Пікірлер
@tanjiro11437
@tanjiro11437 4 сағат бұрын
Jamani naomba number ya sheikh Hassan plz
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 6 сағат бұрын
Madini Allaah akuongoze naamrehem shekhe hasani binamiri🙏🙏🙏
@hamadhamadi-n1p
@hamadhamadi-n1p 10 сағат бұрын
Kazi ya mungu haina makosa Allah awafanyiie wepesi
@ShekheSeif
@ShekheSeif 11 сағат бұрын
ما شاء الله بارك الله. اخوك سيف الغافقي تنزلنيا
@josephmaleckela9904
@josephmaleckela9904 12 сағат бұрын
Dhambi yenu ni moja tuuuu kupora jengo la ngome kongwe kutoka kwa wamiliki ambao ni Jeshi la Polisi, Kisha kuaza kula FEDHA ya makumbusho peke yenu, warudishieni Polisi jengo laooooooooooo !
@TatuKatabanya-f6d
@TatuKatabanya-f6d 22 сағат бұрын
🙏🙏
@TatuKatabanya-f6d
@TatuKatabanya-f6d 23 сағат бұрын
Nimeumia sana 😭😭😭 Alla akufanyia wepes mama
@AssaneSelemane-n5b
@AssaneSelemane-n5b 23 сағат бұрын
Mashaalla mungu ni mwema wa kila jambona inshaalla atawasaidia
@isayabalabona
@isayabalabona 23 сағат бұрын
Mwenyezimungu atakufanyia wepes mamangu pole kwa matatizo
@ZKA645
@ZKA645 Күн бұрын
Sheikh vipi? Ulikwenda Dodoma? Maana tunahamu ya kujua upande wa pili wa mkasa huu
@MordAlly-ng8jj
@MordAlly-ng8jj Күн бұрын
Mtume wajukuu zake hawakuwa na watoto. Je watoto ha Hassan na Hussein waliitwa nani? Au ni mtu aliyetokea ukoo wa bani Hasheem?
@mahramarswad6041
@mahramarswad6041 Күн бұрын
True true
@khamishaji5822
@khamishaji5822 Күн бұрын
Nakupenda kwa ajili ya Allah
@AsyaKhamis-yp3tr
@AsyaKhamis-yp3tr Күн бұрын
Alhamdull naona Allah atupe nguvu yakua na moyo washukurani kwake
@sadajuma1082
@sadajuma1082 Күн бұрын
❤❤
@WaziriKiongozi
@WaziriKiongozi Күн бұрын
Allah akbaru Allah akbaru
@MajuvaMajuva
@MajuvaMajuva Күн бұрын
Mashaallah baraka Allah fika
@LuluAquai
@LuluAquai Күн бұрын
Baaraka llahu fik
@habibiddy8096
@habibiddy8096 Күн бұрын
🤔🤔🤔..............mwaka 600 hadi mwaka 1910s huo ujukuu uko vipi? Na kwa mwana yupi wa Mtume ?
@ZainamavooMavoo
@ZainamavooMavoo Күн бұрын
Katwalii
@ZakatSadick
@ZakatSadick Күн бұрын
❤❤ Mashaallah Allah awabarik
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs Күн бұрын
❤❤❤❤
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs Күн бұрын
❤❤❤🎉
@FadhilaElisha-t4k
@FadhilaElisha-t4k Күн бұрын
Allah aipe hii familia wepesi waweze kuona
@amraniadamu2850
@amraniadamu2850 Күн бұрын
Huo ni uongooo, hawana tofauti na wakristo
@WaridiOmmy
@WaridiOmmy 2 күн бұрын
Nimeumia Ila hamna namba ni mapenzi yake allah
@ashaidd2912
@ashaidd2912 2 күн бұрын
Mashaallah kipindi kizuri sana hongereni sana
@AllyFaki-w6b
@AllyFaki-w6b 2 күн бұрын
profisa dedesi huyo
@saidasaid2354
@saidasaid2354 2 күн бұрын
Lakini sheikh ujue kwamba kuanzia Ethiopia mpaka Msumbiji yote ilikuwa ni zanzibar
@saidasaid2354
@saidasaid2354 2 күн бұрын
Kumbe ndio Maana Kilimanjaro na Arusha kuna madini mengi, kumbe kwa sababu alifika Nabii Suleiman?
