KASRI LA KIKEKE: PART 2 MAHOJIANO NA FREEMAN MBOWE/ ATEMA NYONGO/ LISSU/ CHADEMA KUNAWAKA

  Рет қаралды 18,353

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер
@matsonmeck7438
@matsonmeck7438 Күн бұрын
A very wise Man Inasikitisha sana kusikiliza namna watu wanavyopotosha kuhusu Mbowe.
@zawaeli3357
@zawaeli3357 17 сағат бұрын
Kazikazini
@princeimani8078
@princeimani8078 Күн бұрын
Crown media for life Ali kiba for life all the way from South Africa Freeman prince imani
@RastaMany-p8x
@RastaMany-p8x Күн бұрын
Mbowe umechelewa kukimbia na mpira kwapani ungewai kabra ujawai kuwasoma chadema umecjelewa mgoja uone kazi y lisu msema kwer🇹🇿✌️✌️✌️🇹🇿❤️✌️✌️✌️🇹🇿🇹🇿🚣🚣‍♀️🚣‍♀️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♀️🚣🚣‍♀️🚣‍♀️🚣‍♀️
@alfredanthony9825
@alfredanthony9825 Күн бұрын
Timu mbowe njooni hapa na likes buku 1000, lisu kwanza njaa kali hata marekani huchagua raisi asiye na njaa mbowe ndiyo kiongozi wa mfano
@NatanaelKilenga
@NatanaelKilenga Күн бұрын
Mbowe tupo pamoja sana
@yahayalugongo4825
@yahayalugongo4825 Күн бұрын
Big thinker Mbowe ni very trully man - busara zake kwa masilah ya nchi ,kuongea sana haisadii
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 Күн бұрын
Mbowe yawezekana huna sifa ,za kuendelea kuwa mwenyekiti lakini kwa huyu lissu anayebwabwaja hovyo Bado wewe unafaaa kuwa mwenyekiti
@juniorjotham1524
@juniorjotham1524 Күн бұрын
natamani mboe atoke lakini si kwa stahili hiii kwakwel yan wanamdharau kabisa sana
@deokimena5168
@deokimena5168 Күн бұрын
Yes mshabaha ni kweli, yeriko na ntobi hawana makosa.shida ni mwamba
@YohanaKjd
@YohanaKjd Күн бұрын
Nimemsikiliza lisu sjasikia akisema mbowe vibaya ila kusema mfumo wa chama kufumuliwa ila mbowe anahasira sana lisu
@Mkombozi255
@Mkombozi255 Күн бұрын
Nikimsikiliza mbowe kwa makini anaamini chadema ni Kama mali yake,kwa hiyo haihitaji kuambiwa nini cha kufanya.hasa anaposema labda chama kimkatae 😢😢
@m7646c
@m7646c Күн бұрын
Tumekuchoka mbowe. Must g
@JohnBosco-d3g
@JohnBosco-d3g Күн бұрын
Kikeke umepangwa?? Mbona maswali ya 😢😢
@mabeyatv
@mabeyatv Күн бұрын
TAL ametumwa kuharibu CDM. Mbowe Mpole sana....fukuza jitu hilo litaua Chama
@deokimena5168
@deokimena5168 Күн бұрын
Chadema kwa heri😭
@zawaeli3357
@zawaeli3357 17 сағат бұрын
Jamaa anakiburi cha uzima huyu na kitu nimeona kwake haamini katika mtu mwingine ila anaamini katika yeye. Chama cha mapinduzi kitaendelea kuonekana kimejengwa kwenye misingi bora na mizuri ukilinganisha na hizi taka na tamaa za mamlaka za kina Mbowe.
@frontoffice8676
@frontoffice8676 4 сағат бұрын
kasri la kikeke nibola sana
@titojb4703
@titojb4703 Күн бұрын
Kikeke huwa fundi kweli wa maswali magumu lakini hapa kama anamlegezea kamba MWAMBA!
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 Күн бұрын
Au nayeye kalamba asali
@princeimani8078
@princeimani8078 Күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@josh198282
@josh198282 Күн бұрын
Part 2 should have been straight forward without the background music , just like part 1.
@roypeters9829
@roypeters9829 Күн бұрын
Hamna kitu hapa..we tembea tu
@michaelmariki4801
@michaelmariki4801 Күн бұрын
Duh,business of politics is tough
@RastaMany-p8x
@RastaMany-p8x Күн бұрын
Umeweka chadema mfukoni mwako unaonekana ndio mana unavimba eti mfanyabiashara subir mwenyekito wako lisu achukue chsma ndio utajua ukusoma upepo
@barakamwasala228
@barakamwasala228 Күн бұрын
Sio Yako ni nyumba ya serikali wewe ulipewa kwa muda tuu
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 Күн бұрын
Kwani yeye amesemaje ? Au hukuelewa alivyofafanua
@godfreymikmta5008
@godfreymikmta5008 Күн бұрын
Watu wako kwenye mihemko ndugu​@@tobiaspaul9203
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Күн бұрын
Mbowe tumekuchoka mwachie chama lissu
@KamalaBuchwa
@KamalaBuchwa Күн бұрын
Da ikichama tunakipoteza kwa namna hiiii
@JohnBosco-d3g
@JohnBosco-d3g Күн бұрын
Body language haidanganyi.... Mbowe step down 👇👎
@annakapolondo7771
@annakapolondo7771 Күн бұрын
Ur a genius
@JohnBosco-d3g
@JohnBosco-d3g Күн бұрын
@@annakapolondo7771 This guy has a very dangerous hidden Agenda,,, taking naivety of CHADEMA members as his capital,,,,, enjoying the life with Samia!!!!
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 Күн бұрын
Mboe anataka fadhila baada yakuwavusha kwenye mapito, inaonekana hicho kiti nizaidi yamiradi yote yamboe
@christopherwami2006
@christopherwami2006 Күн бұрын
Back ground sound kubwa mno na mbaya
@Moteswa
@Moteswa Күн бұрын
Tenda wema nenda zako
@EliasKikwega
@EliasKikwega 17 сағат бұрын
mbona lissu hajawahi kukusema vibaya??,ni wapi amekusema vibaya
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 Күн бұрын
Utapata kura baba wewe tulia tu
@jacksonluselo2260
@jacksonluselo2260 Күн бұрын
Vijana tujifunze, Mbowe kwa Miaka yote hii still anapambana halafu wewe kijana unaleta mzaha 😂
@mwananyonji
@mwananyonji Күн бұрын
😂
@adenmsema2960
@adenmsema2960 Күн бұрын
Lkn pia unapasww kufikiria zaid kaka siasa laazm uwe mjanja yawezekan hakuna chchte kati yao , unawezekana n siasa tu pia
@adenmsema2960
@adenmsema2960 Күн бұрын
Na kama sio mchezo,ikiwa haya yanayoendelea n ukweli basi CCM wataongza hii inch kwa miaka mingi sana ,sio rahis upinzan wakawa tofauti hiv kweny vyombo vya habari na mwaka wa uchaguzi never 👎, hapa kuna kitu wanatengeneza
[FULL] KICK ANDY - PROF STELLA: OTAK VS AI
1:08:39
METRO TV
Рет қаралды 190 М.
Bloomberg Brief 01/06/2025
43:40
Bloomberg Television
Рет қаралды 8 М.
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
24 Часа в БОУЛИНГЕ !
27:03
A4
Рет қаралды 7 МЛН
BSS 2024 SE15 EP04 KENYA AND BABATI | FULL SHOW
1:36:04
BongoStarSearch
Рет қаралды 98 М.
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН