KARIAKOO: GHOROFA ZA TOFALI HAZIFAI.

  Рет қаралды 6,000

WACHOKONOZI

WACHOKONOZI

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@Hits_s5
@Hits_s5 8 сағат бұрын
Kaka hii nizaidi ya darasa 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@BakariFatuma
@BakariFatuma 11 сағат бұрын
Hii nchi imeoza ..watu ni wapumbavu ..sasa hiyo sehemu Ina viongozi waliruhusu vipi ujenzi ufanyike wakati shughuli zinaendelea wafanyabiashara kwenye Hilo jengo walikubali vipi ujenzi ufanyike wao wakiwa ndani Watanzania tuamkeni basi mbona tumelala saana😢..Yani kuanzia viongozi wa eneo Hilo , mafundi na mwenye jengo wapate adhabu Kali ..Tujifunze kutoa sadaka wapumbavu wachache wanaofanya uzembe ili iwe funzo .. 😐
@Norrisnoriega
@Norrisnoriega 13 сағат бұрын
DIZASTA VINA nyimbo inaitwa shahidi alizungumzia aya mambo kitambo ikoooo
@rajabhussein-e3f
@rajabhussein-e3f 12 сағат бұрын
Sio nyimbo bwana ni wimbo
@PizzaBoy-w1g
@PizzaBoy-w1g 14 сағат бұрын
Duh mwamba unakili sana👏
@JojiWangi
@JojiWangi 12 сағат бұрын
We huna 😂😂😂😂
@BillySmart-n3y
@BillySmart-n3y 14 сағат бұрын
Nikweli kabisa umeongea kama Kuna jengo litaanguka, #wachokonozi 4real and FACT FACTS.... NYUMBA ZINAINGILIANA KAMA IZRAEL WALIVYO WAJENGEA WATU WA GAZA 🌍🌍🌍 BARA LA AFRICA HAIWEZJ KUENDELEA KWASABABU YA FUNGA NA MAOMBI KABISA 😢😢😢 ONA WATU WANAVYO POTEA KWASABABU ZA MIJENGO ZAKIKOLONI....
@farajakwilasa471
@farajakwilasa471 4 сағат бұрын
✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿mmeelezea vizuri sana maisha marefu kwa wote wapenda naendeleoo
@yesseikungu7828
@yesseikungu7828 13 сағат бұрын
Kiukweli Tanzania hii hasa maofisini tunapofanya kazi, ukiwa na upeo flani mkubwa wa akili unachukiwa Sana. Humu ukiwa mbulula kilaza flani hivi mzee wa ndio kila kitu hata Kama ni cha kifala ndio unakubalika yani. Yaaani tutabaki nyuma kutoboa ni ngumu Sana.
@PhocusKifaluka-uw7ip
@PhocusKifaluka-uw7ip 3 сағат бұрын
Kwa kwel mnaongea point sana. Next naomna mzungumzie mamlaka husika katka upande wa majengo. Maana Hadi jengo linaanguka nltgemea mamlaka husika ziwe walau na datails na kuchukua hatua dhid ya jengo husika. Na s jengo husika TU majengo yote yanayojenga na kuboreshwa. Tunatakiwa kutumia akil sana katka nchi inwyojtafuta kwende kuwa developing .
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 2 сағат бұрын
Nawakubali sana Niliskia Kuna mdada anaita Yesu lkn wapi
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 14 сағат бұрын
Mipango ya wapumbavu😅😅😅😅 jamaha akili kubwa😅😅
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa 42 минут бұрын
Safiiiiiiiii
@alexandersangi1724
@alexandersangi1724 10 сағат бұрын
Umeongea point sanaaaa kuhusiana na swala la vifaah vya kunasa watu wakuwepo chini ya udongooo. Inashangaza Sanaa na nilishangaa Sanaa kuona wanaleta dude la kuchimbia majumba na mitaro kuokolea watu.
@IsayaJoseph-v3s
@IsayaJoseph-v3s 14 сағат бұрын
Umeongea vizuri sana
@JovinMaftah
@JovinMaftah 14 сағат бұрын
Kazi nzuri
@WilliamKyando-u3z
@WilliamKyando-u3z 7 сағат бұрын
Broo nakuelewa sana ila nina shida na mawasiliano yako nataman kujua ving toka kwako
@NyotamweziNyotamwezi
@NyotamweziNyotamwezi 11 сағат бұрын
Blooo izo ndo ojaa Leo Mme ongea point sana
@kwisa4899
@kwisa4899 13 сағат бұрын
Lile jengo niuzembe mkubwa sana,yani unatindua jengo chini lilosimama kuongeza jengo lingine chini arafu tunasema shetani kasababisha
@SimonShoo-m4b
@SimonShoo-m4b 12 сағат бұрын
Hahaha siasa
@AntonyBitakaraa
@AntonyBitakaraa 8 сағат бұрын
Wachokonozi mjengewe sanamu aseee Mmekuja kwa style ya kipekeee kiukweli mnazngmza uhalisia
@crecknerz5661
@crecknerz5661 7 сағат бұрын
Huyu jamaa namkubali saana nikija TZA nitamtafuta.. anaongea fact saaana na still ana energy 💯
@richardkonzo5717
@richardkonzo5717 13 сағат бұрын
Nilitegemea leo ungeongelea kwanini ulisema kuna jengo litaanguka? Nini kilikuonyesha kuwa kuna jengo litaanguka? Na je ulimaanisha jengo hili ambalo limeanguka au jengo lolote? Kama Mtanzania Mbona hukutoa tahadhali ya moja kwa moja kwa wafanyabiashara wa kariakoo ili wachikue tahadhari mapema??
