SHUKRAN KWA ORIGINAL KASHA LANGU. JAZAKA LLAHUL-KHEIR.
@naimaalkaff87694 жыл бұрын
Although am in my late teens, but this song is my favorite... napenda alivyoiimba habib saleh zaidi
@MrBagabwa9 жыл бұрын
Finito!!! Can never forget those beautiful times,just amazing and its what keeps us going thru these chaotic and unpredictable times......
@davidmwarangu57717 жыл бұрын
usifanye makelele, melipa mengi mapesa... proud to be kenyan
@beatriceabilla15377 жыл бұрын
This is realy a Golden Song my husbnd worships it japokua haelewi chochote am very praud to be kenyan
@Kingstonbagamoyo3 ай бұрын
Kasha langu la zamani alietunga ni nani,mbona hajulikani tokea enzi za miaka hamsini ,funguo yake haionekani,mombasa au Zanzibar
@hemmysaleh35212 жыл бұрын
It's originated in Mombasa Kenya, Mombasa was part of Zanzibar Empire.
@nababyahayaatt.24222 жыл бұрын
J'adore ça
@kajikaone6 жыл бұрын
Loooove this song Kasha langu la mkarafuu 💜💜💜
@slymanmassaun741810 жыл бұрын
Kasha langu kitambo sana leo nimeisikiliza kwamakini sanna
@40hamdan14 жыл бұрын
kasha langu lazamani kweli nizamani
@dennismacdenniton59433 жыл бұрын
Mmm wimbo huu kuna pahala limesemekana limeimbiwa Mombasa ....na nikaamini Mfano alilovunda maguu-alilovunja nuguu kwa wazanzibari...lero badala ya leo(Zanzibar)...acheni maongo pia mushrooms waliimba pia kwa beats zao
@davidmwarangu57717 жыл бұрын
great and timeless song. but is it from kenya or zanzimbar? .. ... alolifungua nani, amelivunda maguu. .... kuvunda badala ya kuvunja ama maguu badala ya miguu..... that is swahili from lamu. makaafuu-mkarafuu...... melipa mengi mapesa....
@khalfanbini51006 жыл бұрын
from Zanzibar, we are all one people
@kajikaone6 жыл бұрын
David Mwarangu nani kaimba huu wimbo?
@ibrahimmohammed56305 жыл бұрын
One of my favourite song origin from Mombasa
@salimsaliim52215 жыл бұрын
It's a Kenyan song no doubt
@naimaalkaff87694 жыл бұрын
David Mwarangu it’s kenya
@mwendeobol78219 жыл бұрын
Naipenda taraab kutoka Zanzibari sana.
@simenyasikhulu12 жыл бұрын
Is this the original Kasha song ama ni replay? All the same it takes me to days nilipokuwa mdogo. Good stuff.
@simenyasikhulu2 жыл бұрын
Hakika.
@cassidycarter36359 жыл бұрын
love Zanzibar
@khalfanshikely81688 жыл бұрын
best song ever.
@NAlawi-xh3xn7 жыл бұрын
Nice song and never dies.
@rahmatozin66557 жыл бұрын
very true !haifi milele
@abuudhabi89499 жыл бұрын
kasha nalitumia vizur lina raha zke
@hllmm77ail5810 жыл бұрын
mungu amrahamu Ameen
@shahidamohammed28637 жыл бұрын
who has the lyrics of this amazing song
@iriswinter97097 жыл бұрын
Kasha langu la zamani kasha lisilo tumbuu yenye harufu ya ndani na ufunguo ni huu, Alofunga ni nani amelivunja maguu? Kasha muundo kwa kale si muundo kwa kisasa ni kazi ya watu wale si Baniani Mombasa. Usifanye makelele melipa mengi mapesa. Kasha la mkarafuu madubuti sawasawa lenye harufu ya fuu muda ukilifungua lanukia karafuu na waridi lisotiwa. Mafundi wote wa kale kwa hivi sasa hapana na walobaki wa vile kabisa hutawaona. Ilobaki mvulele na kazi sijaiona. I have also a translation: The box I had so long possessed, the box that had no bolt, inside it had a pleasant smell, and here I have the key. Who then opened it and broke its legs? It was a box of old-fashioned shape,no modern construction, it was the work of those people, not of the Mombasa Indians. Do not make a noise, I paid a lot of money. My box of clove-tree wood, solidly made, with the smell of coconut-shel;l when you open it it smells like a clove, and like a flower that was never put in. [It smells like something that was never there.] All experts of the old days, [agree] that such a thing is not found today, and those who remain from that time, you will never see them now. What is left is foolishness, but good work I have not yet seen. I took this from: Knappert, Jan (1974) "Fifteen Swahili Songs", In: Bulletin of the School of Oriental and African Studies, 37, 1, p. 124-136.
@ladderssnakes17556 жыл бұрын
Iris Winter thank you
@erickmabongah1986.2 жыл бұрын
@@iriswinter9709 Thanks
@hashimalyan34310 жыл бұрын
of course its better than the original
@RADIOMASTFM11 жыл бұрын
NICE!
@beatriceabilla15377 жыл бұрын
I love the Song
@adamboy37958 жыл бұрын
Ni nani jamani alie lifungua hili kasha langu? maneno yenye uzani
@aliissa66327 жыл бұрын
Mashaallah
@chubeally52935 жыл бұрын
Jazaaq llah kher.mashallah
@afropanorama47306 жыл бұрын
irudi zanzibar ya zamani🤔🤔🤔🤔
@saidmzee54713 жыл бұрын
wanasema imeimbwa Mombasa kwani Kenya kuna mkarafuu?
@fatmaabdallah8488 жыл бұрын
super ajab
@beatriceabilla15377 жыл бұрын
There is this Song La paloma Swahili Version plz if somebody knw It hook me up, i wil apreciate