WinifridaPeterFabian
@RachelAndrew-l7y
@RachelAndrew-l7y 2 сағат бұрын
​@@WinifridaPeterFabianmbona tayari tupo na linatuwakia,Kwan huoni
@veronicapeter1063
@veronicapeter1063 Сағат бұрын
😂😂😂😂win ww​@@WinifridaPeterFabian
@nacyfloflo9494
@nacyfloflo9494 Сағат бұрын
From Burundi ❤🎉🎉🎉🎉
@JENETHMAREGESI
@JENETHMAREGESI 3 сағат бұрын
Mmmmhhh hapana Glory,,,mama Anna we kiboko
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 2 сағат бұрын
Devis umetisha sanaaaaa❤❤
@winfridanzembi6677
@winfridanzembi6677 2 сағат бұрын
Kiukwel anna anatufunz kitu pia anajua kucheza na nafasi yake she is the best
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 2 сағат бұрын
True she is the best, anapeleka ujumbe vile unafaa kutufikia
@PaulinaFesto-s5e
@PaulinaFesto-s5e 4 сағат бұрын
Bill akimuona Eva, stress za kazini zinaisha 😂dah mapenzi haya 🙌shikamoo
@vumiliarichard9347
@vumiliarichard9347 3 сағат бұрын
😂achan na kit kinaitwa mapenz
@EstherCharo-lc3md
@EstherCharo-lc3md 3 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@GraceElimanuely
@GraceElimanuely 3 сағат бұрын
🤭😀
@zamdanamwenje9415
@zamdanamwenje9415 3 сағат бұрын
Davis amhjui Anna vizuri anapendaga. Dk1 anaacha dk 1
@gloryKashililika-z9t
@gloryKashililika-z9t 2 сағат бұрын
Ngoja apigwe tukio
@sakinakwela3342
@sakinakwela3342 3 сағат бұрын
In shaallah kwa sote Allah ndio muweza wa yote
@gracegaspar6043
@gracegaspar6043 4 сағат бұрын
Waliommiss Naira tujuane❤
@KisuraQuality
@KisuraQuality 4 сағат бұрын
Yani lamata naomba nipo kuangalia juakali kwajiri yaana nadevisi usiwatoe❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@wardagogodigo1111
@wardagogodigo1111 2 сағат бұрын
Tupo wengi😅
@YoungBillionaire-v9k
@YoungBillionaire-v9k 3 сағат бұрын
Wangapi mnaombea Ana afumaniwe na diba nipeni like
@WinifridaPeterFabian
@WinifridaPeterFabian 3 сағат бұрын
Atutaki afumaniwe penzi la anna na devis tumelibaliki atumtaki diba 😂😂diba goooooo anna ulipo tupo
@rosegodlove1956
@rosegodlove1956 3 сағат бұрын
​@@WinifridaPeterFabianumenena 👍
@YoungBillionaire-v9k
@YoungBillionaire-v9k 3 сағат бұрын
@@WinifridaPeterFabian wanyakyusa tutamuhuwa nakumzika tukuyu
@NshimireWilermine
@NshimireWilermine 2 сағат бұрын
Anna tupo sambamba nawew hadi ufumaniwe
@MeswalehShaban-mg5kk
@MeswalehShaban-mg5kk 2 сағат бұрын
Mm ntk akutane n mamake haswa ,ajue Peter 😂😂😂
@onkijalan268
@onkijalan268 3 сағат бұрын
Sema wanafaidigi awa waigizaji ikifika muda wa kula
@NasmaYasin
@NasmaYasin 3 сағат бұрын
We ni hatareeeeee 😅
@vumiliarichard9347
@vumiliarichard9347 3 сағат бұрын
Yaan had nimetaman
@ChikuWarren
@ChikuWarren 3 сағат бұрын
😂😂😂😂
@angelraphael4500
@angelraphael4500 2 сағат бұрын
Hapo anapokula Anna na devis panaitwaje jaman
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nimecheka kwa sauti
@eliyasanga6374
@eliyasanga6374 2 сағат бұрын
Mwanamke akimpenda mwanaume huwa kunaacha maumivu makali sana 🥹💔💔💔
@babyprincess346
@babyprincess346 Сағат бұрын
Ubarikwe wewe mtu unayetuletea hii juakali KZbin barikiwa sana
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 3 сағат бұрын
Huyu bill amechangamka sana mlimbeza mwanzo kumbe mlikuwa hamjamfaham vzr😂😂😂
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 2 сағат бұрын
😂😂😂
@salomemtalai3504
@salomemtalai3504 2 сағат бұрын
Wow sikuzani ndani ya jua kali😅🎉
@UpendoAyubu-b5r
@UpendoAyubu-b5r 3 сағат бұрын
Piraaa ukinunuliwa glass mpya mimi naomba hizo zako please💃💃💃💃💃💃💃💃
@ChikuWarren
@ChikuWarren 3 сағат бұрын
在😂😂😂😂😂
@munamamaj9622
@munamamaj9622 13 минут бұрын
Mama na mwana wote wadangaji
@ZoomCompany-r9i
@ZoomCompany-r9i 3 сағат бұрын
Jamani mimi jicho la peter lanimaliza mwenzenu ❤❤
@missdee6687
@missdee6687 2 сағат бұрын
Tupo wengi😂😂😂😂
@elizaerikana
@elizaerikana 2 сағат бұрын
nkupe namba zake
@salmakiti1517
@salmakiti1517 Сағат бұрын
Anna leo na Devis wako na furaha sana nimeipenda hiyo na mmke Anna naye leo balaa hiyo❤❤❤😂😂
@CrsAlzaid
@CrsAlzaid 3 сағат бұрын
Jua Kali bila juma Eva naira hanogi😂😂
@AsilaA-s7m
@AsilaA-s7m 3 сағат бұрын
Yan huyu Davis haeleweki kama siku za mwanamke ovyo kabisa 😂😂ukimuangalia kwa mbali unaona anampenda Anna ila ukimzoom unaona hakun kitu anataka kumharibia Anna ndoa bas, ....huyu ataangukia kwa Naira
@MariaTsuma
@MariaTsuma 3 сағат бұрын
Mm napenda kuangalia jua Kali Kwa sababu ya Anna na devis
@rosabae6179
@rosabae6179 3 сағат бұрын
o wahalifu wakubwa awa 😂😂
@WinifridaPeterFabian
@WinifridaPeterFabian 3 сағат бұрын
Yani wewe ndo kama mimi nafurahi sana nikimuona ana na devis yani ujanionatu nilivo taja hiyo devis nimechinja adi shingo kimsitizo 😂😂😂😂
@evelynezonga2684
@evelynezonga2684 3 сағат бұрын
Ww n km mm
@rosegodlove1956
@rosegodlove1956 2 сағат бұрын
Msiniache jaman tupo pamoja 😂
@MariaTsuma
@MariaTsuma 2 сағат бұрын
@@WinifridaPeterFabian 😅😅😅😅
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e Сағат бұрын
Ila juma mwanangu unanifuraiaha sana kabsaa nchi inahuru 😂😂😂❤❤❤
@anifermhando4847
@anifermhando4847 32 минут бұрын
Ana hajielew jmn
@Mummyummymillions
@Mummyummymillions 3 сағат бұрын
Allahumma Ameen 🤲🤲🤲 kwa sote
@Gloria-vh5bz
@Gloria-vh5bz 3 сағат бұрын
Hii ya Anna na Davis ndio inanikuta mimi na jiran yangu ila sisi wote majeuri sio km Anna kujipendekeza mi nauchuna MPK salam labda aanze yeye
@ChikuWarren
@ChikuWarren 3 сағат бұрын
😂😂😂😂
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 2 сағат бұрын
mm pia ime nikuta iyo jaman ww acha tu
@JudithMzava
@JudithMzava 2 сағат бұрын
Nimechekaa 😂
@marwakitaro2075
@marwakitaro2075 2 сағат бұрын
Umalaya tu
@Ubahalpha
@Ubahalpha 2 сағат бұрын
Utaachwa shwaaaaa😅😅😅😅na ujeuri wako
@AishaFaraji-q9v
@AishaFaraji-q9v 4 сағат бұрын
Waoooo nakupenda sna
@AngelMkwasi
@AngelMkwasi 2 сағат бұрын
Glory na Anna mhmmmm ni hatari 😂😂🙌🙌🙌🙌
@dhahabudeche926
@dhahabudeche926 3 сағат бұрын
Tunao penda Davis na Anna tu gonge like hapa🎉🎉🎉❤❤❤
@ZenaMsengi
@ZenaMsengi 2 сағат бұрын
Mlianza kumpenda dibah hiv hv mkasema mpo nae mpka atakapoachwa 😂😂😂 binadamu wabaya jaman
@MariaMpagama
@MariaMpagama 48 минут бұрын
Mm nampenda na uyo Davis mwenyewe
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 3 сағат бұрын
Haya ndo maisha halisi ya maisha yaliyopo kwenye ndoa siku izi
@esthermatanyanga7295
@esthermatanyanga7295 3 сағат бұрын
Exactly
@AmanaHussein
@AmanaHussein 3 сағат бұрын
💯
@BelindaVenance
@BelindaVenance 3 сағат бұрын
Kumbe 😂😂😂
@wangagirl3508
@wangagirl3508 Сағат бұрын
😂😂😂😂unachoma
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 3 сағат бұрын
Hua mnafanyaje kupata like😅😅😅
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww 3 сағат бұрын
Kuwaombea dua wana jua kali nawe upate likes zaidi ya 100
@SekelaYona-h1w
@SekelaYona-h1w 2 сағат бұрын
Tunaomba dua😂😂😂
@SalomeSwalehe-gz6wm
@SalomeSwalehe-gz6wm 2 сағат бұрын
Dua tu yatoshaa😂😂😂
@FlorahEnock
@FlorahEnock 3 сағат бұрын
Cjalizika leo kutokumuona enzo mpenzi wanguu😢😢
@marthaJanuary-uy4pg
@marthaJanuary-uy4pg 3 сағат бұрын
😂😂😂😂
@EmmyKigola
@EmmyKigola 3 сағат бұрын
Wakuuwe tu 😁😁😁
@ClaudineMyanda
@ClaudineMyanda 3 сағат бұрын
Katimuliwa na Patrick 😂😂😂
@FlorahEnock
@FlorahEnock 3 сағат бұрын
@@EmmyKigola kabisaaa
@FlorahEnock
@FlorahEnock 3 сағат бұрын
Nilishamwambiya toka Jan mbna aje kwanguu mim nakaa peke anguu kma anaona tatizo ni Kodi labda🤣🤣
@gloryKashililika-z9t
@gloryKashililika-z9t Сағат бұрын
Jmn Anna salute,,, kipindi cha Diba alikua kama kichaa lkn saiv kasahau yote kaamia kwa cheupe
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 2 сағат бұрын
Kusema ukweli hii juwa Kali nampenda hana ndevi
@JamesRamos-h8i
@JamesRamos-h8i 2 сағат бұрын
Ana anajua sana kuigiza 🫡
@leilaahamad8989
@leilaahamad8989 Сағат бұрын
Ana anamiguu mizuri
@paulinaatanasy1796
@paulinaatanasy1796 4 сағат бұрын
uyu anna ipo siku atakutana na mama ake kwenye chimbo moja😅😅😅😅😅
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 3 сағат бұрын
Mbn walishashea wanaume km wawili su watatu km sijakosea😅
@saveralutalindwa6676
@saveralutalindwa6676 3 сағат бұрын
Haaaaaaaa😂😂😂😂
