STAKI YEYOTE AJUE NAPATA WAPI KIPATO |

  Рет қаралды 41,900

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

2 жыл бұрын

#shangazi #fatmakarume #jahazi
Fatma Karume anaeleza hataki yeyote afahamu ni wapi anapata kipato chake kwani wapo watu wenye roho mbaya ambao hapo awali waliamua kumpokonya kipato chake kwenye upande wa Sheria. • #JAHAZI

Пікірлер: 147
@fadhilplatnumz8474
@fadhilplatnumz8474 Жыл бұрын
Tz watu niwaoga saana Veema ✔️ sana Shangazi👍
@abdimsagati9667
@abdimsagati9667 2 жыл бұрын
Shangazi yupo vizuri
@agathamathias6980
@agathamathias6980 2 жыл бұрын
Changanya Naza Kwako Bac Na Ww!
@georgeedwin4855
@georgeedwin4855 2 жыл бұрын
The BEST WUESTION AND THE BEST ANSWER I HAVE EVER HEARD. CONGRATULATION AUNT FATUMA
@nasibumaiko6096
@nasibumaiko6096 2 жыл бұрын
Shangazi nakupenda sana
@kodackdeblack7982
@kodackdeblack7982 2 жыл бұрын
😂😂nimependa huuu msisitizo aliompa presenter 😁😁 Na ndo maaana nimesema 😍😍😍... we love you shangazi
@abdulkareemchacha2625
@abdulkareemchacha2625 2 жыл бұрын
Congratulation Madam,you spoke the truth generally,all Tanzanians they have something to learn properly.
@ashuuu282
@ashuuu282 2 жыл бұрын
Sahangaz wenye akili wamekuelewa
@markkayuni9775
@markkayuni9775 2 жыл бұрын
Fact fatuma 🫶
@mikidadymohammedy7603
@mikidadymohammedy7603 2 жыл бұрын
Nakuelewa dada ftm
@latifahali8228
@latifahali8228 2 жыл бұрын
I really love you Shangazi
@elifasimwigema1327
@elifasimwigema1327 2 жыл бұрын
dada ukopoa Sana tukopamoja Sana
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 2 жыл бұрын
Katiba YA TANU imesema kila mmoja anahaki kusema n kutoa MAONI..lkn sio hivyo kila ataesema anayewagusa wanafatwa kwa njia pekee n kujeruhiwa au mfano wa hayo
@V24hrs
@V24hrs 2 жыл бұрын
This is shangazi that i know.❤❤❤Long live Shangaz😘😘😘
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 Жыл бұрын
Shangazi mungu amekupa akili nyingi za kuweza kusema vizur bila hufikiria sana mungu ni mwema
@geraldluiso6792
@geraldluiso6792 2 жыл бұрын
Ongea mama hii inchi ni huru na uhuru wamazo ni haki yako ya msingi ya kikatiba.
@norbertmwashiga8850
@norbertmwashiga8850 2 жыл бұрын
Huyu mama kaongea kabisa kuwa wingereza katika sheria ya freedom of speech matusi yanaruhusiwa sawa sikatai vipi Tanzania ni London watu wangu embu chambueni vitu msiwe washabiki sijui lini tutaweza kujitegemea kama nchi kila kitu waingereza wamesema mara wamarekan wamesema jifunzeni kitu jamani
@amourmtungo623
@amourmtungo623 2 жыл бұрын
🤔Kweli, great point🤛. Ni hudhuni sana, skia skia Mtanzania pata elimu na amka kwa kusema, kukosoa na kuelimisha jamii. Usiogope kama hujatukana au kufanya hujma yoyote. Kama tuko huru kwanini tunaogopa kuikosoa serikali🤔?
@malkavoice2570
@malkavoice2570 2 жыл бұрын
Fate kaongea kitu adimu sana nahisi hichi kitu chadema pekee wanakijua ila ukifukunyua ccm hupati mtu msomi mwerevu kama huyu. Mungu akutangulie uje uwe Raisi wa Zanzbar dadayetu,we jasiri kuliko.
