Kama bado unaisikiliza 2020 gonga like. One of my favourite song. Kila niuzikilizapo na pata hisia za kipekee sana. Sauti nzuri ya Sabah.
@azawahirtoufiq92364 жыл бұрын
am here july 2020 💕
@fatmaabubakhar79943 жыл бұрын
Hisia gani wapata si uniibie siri😂😂😂😂😂😂
@robertfabian80903 жыл бұрын
Fatma, kuna hisia nadhani hazina neno au maneno ya kuzielezea na ukijaribu kuzieleza utaharibu au utapoteza maana halisi, inabaki kuwa ndani ya moyo wako. Kiukweli naposikiliza huu wimbo ninakuwa kwenye ulimwengu mwingine kabisa.
@zuennarashid56303 жыл бұрын
2020 september now i am looking
@mr.magic7717 ай бұрын
its 2024 and its still my best taarab
@jamaalabubakar12116 жыл бұрын
Maa shaa Allah...Allah Atujaalie wake wema,watakaotupa utulivu na walio na huruma kwetu.....bila shaka mke mwema ndio pepo ya duniani....Rabby yatakabalie maombi yetu...Allahumma Aamiin
@muslimahmuslimah48945 жыл бұрын
Ameen Yaa Rabb
@irynesaid845217 күн бұрын
Allah akufanyie wepesi inshaallah🤲🙏
@qaltumsaid30954 жыл бұрын
2020 anyone??👌
@henrymapunda4602 Жыл бұрын
2022 🎉
@ahmadakishingo19354 жыл бұрын
Daaa kidato cha tatu 1996 siku hizo Mungu marehemu shwahiba wangu (Rukia Kaumbwa) alikuwa anapenda kuimba wimbo za Sabah na kuzipata kama zilivo
@suhailasuleiman5895 Жыл бұрын
Pole sn rukia alikuwaa anakaa kwa chimbeni eh
@mohammedmkomi90875 жыл бұрын
DAAAH HII NYIMBO INANIKUMBUSHA MBAALI SAANA 2003 NIPE CHEKECHEA BABA ALIKUWA NA REDIO NDOGO HIV YENYE COVER YA MBAO MCHANA AKIRUDI SHAMBA ALIKUWA ANACHUKUA JANVI ANATANDIKA CHINI YA MZINGAFURI ANAFUNGULIA TAMTAM ZA MWAMBAO.
@barkemtika15752 ай бұрын
Ukiisikia huu wimbo lazima usisimke na kama mmeo yupo mbali lazima umpigie cm sabah mashallah
@muslimahmuslimah48947 жыл бұрын
Duniani Mithili yako hapana, Na peponi tutakutanishwa tena. My favourite song Ma shaa Allah.
@allyumar41423 жыл бұрын
Yah nice song taarab of all time.
@zainhemraj59652 жыл бұрын
Wazamani
@bigmzazee29613 жыл бұрын
Nilikua nampenz Wang 2013 2014 alikua mzanzibar halida hajj aliupenda wimbo huu sana dahh alichonifanyia ashkur mungu tu inauma sanaa alikua anaupenda wimboo huuu nikiusikia roho inauma mnooo ngoma tam sn
@jumazamani8410 Жыл бұрын
Dah zenji enzi izoooooo nakumbuka tunachambua karafuu dah siku zimepita mungu ailinde Zanzibar yetu
@aminamahmoud87845 жыл бұрын
Eeeh jamani kama unaskiza hii 2019 jun,piga like
@greatiq82344 жыл бұрын
Kunnipata ndipo!
@saidmohamed30494 жыл бұрын
Top song
@samiramrabumrabu63784 жыл бұрын
2020 still here
@faizaafif4 жыл бұрын
2020
@pambasr23454 жыл бұрын
2020 juni na bado naiona faya
@mwinyirogoh23897 жыл бұрын
jamani naikumbuka hii nyimbo sana2 baada yakumpoteza mchumba wngu wakwanza! mola aiweke roho yke maalipema insha Allah tutaonana my....!!!
@zainabbukari19106 жыл бұрын
Mwinyi Rogoh pole sana kifo cha mahaba ya shakila pia
@abubakarkeya96345 жыл бұрын
Mola akufanyie wepesi
@alialibablly70104 жыл бұрын
Pole sana Ameen mkumbuke kwa Dua na swalah na sadaka
@salimnassor91534 жыл бұрын
Jamani mimi nyimbo sipendi hasa, na nailazimisha nafsi yangu hivyo, lakini nikisikia hivi vinanda vya kuanzia tu kwanza, inanibidi nisimame kama dakika 5 mpaka 10. nafsini mwangu najihisi kua mnafiki, Astaghfirullah.