@DeeMallz
@DeeMallz 3 сағат бұрын
Ulikua unawaza kama mm
@EroniaEfraimu
@EroniaEfraimu 3 сағат бұрын
Mbn walishakutana😂😂😂
@UpendoAyubu-b5r
@UpendoAyubu-b5r 3 сағат бұрын
Mbona kakutana nae kitambo kwa Dr nk
@hawaa2227
@hawaa2227 3 сағат бұрын
Anna na mama ake na maria subuhanah Allah subuhanah Allah subuhanah Allah mungu atuongoze kwa kweli
@AmanaHussein
@AmanaHussein 3 сағат бұрын
@@hawaa2227 weeee vipiiiiiiiiiii ni kipind ndunguu 🙆
@Vanessa-xr4qn
@Vanessa-xr4qn 3 сағат бұрын
Kusema ukliii juakali bila Ana na devis hainogi
@EmmilianaPosheni
@EmmilianaPosheni 4 сағат бұрын
Huyu aisha nampenda sana
@SalomeEmmanuel-n8t
@SalomeEmmanuel-n8t 2 сағат бұрын
Eva na juma mubalikiwe sana kwakazi nzuri nawapata barabara🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HakizimanaSaidi-m4c
@HakizimanaSaidi-m4c Сағат бұрын
Hap pakuwapat barabar 😂😂😂😂
@trixylady
@trixylady 4 сағат бұрын
Kikao cha wambeaa😂😂ila jumaaa🎉🎉❤
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 2 сағат бұрын
Makubwa mama mtu mzima anascha nyumba yake anaenda ngeto😅😅
@MaryWisdom-is7cf
@MaryWisdom-is7cf 3 сағат бұрын
Uyu anna😂 anaujasili jmn😅😅😅kheee
@JENETHMAREGESI
@JENETHMAREGESI 2 сағат бұрын
Siku inakuja Ana atampenda Peter,,nipo paleee
@ChristianKalindo
@ChristianKalindo 4 сағат бұрын
Leo wa kwanz like zangu tafafhar
@fairnessmuro9008
@fairnessmuro9008 3 сағат бұрын
Usishangae devis ni mtoto wa zai
@bettyaltho2714
@bettyaltho2714 3 сағат бұрын
😅😅😅
@chocolategal42
@chocolategal42 3 сағат бұрын
So profesa kwelii 😂😂😂
@emmyjames4146
@emmyjames4146 3 сағат бұрын
Ehee me mwenyewe ndo nimeona ivyo
@GladysKanemba
@GladysKanemba 2 сағат бұрын
😂😂😂
@ivankalisa9491
@ivankalisa9491 2 сағат бұрын
Wakati devi mdogo wake rejina ila mnasahau nyie😂
@aishaomar9621
@aishaomar9621 3 сағат бұрын
Anna utalipia maumivu ya doba umempa kifungo cha maisha kisha unazurura kila mahali kisha n mwanamume 😢 anna karithi mmke lkini😢jua kali linatufunza😊
@angelraphael4500
@angelraphael4500 2 сағат бұрын
Kwahyo wanaume wafanye wao wakifanyiwa ndo tunalaaniwa😂😂😂😂
@PrantWayde-ym1ex
@PrantWayde-ym1ex 3 сағат бұрын
Aisha kachangamka uyooo
@gracemadibu9447
@gracemadibu9447 Сағат бұрын
Hv mnafahamu maisha anayoyaigiza anna n maisha halisi Anna anajua anachofanya si sahihi lkn anashindwa kuishina nafasi na matamanio yake. Aliingia kwenye mahusiano na Diba si kwasbb alimpenda ila alikuwa na matamanio na hasira ya kupendwa, sasa amependwa akaja kugundua hampendi wkt diba kashaingia mazima... Sasa amebaki anateseka Polen wadada wote mnaopitia haya
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 3 сағат бұрын
Hapa kwa aisha jamanini mpataje tuje jomoni pambe2 ❤❤❤❤
