2020 nani yuko nami. Gonga like hapo chini tukienda
@MAIKODaud-vm9yg8 ай бұрын
hii itaishi sana
@إيميكينياني2 жыл бұрын
Penda Sana huu wimbo hamuishi ladha 👌👌👌💋💋🇰🇪❤️❤️❤️💯💯💯💪💪💪💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃😍🎉
@omarymandambali44764 жыл бұрын
Kam Uko Na Mm 2020 Gonga Like Hapa
@joycekito1981 Жыл бұрын
😊z..
@aliciak7767 жыл бұрын
Si Tanzania pekee yake, ambayo wako na warabu ama wahindi,njooni mombasa raha, U'll see yourselves.Plus U r our dear brothers n sisters. Mwakaribishwa Kenya kwetu kuzuri. Especially Pwani
@salehkippy94137 жыл бұрын
mombasa ni tanzania
@dullatawakal14926 жыл бұрын
Tishaaa
@taniahsasha78266 жыл бұрын
@@salehkippy9413 msa iko kenya jiji lapili la kenya
@riphatmuhene96156 жыл бұрын
Xx
@happymwakajila4995 жыл бұрын
Mbona shobo tuachieni wasanii wetu vepeee huko kwenu hawapoooo fyuuuuu
@JamalAli-ps1us5 жыл бұрын
2021 yuko nami. Weka like hapo chini
@rehemamohamed40094 жыл бұрын
Niko hapa after kuona gabo ameoa kweli jamani ebu gonga like tujuane vzur kila lakheri kwake
@dokasalim9434 жыл бұрын
Nmekuja ju ya corona maana corona bila nyimbo hizi uko quarantine noma hizi ndo zile SautZaDhahabu😂😂😂💪🇰🇪
@zuwenaphillipssosnowka89356 жыл бұрын
Wale walio dislike hii ngoma, ni wale waliokimbilia ndoa wakakondesha mioyo yao. poleni
@prettyfetty3731 Жыл бұрын
😂😂😂😂 wewe hay bwana
@chalmaahali4411 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@fadhilakambwili84505 жыл бұрын
Kama uko na mimi 2019 like😘
@ab3ab3134 жыл бұрын
wawoi🙄🙄🙄🙄
@emmyyahya83585 жыл бұрын
Leo nimemic nyimbo za kale 😅😊😘2019
@abdulikadirnarrel27515 жыл бұрын
Hata mm yan
@batalemustachi67175 жыл бұрын
kama unasikiliza ad saiv i nyimbo like zakoooo basiiiiiiiiiiiiiiiii
@funsupadatestourists92568 жыл бұрын
Hii nyimbo ni ujumbe tosha kwa sis mabint mana tunalazimisha mambo mengine ambapo uko mbel yetu una hasara
@najmimngare10946 жыл бұрын
Thenkx for encouraging me
@dawialalatamu84215 жыл бұрын
jamn naipenda mpk naumwa
@messymeesy33055 жыл бұрын
funs upadates tourists kweli kabs
@salmahassan37694 жыл бұрын
Ni kwel unayosema
@mohamedikambi86904 жыл бұрын
Yap subra na msimamo kwenye maisha ni jambo la msingi sana mtu anapaswa kujiwekea mikakati maalum na asitetereke katika hilo. Na hilo tatizo sio kwa wanawake tu hata wanaume wengi pia huwa na mawazo sana pale unapoona wenzako wameoa na wanafamilia zao pengine wamejaaliwa na watoto lakin ww upo bado unapambana kujiimarisha ili uweze kuitimiza ndoa ukiwa umeshapata mwenza sahihi lakin pia unaweza kutoa mahitaji muhimu ya familia ni changamoto sana usipokua makin utakurupuka utaoa/utaolewa kwasababu fulani amefunga ndoa hujui yeye kwenye ndoa yake anapitia mangapi au unatafuta tu mke/mume bila kumjua kiundani tabia binafsi ni kheri niendelee kukaa single kuliko kuwa mtu ambae unaoa huyu umeacha unaoa tena unaacha au mwanamke kuwa anachika tu kaolewa huku kaolewa kule sio kitu kizuri
@epifaniakavishe92825 жыл бұрын
funzo kwetu mabinti kweli tunajichakaza sana kwa masponser ad tunakosa ladha kwene ndoa
@mrtravellianke3 жыл бұрын
Much love from kenya🇰🇪 subira bila pupa likes zikuje 😂
@rod75899 жыл бұрын
Ebwanaeee! Mizigo pale mwisho Ni baraaaa
@cheupegmailcomHhcheupe9 жыл бұрын
+moise katumbi umeona Eeee hatareeeee
@abedaally2659 жыл бұрын
cheupe gmail.com. Hh112233cheupe
@bettymwasa10796 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 balaa
@tobertsikaonga2426 Жыл бұрын
This song still my favorite 👌👌👌👌👌 from Zambia 🇿🇲🇿🇲
@fatmajambia49688 жыл бұрын
usije itaka harusi kwa pupa usije itaka harusi ukarudi na talaka patamu hayooo😜😜😜
@alicekasisi4644 жыл бұрын
Nikwel
@lillianabuoro68374 жыл бұрын
These are the kind of songs that deserve 50 million views, in 1 week.
