Mungu akubariki sana Pastor,siku zote mafundisho yako yananitoa hatua moja kwenda nyingine na matokeo ninapata.
@ChristineMidevah2 ай бұрын
From the time nilikutana na mafunzo Yako, sai utu wangu wandani umeanza kufufuka now I can teach a word of God🙏🙏
@everinemasoka692320 күн бұрын
Amen Amen , Mungu ni mwema kwangu kwa makuu yake
@jerubetjoan202 ай бұрын
Thank you God, kwa madhabahu huu maisha yangu inabadilika.
@MbulaMary-qe3uxАй бұрын
Leo ni siku yangu ya pili nikisikiliza mafundisho yako umenijenga sana mtumishi27/11/2024 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ClareMalenya-e3m2 ай бұрын
Asante Sana mchungaji Kwa kutumika na Mungu kunifungua macho.wewe Ni wa baraka
@joselynenizi94753 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu ❤❤❤umenifundisha vya kutosha na umenikumbusha vitu vya muhimu Mungu akubaliki na akuinue zaidi
@cclarantsАй бұрын
Ushukuriwe Mwenyezi Mungu kwa neno lako takatifu. Nimebarikiwa sana tene sana! Bwana akuzidisiye zaidi mchungaji.
@DelphinSveinMavwali23 күн бұрын
Mungu aliye nipa Neema hii yakupata hii mahubiri akufanye nguzo katika dunia hii ili uokowe ma elfu na ma elfu za watu leo mumenifanya nijenge Mazabahu kwenye Maisha yangu maana nilikuwa mbali Sana na okovu hii Mahubiri hii yananifanya nijitambuwe katika mambo ya Imani yangu Amen
@rizikianastasie95932 ай бұрын
Amen amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 pastor acha Mungu akuongezee Miaka mingi ya kuishi kwa sababu tunakuitaji kwa kuendeleya kutulisha na kutufunza Maneno ya Mungu.MUNGU akubariki saana papa.
@RwagasoreDieudonne3 күн бұрын
Mungu akubariki nami anitie nguvu ili niweze kutenga vizuri muda wangu binafsi na MUNGU wetu
@NancyObure-e9h3 күн бұрын
Mungu akubariki sana pastor
@JecintaNyambura-sh2rzАй бұрын
From kenya wonderful
@MaryAndrew-p2cАй бұрын
Amen pastor nateseka na roho za madeni kuanzia leo no kukopa kwa jina la Yesu 😢 nimechoka nimejifunza kitu amen
@MaryNceeri2 ай бұрын
God bless you pastor George may the power of the Lord be with you forever.nilikuwa nasikiza kutoka saakumi mpaka saahii sijapka ata chakula nilipata chakula kwako kikanibaliki pastor nimbee nifunguliwe ndowa napanga sinabomolewa nimbee huku kwetu atusikisani mambo ya mashaba kwetu nasisi ni mandanda na ndugu muja tu na mengi nimeambia mungu akinijibu nita shukuru pasta naona kwetu ni mathabao tu yameinuka juu tume balikiwa nindoa tu na roho ya umasikini inapigana nsi kuolewa nawale wameolewa awanashinda lakini wataki awa wengine wabarikiwe wachache kama wawili wameblikiwa sana lakini awapendani muja Ako na roho ya wivu nasi nandiye abalikiwa sana na anachukia wengine wote nakutaka kuchukua shamba yote nakudanga nya baba musazi ili amununulie na amegaiwa yake na wengine hawana .pasta huyo ameata oleka na musungu huko zwissi lakini atosheki naomba pastor utuweke kwa maombi ata my sista inrow wanenda naye na ndiye jpeleka uyo ndandangu wende kutafuta miungu iliwapigane nasi lakini nivile mamangu alitufunza nakutulea Ina christian way tungekuwa tumebebwa nimesoma sana Leo kukaa kalibu na mungu uwa ni siiraha kwangu❤❤
@The1979bornagain2 ай бұрын
Asante sana Mch. George Mukabwa. Ni somo la mwaka Jana 2023 lakini kwangu mimi nimelipata na kulisikiliza leo tarehe 20/10/2024 na ni somo langu, limenifungua na kunibariki sana. Nasema na kukiri kwa kinywa changu nikisema Asante Baba Mungu wa mbinguni ktk Yesu Kristo Bwana na mwokozi wangu kwa kuniokoa na kunikomboa kupitia Neno lako lililoletwa kwangu na mtumishi wako huyu. Asante kwa ajili ya mtumishi wako Mch. George Mukabwa, endelea kumtumia, kumbariki na kumtunza ukimpa kila hitaji lake na familia yake Ili apate kuutangaza na kuujenga ufalme wako hapa duniani. Amina🙏🙏🙏
@JuneMagolanga3 ай бұрын
Asante Yesu,Roho Mtakatifu kwa fundisho hili barikiwa mtumishi
@NeemaSimion-x4z23 күн бұрын
Mafundisho yKo yana uvuvio wa roho sana mtumishi wa mungu.