@Janethjames-n5f
@Janethjames-n5f 2 сағат бұрын
Leta izo grass zangu za kuwekea wateja Juice haraka si utanunuliwa nyingne 😂😂😂
@hey..youall
@hey..youall 3 сағат бұрын
Whaaaa seriously left me😂😂😂😂😂😂
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@UpendoAyubu-b5r
@UpendoAyubu-b5r 3 сағат бұрын
Davic anamzururisha anaa ajulikane kila kona cku akimbwaga ni aibu ya mwakaaaa
@dorrypol9911
@dorrypol9911 3 сағат бұрын
Nipeni location ya Aisha fish point jmn👌😅
@evamwambapa5251
@evamwambapa5251 3 сағат бұрын
Uko c ununio kule wanapofanya mnada wa samaki
@dorrypol9911
@dorrypol9911 3 сағат бұрын
@@evamwambapa5251 ntakuptia apo nkushike na mkono mwayaaa twendee😅👌
@dianazambi2447
@dianazambi2447 3 сағат бұрын
Ununiooo hyoooo njooo ni kusogezeee😅😅
@dorrypol9911
@dorrypol9911 3 сағат бұрын
@@dianazambi2447 hahaa waje na wengne jmn tuwe kikundi cha juakali🥳🥳
@evamwambapa5251
@evamwambapa5251 2 сағат бұрын
@@dorrypol9911 😂😂😂😂😂
@AminaAbassy
@AminaAbassy 2 сағат бұрын
Anna shida nn Mama 😂😂😂🙌🏽💔 ilaaaa davis ... zingatia neno Mama 🤣
@Busweluhardware
@Busweluhardware 3 сағат бұрын
Peter Peter Peter, nimekuita mala siliii kitakuramba😂😂😂😂😂😂😂
@rosemarymaokola7239
@rosemarymaokola7239 3 сағат бұрын
Mama na mwana wote wanachepuka hatarii sana😂😂😂😂
@EneaKibiki-p3p
@EneaKibiki-p3p 3 сағат бұрын
Ana hata so wakumlaum ndoa nyingi zimejaaa vikwazo😢
@aishabakari8040
@aishabakari8040 3 сағат бұрын
Yani ndoa mitihani tu 😢
@RukiaManga-z1t
@RukiaManga-z1t 3 сағат бұрын
Lkn ya Anna yy ndo kikwazo
@rwakitatechnology7308
@rwakitatechnology7308 3 сағат бұрын
Aya twambie ndoa ya Anna ina kikwazo gani? Mbona Diba anampenda sana Ana?
@RukiaManga-z1t
@RukiaManga-z1t 3 сағат бұрын
Yaani Anna ndo kikwazo shetani wa kike Anna
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 2 сағат бұрын
Mmmh!,Upendo ndio kumkunyuga vileee kumteka Diba Dishi bovu nae kapitwa Akili mpaka na Chichii​@@rwakitatechnology7308
@kabelegecletus718
@kabelegecletus718 Сағат бұрын
Kidogo nitukane matusi kuhusu Anna nikakumbuka kumbe ni ECT sio uhalisia
@JosephFortnatus-nv8sn
@JosephFortnatus-nv8sn 3 сағат бұрын
Mmmh kumbe mama akiwa WA hovyo na Mtoto anakuwa WA hovyo
@STELLAGERAD
@STELLAGERAD 3 сағат бұрын
Yaan ni hatari haya maisha
@preciouspeter6126
@preciouspeter6126 3 сағат бұрын
Ipo hata kwenye biblia Ezekiel 16:44 Kama mama alivyo ndivyo alivyo binti yake
@monicafelisian7347
@monicafelisian7347 2 сағат бұрын
Anajiuliza kwann aliolewa mapema😁😁😁😊
@DelphineLaurenti
@DelphineLaurenti 3 сағат бұрын
Mama anachepukaa mtt anachepukaaa
@luciacosmas-nq8lv
@luciacosmas-nq8lv 3 сағат бұрын
vyakulisi vinazidiiiii ana mama loooh😂😂
@Modesta-yn9ys