@alexpatson8941
@alexpatson8941 11 сағат бұрын
We unafikilia angetoa hiyo tarifa angesilizwa .
@awemaqway1201
@awemaqway1201 21 минут бұрын
Ila pamoja na yote hata ukihesabu ngazi ,Huwezi jiokoa kwnye ajali kwa sababu huwezi jua ajali inatokea upande gani, na ajali gani inatokea
@Kakajambazitv..
@Kakajambazitv.. 15 сағат бұрын
WACHOKONOZI FROM USA “
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 6 сағат бұрын
Uko vizuri
@PaskaliStanley
@PaskaliStanley 27 минут бұрын
Kweli umeongea fact
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 14 сағат бұрын
Wachokonozi😅😅😅
@SanguloRaahoo
@SanguloRaahoo 12 сағат бұрын
Ni vzr kwa mafundi wa majengo kama haya watoe elimu ya jengo linachukua tons ngapi mana watumiz wanaweka mizigo tu lile jengo limezidiwa na mizigo😢
@KainiMwakyeja-g8d
@KainiMwakyeja-g8d Сағат бұрын
Wachokonozii. Ni motooo
@renatussimon5886
@renatussimon5886 10 сағат бұрын
Napataje vitabu vyenu
@leoncemboyerwa
@leoncemboyerwa 14 сағат бұрын
Robots Detector Droney
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 11 сағат бұрын
Wachokonelewa mambo vp fire brigade awana ata excavator muda wa uchelewaji ndiyo umeeuwa watu ni uzembe au?😢😢😢 Nimeumia
@saimonmizingo7485
@saimonmizingo7485 6 сағат бұрын
Hawa jamaa waangaliziwe ofsi maalum kwa ajili ya kuishauli serikali lakn waache upumbavu wa kufuatilia dini
@danctheyoung
@danctheyoung 3 сағат бұрын
Nawaelewa sana walimu
@amandamian5732
@amandamian5732 14 сағат бұрын
Unataka kuwa rais nn😀😀😀
@bwiremgonya1394
@bwiremgonya1394 10 сағат бұрын
Very ordinary
@yohanakateko
@yohanakateko 13 сағат бұрын
Nawakubali
@emanuelmbaga
@emanuelmbaga 4 сағат бұрын
Nchi haina heat signature hata moja ku detect watu chini ya ardhi au kifusi kuokoa wote ni muda sana... tujipange upya. Uongozi ujitafakari. Wachokonozi mmekuja kufumbua macho watu
@ShedrackFaustin
@ShedrackFaustin 11 сағат бұрын
0:32 tofari haziusiani na ghorofa kudondoka, inssue itakuwa nguzo na upana wa jengo kwachini na kulinganisha na urefu wa kwenda juu, havina uwiano
@ERENEUSKAIJAGE
@ERENEUSKAIJAGE 3 сағат бұрын
Alimanisha yangetumika material tofauti na tofari katika kujenga ingerahisisha uokoaji
@DaniMwambula
@DaniMwambula 9 сағат бұрын
Kweli bro antenna yangu inafanyakazi saiv
@personalcomputer1208
@personalcomputer1208 12 сағат бұрын
😂😂😂 daaah nimeanza kuwaelewa
@salehkhelef828
@salehkhelef828 8 сағат бұрын
Jeshi la wananchi wakwapi
@Norrisnoriega
@Norrisnoriega 13 сағат бұрын
Kwenye katalog 3 za dizasta vina kuna nyimbo yake inaitwa SHAHIDI alizungumzia aya mambo bt alizungumzia kwa dizaini ya meli iliyo zama
@barakamgira9206
@barakamgira9206 7 сағат бұрын
Tunawaamini kinoma kumamaezenu
@GwamaksmsyaniGmsyani
@GwamaksmsyaniGmsyani 10 сағат бұрын
Daaah kweeeeli mashujaaah
@mosesmarekan
@mosesmarekan 15 сағат бұрын
Kweli kabisa wakuu zangu
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 4 сағат бұрын
Bangi mbaya sana
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa 40 минут бұрын
Sjawahi kuona mwenye jina abdala mwenye akil
@angelousnyisalya
@angelousnyisalya 6 сағат бұрын
❤️❤️
@lil-masougee7388
@lil-masougee7388 8 сағат бұрын
Usimtolee mfano yule jamaa aliyepgiwa simu nakuongea unachosimulia hapo . Kwa wakati ule na mazingira alokuepo unafikiri atabaki na akili yake ya kawaida. Mimi nahisi huyo jamaa unaemuhiji anaongea kwa mihemko tu hapo
