Nandy feat Harmonize - Usemi Sina (Lyrics Video)

  Рет қаралды 1,432,161

Nandy - The African Princess

Nandy - The African Princess

Күн бұрын

Пікірлер: 2 200
@SaidyRajabu-r5b
@SaidyRajabu-r5b Ай бұрын
Kama unajua mungu ndiye kilakitu kwako piga like 😀😁🇹🇿
@simonkulwa
@simonkulwa Ай бұрын
Hongera sana hamo pamoja na nandy
@mashabikiwaharmonize
@mashabikiwaharmonize Ай бұрын
Kama unakubali HARMONIZE ametenda haki onyesha upendo hapa. Nandy nae hajawai tuangusha
@Farasitz
@Farasitz Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/jaKVkGubqditaK8si=BsBsHkJVLXAiUglH❤❤
@Iamjaysimple
@Iamjaysimple Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/noq8pplvjMmXmposi=JDsj8QxavsAnOdvv
@MAMAdou1212
@MAMAdou1212 Ай бұрын
Le boss❤❤❤
@Farasitz
@Farasitz Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/jaKVkGubqditaK8si=BsBsHkJVLXAiUglH
@FestoMzola-v5h
@FestoMzola-v5h Ай бұрын
Umeua tembo
@Fatuma-l3r
@Fatuma-l3r Ай бұрын
Hawa ni wasanii ambao nawapenda sana yani hapa moyo wangu ninaraha sana🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤mmefanya kazi nzuri sana🔥🔥🔥
@simcoolkenya3079
@simcoolkenya3079 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKDFaYuQlMuIpdUsi=-U1cY-WKenEZ_Ysm
@goriaAlexndar
@goriaAlexndar Ай бұрын
Wanaosema ngoma ni Kali weka like hapa waooooooo
@PastoryMziba-g4t
@PastoryMziba-g4t Ай бұрын
Ukwer ni kwamba ata mimi moyoni mwangu nawapenda sana HARMONIZE ft NANDY
@yuzlongodfrey
@yuzlongodfrey Ай бұрын
❤🎉
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 Ай бұрын
Ivi mnajua ifikapo 2099 tutakua tumekufa tujitahidi kufanya ibada 🙏 KIFO KINAKUJA 😭
@AllyManyanda
@AllyManyanda Ай бұрын
❤❤❤❤
@RizikiZiki
@RizikiZiki Ай бұрын
😢😢😢😢😢😢
@mcutanorsonvanwillson2991
@mcutanorsonvanwillson2991 Ай бұрын
Fanya ibada acha kukeshà kumwangalia nandy
@Zawadi111Kajumwa
@Zawadi111Kajumwa Ай бұрын
😂😂sisemi sina❤❤
@Abelly-j4w
@Abelly-j4w Ай бұрын
Kwn ww watska uishi mudawote kuna wenzio pia wanatka waishi 😂
@stanokabaridi8138
@stanokabaridi8138 Ай бұрын
Kama unamkubali Harmonize nipe like tukisonga🔥🔥😎💯
@issafoundation1758
@issafoundation1758 Ай бұрын
Jamani iyo nyimbo mbona inagusa hisia zangu najua apa mpo Tim mbili tofauti Tim Mandy na Tim konde boy wenye Tim nandy tuondoke na Kijiji weka like tujuane❤
@maramalansari3039
@maramalansari3039 Ай бұрын
😂😂😂
@hamyb1434
@hamyb1434 Ай бұрын
Harmonize ameonyesha eshima kwa mke wamtu hata kwenye kucheza ameonyesha heshima ametulizana
@MohamedAusi-c9q
@MohamedAusi-c9q Ай бұрын
Mazoea
@FreddyJackson-d3m
@FreddyJackson-d3m Ай бұрын
Mimi ni shapiki wa rayvanyn kutoka mjengon Kenya Ila harmonze na nandy siwezi nyimwa like