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 2 жыл бұрын
Zanzibar ipi? Baba yake katuibia na kuchukua maeneo kila kona ya visiwa vya Zanzibar, mbona hamsemi? Hana moja huyo, maneno tu mengi..
@gulionigulioni3234
@gulionigulioni3234 2 жыл бұрын
@@hasnuumakame9219 wewe ndio pimbi hauna ukisemacho kinachoingia akilini. Upo nje ya mada iliopo ubaoni. Wazanzibar acheni uzwazwa punguzeni urojo unawadumaza ubongo.
@godfreybitakama9845
@godfreybitakama9845 2 жыл бұрын
Kweli uoga umetufikisha hapa tulipo
@pandungozi1072
@pandungozi1072 Жыл бұрын
Shangazi weeeee👏👏👏😅😂😀👍
@suleimansuleiman1127
@suleimansuleiman1127 2 жыл бұрын
Sahihi
@zaipazzi9490
@zaipazzi9490 Жыл бұрын
🤝🙎nakupata kabisa
@oyay2821
@oyay2821 2 жыл бұрын
Shangazi Fatma ni mbobezi katika masuala ya sheria, ni aibu serikali ya Tanzania kumfungia mwanasheria huyu haki yake ya kufanya kazi za kisheria. This lady should be a lecturer in a school of law.
@Janett_Thomas
@Janett_Thomas 2 жыл бұрын
MKUNDU KWELI WEEWE UNAFIKIRI SCHOOL OF LAW NI MKUNDU WA MBWA WAKO
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 2 жыл бұрын
@@zanzibarboyzanzibar509 Na pia baba yake kachukua maeneo tele ya visiwa vya Zanzibar na kuyafanya miliki yake binafsi..
@gulionigulioni3234
@gulionigulioni3234 2 жыл бұрын
@@hasnuumakame9219 sikilizeni kinachoongelewa hapo na sio uzanzibar Mpo nyuma kielimu pia katika mada ya Fatma. Wala urojo mba taabu mno.
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 2 жыл бұрын
@@zanzibarboyzanzibar509 ww ndio humjui shangazi. Alishamsema sana mshua wake.
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 2 жыл бұрын
@@zanzibarboyzanzibar509 hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaa mi sitaki hadith bhana fuatia interview zake zingine nyingi tu. By the way kumpenda na kumchukia mtu ni utashi wa mtu mwenyew. Hata km angeua mm ndio nmeamua kumpenda
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 жыл бұрын
mefulai sana leo kumuhoji bibi saf sana🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤣🤣🤣🤣
@mwalimudavidkizazihuru
@mwalimudavidkizazihuru 2 жыл бұрын
❤❤❤
@ralphandrea3766
@ralphandrea3766 2 жыл бұрын
Fact
@jonathansirkintungi7434
@jonathansirkintungi7434 2 жыл бұрын
Wewe mtangazaji hutoshi kuhoji huna uelewa mpana jifunnze kwanza.
@thabitbatenga1775
@thabitbatenga1775 2 жыл бұрын
Waandishi uwezo wenu mdogo kumhoji Fatma,fatma ni sawa na Ulimwengu inabidi uwe na uwezo mkubwa kuweza kumhoji,next time mjiandae vizuri ili sisi tuelimike na mijadala hii
@ramadhanmakame1328
@ramadhanmakame1328 2 жыл бұрын
Hahaha, yaonekana hivyo
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 2 жыл бұрын
Ndugu. Yangu. Mwandishi. Apoo. Mulipoo. Mujuwe. Munamuhoji. Mbobezi. Wa. Sheria. Shupavu. Shanghai. Fatuma Karine. Ni. Mwamba. Uyoo
@kiatu
@kiatu 2 жыл бұрын
Karume ana struggle sana kuzieleza hizi concepts, kajiumauma sana.
@hanifawaliya7976
@hanifawaliya7976 2 жыл бұрын
shangazi mamboo
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 Жыл бұрын
Confidence ni kitu kzr sana
@johnurio1900
@johnurio1900 2 жыл бұрын
Ila kwenye siasa umetutenga Sana ndg.
@libeberu
@libeberu 2 жыл бұрын
Mojawapo ya interview mbovu kabisa, unamwalika mtu for interview ya saa moja na nusu, unaweka matangazo dakika 87, unamhoji dakika 3
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 2 жыл бұрын
Je freedom of speech tunayoifuata TZ pia inaruhusu kumtukana mtu? Hii FOS ni universal au ni specific kwa kila nchi. Wataalamu mtuelimishe.
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 2 жыл бұрын
SHANGAZI 100% UMEONGEA UKWELI WATU WANAISHI KWA KUIOGOPA HIYO UNAYOITAJA ATI INAUA? LAZIMA TUIOGOPE MAANA NI KAMA KIJIWE CHA SHETANI TU.
@abedomar5183
@abedomar5183 2 жыл бұрын
Clouds fm. You need new microphone 🎙️ please
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Anazidi KUKAUKA huyo SHOGA,...hana Nuru, kabaki kama KIBWENGO
@saveyourgenerationtv9928
@saveyourgenerationtv9928 2 жыл бұрын
Hadi kufikia kesho utasikia clouds wamefungiwa na TCRA ..wasipofungiwa mniite mbwa Niko pale nimekaa.
@godcompeter9844
@godcompeter9844 2 жыл бұрын
Mbwa
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 2 жыл бұрын
😂🤣😅
@urbandigitaltz
@urbandigitaltz 2 жыл бұрын
Mbona haijafungiwa
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
HAHAHAHAHA sawa
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 жыл бұрын
Mbwa umekaa pale. Nishakuita 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@williamruto3103
@williamruto3103 2 жыл бұрын
Yaani WEW UNATAKA sindio!!!!!!
@MrEdYKgb
@MrEdYKgb 2 жыл бұрын
Jamani mtaiponza clouds yangu msiwaamshe wenye vyombo vyao
@nsabimanaabedi541
@nsabimanaabedi541 2 жыл бұрын
Baadhi ya Watu wa twitter wanahongeye matusi Sana kwamfano kusema serekali ya kishenzi?
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 Жыл бұрын
Achana na huyo mvuta bangi. Hana la maana la kuwaambia watanzania.
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 2 жыл бұрын
Naina. Shanghai. Unawadaridi. Haoo. Waandishi. Woga
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Kanangoma hako kanatafuta wakufa nae
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 жыл бұрын
Fatuma Anataka uongozi tu of Hakuna jipya.Wivu kwa mama Samia Kibao Kasumba tu.Hawezi kuongea sentensi bila kuchanganys kiingereza,balaa kabisa ja Wote hatuelewi kiingereza.Tusimchague huyo Fatuma NI balaa Tupu
@ashamohammed3612
@ashamohammed3612 2 жыл бұрын
Mbona na. Babu. Yako aliuwa. Sana a. Watu. Na. Yeye humsemi Usiseme. Ya. Wenzako. Na. Yako. Uyaseme. Ama kweli. U Kweli. Hufichwa. Ubaya huanikwa.
@jan6703
@jan6703 2 жыл бұрын
Acheni kujaribu kumkatisha mnayemsaili wakati anaongea ,🤐
@princekagame8203
@princekagame8203 2 жыл бұрын
Shangazi unaumwa au mbona sura imechakaa hivyo umekuwa kama bi kidude!!!! Loh mwambie dkt wako akchunguze
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 жыл бұрын
kilomita zisha endaaa 50 saiv uyo
@edwardmunanilaedward8280
@edwardmunanilaedward8280 2 жыл бұрын
Mbona hata siku moja haongelei Zanzibar?