@knightondiso14313 ай бұрын
a sante sana pastor kwa mafundisho yenye utaratibu na upole yananibariki sana ubarikiwe and live long to see the grace of the lord
@mariamselinaamango3 ай бұрын
Kwa hakika pastor umekuwa mwalimu kwangu nimejifunza mengi nilikua kwenye giza kwa muda mrefu mungu azidi kukutia nguvu 🙏🙏🙏
@fridafrancis19603 ай бұрын
33:41 😊
@vallemankini-yf6fb19 күн бұрын
Barikiwa mtumishi, Mungu akuze karama yako ya kufundisha ameni, nimepokea na natendea kazi.
@estherwilliam512522 күн бұрын
Be Blessed Man of God, karibu Moshi.
@NatukundaMathiasАй бұрын
Bwana wetu Yesu asifiwe sana muchungaji Mimi Niko uganda kampala ninabarikiwa na ujumbe kutuka kwako
@YohanaHeneriko2 ай бұрын
Asante mutumishi ukweli umenibadisha kwa jina la yesu kristo 24-10-2024
@getruderasi2 ай бұрын
Nashukuru Mungu sana pastor kwa Mungu kuniunganisha na channel hii nilianza na mafundisho ya jinsi yakuomba na damu ya yesu kwa kweli nilifunguliwa Mungu akuzidishie niema na heki mtumishi wa Mungu
@annbonareri3 ай бұрын
Amina Amina Amina glory be to God..mungu nionyeshe cha kufanyaa.halleluhyaaa.Amina
@Uplifiting2 ай бұрын
Asante Baba yangu kwa mafundisho haya. Hallelujah ❤❤❤
@NelsonNtungukaАй бұрын
Amina mtumishi Mungu azidi kukupa mafunuo zaidi
@JohnKamdeАй бұрын
Bwana yesu asifiwe pastar nipo Dar ninabarikiwa sana namaubili yako baba.
@DoreenMwenesi-o7h3 ай бұрын
Hallelujah mtumishi wa mungu🤝🤝🤗🙏🙏🙏🙏🙏,very soon napakata baraka zangu Hallelujah,,,,
@dorcastumaini22243 ай бұрын
Ubalikiwe pastor George umefanyuka baraka kwenye maisha yangu
@kamanzamwauchi2 ай бұрын
Ak pastor umekuwa wa baraka sana kwangu, God bless you, aendelee kukutumia🙏🙏
@davidtvonline60202 ай бұрын
MUNGU ibariki Huduma Ya JRC Mungu bariki Kanisa Lako..Amen Napata Amani Moyoni Kupata Mafundisho Yako❤
@mwendaAnnastacia-xy4ni3 ай бұрын
Amen.Amen.Amen Niko Mombasa Kenya Mtumishi wa mungu akubariki sana na usao wako umenijenga kiroho sana ...Almighty GOD bless you so much alot man of GOD
@kisangprisca83282 ай бұрын
Surely servant of God almighty, I have learned a lot through your service.I have not been consistent with prayers.May God give you more grace.