@Modesta-yn9ys 4 сағат бұрын
Glory na mtoto wake Anna uku Leo wueeee 😂 sijui nicheke ama peter jameniiii😂😂😂
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 3 сағат бұрын
Mtoto wa siwa kombolela ndani 😂😂😂😂😂😂😂🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SalamaCharo-q6k
@SalamaCharo-q6k 3 сағат бұрын
Yaani uku mambo fire Peter kula mzigo professor kashindw😂😂
@Asha-t5o
@Asha-t5o 2 сағат бұрын
Achunge mana. Pro ashaanza kumtilia. Mashaka
@VeronicaAmos-qd3vg
@VeronicaAmos-qd3vg 3 сағат бұрын
Chiku chiku nampenda jamani 😂😂😂, huyu mashavu sasa sijamzoea
@GILDAMLINGI
@GILDAMLINGI 3 сағат бұрын
Jitaidi umzoee mana tushaingia kwenye ulimweng wa kula ma fish
@EstherJulius-u9x
@EstherJulius-u9x 3 сағат бұрын
Daaaaaa Anna anapepo
@Mclupy44
@Mclupy44 4 сағат бұрын
Alieona wamekula bila kunawa alike apoo😂😂😂😂 Afu Anna na mama yake woteee wazinzi tuuu damu nzito kuliko majii😂😂😂😂😂
@juliethmathew559
@juliethmathew559 4 сағат бұрын
Hapo sio damu Ni maji yanafuata mkondo
@JustinaSamson-xm2xu
@JustinaSamson-xm2xu 3 сағат бұрын
​@@juliethmathew559kabisaaaaa
@mamakayla6697
@mamakayla6697 3 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hawajanawa wala hawajaombea chakula
@STELLAGERAD
@STELLAGERAD 3 сағат бұрын
Khaaaa nimecheka
@RaiyanBaruti
@RaiyanBaruti 3 сағат бұрын
😂😂 nimecheka kwasauti
@rahmaaljabry7871
@rahmaaljabry7871 3 сағат бұрын
Tunaojua darvis kafall deeply kwa Ana tulike hapa
@DeeMallz
@DeeMallz 3 сағат бұрын
Anna na davis wananikwaza kam watoto vile.. Sanasana huyo Ana.. Nmewaza glory akutwe hapo na semeni au sofia
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 3 сағат бұрын
😂😂😂😂
@amanaoman9690
@amanaoman9690 3 сағат бұрын
Mm nainjoi mnooo 😂Acha jua likuwakie Kama hutaki
@WinifridaPeterFabian
@WinifridaPeterFabian 3 сағат бұрын
Acha kutualibia juakali yetu😅😅😅. Wazinzi tunaelewa
@sylviatesha4663
@sylviatesha4663 2 сағат бұрын
Jmn hiyo Aisha fish point Iko wapiiii maana so kwa like sotojooo😋😋
@shedy_marie
@shedy_marie 2 сағат бұрын
Yan mpk bas😅😅
@شاميمشاميم-ر9ت
@شاميمشاميم-ر9ت 3 сағат бұрын
Mmm davis umepata nakuona mwenyewe mke wa diba huyo ,naujue mke wa mtu sumu mi yangu macho 😂😂😂😂
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Сағат бұрын
Mama na mtoto wote malaya
@LucieWandiba
@LucieWandiba 4 сағат бұрын
nmefrahi kumuoma sikudhani 💕
@sifamwangomango4952
@sifamwangomango4952 Сағат бұрын
Mmenawa sangap kina Anna😂
@BettyGonah
@BettyGonah 3 сағат бұрын
Ss daa Anna yuatka nn kwenye maisha yake
@AsdAsd-d7f
@AsdAsd-d7f 4 сағат бұрын
Alhamudillah nimewahi 😂😂😂 Asante dj ❤❤❤🎉🎉🎉
@AnnaUdoba
@AnnaUdoba 2 сағат бұрын
Eeeh Ruby anatufokea sasa😅
@RachelAndrew-l7y
@RachelAndrew-l7y 2 сағат бұрын
