Watoke2 hao chinga wazinguaji wanajaza mitaaa haipitiki na wanakiburi kama arthi ya kwao
@kikalarashid90033 сағат бұрын
Jamani, acheni uoga wa maisha, huwezi fanya biashara barabarani. Tafuteni sehemu nyingine mfanye biashara. Acheni kutisha watu na uvunjaji wa Amani!!
@RahmaOmar-k3c3 сағат бұрын
Mtihani sana jaman 😢😢😢😢😢
@vom843 сағат бұрын
Ifike mda Kariakoo kuwe kusafi , watu wanatoka mataifa mengine wanakuja na wanapata usumbufu.
@ikrissaidrissa86133 сағат бұрын
Damu tu! 😂😂😂😂
@Afrikalove7366 сағат бұрын
Nikikumbuka ule msemo mtanikumbuka. Magufuli bado tunakukumbuka baba yetu,ulitupigania sana sisi wa hali chini,hasa sisi wamachinga,Mungu azidi kuku laza mahali pema peponi.