@florameza1028
@florameza1028 2 жыл бұрын
Kumbe nawe unajiuliza kama mimi
@musasabuu2808
@musasabuu2808 2 жыл бұрын
Zanzibar ni Tanzania
@edwardmunanilaedward8280
@edwardmunanilaedward8280 2 жыл бұрын
Ningependa atoe tuhuma zake moja kwa moja kwa rais Samia kama ambavyo alikuwa akitoa tuhuma kwa hayati Magifuri.
@edwardmunanilaedward8280
@edwardmunanilaedward8280 2 жыл бұрын
@@sahimm4767 serikali ya mapinduzi inaongozwa na ccm kama ilivyo ya muungano, sasa inakuwaje hata siku moja hajasema lolote kuhusu kuhusu ccm zanzibar kuwa madarakani.
@gulionigulioni3234
@gulionigulioni3234 2 жыл бұрын
@@sahimm4767 kama nini mbona hutaji sasa?
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 2 жыл бұрын
Dah! Jamani mtoto wa retired president mnauliza anapata wapi kipato? Mbona wajomba zetu tu tunawawwzesha iwe binti wa mstaafu raisi? Au hamjui raisi mstaafu analipwa kiasi gani?
@highvoltages4169
@highvoltages4169 2 жыл бұрын
Rais akistaafu analipwa 80℅ ya mshahara wake aliokua akiupokea akiwa madarakani
@gulionigulioni3234
@gulionigulioni3234 2 жыл бұрын
@@highvoltages4169 Fatma Karume ni friza open huyo mpunga upo wa kutosha mno tena hata afanye fujo zote za kidunia haziishi. Babu rais, baba rais, baba mdogo balozi. Shangazi sio mwenzenu kimaisha.
@ahmadajafari88
@ahmadajafari88 2 жыл бұрын
Huyo ,Fatma Karume Anafaa aolewe na Tundu lisu wanajidai Wanajua kila kitu.kum be wanatumiwa tu na wazungu tuwemacho
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 2 жыл бұрын
Mmemchokoza wenyewe mnaamgalia nini nyuma ..huyo ndio Fatma haogopi kitu kwenye maisha haya ..wemye hofu nyie...
@highvoltages4169
@highvoltages4169 2 жыл бұрын
Haogopi kwakua ni mtoto wa mhe.Rais Karume na baba yake bado yupo hai
@gulionigulioni3234
@gulionigulioni3234 2 жыл бұрын
@@highvoltages4169 hata baba yake akifariki ndiyo itakuwaje kwani?
@highvoltages4169
@highvoltages4169 2 жыл бұрын
@@gulionigulioni3234 muulize Adv.Peter Komba mtoto wa marehem Cpt.Komba alupofariki mzee wake ,angalia misukosuko anayoipitia
@tamimuomulungi2102
@tamimuomulungi2102 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/q32cdnukatqAfdk&feature=share ukweli ndo. Huu
@MegaCaeser
@MegaCaeser Жыл бұрын
Dada Fatma, a.k.a. Shangazi, unaongea maneno mazuri sana, lakini hayaendani na uhalisia wa mifumo ya "MAMLAKA" zozote duniani; iwe Tanzania, Ulaya, Marekani n.k. Kila mamlaka zina mipaka ambayo haitakiwi kuvukwa. Jiulize nini kiliwatokea Jamal Khashogi, Julian Asange, Edward Snowden, watu wa hukohuko unakojaribu kuuaminisha umma wa watanzania kuwa kuna uhuru wa kusema/kuandika. Ukiheshimu MIPAKA ya MAMLAKA ya Tanzania hakuna atayekugusa, lakini ukijiaminisha kuwa unao uhuru hata wa kuvuka mipaka hiyo, shauri zako😄
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 жыл бұрын
uyo agopi nimtoto wa rais ndomana awafanyi cchte unge kuwa ww kajamba nani zamani gn saiz tuna kumbuka jina lako alikua magu na akumfanya cchhte kule
@jumamussa2689
@jumamussa2689 2 жыл бұрын
Hofu ni ujinga
@bakarali3863
@bakarali3863 2 жыл бұрын
اتفي الله يا أختي استري رأسك ..أنت مسلمة.
