KASI YA MAENDELEO ZANZIBAR YAZIDI KUPAMBA MOTO

  Рет қаралды 3,969

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 13
@mohddelo
@mohddelo Жыл бұрын
Safi sana
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 Жыл бұрын
Mie myu wa kwanza ku comments nakupenda sana kwa kushughulikia maendeleo ya zanzibar. Pia vilivile wananchi waweke usafi sana mtu akitupa taka apigwe fine au itakuwa uchafu mwingi.
@maji106
@maji106 Жыл бұрын
Hongera Doctor Hussain
@nadirmahfoudh1812
@nadirmahfoudh1812 Жыл бұрын
Masha'Allah...Alhamdulillah
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 Жыл бұрын
Maendeleo gni mnayoongelea nyie chakula ghali samaki hawagusiki matunda ndo usiseme kuweni serious acheni kupumbaza watu nyie hakuna mtoto mdogo hapaa pumbaavv
@alhudhaify7810
@alhudhaify7810 Жыл бұрын
Masoko mengi wanunuaji na cha kununulia hamna.
@nadhifamohammed7749
@nadhifamohammed7749 Жыл бұрын
Asanteni
@nassorcholo8848
@nassorcholo8848 Жыл бұрын
Mbona pale darajani ujenzi umesimama
@ramzsule7678
@ramzsule7678 Жыл бұрын
Hivi kumbe maendeleo ni majumba na barabara nilidhani mtu kuweza kupata Milo mitatu kwà siku na kweza kupata huduma za kijamii zilizo bora Bila usumbufu
@khatibabass3106
@khatibabass3106 Жыл бұрын
Kwaio Milo mitatu uletewe kwenu uzidi usenge .ayo masoko ukafanye kazi ili upate hio Milo mitatu
@nailaomar4810
@nailaomar4810 Жыл бұрын
Hawataki maendeleo hao chuki tu
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
​@@khatibabass3106hajakwambia alpelekewe kwao hyo umesema ww maisha magumu znz mm mwenyewe mmekuja huko hapanuliki kitu maendeleo yatakua hyo au kujenga majumba ww mfano mdg ukae bila kula unaweza kupanda ata ngazi ya huo mjengo akili zenu finyu kufikir mnaropokwa tu.
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
​@@nailaomar4810hya bs fanya kwenu hyo maendeleo watu wasifanye chuki
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 9 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 63 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 56 МЛН
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 10 МЛН
UFAHAMU WIMBO UNAOIMBWA NA WANAWAKE WENGI HUKU WAKIUJUTIA (HUBBUL HALAL)
33:53
MFAHAMU MSANII WA PEMBA MWINYI MPEKU NA SAFARI YAKE YA CHINA
44:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
HII NDIO SIRI YA UTUKUFU WA MPEMBA
14:30
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 9 М.
MKUU WA MKOA PEMBA ATOA HUTBA YA AJABU
6:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 9 МЛН