@mkasijuma48032 жыл бұрын
Kabsa yaan yafunza sanaa
@matondokiesse9589 жыл бұрын
to christian Bellla who is one of my brothers from Drcongo , we love you and i wish you all the best with all your friends from Tanzania
@fadhilaissa99633 жыл бұрын
Nice song ♥️
@tobertsikaonga2426 Жыл бұрын
I love this song from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 2023
@eliakimkibona95463 жыл бұрын
Hii ngoma Kali Sana. Ina ujumbe mzuri.namwambia Sana mdg Wang.
@niecymuthoni71159 ай бұрын
2024 here we go😅
@naomicharles74264 жыл бұрын
huu wimbo unaujumbe muhimu sana 2020 tujuwane kwa kulike
@kennedysaidi93153 жыл бұрын
2021 hapa
@swabraibrahim35276 ай бұрын
Old is gold❤❤❤❤❤
@nicsamally12294 жыл бұрын
Ujumbe mzuriii xn MashaAllah
@millicentogonga965611 ай бұрын
Amina
@MH-yj5ed8 жыл бұрын
That sister is beautiful..Natural beauty
@fatmajuma88898 жыл бұрын
HM S for sure👌
@novipalm53237 жыл бұрын
HM S yes
@rachelphilbert73943 жыл бұрын
She is resembling Hamisa Mobeto
@ishaomari22323 жыл бұрын
@@rachelphilbert7394 yah i think it's only me i see her face like Hamisa
@mkambamaulid447Ай бұрын
Woooooooyoooooo kiukweli huu wimbo na kumbuka Enzi za T.R.Z a.k.a They Resident of Zanzibar wp Yusuf a.k.a Bayuu wp Yasin wp Salma a.k.a Mama Kikwete 💪🏽🥂🙏🏼
@hamzazimbwe13275 жыл бұрын
2019: who is here? The song is still sweet, to me its still a brand new song
@roseabel62494 жыл бұрын
Huyu video vixen anaitwa nan Instagram 🙏🙏🙏 msaada kwa anaye mjua
@catenzeki6786 жыл бұрын
Wimbo mzuri na ujumbe mzito na maksusi kwa vijana wa karne hii...big up
Kaka yangu kampa mkewe taraka ndoa miez 2 tu😪😪 imebid nirud kuusikiliza huu wimbo subra muhimu jaman
@agnessinjasinja43519 жыл бұрын
Nice song #cassim_Mganga I saw your interview with Millard Ayo
@nelsonmartine38249 жыл бұрын
noma xana
@nataliaachieng80548 жыл бұрын
nice one
@angelamwakyoma14767 жыл бұрын
wambie wavae chupi
@emanlovelbae00787 жыл бұрын
+Angela Mwakyoma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@نجمهالعلي-د5ض7 жыл бұрын
Angela Mwakyoma 😀😀😀😀😀😀😀😀
@Rachel-dw1lc8 жыл бұрын
Ya nikumbusha utoto wangu Malindi Kenya. Lovely song
@stevemenya36542 жыл бұрын
He's singing a deep expression of the hearts sentiments in rushing to settle for less than love 💘💔🎶 danm 🕺👯♀️ 🇰🇪🇰🇪
@LatifAmars Жыл бұрын
Love how you put it!
@boboto37026 жыл бұрын
Day by day Tanzania 🇹🇿 is going to take everything, bro frm SSD.
@brucechikombamasumba67358 жыл бұрын
Subira(patience is rewarded) i now understand the meaning of this track
@fardinaabdulmajid653 жыл бұрын
Love u kasim usemayo ni kweli realy
@evamahinya51594 жыл бұрын
Who is lstenig 2020 corona tme gve me lke
@darlinkakozi3144 жыл бұрын
Eva Mahinya corona viruses
@sanurapaulo70374 жыл бұрын
Me
@mudredemanuel63104 жыл бұрын
Pamoja 2020
@mudredemanuel63104 жыл бұрын
😉
@blazeash29514 жыл бұрын
Present
@rehemamwakio73774 ай бұрын
Lovely song ❤
@salaxahmed47678 жыл бұрын
🎷🎷🎷🎷 message kwa vijana ...usitaki arusi kwa pupa ...
@tareezterrie70328 жыл бұрын
kali....
@George_Ruttagah8 жыл бұрын
ccgghbvbgcg LP LP GB UN I'll
@HadijaHamisi-yt3pn8 ай бұрын
hii nyimbo naipenda mno❤❤❤
@wifematerial2494 жыл бұрын
Been listening to this song nonstop and I love it! Love from Bahrain 🇧🇭
@jescahaule48027 ай бұрын
❤❤❤❤ kasim sijui uko wap,
@robertkalumba33498 жыл бұрын
This track is hardddddddddd...too dopeeeee!!! dont understand swahilli...but boy oh boy am i feelin this!!! The Twareb addition to the track makes it so beautiful a songggg!!!
@gwynethsm43096 жыл бұрын
Robert Kalumba o boy issa banger
@magdalenekiilu7276 жыл бұрын
Robert Kalumba means you shouldn’t rash into marriage only for you to regret later
@aishamother99435 жыл бұрын
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo. Kweli kabisa 🖒🖒
@mohamedirajabu41188 жыл бұрын
Nyimbo mzuri sana kaka naikubali kazi zako hongera sana
@MuniraIddi-k3r4 ай бұрын
3/08/2024 23:52 Friday🦋
@niecymuthoni71152 жыл бұрын
It never grows old my friends. 2022 here. Again feeling like it's yesterday
@brayo1442 жыл бұрын
Kumbe tuko wengi huku tunaopenda ngoma poa 👍😍
@jigazuber94643 жыл бұрын
Usikimbilie kuolewa utaludi nataraka
@soblessed72282 жыл бұрын
2022 and still this song hits a special nerve🔥🔥
@Latifaposche2 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤗🤗🤗🤗🤗🍥
@adrianodebra58339 жыл бұрын
wimbo umetulia xana, naupenda xana.......
@abdullmwailubi92808 жыл бұрын
anaju sana jaaaaa
@issaibrahim77712 жыл бұрын
kassim, kassim, kassim nimekuita mara tatu bro, hongera sana tangu nisikie miaka hiyo ulikua mlevi balaa ila leo unatuburudisha🤣🤣🤣 nice song kaka hongera sana
@ruditaboti31577 жыл бұрын
Nasubiri subira yangu namm ishaallah
@mbarukhamad77806 жыл бұрын
khadija A R M khadija
@siyehara13726 жыл бұрын
khadija A R nakuowa mm
@shekhekhandereizer5596 жыл бұрын
SIYE HARA 😂😂😂
@polykate32428 жыл бұрын
Nyimbo yenye mafunzo tele # kuwa n subira.....like its very much
@kingarthur60075 жыл бұрын
This Song, it has touch me, to the extreme that I can explain very imotion it hurts but that is life, to Sha umizwa ndo mana am writing like this.
