Ubarikiwe sana baba, uwa tuna kupenda sana kwa mafundisho yako manzuri, Wala atufi mapema mpaka tumalinze kazi iliyo tuleta Duniani, tutaishi kwa neno la MUNGU mpaka tuta zeeka, Amen Amen 🙏
@BarakaKamara14 күн бұрын
Ahsante YESU! Wafanyewafanyavyo Mimi ndiye Kwa jina la YESU. Neno lako halitapita...
@rithersospeterkati230313 күн бұрын
Amen Amen Tumekuelewa Baba. 🙏🙏
@rithersospeterkati230313 күн бұрын
Kwisha imekuwa kwa jina la Yesu Christo. AMEN Amen. 🙏🙏
@BarakaKamara14 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu tunakupenda sana hakika wewe ndiye.
@cesiliamarua329912 күн бұрын
Hongera Sana kwa neno
@JonasiSebastiani13 күн бұрын
Amina Baba uko vizuri
@millicentochieng574012 күн бұрын
Amen and Amen🙏🙏🙏.
@simonmaganga782813 күн бұрын
Amina Baba
@BarakaKamara14 күн бұрын
Yote uliyosema YESU yatatimia,mimi ndiye mbarikiwa wa nafasi yangu hakuna wa kunizuia.
@SamwelJoseph-yk3cw14 күн бұрын
Majeshi majeshi, majeshi ya BWANA ameeeeeeeeeeen..
@JacksonMtenga14 күн бұрын
Amen amen 🙌🏾
@PastorPascalJoseph14 күн бұрын
Love you my dad!!
@beatricefilbert117114 күн бұрын
I love you dady❤❤❤❤
@beatricefilbert117114 күн бұрын
Yesu nisaidie mimi
@BarakaKamara14 күн бұрын
Neno la halitapita mpaka yote yatimie kwenye maisha yangu
Mungu ni mambo yote ndani ya yote. Kibaya ca dunia ni misongo yake na shetani ambae ni baba wa urimwengu ambae anatupiga mishali sisi binadamu mwisho tunashindwa na kuanguka
@rerisamba13 күн бұрын
Hata kama huyu mtumishi ni jasiri kweli yani uone nyoka umsubiri tu
@carolinenakirutimana155914 күн бұрын
Sasa baba niulize jambo moja, Wakati Mungu amemuumba Lucifer hakukua anajua ya kwamba atamuasi ?????? Kama vile adamu na hawa Mungu aliwaambia watunze shamba la eden na kuwakatali tunda moja i alikua anajua ya kwamba siku moja watamuaasi