@aminasalim67823 жыл бұрын
Pole sana wangu Allah ampe kauli thabit
@mkambijuma43275 жыл бұрын
waw yuko wapi mtoto aliembuka na roho nzuri na heshima zako akaniweka moyoni mwake na nikamuweka moyoni kwa dhat akaniimbia nyimbo kama hii ya allah hebu nikutanishe naye.
@emmanuelmasoko10138 ай бұрын
Hizi ndio Taarab Sasa, hizo zingine boringo, gonga like hapa 2023
@AhmedAbubakari5 ай бұрын
Sabaha anajua sana huyu jmn
@ismailmjeshi19847 жыл бұрын
wapenzi wa sabah hamjamboooooooo..............
@zainabbukari19106 жыл бұрын
Ismail Mjeshi atujambo penda sana sabah
@ismailmjesh47076 жыл бұрын
+Zainab Bukari Sabah hatar ww...mithili yke hakuna....
@tarrickaziz93275 күн бұрын
Tupo
@nassoryussuf36393 жыл бұрын
Nyimbo tamu sana, inaburudisha ba kufunza pia. Fasihi ndo hii jmn
nyimbo hii inanikumbusha mbali sana,majonzi furaha sina upo mwangu mawazoni ni maneno yanayonitowa machozi,mama amejuwa kuimba jamani
@eddyali84087 жыл бұрын
Wanigusa rohoo ynguu kwa maneno yko mwili wote hoi mums sabah lv so much .... hapa Musa chothaz kutoka italy
@khakeemafro62748 жыл бұрын
Dahh kitambo kweli kipindi icho najiandaa kwenda madrasa saa nane mchana zinachezwa kwenye kipindi cha burudani sauti ya Zanzibar radio
@zenazena94725 жыл бұрын
khakeem afro daaah sabah unazeeka na sauti yako, mwanamama unaipa tasnia ya miuzi ya taarabu raha tupu
@mzeemzee24675 жыл бұрын
Zikipigwa mbili tu muda tayari wa kwenda
@Anonymous000185 жыл бұрын
Hahahahaa mbio na mas-haf yako unakimbilia, duh! Alhamdulillah time flies
@omaralihamad37855 жыл бұрын
Hahaha
@greatiq82344 жыл бұрын
Mwanangu wacha tu. Mi nilimtumia cousin wangu kule UK 1998 akaning'ang'ania!
@kibibimwaita24385 жыл бұрын
Miaka mingi lakini haishi hamu old gold
@philcoism4 жыл бұрын
This is my second best song after Yalaiti ya Bi Malika. "Mpenzi mwenye imani, mimi nakupenda sana."
@preetyroshylne14756 жыл бұрын
Nataman kukuona,majonz furaha cna umo mwangu mawazon dah ...Kazi nzur bi sabah
@paissomwiny28023 жыл бұрын
Mashaa llah
@hajiomar70266 жыл бұрын
Masha Allah inanikumbusha mbali sana iko wap Zanzibar yetu hii
@haroubjuma51074 жыл бұрын
This song makes m to feel happy when i was home Zanzibar islands god bless Zanzibar i love Zanzibar
@shabanndabari59587 жыл бұрын
mpenzi mwenyewe imani,mi nakupenda sana
@suhaybabeid31154 жыл бұрын
Cjaona mwengine km ww sabah salum i like your taraab mashallah love my grand mom for give us good entertainment thanks😀😀 and last that i want to tell you everyday i listen your taraab😭😭 am cry coz of your good taraab. THANKS😍😍
@ra.darai1 Жыл бұрын
جدتي مره قالتلي ان كلما اشتاقت لجدي تسمع هالأغنيه🥺
@bittybitty27124 жыл бұрын
Jamani naipenda hii nyimbo sana yana mama kaimba maneno matamu nakumbuka kuee huyu mungu ampe maisha marefu
@MohdMubaraka3 ай бұрын
Kwa mimi nakumba nyimbo hii kipindi cha mchana kwenda chuoni
@mussahaji45985 жыл бұрын
Sabah hapo uliongea vizuri enzii hizooo inanikumbusha siku hizooo tunapanda daladala Chai maharage bububu
@nassirsafari23383 жыл бұрын
2020 who's still listening....Swabaha mchacho ameweza sana.... +254
@faroukmahmoud81114 жыл бұрын
Reminds me of my wedding night 23 years ago. Lost for words. Beautiful.