@bahatimichael17493 жыл бұрын
Bonge la nyimbo 2021 tujuane ambao tukikwazika kwenye ndoa tunarud kusikiliza hii song
@mamawanyumba1038 жыл бұрын
napenda mahadhi ya +kassim_mganga....always different
@estherokombo14628 жыл бұрын
mama wa nyumba10
@shabanimusa81187 жыл бұрын
Nitatokaje
@VintageLavish-d6p21 күн бұрын
Daaah😂😊hii ngomaa niliipenda mno
@fatumaababy12816 жыл бұрын
2018 who is here💣🔥✔
@nabilsalim89816 жыл бұрын
Me
@mosesmwamba34145 жыл бұрын
fatuma Ababy wozaaah
@subirajohn7285 жыл бұрын
fatuma Ababy 2019
@mosesmwamba34145 жыл бұрын
Tanga ya Tajiriii
@AliHassan-mf3dx4 жыл бұрын
MAmbo fatuma hujambo bibie
@aisharamadhan52575 жыл бұрын
Nime imiss hii ngoma haichuji dahhhh 😘😘😘
@elsiemelly36858 жыл бұрын
mashaallah subira & dua is everything...
@honeymakeovertzmakeupartis34513 жыл бұрын
💃💃💃💃nmependa mauno ya wanenguaji
@habelmwakio1545 жыл бұрын
This is a classic. Listening to this for the 1000 time in 2020
@aliciak7767 жыл бұрын
Kassim und Christian,mwanifanya na miss home Kenya Mombasa sana, kwa sababu hayo ni mambo ya Pwani.
@awadhtevez29188 жыл бұрын
I cant get enough with this song superb cassim tajiri wa mahaba
@albertlokoya79374 жыл бұрын
Mimi nimekuja 2020 kuviangalia hivi vidada, nyonga kama zote
@fadhilikadzu23704 жыл бұрын
Blesses my soul everytime!!!! MashaAllah!!! Enough advice to last me a lifetime! 2021 and I'm still here!! 🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿
@fatumamwambewe55692 жыл бұрын
Maashallah ya nn,kanzu ni vazi la heshma,mbn lachezewa
@AhmedAli-do4kz8 жыл бұрын
subira .....chunga ujana usiwe na mapepe utakuja beba vibovu....bailaaaaa
@fatumaababy12817 жыл бұрын
still loving this song who is still here and think that this song still rock.. 2017
@saidriphat34917 жыл бұрын
fatuma Ababy tupo
@abdulrasulabbas1024 Жыл бұрын
Mombasa Kenya 2023
@diananamalwa45733 жыл бұрын
Loving the lyrics. Talking to me directly.
@jenifafugamila72484 жыл бұрын
Nyimbo zazamani ni nzuri sana
@rubenbarilimeiro93306 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Africa Music is always in my heart. Is King and Queen of Music
@Zahra_Media2554 жыл бұрын
Wanamziki hamna Hata haya kuimba huku mmevaa kanzu na vilemba hamjui kuwa hayo mavazi ni matukufu na huvaliwa na watakatufu walio zitakasa nafsi zao sio nyie viuno tu mitandaoni Acheni kuudhalilisha uislamu Kwan haukumfundisha mtu kucheza miziki wala kuimba km nyie Cz mziki wenyewe ni haramu iweje mvae nguo za waja wema walio AMINI
@mombasanews30245 жыл бұрын
This song remind me back from those happy days
@sophiebambanya26334 жыл бұрын
Hii song n mpya kila siku
@naznasreena18708 жыл бұрын
best song ever i love it
@faizaahmed31214 жыл бұрын
Muzuri
@abuwaleed012 жыл бұрын
This song hadi kesho itakua banger kwangu!!! Imetoka kipindi naingia ndoani. And we're going strong with my wife alhamdhulillah. Ilipigwa sana ukimbini dedicated to my wife from her aunt
@salmamatandala93838 жыл бұрын
naipenda kazi yako sifaeli mwabuka
@queenofpossibility3256 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@evansamolo4448 жыл бұрын
bonge la ngoma bro.
@Mwana-d1u4 ай бұрын
Umewaza nini ukatunga huu Wimborne kaka honera zako kama zote