Af wimbo haueleweki mweeee😅
@WinifridaPeterFabian
@WinifridaPeterFabian 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kumbe umeona kama mimi
@FathmaShakur
@FathmaShakur 36 минут бұрын
Nimecheka kwa sauti😂😂😂😂😂
@rehemalushinge8641
@rehemalushinge8641 4 сағат бұрын
Waooh Mashavuu❤❤
@UwimanaLiah
@UwimanaLiah 4 сағат бұрын
Wakwanzaaaa❤from Rwanda
@jullostephen9090
@jullostephen9090 4 сағат бұрын
Naomba likes za jisura la Anna anavyochukia Aisha😂😂😂
@victodeussiriwa3919
@victodeussiriwa3919 4 сағат бұрын
Mmeshajaa
@jacquelineboniface1145
@jacquelineboniface1145 3 сағат бұрын
Mama Malaya, mtoto malaya 😂😂😂😂Anna na Glory
@happynesjulias3495
@happynesjulias3495 4 сағат бұрын
Mama Malaya mtoto malaya
@annielsabayamollel7854
@annielsabayamollel7854 3 сағат бұрын
Bora mama anajali ndoa yake
@angelnyange3403
@angelnyange3403 3 сағат бұрын
Baba naye malaya 😂😂
@rahmasalim5252
@rahmasalim5252 3 сағат бұрын
Laya😂😂😂😂😂
@LucianaLesikari
@LucianaLesikari 3 сағат бұрын
Hahaha
@amanaoman9690
@amanaoman9690 3 сағат бұрын
Malaya +Malaya=? Nasubiri jibu😅
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 Сағат бұрын
davis unampenda sana anna ww
@kabelegecletus718
@kabelegecletus718 2 сағат бұрын
Sio mambo hayo like ziko wapi
@EsterLuis-y5m
@EsterLuis-y5m Сағат бұрын
Afu mamake anna mzuri jam ani kisura wetu
@PaulinaFesto-s5e
@PaulinaFesto-s5e 3 сағат бұрын
Bill anajua Kama Eva ni mtangazaji mahiri😂😂😂
@devothakassimu8289
@devothakassimu8289 3 сағат бұрын
😂😂😂😂
@DeborahBwire
@DeborahBwire 3 сағат бұрын
😂
@ChannellaChacha
@ChannellaChacha 3 сағат бұрын
😅😅😅😅
@GraceElimanuely
@GraceElimanuely 3 сағат бұрын
😀
@WinifridaPeterFabian
@WinifridaPeterFabian 2 сағат бұрын
😂😂😂😂ajui
@RahmaAbuu-w1y
@RahmaAbuu-w1y 4 сағат бұрын
Mama idi ndan ya jua kali
@ElizabethMarwa-t9m
@ElizabethMarwa-t9m 3 сағат бұрын
Nuru series
@LatifaAbdul-g5j
@LatifaAbdul-g5j Сағат бұрын
Tulioko single tujuane
@HanifaMwamu
@HanifaMwamu 3 сағат бұрын
Hellow guys nikajiona nimewah kumbe wat washajaa tusikanyagane tu jmn🤗🤗🤗
Nandy feat Harmonize - Usemi Sina (Lyrics Video)
2:54
Nandy - The African Princess
Рет қаралды 249 М.
Huba Leo Alhamisi Usiku 24-10-2024
22:31
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 18 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН
I LOVE MY TEACHER | 2 |
24:47
CLAM VEVO
Рет қаралды 259 М.
Kichuna afika na vurugu zake - Huba | Maisha Magic Bongo
4:02
Maisha Magic Bongo
Рет қаралды 122 М.
ANAPOISHI BABU WA TIK TOK/ NAISHI KWETU  NA MMBWA/NINA MIAKA 60
48:35
IBANGA EP241:Nyambo ahuye na Nkindi ufite Niyori🔥🔥🔥
27:17
JUA KALI LEO Alhamis usiku 24/10/2024 | Full epsode "HD"
26:31
Mr Exclusive Tv
Рет қаралды 2,9 М.