@kareemrasheed69978 жыл бұрын
Nice song wallah ng`ombe hazeeki maini nyimbo hii inankumbusha udugu wangu diana
@nugwimpemba31836 жыл бұрын
dah yaan huyu mama nyimbo zake sikomii kuziskiliza every day nakumbuka kulee zenji maeneo ya mji mkongwe hukos ngoma hiyo i like this sabah salum
@abdallahalmugheiry88847 жыл бұрын
wakti wa Zanzibar raha na mapenzi watu wakipenda na kuheshimiana
@allyderossi97425 жыл бұрын
Abdallah Almugheiry:Sasahv ukitaka H.I.V aahh wala ucwe na wacwac,,kisiwa chote wandengereko wamekiharibu wanatoka kwao na njaa zao wanakj ku2haribia na cc.
@peterjunior68117 жыл бұрын
dah Sabah mkali sana Ila wabongo hatumsifu mtu mpk AFE
@zainabbukari19106 жыл бұрын
Peter Junior siwashazoea micharuko dar live kaka miaka sabaha penda yy
@cpasalma15325 жыл бұрын
Natamani natamani kukuona
@mohamedmgwami59874 жыл бұрын
naikumbuka Zanzibar ile yazamani Imani nyoyoni mwa Watu ilikuwepo, watu waliheshimiana, kupendana kuhurumiana, Mabaya tunayoyasikia nakuyaona Leo hayakuwapo wakati ule
@zubyzubymohamed41037 жыл бұрын
Me mwezenu feeling beat za uyu mama zote na sauti yakee OMG🎹🎹🎹🎸🎸🎸🎼Nataman! nataman! nataman! kukuona OMG Majozi furaha sina humu mwangu mawazoni ...😘😍😌
@zainabbukari19106 жыл бұрын
Zubyzuby Mohamed yani sijui nani atamuwezea minamtamani nimuige
@ashahaji49367 жыл бұрын
hamna km mume wangu Yussuf Allah bless my hubiy
@wahidahabibu82747 жыл бұрын
mashaallah najiona mm ndo naiimba juu yakitanda namumewangu ananisikiliza...mashaallah sabah
@zainabbukari19106 жыл бұрын
Wahida Habibu sana tu wahida atamie nshisi ivyo
@halimamajid40425 жыл бұрын
Hahahahaa....hongeraaaa
@lailahasan22004 жыл бұрын
Mashaallah,, inaniumiza hii nyimbo kumkosa wa moyon, aise mungu ndo mjuz cha tu....
@cadabra74022 жыл бұрын
Kabisa
@hamisihamisi54456 жыл бұрын
Huu wimbo unanikumbusha Mlandege Mtumbani Zanzibar.
Hii taarab inanyongonyeza moyo yani ipo na udhini sana kwenye kinanda chake wallah nimechwa mie nataman kumuona mwanamme huyo ata njiani wallah😢 mimi nampenda sanaaa Ally❤
@musachotara74128 жыл бұрын
mums sabah wanigusa mahali kwangu jamani naumia sana tena sana
@tarrickaziz93275 күн бұрын
Wimbo wangu pendwa wa muda oteeeee❤ hii kitu haiachi roho inataka tuuuu 😅
@circulationnewhabari1547 жыл бұрын
nampenda sana huyu mama inshaallah Allah akujalie umri zaidi hakuna kama wewe kwenye tasnia yaa taarabu tanzania
@zainabbukari19106 жыл бұрын
circulation newhabari sana akuna mashauzi tu yamewajaa mavi matupu
@mohamedshaaban74127 жыл бұрын
my feelings is going deeper,, it reminded of me when I was 8yrs my mom told finish to eat to go madrasa,,,, impressive 👌👌👌
@jacksonnzigo56425 жыл бұрын
Mohamed Shaaban z. nnnnnmnsssssmssc dDZra@#4=sA ¥a
@yusrahamza32082 жыл бұрын
Ahahahaa😆
@fadhelelfamawy22972 жыл бұрын
The same to me