@annbonareri3 ай бұрын
Mungu akuinue zaidi mchungaji...unanitegeneza kila wakati...barikiwa sana from kenya ❤
@HaronKithinji-p3v26 күн бұрын
God loves you pastor George for your teaching
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen pstr barikiwa sana mutumishi wa Mungu naamiini Kwa jina la Yesu Kristo wanasareti nakupenda mufundisho Yako
@ZephaniaNdatulu3 ай бұрын
Thank God for that pastor tunajifunza mengi kutoka kwake be blessed pastor
@margaretwanjiru35923 ай бұрын
I thank God for a word in season am blessed and natamani niwe na Muda wa Siri na Mungu
@florencendellah93163 ай бұрын
mtumishi wa mungu niombee sana sababu naomba kweli kuna vitu zinanigiza katika maisha yangu kila ninacho kifanya kikitaka kufaulu kinaponyoka
@MbulaMary-qe3uxАй бұрын
Leo nikiwa naendelea na somo hili naamini majira yangu ya kuinuliwa yamefika kwa sababu nimekuwa kwa simu kwa miaka mingi ila ndio nimeweza kukutana namafundisho haya.1. nguvu ya maombi ya usiku wa manane lilikuwa ni somo langu la kwanza na sasa najifunza muda wangu binafsi na Mungu nashukuru Mungu kwa sababu una kila sababu ya kunikutanisha na Mtumishi huyu kupitia simu yangu
@ErnestOkiya3 ай бұрын
Nashukuru MuNGU kwanenolake lasiku yaleo Amen.
@RoseSila-qb8gq3 ай бұрын
Shalom nataka I kujua ni lini lile darasa ambalo alitangaza Past Mukabwa kwa Watumishi la Mtumishi Osanyu ni lini nipo Arusha natamani kuhudhuria
@wilfredmokoima5988Ай бұрын
I'm blessed by God Almighty through your teachings Mchungaji.
@nellykobadi81423 ай бұрын
Mungu akubariki pastor hakika umenifanya niwe chombo cha Bwana, Ubarikiwe sanaa sanaa
@BahatiMwantimwa3 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yako hakika nabarikiwa sana
@salomemrembo74823 ай бұрын
Muchungaji mafundisho yako yamenihimarisha mno kila wakati. Mungu hazidi kukutumiya tupone 🙏
@ndinahkibona2546Ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@JaquelineBandola3 ай бұрын
Maarifa uliyowekeza kwangu yamenifanya kuwa mwombaji mzuri sana tena kwa muda mrefu.nimeona MUNGU akinifungua mimi mwenyewe na kunipa macho naona.nina miezi saba sijawahi kuombewa na mchungaji wangu kanisani najiombea mwenyewe kwa kuwa na muda binafsi.
@adelinantangeki68653 ай бұрын
Asante sana pastor George leo nimejua sana maana ya muda binafsi na MUNGU. Barikiwa pastor.
@ebenga-m3p2 ай бұрын
Asante baba kwa hili somo nimelifata kwa faida kubwa kwa maisha yangu .l
@lilianshivinah-w1n3 ай бұрын
I thank God for you pastor be uplifted higher and higher
@MarthaKaroli3 ай бұрын
Gospel
@nizigamaviolette-ig9dlАй бұрын
Amen nimebarikiwa sana neno nzuri lahekima
@subilamwambingu84132 ай бұрын
Pastor, asante sana kwa some Zurich, imenisogeza hatua mbele
@NAGHEEGEOFREY3 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Alie hai yaani YEHOVAH
@NuruPatrickMwakitwangeАй бұрын
Mungu akubariki
@ESTAMBOMA3 ай бұрын
Ubarikiwe sana kwasababu nimejifunza kuwa na muda wangu binafsi kwaajili ya kuwasiliana na mungu
@yvettembavu93063 ай бұрын
Nashukuru saaaaaana Pasteur George Mukabwa tena Asante kwa mafundisho😊
@MAGDALENAURIO-jq3ip3 ай бұрын
Asante yesu kwa neno niwezeshe kuwa na mda binafsi na mungu
@WillingtonMagbell-bi5py2 ай бұрын
Thank you servant of God, Timely message. God bless you🙏
@GraceKivolwe3 ай бұрын
Hallelujah nimefatilia haya mahubiri nashukuru mungu sana mtumishi ubarikiwe sana 🙏
@NeemaZono3 ай бұрын