@boazmliwa2709
@boazmliwa2709 2 жыл бұрын
هناك حياة خارج الدين ، يجب أن يُمنح الإنسان حريته
@medimisi6930
@medimisi6930 2 жыл бұрын
jaid
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 2 жыл бұрын
@@boazmliwa2709 من قال لك هذا الكلام
@boazmliwa2709
@boazmliwa2709 2 жыл бұрын
@@yusufmohamed8874 لا داعي لأن يقال لي ، باختصار ، لكل شخص الحرية في الاعتقاد ، ولست بحاجة إلى معرفة إيمان عمتي وأنت لست مقياس إيمانها أيضًا .. دع عمتي تفعل ما تعتقد أنه صحيح. . الله هو المتحدث الأخير وليس الإنسان.
@koburungomubahasha2207
@koburungomubahasha2207 2 жыл бұрын
Ok kumbe niivo nami nmeona
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 2 жыл бұрын
Hivi huyu shangazi kaolewa?
@judyngowi391
@judyngowi391 2 жыл бұрын
Ana mchumba
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 2 жыл бұрын
@@judyngowi391 😁😁😁 haya bhana maana simuelewagi mambo yake
@judyngowi391
@judyngowi391 2 жыл бұрын
Hicho kichwa kukioa unadhani kazi rahisi! Hapo apate msosi mwenzie, tena sio msomi mbabaifu
@hazimboy114
@hazimboy114 2 жыл бұрын
Copy ya Bi. Fatma Jinja
@norbertmwashiga8850
@norbertmwashiga8850 2 жыл бұрын
Shida ni kuwa tunapenda kuinga kwamba sheria iliyoko wingereza na kwetu iwe sheria hatuendi ivo watu wangu Tanzania 🇹🇿 tunatakiwa tuwe na tamaduni zetu.na ndio maana wameanza ndoa ya jinsia moja na hapa bongo mnataka iwe haki,TUKIWAPELEKA ULAYA KUSOMA TUNATAKA MNOE VICHWA ZENU KUJA KUSIMAMA NA INCHI HATUWATUMI KWENDA KUCHUKUA TAMADUNI ZA KILE MTULETEE HILO LIELEWENI SANA TUSIISHI KWA KUKALIILI
@nasibumaiko6096
@nasibumaiko6096 2 жыл бұрын
Hujui Sheria tunazotumia uliza Kwanza kabla ya kulaumu
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 2 жыл бұрын
Mbona upo nje ya mada😁 serikali yako haitaki kuambiwa ukweli period
@husseinkarim9211
@husseinkarim9211 2 жыл бұрын
P
@saidimpako5186
@saidimpako5186 2 жыл бұрын
Sasa ulaya muliwapeleka wakafanye nini kwanin wasisome tamaduni zetu
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 жыл бұрын
Kushambulia siyo kutoa maoni
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Hakuna kushambuliwa kuna kupewa ukweli sasa ukiwa huutaki ukweli ndio wanasiasa wakageuza kuwa unashambuliwa
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Shangazi Muungano wetu ukoje kwa ujuzi wako?
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 жыл бұрын
@@w4058 Shangazi anasema kumkashifu kiongozi ni sehemu ya kutoa maoni. Sasa vaa viatu vya kiongozi. Watu wawe wanakukashifu tu kwa kisingizio cha kutoa maoni. Utajisikiaje?
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 2 жыл бұрын
Hanna anayeamini hivo ni huyo muuliza swali. Peleka uzungu wako huko
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Afya ya akili ya huyu mtu nadhani haiko Sawa,,,
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 2 жыл бұрын
Afya ya akili ya kwako tu ndio iko sawa.