@abdallahmohd3777
@abdallahmohd3777 2 күн бұрын
Tumeelewa,mashallah ilaa tatizo la zanzibar unalijuwa shekhe wetu kuwa,nchi yetu ina viongozi majambazi mpaka wauwe ndiyo watawale,kwaiyo nasisi wananchi hii hali tumeichoka kama mbwai naiwe mbwai lakini huu mwaka tutajuwa mmoja kuwa mkowa au mamlaka kamili
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 2 күн бұрын
Allah awabrik nyote Ameen🤲
@hafia.056
@hafia.056 2 күн бұрын
Masheikh wetu tupeni dawwar the education you gives us for the reality it's very interesting and understand. We really need always. Thank you very much Masheikh wetu.
@IbrahimHaji-t6t
@IbrahimHaji-t6t 2 күн бұрын
Mungu kawajalia vipaji wote kwao
@hafia.056
@hafia.056 2 күн бұрын
Asalam alaikum wrhmtllah wbrkth
@SbsBts-g3v
@SbsBts-g3v 2 күн бұрын
Ameeni YARAB
@HawaaUmibrahim-um7zi
@HawaaUmibrahim-um7zi 2 күн бұрын
Tv mnptkana king'amuzi gani ?
@JackSumari
@JackSumari 2 күн бұрын
Pole sana mungu atamponya
@taimurkalsaid4651
@taimurkalsaid4651 2 күн бұрын
La hawla wala quwata illa biLlah Tulikuwa naye na hatujajuwa ukubwa wa thamani yake Khassara kubwa AlhamduliLlah a'alaa kuli haal
@calimahad9274
@calimahad9274 2 күн бұрын
Wajukuu?
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 2 күн бұрын
Ee, hiyo ni story ya man power.
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 2 күн бұрын
Muislam hasemi urongo.
@RamlaSahel
@RamlaSahel 2 күн бұрын
Mashaa Allah. Hakika Allah ni mjuzi wa Kila jamb kijana anatushinda sis twenye uoni kamili. Na saut Mashaa Allah kama tayr vile ashakuwa mtangazaj
@RamlaSahel
@RamlaSahel 2 күн бұрын
Mashaa Allah. Hakika Allah ni mjuzi wa Kila jamb kijana anatushinda sis twenye uoni kamili. Na saut Mashaa Allah kama tayr vile ashakuwa mtangazaj
@RamlaSahel
@RamlaSahel 2 күн бұрын
Mashaa Allah. Hakika Allah ni mjuzi wa Kila jamb kijana anatushinda sis twenye uoni kamili. Na saut Mashaa Allah kama tayr vile ashakuwa mtangazaj
@JohariAdam-q8t
@JohariAdam-q8t 2 күн бұрын
Manshaallah
@abdullkhamis5406
@abdullkhamis5406 3 күн бұрын
Kwa kweli Mazungumzo kama haya ni muhimu sana kwa kuikumbusha JUMUIA.
@RahmaKassim-c8z
@RahmaKassim-c8z 3 күн бұрын
SubhanaAllah
@melkiorykweka438
@melkiorykweka438 3 күн бұрын
Mmekariri uongo
@melkiorykweka438
@melkiorykweka438 3 күн бұрын
Unasema alizaliwa akiwa yatima wa baba na mama " je alizawaje? Kama baba hakuwepo na mama hakuwepo?
@IssaMmeta-h9b
@IssaMmeta-h9b 3 күн бұрын
Yatima ni aliyefiwa na Baba kama ilivyokuwa Kwa Mtume ﷺ Sio lazima wafe wote wawili akifa Tu Baba basi huyo ni yatima kama vile Imam shafii na wengineo
@AminaAmani-h3p
@AminaAmani-h3p 3 күн бұрын
Nani kama mama kwenye hii dunia ewe Mungu ulie hai msaidie huyu mtoto😭