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 12 сағат бұрын
Kwahy watu wanaombea nini sasa😂😂😂😂 watu wa dini wengi wao ni vilaza
@omytifa6403
@omytifa6403 9 сағат бұрын
Watu wa din sio vilaza fanya adabu
@alijuma8009
@alijuma8009 13 сағат бұрын
Intelligence yetu more outdated
@Aviero_07
@Aviero_07 11 сағат бұрын
9:10 📌 Sabuni ya ubongo 🧠🙌
@RobsonLugomi
@RobsonLugomi 3 сағат бұрын
Zamani nilikuwa najua hawa jamaaa wametumwa kumbeee wako serious wanamanisha
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 9 сағат бұрын
Kuna madini yana kuja sikilizeni kwa makini lai
@EmmanuelMagesa-u1g
@EmmanuelMagesa-u1g 10 сағат бұрын
10:34
@JohnGerald-nd2lp
@JohnGerald-nd2lp 2 сағат бұрын
shule zipo, sasa elim gan kwa mfano kk!? Madhara ya rushwa. Incompetence kila sekta kwakwel worse things are coming
@SifaelMpagike-gt1gz
@SifaelMpagike-gt1gz 6 сағат бұрын
Hii ni zaid ya professor
@abdallahmillanzi8305
@abdallahmillanzi8305 58 минут бұрын
🅞🅝🅖🅔🅡🅔🅝🅘
@SamsonSamsonkayanda
@SamsonSamsonkayanda 10 сағат бұрын
Nawaamini sana wachokonozi
@alexandersangi1724
@alexandersangi1724 10 сағат бұрын
Your's don't believe in region and God but you talk words about God and you wear clothes which is property of regional.
@NguvumasterHilalySelemanhemed
@NguvumasterHilalySelemanhemed 13 сағат бұрын
Unasema hakuna mungu hiyo pepo ni ya nani.?
@godluckdenismalisa8736
@godluckdenismalisa8736 12 сағат бұрын
mfano raisi wa kueleweka kiuraisi
@richardkonzo5717
@richardkonzo5717 6 сағат бұрын
@@NguvumasterHilalySelemanhemed Kuna time hawa Jamaa wanajichanganya sana. Japo mi bado msimamo Wangu ni ule ule, hawa Jamaa sehemu ya Elimu waliyoipata wameiamini kwa kiasi kikubwa sana, lakini Elimu haina mwisho, hawa bado hawajapata Elimu zaidi ya hii inayowasumbua Na kuaminisha watu ambao kiuhalisia hawana hiyo Elimu waliyonayo wao. Wanajua kama wanajua lakini mi ninaamini hawajui kama hawajui, ipo Siku watajua au wasijue kabisa
@IsraelRugina
@IsraelRugina 8 сағат бұрын
Kumbe kuna sehemu inaitwa peponi😂😂
@moriskadungula9353
@moriskadungula9353 8 сағат бұрын
Leo peponi kumbe ni existing place.
@AngelBakrana
@AngelBakrana 5 сағат бұрын
Ako kajamaa nikazuli bas tu uyo kibarakashie anakafunza tabia mbaya 😂😂😂
@PhocusKifaluka-uw7ip
@PhocusKifaluka-uw7ip 3 сағат бұрын
Kwa kwel mnaongea point sana. Next naomna mzungumzie mamlaka husika katka upande wa majengo. Maana Hadi jengo linaanguka nltgemea mamlaka husika ziwe walau na datails na kuchukua hatua dhid ya jengo husika. Na s jengo husika TU majengo yote yanayojenga na kuboreshwa. Tunatakiwa kutumia akil sana katka nchi inwyojtafuta kwende kuwa developing .
Trick-or-Treating in a Rush. Part 2
00:37
Daniel LaBelle
Рет қаралды 46 МЛН
ЛУЧШИЙ ФОКУС + секрет! #shorts
00:12
Роман Magic
Рет қаралды 38 МЛН
Perfect Pitch Challenge? Easy! 🎤😎| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 93 МЛН
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU, 18 NOVEMBA, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,9 М.
#zandaaani SIRI YAFICHUKA KUHUSU KUTIMULIWA KWA GAMONDI YANGA
5:56
DAR INAONGOZA KUWA NA VICHAA
12:02
WACHOKONOZI
Рет қаралды 1,1 М.
Israeli settlers make West Bank olive groves a battleground
6:10
Channel 4 News
Рет қаралды 95 М.
DUNIA (Ep 21)
18:02
ASMA FILMS
Рет қаралды 28 М.
JESHI LETU LINA SHIDA?
7:53
WACHOKONOZI
Рет қаралды 4 М.
Trick-or-Treating in a Rush. Part 2
00:37
Daniel LaBelle
Рет қаралды 46 МЛН