@zehrahaji1566
@zehrahaji1566 2 жыл бұрын
Km YAKO pia
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
@@zehrahaji1566 unateseka ukiwa wapi?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
@@jumamohamed3168 unateseka ukiwa wapi?
@yusuph9981
@yusuph9981 2 жыл бұрын
Ni kwel uyu mama akili yake inaonekana ana stress sana that's why hawez elezea kitu kinyooke watu wamekoment negatively but ni kwel akil yak haiko sawa kuna vit vina m-drive inside
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 2 жыл бұрын
Mbona baba yako hujawahi kumshutumu wakati alipokuwa Rais wa Zanzibar wakati kulikuwepo na mambo ya hovyo kule kwenu.Nakumbuka Kuna wakati fulani baba yako mdogo balozi Ali Karume alishawahi kusema kuwa wewe Fatuma huna adabu na umejaa jeuri.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 жыл бұрын
Mama hakuna uhuru kama huyo sehemu yoyote duniani. We tuambie kwa nini Julian Assange kakamatwa??? Na ndio ulaya na marekani. Edward Snowden kwa nini anatafutwa na Marekani???
@filamupictures9349
@filamupictures9349 2 жыл бұрын
Yule alikuwa anatoa classified information, ambazo nyengine aliapa kutozitoa, yani mfano, kuna nafasi na nyadhifa ambazo mtu akizipata anaapa kutunza siri zake mfano baraza la mawaziri huapa kutunza siri, sasa ikitokea umefuja siri hilo ni kosa hata ni freedom of speech, assange alikuwa na nafasi na aliaminiwa kupata taarifa nyeti kwa nafasi alizowahi kuwa nazo, akakiuka akatoa siri, anahukumiwa kwa kiapo chake alichoapa
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 жыл бұрын
@@filamupictures9349 Tatizo la wazungu Wapo double standard yani kinacho wafurahisha wao ni uhuru wa kujieleza “freedom of speech”ila kinacho wakwaza kwao ni jinahi “crime” The wikiless ni taasisi huru Ya kuvumbua uhalifu popote unapo fanyika. Swali la kujiuliza je serekali Ya Marekani haikufanya yale makosa? Na kama walifanya nani wakuwawajibisha? Tatizo la hawa kina Shangazi yani wao wanakandandia kila kitu bila kuja na wazo mbadala na mpaka sasa walio kuwa wakimkandia kesha ondoka ila bado wanankankania ishu zile zile. Ulaya wamefungia TV zote Za mrusi ikiwemo RT. Kwa nini wamefanya hivi? Ni kwasababu hawataki watu wajuwe upande wa pili kina nini.
@rehemamajaliwa
@rehemamajaliwa 2 жыл бұрын
@@sonnyr1899 humfahamu Fatuma aseee ...ungemfahamu usingeongea hayo... Fatuma hakandii bali anaonesha weakness / challenge na kutoa solution like what should be the correct position to stand with...kila anachochallenge lazima achallenge kwa hoja kikatiba....
@florameza1028
@florameza1028 2 жыл бұрын
Huko haoni
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 жыл бұрын
@@rehemamajaliwa Namfahamu vizuri sana Shangazi na alikua na ukakasi mwingi kipindi cha Magu ila siku hizi kapowa sana kwa kuwa mambo ni mazuri labda? Kuna hoja nyingi Za kutetea wananchi mfano Leo wa Masai wanachangamoto na ardhi Ya Ma Babu zao na hadi damu kumwagika ila kwenye hayo hayupo wenyewe wanankankaniya tu uhuru wa kujieleza kujieleza kila siku wimbo ni huo huo wakati watu wanadhulumiwa ardhi Za mababu zao. Hakuna anae kata uhuru huyo ila sisi bado hatujafika ktk kujipima na ulaya. Wazungu wamejenga miji yao mizuri na mahospital mazuri na barabara nzuri kisha wamemaliza wanarudi kutuambia sisi tusijenge tutunze mazingira Alafu twende kutali kwao.