@IdhharMKassim2 жыл бұрын
And yet here you are, listening to taarab
@mohammedally2247 Жыл бұрын
@@yusrahamza3208⁰p
@abdallakonyezo71976 жыл бұрын
Dah!!!....utamu mtupu Zama hizo taarabu ilikuatamu
@ismailmjesh74266 жыл бұрын
Abdalla Konyezo mom anjua jamani.....sauti tuuuuuuuu' nyimbo haramu lakn allah atusamehe
@fatemamudathir69317 жыл бұрын
Akheir Zaman.......wallahi wanikumbusha hapo awali ya mapenzi na ya Ayuoni wng. luv it
@Sumadobi2 ай бұрын
jamanii huu Wimbo uwiiiiiiiiiiiiiii natka kama nikamtunze mama sabah ❤❤❤❤❤
@sakinaabd58989 жыл бұрын
Sister sabah unanikumbusha zamani kwani pendo ni moja tuu wala hamna mithili kama unavyosema
@jumahamad80754 жыл бұрын
Nataman kukuona jaman sabaha mashallh sauti nzuri
@duncanmshila36144 жыл бұрын
Jameni 2020 na bado nyimbo ni hit ...naipenda maana yanipa hisia nzuri ...Love you Sabah Salum
@kiddatu75 жыл бұрын
Them dayz when love was real!!! Sometimes iwish I could go back to those days...it reminds me of my late wife...rip beb when ihear this song icant control my tears oooh!!! sleep well mpenz mwenye ulikua na imani kwangu
@farhatfatma124 жыл бұрын
Pole sana. ALLAH AMREHEMU NA AMPE PEPO YA FIRDAUSI.
@biabuali13714 жыл бұрын
Pole xana
@shabanially1754 жыл бұрын
Pole kaka kwa kuondokewa na mpendwa wako, Inshallah mtakutana kesho peponi.
@mozasalum97154 жыл бұрын
Abubakar Ali pole
@RioIpo3 жыл бұрын
Pole sana bro
@allymuchiri87674 жыл бұрын
Jamani!!!nikiwa ndani ya boat kismayuuu..huu mziki hatari sana karibu nijitupe baharini.
@abdulkheirmohd24898 жыл бұрын
This song reminds me soo much about my sweet mama
@nassorsultan46276 жыл бұрын
ABDULKHEIR MOH'D pole brother
@rahmakarama4202 Жыл бұрын
Mashaallah ni nyimbo nzuri na ukitulia kuisikiliza ndio ina raha yako heko Sabah nakupenda sana na nazipenda nyimbo zako na sauti pia hongera
@aishaimran-xg9de Жыл бұрын
2023 still Love this song
@salmamasoudy68424 жыл бұрын
na pepon tutakutanishwa tenaaa mpz mwenye iman mm nakupenda sasa mpk 2020 iko juu vya kale dhahabu
@mumsaida79947 жыл бұрын
Full Mahaba..Shukran Maa Sabah Salum...Mola akueke ❤
@ismailmjesh74266 жыл бұрын
Mum Saida kabsaaaa mum saida' allah amuhifadhi......
@omarjumaa92218 жыл бұрын
kidilu nyimbo zinanikumbusha Zanzibar nilipo zaliwa
@breakfr55494 жыл бұрын
HACHIMIA 🇰🇲 : NATHAMANI NATHAMANI MKUWONHA MWENYE HANI MWENYE HANI NATHAMANI MADJOZI FURAHA SINA MKU KWANGU MAHATSONI
@maiyakassim53024 жыл бұрын
Duh! Sikugani twakutana unitoe adhabuni wallah naumia sana nimekumbuka mbali Sana 😭😭
@gshdhshhshs33626 жыл бұрын
I feel home omg jamani nyumbani kwetu 😢2018 i miss home zanzibar mitaa yamchenzani jumba no 3
@fatmajuma92115 жыл бұрын
Duniani mithili yko hapana BABA yng mzazi na peponi tutakutanishwa tena inshaallah
@aisshamohamed34528 жыл бұрын
natamani kukuona.. nice song...