Asante kwa ajili ya neno lako la uzima. Mtumishi wako abarikiwe sana
@GladysRaha2 ай бұрын
Amen Mungu akubariki pastor
@theresiagisberth61972 ай бұрын
Mungu naomba unifunulie katika jina la Yesu
@mercymwasha39933 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu. Neno hili limenijenga sana
@neemarajabu44143 ай бұрын
Mungu akubariki pastor umefanyila chombo cha Mungu kusema nami
@juliensemiteja94643 ай бұрын
Mungu akuzidishie zaidi ubarikiwe ninafurahi mungu nimwema
@CarolineSanita3 ай бұрын
Ubarikiwe pastor kwa hakika umenifungua macho ya kiroho
@ProcopiusProtase2 ай бұрын
Pastor asante Sana umenifungua kwel nilikua gizan Simon la Leo ni zuri Sana ubalikiwe❤
@JACINTAANGWENYIАй бұрын
Nilecheshwe katika jina la Yesu 🙌🙌🙏
@TruphenaBusieka3 ай бұрын
Amina pastor .maombi ya blanket n a shuka imeisha
@angelamturi22072 ай бұрын
Yaani, kumbe tupo wengi
@bashiboroko41583 ай бұрын
Asante saaaaaaaana baba kwa neno hii umenitosha chini na kuniweka juu Sana Asante Tena baba
@caxtonojiambopreaching2 ай бұрын
Huduma hii imekuwa baraka kwangu sana tu., Watching you from kenya"Mombasa"
@jescarwegoshola17543 ай бұрын
Asante Yesu kwaajili ya Mtumishi wako huyu,nimeongeza hatua.
@MagrethMoria-bl4tx2 ай бұрын
Amina , Mungu nisaidie niwe na siri na Mungu
@AkiliBeatrice3 ай бұрын
Amen Baba kwa kunijenga nimepokea kitu muimu sana kwa maisha yangu ya kiroho
@upendomollelu72602 ай бұрын
Mungu AKUBARIKI paster George.
@evak81223 ай бұрын
Very powerful sermon man of God, I am blessed my spiritual father be blessed ed ur family more grace Amen
Naona kama mungu alikutuma kwa spirit yangu, hakika umegusa kila kona ya Maputo ya maisha yangu.🙏🙏🙏🙏
@judithtaki97403 ай бұрын
Hakika nimeguswa na ibada hii mingu akubariki sana !
@siaedward21912 ай бұрын
Amen Pastor 🙏🤲. Napokea 🤲🤲🤲
@CharleneArakaza-x6j3 ай бұрын
Past Joe kiukweli mimi ni mgeni katika hii Chanel lakini maubili yako yamenisaidia sana mungu aendelee kukuinua 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@mercymwaisaka81333 ай бұрын
Pastor mercy mwaisaka from Kenya... God bless you my mentor 🙏
@lucyndunge69343 ай бұрын
Following from Kenya,barikiwa mchungaji
@MargaretRehema-s2l3 ай бұрын
Mungu akubariki pastor, nabarikiwa na ibada zako
@nyabuyakemunto90343 ай бұрын
Thanks pastor Such teachings ni adimu sana. More grace man of God . From kenya
@KipembeNsajigwa3 ай бұрын
Ubarikiwe sana Pastor kwa mafunuo makubwa yenye mashiko nazidi kufunguliwa kwa masomo yako
@mawazomarceline8992 ай бұрын
Asente baba ubarikiwe na mungu
@NdayishimiyeFrançoise-f3f2 ай бұрын
Asante sana.unafuna.kbs.ubrikiwe
@RoseChai-t9z3 ай бұрын
Asante Sana mtumishi ubarikiwe Sana
@NivessKomba3 ай бұрын
Amina. Asante kwa mahubiri mazuri paster
@AgnesBarasa-s1e3 ай бұрын
Pastor mungu akubariki sana mafunzo yko yamenisaidia sana
@magrethmkemwa92873 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu na wanaojiandaa
@barakagminga57283 ай бұрын
Najifunza vitu ving Sana kwako Mungu azidi kuku tumia baba
@veronicankhwazi79543 ай бұрын
Mungu akulinde pastor George nakusikiliza kutoka Australia kuna kitu kikubwa nimejifunza leo sikujua nisali vp, kumbe hata barua naweza kumuandika Mungu na akanisikia.ubarikiwe sana.
@celinamushi77003 ай бұрын
Ninakwenda kuinuliwa kwa jina la Yesu.. Amen
@BupeMagesaАй бұрын
Mtumishi ubarikiwe saaana ninapata majibu yangu kupitia masomo yako