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 жыл бұрын
Kumkashifu mtu haiwezi kuwa ni sehemu ya kutoa maoni. Labda huko Uingereza, lakini kwa nijuavyo hakuna mtu anapenda au anafurahi kukashifiwa.
@zakkan9474
@zakkan9474 2 жыл бұрын
My friend vuka boder njoo Kenya criticism mpaka rais anapata. Tofauti ya matusi na kukashif ni two different things.
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 жыл бұрын
@@zakkan9474 Ina faida gani kumkashifu au kumtukana Rais? Nafikiri tunatakiwa kudai maendeleo badala ya kudai uhuru wa kutukana
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 жыл бұрын
@@ellymaz2187 Uko mji gani nikununuliye nyama choma na Pepsi baridi??? Umegusa ninapo pafikiria. Yani sijuwi uyu uhuru wa kila siku kutukana unahitajika tu kwenye serekali zetu Za Afrika.
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 жыл бұрын
@@sonnyr1899 Asante sana.
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Nyie maana ya kukashif hamuifahamu kukashif ni kusema ukweli bila ya kuficha na kwa uhakika hayo wanakosolewa hawakashifiwi n
@raymondmsuya7127
@raymondmsuya7127 2 жыл бұрын
Usidanganye watu unalindwa na position ya baba yako .
@zehrahaji1566
@zehrahaji1566 2 жыл бұрын
Hiyo siyo sababu na tundu lisu je atasemaje km uelewi tulia dawa ikuingie
@EliyacostantinoPius
@EliyacostantinoPius 2 жыл бұрын
Akili fupi..Sasa position ya baba yake inakujaje ??unamfaham fatma wewe??
@raymondmsuya7127
@raymondmsuya7127 Жыл бұрын
@@EliyacostantinoPius ukimfahamu wewe inatosha c mama ako
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 жыл бұрын
Kama wewe ni malaya au mwenda uchi
@jamespeter2187
@jamespeter2187 2 жыл бұрын
Peleka ujinga wako uko
@florameza1028
@florameza1028 2 жыл бұрын
Mbona ss hivi umefunga domo na yanayotokea ?? Halafu ss hv UMEZEEKA kweli wakati wa baba yako ulifunga domo fyoooooooo
@johnnytravo
@johnnytravo 2 жыл бұрын
Pongezi kubwa sana kwa wanawake 🙏 kzbin.info/www/bejne/n4rNmp2ci5KMiNk
@virendavictoria5174
@virendavictoria5174 2 жыл бұрын
shangazi kaongea kitu kikubwa na muhimu mno
@hamissalum8604
@hamissalum8604 4 ай бұрын
Elimu ndogo ni sumu sasa kuongea kupo ilakuelewana ndio huwa shida watu tunao changia hatutofautishi kati ya uhuru wa mtawaliwa katika kuikosoa serikali, na makosa wanayo kosolewa.huyo Dada yukokisheria, serikali inapokosea isilinde makosa yake kinachotakiwa kurekebisha au kuacha. Asijuwa neno haambiwi neno.
SIJARUDISHIWA LESENI | FATMA KARUME | KUHUSU FAMILIA
11:47
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 33 М.
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Salama Na Shangazi Ep 28 | FIRST BORN Part 1
41:43
YahStoneTown
Рет қаралды 124 М.
FATMA KARUME; BABU YANGU ALIULIWA NIKIWA NA MIAKA MITATU.
1:57
YahStoneTown
Рет қаралды 16 М.
Fatma Karume: sijali, nitasema tu
0:55
DW Kiswahili
Рет қаралды 11 М.
100% Smooth Passes 🤯
0:35
Miro Football
Рет қаралды 10 МЛН
Три футболиста попали за решетку 😓
0:45
КИК Шорт!
Рет қаралды 749 М.