@goodluckkweka10118 жыл бұрын
that's fantastic
@omarjuma18887 жыл бұрын
Aisha Yusuf mambo
@bignaurathit54387 жыл бұрын
utamuona
@dddghkf78257 жыл бұрын
Goodluck Kweka wwwfnpqker
@saidamohammed24387 жыл бұрын
love this song it remind me of someone use to be soo special
@lizzybeth69152 жыл бұрын
2022 ❤️❤️❤️
@eddieelijah935911 жыл бұрын
Maneno yako sawa sawiyya kaka Bakri....Mie ndo hulala kabisaaa
@bahathirashid18563 жыл бұрын
2021 still glued to the beautiful lavish lyrics ... anyone ? ❤️
@ishajuma64853 жыл бұрын
Am here
@bahathirashid18563 жыл бұрын
@@ishajuma6485 pamoja 👍🏻
@ayubmazrui7543 Жыл бұрын
Here too
@MiqdadHanzwan Жыл бұрын
Bado Gati .... Ahhh mwatukumbusha mbali wallahi
@sabriaalzadjali93286 жыл бұрын
Sabah i love you,Zanzibar throwback
@latahilehsein37494 жыл бұрын
Subhanallah hii nyimbo sichoki kuniskilza na ina nifanya niwakumbuke wazazi wangu wote wa 2 saa 8 mchana marehemu mama yangu na baba yangu wakiimba pamoja, Allah awasameh makosa yao ya sirini na dhahir awajalie janat firdaus ya daraja ya juu Ameen YARABBY
@hemmyboy80614 жыл бұрын
latahi Lehsein inshaallah
@salmaalimusa5474 жыл бұрын
AMIIN YAA RABBY
@leilahassan20463 жыл бұрын
This song make me feel so badly when I remember my ☓, but no way life goes on
@lizzybeth69152 жыл бұрын
Me too my x 😂😂
@ibrahimsuleiman537510 ай бұрын
Like me
@saphiamrope74642 ай бұрын
😂😂
@saphiamrope74642 ай бұрын
😂😂
@maisarahakizimana70745 жыл бұрын
Special song for my husband 😍😘😘
@salumsaid64556 жыл бұрын
teeeena hapana chezea mambo ya zenj yaaan kweliii natman kukuonaaa
@user-ie1jy4hq3p5 ай бұрын
Maa shaa Allah atujaalie wake wema nawatoto wema
@AhmedAbubakari5 ай бұрын
Inshaallah
@faridamkesso974 жыл бұрын
Sichoki kusikiliza daima , dah nakumbuka mbali sana nilivyopotezana na niliempenda kwa dhati 😢 hadi leo 2020 hanitoki
@halimahussein66864 жыл бұрын
Polee kam mim dah it real hurts
@khamishamid-fv9po11 ай бұрын
Inshallah ya sabbah!
@abdulhamidkificho57684 жыл бұрын
Viva old is gold taarab Zanzibar Long life Zanzibar, Asili haipotei Viva Aunt Sabaha Muchacho
@afropanorama47307 жыл бұрын
I smell marashi ya karafuu when i listen this nice song,long life my zanzibar miss you love you
@cpasalma15325 жыл бұрын
For life
@icequeenmake_upartisttz67522 жыл бұрын
2022 ♥️nmkumbuka kwetu machomane pemba
@werger.yousef174011 жыл бұрын
Lovely..Sabah MOLA Akupe Umbrii.
@hadjisoihiri24364 жыл бұрын
Je ne prend pas vraiment votre langue mais j aime tellement cette chanson 🤗🤗
@greatiq82344 жыл бұрын
Amen!
@augustinebasil3218 Жыл бұрын
C,est bien
@fatumaababy12817 жыл бұрын
MashaAllah old is gold 2017
@mwinyirogoh23897 жыл бұрын
fatuma Ababy really umesema ccter
@josealute3236 жыл бұрын
Fatma uko Zanzibar?????
@amanimyolo1478 Жыл бұрын
Love like war easy to start but hard to end...God is good for evertime
@hamsozain72006 жыл бұрын
I miss you my lovely wife. .see u soon insha Allah
@mejamchenje97855 жыл бұрын
Daa sina chakusema zaid ya kumshukur mung ailaze roho ya marehem mamaangu panapo staghli ishaalh pepon tutakutanishwa hakika alikua mpen z sana wanyimbo hii data
@fatmaali76984 жыл бұрын
Hii nyimbo mume wangu aliniambia niiskize alafu kesho yake akasafiri. Kila nikiiskiza lazima ntalia machozi ya furaha.
@shamscookery59898 жыл бұрын
I love I love love ...this song reminds me so mch of my teenage
@lahiyahaji99036 жыл бұрын
mashallah sabaha nakumbuka kwetu mm znz
@salmashee370610 ай бұрын
Nice song masha Allah ❤ nice words and very melodious i dedicate this song to my beloved husband wherever he is❤ yes! Will always cherish your love forever❤❤❤ till death do us apart ameen!
@abouhariatsaid20075 жыл бұрын
Keuli mach'Allah nzuri kupendana muhimou dro tamou ya moyoni na zayidi raha kuonana ichall'whaou