@DaudiKesoi
@DaudiKesoi Ай бұрын
Welcome tz
@OFFICIALSEMAH
@OFFICIALSEMAH Ай бұрын
Ayiiii guys from Kenya 🇰🇪 Nairobi usemi Sina weka like za nandy and konde boy usemii Sina number 1 🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇰🇸🇾🇸🇿🇹🇦🇹🇨🇸🇯🇸🇱🇸🇷🇸🇬🇸🇳🇹🇷
@manirambonajeanne3876
@manirambonajeanne3876 Ай бұрын
🇧🇮🇸🇦🇰🇪😂😂
@amekusumba5721
@amekusumba5721 Ай бұрын
Nawapenda sana kweli ❤🎉fram Sweden congolaise🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬🇸🇪🇸🇪⭐️🙌
@americana_official
@americana_official Ай бұрын
Harmonize to the world. Naomba subscribers wadau
@simcoolkenya3079
@simcoolkenya3079 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKDFaYuQlMuIpdUsi=-U1cY-WKenEZ_Ysm
@goldendiamondpicturestv6466
@goldendiamondpicturestv6466 Ай бұрын
@@americana_official pitia kwangu nimefanya hiyo kitu
@jayhamso9902
@jayhamso9902 Ай бұрын
Fanya kunicheki kwa link yamgu apo
@nurumohamed5830
@nurumohamed5830 Ай бұрын
🔥🔥🔥
@nurumohamed5830
@nurumohamed5830 Ай бұрын
Bomboclaaa🔥🔥
@Diamon-g9j
@Diamon-g9j Ай бұрын
Huu mwaka ni WA nandy ma female wengine kando!❤❤ Hawana usemi
@gracewanjiku6581
@gracewanjiku6581 Ай бұрын
Konde we fundi wa kuigwa nakupenda bure kutoka Kenya ❤❤❤❤❤weka like ya harmonize
@Bentrixx_
@Bentrixx_ Ай бұрын
Bomboclaaaaaaaat 😤,,konde kauwa humu ndani💯💯💯👊🏾👊🏾👊🏾
@PALMAVIBESBYWAMBUESSO
@PALMAVIBESBYWAMBUESSO Ай бұрын
Kama una mpenda konde boy gonga like apa tuende mbele from mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@DonMuyuya
@DonMuyuya Ай бұрын
Mimi wa kwanza toka Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩😭😭😭
@jaelkitwa1621
@jaelkitwa1621 Ай бұрын
Nous sommes ensemble mon frère, mois c'est depuis likasi
@uiptv365
@uiptv365 Ай бұрын
🇨🇩🇨🇩❤️
@giressentumwa6906
@giressentumwa6906 Ай бұрын
Sasa unaliya nini???😂😂😂
@user-Zadig
@user-Zadig Ай бұрын
Tupo
@Special_tz
@Special_tz Ай бұрын
Kwani unakula likes❤😂
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 Ай бұрын
Kweli usemi sina Harmonize ameonesha upendo wa kweli kwa nandy wimbo umetulia 🎉🎉🎉❤.
@ev-erum
@ev-erum Ай бұрын
He as done it again thee tembo himself❤❤ Likes za mkenya halisi zije upande huu🇰🇪🇰🇪
@mohamedmwabeha
@mohamedmwabeha Ай бұрын
Bomboo claaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉unajua mwamba alafu mwanzo mkipatana nyie hamna baya ....alafu mjulishe nandy she is my crush since day one❤❤❤❤❤❤
@DonbrightKenny
@DonbrightKenny Ай бұрын
Kusema ukwer nyimbo Kali na naipa award ya mwez huu #BOMBOCLAAAAAAAAAAAAAA
@shadyarif653
@shadyarif653 Ай бұрын
Nakubali sana toka 254....Number Moja Nakubali harmo na Dee🎉
@Jean-PierreMahakobillGates-i4r
@Jean-PierreMahakobillGates-i4r Ай бұрын
Miye wa kwanza depuis Congo 🇨🇩 kalemie
@EmanuelNihoe
@EmanuelNihoe Ай бұрын
Wimbo tamu sana bwa obby Mungu azidishie kipaji chako insh'allah
@Mocle254
@Mocle254 Ай бұрын
🎉🎉Haya ngoma inaondoka hii! Sio ya kawaida❤❤
@luckyboy_ke
@luckyboy_ke Ай бұрын
Sasa kwanini nisitulie mfano Unaninyima ninini?? Upo ladhi uugulie Utamu nipate mimi...Konde✍️🔥🔥Usemi sinaaaa🔥🔥 #Kondegang mpoooooo
@madizainerke
@madizainerke Ай бұрын
@@luckyboy_ke kzbin.info/www/bejne/l37IqWRtbrNnhbcsi=7e0QfqC0jURH60UL
@PrinceJeyfour-f3y
@PrinceJeyfour-f3y Ай бұрын
Nandy tunaka utufanyie ngoma na ibrah sasa ju na hormonize kali tayari pia mm sna usemi tayar imebamba
@SaidyRashidy
@SaidyRashidy Ай бұрын
Mh brother Elephant 🐘 hii nyimbo umeitendea haki zote 🔥🔥
@MashaDaiton
@MashaDaiton Ай бұрын
mwamba ajawahi kuferi ata siku moja anatulia sana hila Nandy katulia sana kuimba ili nyimbo🔥mimetisha wote
@Ramos-j4y
@Ramos-j4y Ай бұрын
WakwAza kucheki masterpiece Nomaaaaa
@leofocas7503
@leofocas7503 Ай бұрын
Najuwa harmonize Anaga mchezo kauwa umo ndani
@nurumohamed5830
@nurumohamed5830 Ай бұрын
Jeshi🔥🔥
@MweyaMweya
@MweyaMweya Ай бұрын
Jamani naomba like kwa konde na Nandi kama unakubali combination yao
@ErickJoseph-u5w
@ErickJoseph-u5w Ай бұрын
Nakupenda xnh sister nandy haujawah kuniangusha upo kwenye dunia yako mwenyew one of the best african princess🫅
@rosemarybahali2923
@rosemarybahali2923 Ай бұрын
When Nandy and Harmo meet things explode ....very beautiful voices❤
@MAMBOIKOHUKUU
@MAMBOIKOHUKUU Ай бұрын
Huwezi mlinganisha. Harmo na alikiba. Katika kumuheshimisha. Huyu dada. Naiman. Nenga kwa hii ya harmo. Amependa sana. Maana hawajashikana shikana sana. Wala. Hakuna zile style za kukumbatiana za hovyo hovyo. ❤️❤️🥰🥰
@TIGER_TALENT
@TIGER_TALENT Ай бұрын
Bomboclaaaa💪💪💪
@NduwayezuFiacre
@NduwayezuFiacre Ай бұрын
Mimi huku Bujumbura naifurahia Ngoma nzuri kbx kutoka kwa African princess
@khalimdavy5701
@khalimdavy5701 Ай бұрын
Chemistry ya nandy na harmonize iko another level nkiwaona kwenye tracky najua ni hit nipeni lyks basi🇰🇪👍
@AkimMuguma
@AkimMuguma Ай бұрын
❤❤❤❤❤ hatari kabisa kwani mlikuwa wapi izi siku zote nakumbuka acha lizame kwa mara nyigine kabisa❤❤❤❤
@muhamedjonasan
@muhamedjonasan Ай бұрын
❤❤❤
@amadazeking
@amadazeking Ай бұрын
The African Queen 👑❤ Bombo claaaat 🎉💥
@yollah
@yollah Ай бұрын
Nenga mtoto mwachie konde new cup in town 🎉🎉
@MusaMwamweta
@MusaMwamweta Ай бұрын
Kikombe kipya mjini 😂
@rahimsongi6951
@rahimsongi6951 Ай бұрын
Akiimba na bilnass anaimba utumbo... Ila akiimba na wasanii wengine... Mashairi yanaeleweka na ngoma ina hit...
