Poleni sana mliofiwa na ndugu zenu huu ni msiba mzito sana, mungu awatie nguvu majeruhi wote, awaponye haraka mrejee kwenye shughuli zenu za kawaida. Amen 🙏
@hawaelymaricca76025 сағат бұрын
Duuuh Jamani poleni sana na marehemu Wapumzike kwa Amani, Nichukue nafasi hii kumpa pole Rais wangu kwa kipindi hiki kigumu cha ajali pole sana mama.
@mariecruz9215 сағат бұрын
Duh huu mwezi tuombe sana ulinzi wa Mwenyezi Mungu.
@DudddyWhyCant3 сағат бұрын
Unajua huu mwezi magari mabovu ndo yanafufuliwa, mwezi wa biashara kwa watu wa mabasi.
@dullaxaka61385 сағат бұрын
Daah mwaka ukiisha huwaga kuna ajali za hovyo sana
@chrisostommchalange2 сағат бұрын
Hata hari ya gari lenyewe linaonekana, limechoka muda kabla ya ajari kiukweli.
@razackpaulo63755 сағат бұрын
Daaaa maisha yanakupeleka yanakohitaji huyo mtoto maisha yalimpeleka kwenye kifo yalimpitiza kwako.
@RonnieBertin2 сағат бұрын
Unatelemka Mlima na unakimbia
@RenaldaZeramula4 сағат бұрын
Basi za kichina janga,
@emmanuellupiga4 сағат бұрын
ukipanga safari siku iz ni kuomba sana Mungu ukifika na kurudi salama peleka sadaka ya shukrani aise ajali gani hizi daily?
@hilalymshana83853 сағат бұрын
Bus za kuundwa mitaani kilamtu fundi now wakutengeneza bus
@hawaelymaricca76025 сағат бұрын
Lakini nalo linaonekana bora ni bonus.
@edmundnkarangu1344 сағат бұрын
Haya Magari ya Kigoma to Bukoba mengi yamechoka.Ushauri Traffic wapunguze Rushwa ili magari kama haya yasiruhusiwe kutembea kuokoa roho za watu yaan unasafiri na gari lishaozean hadi unaenda unaangalia barabara chini na usiombe mvua inyeshe maji yanapita chini.Rip😭😭😭🙏