@dismaskorir1032
@dismaskorir1032 Ай бұрын
...This song I Sawa some days back I didn't mind,but today has given me a sleepless night.I Second that Bahati gospel is your home much blessings 🙏🏻🙏🏻
@DanielMusau-c1h
@DanielMusau-c1h Ай бұрын
Nandy wanatoanga vitu kali na Alikiba ila hili la harmonize n kiboko yao,,, much love❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@PrivaSamson
@PrivaSamson Ай бұрын
Wowo from Botswana proud with harmonize 👊
@HembaDymain
@HembaDymain Ай бұрын
Bomboclaaa 😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂❤😢❤😮❤😮😂😮😂😮😂😮😂😮😂😮😮😂😅🎉😅🎉😅😂😅😂😮😂😢😂😢😂😢😂😢😂😢😂😮😮😂😮😂😮😂😮😂😂😂😂😢😢😢😂😮😂😮😂😮😂😮😂😅😂😅😂😅😂😮😂😮😂😅😂😮😅😂😅😂😅😂😮😂😮😂😮❤😢❤😢🎉❤❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤❤🎉🎉❤🎉❤❤🎉🎉🎉❤🎉❤🎉❤🎉🎉🎉❤🎉❤🎉🎉❤. Yaaaaani mpaka kifo tuko na wewe KONDE auja Wahi kutuangusha
@NDEBILugalata
@NDEBILugalata Ай бұрын
jamani mimi sijaiona inagoma
@HembaDymain
@HembaDymain Ай бұрын
Ninkesho brother njo ita toka official
@manirambonajeanne3876
@manirambonajeanne3876 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ThobiasKowero
@ThobiasKowero Ай бұрын
NANDY 🔥🔥 kaua hatari ngoma ndo inaondoka hukuuuuu
@SamuelkamaraMureithi
@SamuelkamaraMureithi Ай бұрын
Konde gang love from Kenya...SINA SAY
@JabiryShabani-p7u
@JabiryShabani-p7u Ай бұрын
Awa watu wakikutana nimauwaji TU🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
@Vintonekaveli
@Vintonekaveli Ай бұрын
❤❤ wa kwanza kuwatch from Kenya 🇰🇪 nipeeni likes zangu wakuu 🙏
@simcoolkenya3079
@simcoolkenya3079 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKDFaYuQlMuIpdUsi=-U1cY-WKenEZ_Ysm
@omanmobile5746
@omanmobile5746 Ай бұрын
🎉🎉🎉
@estersilvester423
@estersilvester423 Ай бұрын
Hizo likes unakulaga na mboga ganii ili zinoge vizuri?
@Entertainmentfo
@Entertainmentfo Ай бұрын
From mombasa 🇰🇪 kenya am watching my favourite artist Nandy the African princess
@MosesModoga
@MosesModoga Ай бұрын
Konde gang we outside 🎉Bomboclaaaa❤
@SAWENTHEPOET
@SAWENTHEPOET Ай бұрын
#2 trending in Kenya ❤ That's my African princess 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SifaEmma
@SifaEmma Ай бұрын
Wachawi wawili.... Harmonize na majini ya baba ake na Nandy uchawi wa Sister ake...Aibu Tanzania 😭😭😭😭😭
@raphaelmussa7662
@raphaelmussa7662 Ай бұрын
Haya namm Baraka kuwa star
@EmceeCaterina
@EmceeCaterina Ай бұрын
Mimi sijatosheka, mbona unaisha haraka hivi 🥺. We need more collabos from these two 🎉🎉! Much❤❤ from the 254 🇰🇪.
@migando7950
@migando7950 Ай бұрын
Una Vers mbili tu bora wangeweka tatu ungependeza zaidi🎉🎉🎉🎉
@IsraelngoroKone-tm7te
@IsraelngoroKone-tm7te Ай бұрын
Much Love from Gauteng Pretoria🇿🇦
@omanmobile5746
@omanmobile5746 Ай бұрын
Nandy ni mama nandy ni mke nandy ni msanii bora wa kike tanzania nzima siyo kile ki mbwa.zuchu kinaimba matusi sikipendi kashenzi kale😢😢😢
@MagrethJanuary-k1v
@MagrethJanuary-k1v Ай бұрын
🙄🙄🙄🙄
@Aisharayssan
@Aisharayssan Ай бұрын
Makasiriko yanini kwani kuexpress hisia zako mpaka utukane mtu just be straight forward
@AmosSinkala-lx4sl
@AmosSinkala-lx4sl Ай бұрын
Mafukara mnaishi kwa shida sana
@omanmobile5746
@omanmobile5746 Ай бұрын
@@AmosSinkala-lx4sl lete Namba yako nukutumie rial 600 alafu ndio uniite fukara msenge.wewe😏😏😏
@Al_MAS-qr5oc
@Al_MAS-qr5oc Ай бұрын
@@omanmobile5746 Acha Wivu Wa kike bro
@findingnasio
@findingnasio Ай бұрын
Listening to this from Blantyre Malawi, moto sana🔥
@berryxmsanii
@berryxmsanii Ай бұрын
Nani mwengine amesikia tu bomblaaat akasema hii ngoma kali💥💥💯
@simcoolkenya3079
@simcoolkenya3079 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKDFaYuQlMuIpdUsi=-U1cY-WKenEZ_Ysm
@GenerousAzard-fq1ym
@GenerousAzard-fq1ym Ай бұрын
Hatulali kumeekucha😊👥💃🏼👨🏽‍🦯
@berryxmsanii
@berryxmsanii Ай бұрын
@@GenerousAzard-fq1ym 😂😂hapo ushsema mwanangu🫂
@cencieromondi5141
@cencieromondi5141 Ай бұрын
Leo nimekuja mapema from kenya ngoma iko lit🔥
@FrancisMkelemi
@FrancisMkelemi Ай бұрын
Asante nandy kaz tamu wauweeeeeee❤️❤️❤️❤️💯
@davidcharo2376
@davidcharo2376 Ай бұрын
The song we was waiting for much love 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ❤
@kevinkimoi3221
@kevinkimoi3221 Ай бұрын
NGOMA nzur sana,,big up guy's,,,,much love
@mathiasbosire7927
@mathiasbosire7927 Ай бұрын
Wanaosubiri kutoka kenya tujuane kwa likes🇰🇪🇹🇿
@paulojohn-vx1qb
@paulojohn-vx1qb Ай бұрын
Nandy unajua unajua tena ngoma kaliiii❤❤❤
@jeffmistari4221
@jeffmistari4221 Ай бұрын
❤❤❤ Nandy 💯... Harmonize 🔥... You've delivered the best ❤❤
@dacymajogo2576
@dacymajogo2576 Ай бұрын
Nawapenda sana ❤❤❤❤ nafurahi kuwaonaaaaaa song imetulia yaaan classic knoumaaaa hamonizer ft nady nawapenda buree❤❤❤
@HamphreyKigahe
@HamphreyKigahe Ай бұрын
Mnyama sana bombokaaaaaa❤❤❤
@daddymapesatv9878
@daddymapesatv9878 Ай бұрын
Am always supporting good music 🎵 this song is 🔥🔥
@manyotamcmanyotamc-x7f
@manyotamcmanyotamc-x7f Ай бұрын
whao itisongi mpya iyo tichakonde sapotini wimbo uwenfe❤❤❤
@Yushimelody
@Yushimelody Ай бұрын
Bomboclaaat❤
@anuambosehemmanuel
@anuambosehemmanuel Ай бұрын
The truth is that in my heart I like the song❤
@NasrihamisJaribu
@NasrihamisJaribu Ай бұрын
Hataliiiii ❤❤. Ukoseagi chuma hatari abali ya town
@BornfreyKweya
@BornfreyKweya Ай бұрын
Nakubali.....mashairi matamu kweli. Bonge la message
@HamadiShabani-j7n
@HamadiShabani-j7n Ай бұрын
KIUKWELI NGOMA NIKALI MAMAE MIDONDOKO NIKALI HARMONIZE AKIINBA ZAUTI YA UPOLE INAUWAA SANA JAMAA SEMA NINI NAMUONA NANDI ANASHUKURU HARMONIZE AJAPIGA VISAUTI VYAKE HADHIM🔥🔥🔥
@TapiwaPhiri-s4h
@TapiwaPhiri-s4h Ай бұрын
Wana conde worldwide❤❤❤nipeni nitoke nimekawiya 😂😂😂
@simcoolkenya3079
@simcoolkenya3079 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKDFaYuQlMuIpdUsi=-U1cY-WKenEZ_Ysm
@divelianjohn1049
@divelianjohn1049 Ай бұрын
Oooh guys...... what a collabo between Nandy and harmonize🎉🎉🎉
@ZaiZainabu-o4p
@ZaiZainabu-o4p Ай бұрын
Wooh very song❤❤❤
@mwnaiditina2246
@mwnaiditina2246 Ай бұрын
Nakupenda sana Nandy❤❤❤❤❤
@edwardnelison7485
@edwardnelison7485 Ай бұрын
Pure bongo flavor 🎵🎶🎶🎶🎶🎶🎶⭐⭐✅⭐⭐✅⭐⭐⭐✅⭐✅✅⭐💥💥 bombo claaaaaat
@bayaulemsee
@bayaulemsee Ай бұрын
Kila mtu anaitisha tu za konde mimi nipeeni za African princess ❤✌️
@ezekiel-b3d
@ezekiel-b3d Ай бұрын
Very nice song🎉Anayekubaliana na Mimi🖐️
@PatriceKabwe-h3q
@PatriceKabwe-h3q Ай бұрын
Tuoneshe umendo wetu hapa ma fans wo HARMONIZE ❤, n'a mrembo wetu Nandy🇨🇩🇨🇩
@fatimejamal1686
@fatimejamal1686 Ай бұрын
Nandy ..she always kill it🎉🎉🎉🎉
@KelvinKapsara
@KelvinKapsara Ай бұрын
leo nmekua wa 76 like ya harmonize kutoka Kenya ❤❤
@GenerousAzard-fq1ym
@GenerousAzard-fq1ym Ай бұрын
😂😂😂 huta ongezewa tu tupo hapa boooooooooo🎉🎉🎉
@JEANS-TZ
@JEANS-TZ Ай бұрын
Noma sanaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Iamjaysimple
@Iamjaysimple Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/noq8pplvjMmXmposi=JDsj8QxavsAnOdvv
@edisonotieno4660
@edisonotieno4660 Ай бұрын
Nandy has waken up,she is not giving the young wanna bees time,she is the queen,harmonize is also killing kwenye vocal
@SparklingMontana
@SparklingMontana Ай бұрын
Very lit harmonize vibes 👌✌️
@inbobotv
@inbobotv Ай бұрын
Pongezi kwamwandishi Wetu konde yeye ndo kaandika nyimbo yote❤❤❤❤
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv Ай бұрын
Wallah Hili Goma Tamu mno Wote wameimaliza kazi naomba likes za kutosha tuwape nguvu Nancy na Mzee wa Kuumizwa na mapenzi Harmonize Konde Boy🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤❤
@NurahMummy
@NurahMummy Ай бұрын
Nandy hana kazi mbayaa aki❤❤❤❤❤
@AUGENSYLIVAND-rq7hz
@AUGENSYLIVAND-rq7hz Ай бұрын
Daaah tembooo❤❤❤❤
@KarimClaudinNana
@KarimClaudinNana Ай бұрын
Deux belles voix pour produire un song phénoménal. Bravo à vous
@KingRemy-vd8rn
@KingRemy-vd8rn Ай бұрын
Tim konde geng naomba liké zangu plz 🙏🙏🙏🇨🇩🔥
@KennyTozzy
@KennyTozzy Ай бұрын
Jamani Harmonizer Akiko oa ndoana pendeza zaidi kuliko kusema bombocraa
@Gwenke
@Gwenke Ай бұрын
Bomboclaaaa!!!
@IreneRogas-w4q
@IreneRogas-w4q Ай бұрын
Yaan Leo siku ya 4 nakuja kuangalia nakuta bado IPO namba moja ❤❤❤
@AgripinaGervas-i7i
@AgripinaGervas-i7i Ай бұрын
Waooo Ma Naya and konde, Congratulations to you all. Nyimbo n nzuri na imetendewa haki kabisa sauti zimetulia so mwaaaaa🎉🎉🎉🎉
Nandy feat Billnass - Totorimi (Visualiser)
3:52
Nandy - The African Princess
Рет қаралды 4,5 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН