KASUMBA ''Sehemu ya Kwanza''

  Рет қаралды 434,050

Madebe Lidai

Madebe Lidai

Күн бұрын

Пікірлер: 473
@remiomar7154
@remiomar7154 4 жыл бұрын
mashaAllah madebe unatufunza Mambo mengi kupitia filam zako ....kama unaamini madebe ndio mrithi wa marehemu kanumba tumpeni like zake apate kutulietea vitu vizuri zaidi
@ahmedabdallah1904
@ahmedabdallah1904 4 жыл бұрын
Sanaaaa
@heroking7653
@heroking7653 4 жыл бұрын
Madebe anajuwa sana ata apa Congo tunam'kubali
@mwavivizboy4192
@mwavivizboy4192 2 жыл бұрын
Big up sanaa
@simonmachupa6767
@simonmachupa6767 2 жыл бұрын
Zaidi
@asmaabass5973
@asmaabass5973 2 жыл бұрын
Uko sawa
@emmanuelmakindi4409
@emmanuelmakindi4409 4 жыл бұрын
Kama kawaida yangu siachi kuangalia sinema nzuri toka kwa madebe. Kama unamkubali madebe kama mimi, gonga like twende sawa.
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 4 жыл бұрын
❤️
@happypa2027
@happypa2027 4 жыл бұрын
Anaweza ❤❤❤❤❤
@mahoroamidu2045
@mahoroamidu2045 4 жыл бұрын
Huyu ndo mkombozi wa bongo movie good job bro madebe 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@godblessyexaudnkyale20
@godblessyexaudnkyale20 2 жыл бұрын
Watanzania Tunajivinia uwepo wako madebe lidai mng ukulinde akipiganiee akufanyiee wepesi uandaaji was movie ufanyike kiwepesi watanzania Tunakipenda umeludisha Heshima ya bongo Movie ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ special for you.....🙏🙏🙏🙏
@godfreymutembei940
@godfreymutembei940 2 жыл бұрын
Madebe siku moja ningependa kukutana na wewe kaka, nakupenda bure pamoja na filamu zako
@mauwarashid4823
@mauwarashid4823 4 жыл бұрын
mashaailaah movie tamu ongeresana mjomva madebe upo juu kwa mafunzo mengi
@salimuhabibu5295
@salimuhabibu5295 4 жыл бұрын
Wakwanza hapa kucomment ukiangalia muv yyte za huyu Jamaa huwezi kujutia Mb zako wap like za #madebe weka hapa
@kalsiopaschal6963
@kalsiopaschal6963 3 жыл бұрын
Nikwl
@marymasha6777
@marymasha6777 3 жыл бұрын
Nakupenda bureeeeee madebe lidai , karibu Kenya ❤️❤️❤️
@nderindichu8754
@nderindichu8754 4 жыл бұрын
Hapo kweli huwa najiuliza bora angerudi kanumba ...movie zake zinaelimisha. Hongera sana Madebe endelea kuelimisha jamii. Mob love from🇰🇪254🇰🇪🇰🇪
@kamalissabig2429
@kamalissabig2429 4 жыл бұрын
Madebe lidai ndio King of Bongo movie anae kubali pita na like zake apa
@مارياكافشى
@مارياكافشى 4 жыл бұрын
Ukisema ivo unakosea gabo zibamba umutiye wapi vincent kigosi muze magari unaongea usiyo yajuwa🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@kamalissabig2429
@kamalissabig2429 4 жыл бұрын
@@مارياكافشى kama inakuuma kufa ukwel ndo huo
@busta_malik5971
@busta_malik5971 4 жыл бұрын
@@مارياكافشى ray kigosi muweke kwenye kundi la mashoga maana haiwezekani mwanaume unapaka poda
@janvieryenga1419
@janvieryenga1419 2 жыл бұрын
Ongera sana Madebe Lidai, mimi nimependa apa kwa amri 10 na Sheria 17 za mpira, kama na wewe umepapenda like yako apa🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@rosemvungi7854
@rosemvungi7854 4 жыл бұрын
Big up madebe.... Mm naangaliaga tuu nafurahia kazi yako leo Nmeamua nkupe sifa zako
@davidunendi6276
@davidunendi6276 4 жыл бұрын
Kabla cjaanglia ngoja nkomment then nkienjoy ntakuja kulike comment yang🤣
@morineinziani1080
@morineinziani1080 4 жыл бұрын
Ready usha comment
@OmarYassin-z6m
@OmarYassin-z6m Жыл бұрын
Ni moja Kati ya mashabiki zako broo madebe nakupend kwa ajili ya Allah 🤲🙏
@saxannjo6173
@saxannjo6173 4 жыл бұрын
Kibongobongo naangalia muvi za MADEBE na MKOJANI tu... Great Talented Artists ever
@katoboy8705
@katoboy8705 2 жыл бұрын
Kama mm
@ماريكونا
@ماريكونا 4 жыл бұрын
Safi sana madebe mungu abariki kazi yako 💥💥💥💥💥💥💕
@mwanashaomarbakar3070
@mwanashaomarbakar3070 3 жыл бұрын
Mashaallh madebe huwe n mri mrefu ishaallh movie zote safy sana
@asmaabass5973
@asmaabass5973 2 жыл бұрын
Madebe Uko vizuri katika filamu zako unatfunza sana hongera
@mahoroamidu2045
@mahoroamidu2045 4 жыл бұрын
Nipe likes zangu kama unamkubali madebe 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@celistinekandijah8820
@celistinekandijah8820 4 жыл бұрын
Madebe lidai,, much love from kenya
@dismasmajiji2951
@dismasmajiji2951 3 жыл бұрын
Mamb
@salimusaid9200
@salimusaid9200 4 жыл бұрын
Namkubali @madebe Anaweza sana ktk bongo movie weka #like_hapo_twend__Sawa"
@evancecomedian..2816
@evancecomedian..2816 4 жыл бұрын
Nimeipenda hiii natamanii kua muhusikaa....❤❤❤❤❤❤
@sallysimon5466
@sallysimon5466 Жыл бұрын
new fan here from Kenya,napenda sana kazi ya madebe lidai,you're educating our community through your movies
@amraniminani6019
@amraniminani6019 4 жыл бұрын
Pongezi sana madebe kunalenye umesahaw YESU makengo yakurudi duniani nikuowa na azae sawa namaandishi ya vitabo vya imani
@latifahshaban3385
@latifahshaban3385 4 жыл бұрын
Nakukubali bro hongeraaa sana kwa kazi yako 💗🖤
@inagakalunde2735
@inagakalunde2735 2 жыл бұрын
Napenda filam zako madebe maana zinatufunza pakubwa sana
@yonnanesphory1928
@yonnanesphory1928 4 жыл бұрын
Sasa kama matusi tumesubir mwez hii c tutasubir mwaka ya pili......gonga like kama unasubiri matusi kwa hamu
@kibwanampujumy9178
@kibwanampujumy9178 3 жыл бұрын
Twanga pepeta
@alexsimanga4121
@alexsimanga4121 4 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka madebe uko vzr sana mungu akuwekee wepesi uzidi apo
@gomacomedy243
@gomacomedy243 2 ай бұрын
King madebe wewe ni mkali
@Sebastianrichard253
@Sebastianrichard253 3 жыл бұрын
Big up Madebe Lidai unafanya kazi nzuri sana
@majaliwadaud6232
@majaliwadaud6232 2 жыл бұрын
Yaani kaka madebe kila filam yako inafudisha na kukubali sana
@Nyaruking1
@Nyaruking1 4 жыл бұрын
Edeleya ivoivo unailimisha brother wew same like kanumba bro
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 4 жыл бұрын
Madebe nipo znz nakukubali sana na kundi lako mnafunza na mpo kwenye maadili yetu ya kitanzania hamvai uchi mashallah
@filothiasirizabongo5767
@filothiasirizabongo5767 4 жыл бұрын
Hongera sana madebe lidai nakukubali sana sichoki kuangalia filamu zako
@kingkikaula6051
@kingkikaula6051 4 жыл бұрын
WALE TUNAOPENDA VITU VYENYE AKILI KAMA HIVI TUJUANE
@nalkisaqueen3637
@nalkisaqueen3637 4 жыл бұрын
Yes 🥰🥰🥰👌👌👌
@alfredmwana9427
@alfredmwana9427 3 жыл бұрын
Nipo
@saidally368
@saidally368 3 жыл бұрын
Tupo
@angelakafuruk9495
@angelakafuruk9495 3 жыл бұрын
Hujawahi kufer mzee baba uko poa sana
@johnyty498
@johnyty498 4 жыл бұрын
tunakukubali sana lakn acha ujinga wa kufananisha maisha ya Mungu wetu (Yesu) na huu upumbavu wako umeishiwa misemo tulia bana, ila Mungu akusamehe wenda uwezo wako wa kufikiria uliishia hapo🙏
@simonmachupa6767
@simonmachupa6767 2 жыл бұрын
C mwelewa wewe
@fatmaahamad633
@fatmaahamad633 4 жыл бұрын
Malizia matusi hivi unatuchanganya japo ni 🔥🔥
@rehemapeter5894
@rehemapeter5894 2 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu made be lidai
@josephmwita2320
@josephmwita2320 4 жыл бұрын
Naaamini kazi yako braza. Mungu awe nawe kwa kazi nzuri unayoifanya.
@edwingwesso6818
@edwingwesso6818 4 жыл бұрын
Like kama tulkua wote kwa wali wangu na mstusi
@lydiamuli3328
@lydiamuli3328 4 жыл бұрын
Kama.kuns mwalimu ni wewe Madebe🙏🙏may God give you more wisdom.
@scienceproject-187
@scienceproject-187 Жыл бұрын
Filamu zenye mafunzo,ningependa kujiunga na team madebe japo niko kenya.....huku kenya pia jamii kwanza imeoza kabisa
@kalamuyangu1
@kalamuyangu1 4 жыл бұрын
Mtu makini mwenye umakini wake. 🤝🤝
@damamuhamza3318
@damamuhamza3318 2 жыл бұрын
Nakubali filamu zako funzo Sana kwa jamii
@ilkacasebishoo4268
@ilkacasebishoo4268 3 жыл бұрын
Hongera nabii umetufuza mingi
@twalhamohamed365
@twalhamohamed365 Жыл бұрын
Nakukukubali sana mwamba madebe othmani mbingaa
@dismashaule1631
@dismashaule1631 4 жыл бұрын
Muvi nzuri sana aisee ina ujumbe mzur Tunaomba bas muimalizie filamu ya MATUSI tafazali Madebe Lidai
@mrbweichum
@mrbweichum 4 жыл бұрын
*KAMA UNAMKUBALI MADEBE LIDAI ACHIA LIKE YAKO*
@joicesamsoni7094
@joicesamsoni7094 4 жыл бұрын
poa Sana
@yusufuridhiwani8240
@yusufuridhiwani8240 4 жыл бұрын
Nakubali kazi Zako
@mrbweichum
@mrbweichum 4 жыл бұрын
@@yusufuridhiwani8240 *Hakika*
@mrbweichum
@mrbweichum 4 жыл бұрын
@@joicesamsoni7094 *Good*
@happypa2027
@happypa2027 4 жыл бұрын
Tuko apa
@ismailaahmada566
@ismailaahmada566 2 жыл бұрын
madebe umetisha filam zako zito.....
@agapejosceline7683
@agapejosceline7683 4 жыл бұрын
Hongera sana madebe. Mungu aku ongezee mara mia
@clarissidi1437
@clarissidi1437 2 жыл бұрын
Kama bado waangalia hii gonga like hapa
@hassanchuma5013
@hassanchuma5013 4 жыл бұрын
Madebe ni🔥🔥🔥hila tumalizie Matusi Kwanza😭
@bandobonda2717
@bandobonda2717 3 жыл бұрын
Kama umesikia Mke mwema hutoka kwa Bwana sasa unashangaa mkeo kutoka kwa bwana'ake!? Gonga like!
@awadhilupindo5740
@awadhilupindo5740 4 жыл бұрын
Kama unamkubal madebe gonga like
@tabiahamis604
@tabiahamis604 4 жыл бұрын
Matusi madebe imalizie jamani
@gracesikalion9486
@gracesikalion9486 4 жыл бұрын
Tumalizieni matusi kwanza
@Leonarnk3
@Leonarnk3 4 жыл бұрын
Kazi yako yatupa kazi bwana weh! ✍✍✍
@allyhyyy919
@allyhyyy919 4 жыл бұрын
Kawaida yangu kabla yangu yakuangalia move za huyu jamaa napitia komments kwanza,,,Kongole sana Madebe lidai unatupa elimu xana Mungu akulinde #Like_Kama_Zote_kwake_jaman
@josephmartini1431
@josephmartini1431 4 жыл бұрын
Hapa tz sijawahi kumpenda mwigizaj yoyote kama madebe
@mishaelmisana7674
@mishaelmisana7674 4 жыл бұрын
Made be kwa sasa kwangu ndo muigizaji bora hapa tz
@songslyrics7912
@songslyrics7912 4 жыл бұрын
Iko poa sana💥💥💥 Ila matusi umetuacha hewani! Fanya utamaliziee zote
@douglasbosire4943
@douglasbosire4943 4 жыл бұрын
Ndugu Lidai huku kwa kipaji app visa yangu ilikataa kuingia, tafadhali tupe njia zingine za kulipa especially kama mtu yuko nje ya Afrika
@bintsulaymansuleiman668
@bintsulaymansuleiman668 4 жыл бұрын
@@douglasbosire4943 kwl atupe njia nyngn mm nmejaribu mpka
@ekinirashidfrancisco57
@ekinirashidfrancisco57 4 жыл бұрын
Mzee wakazi madebe nakukubali kimtindo bro unaweza Sana ..Tumalizane Matusi KwanZa
@mussachibwana2832
@mussachibwana2832 4 жыл бұрын
Hongra Sana madebe ni kwel inawezekana tu kuwa mjinga
@sharonchihunga8008
@sharonchihunga8008 4 жыл бұрын
Nacheki comment mwnzo ndio n watch bt madebe always fire
@mohdhussein9749
@mohdhussein9749 4 жыл бұрын
Safi sana like zote kwa madebe lidai one love mr
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 жыл бұрын
*MADEBE FUNDI AISEEEE* 🙌🙌🙌🙌🙌
@richardbeatus5962
@richardbeatus5962 4 жыл бұрын
Madebe ni shidaaah! Saaaaana
@r.kassimtoutautre3432
@r.kassimtoutautre3432 4 жыл бұрын
Nakufwata 🇧🇮Who lives 🇹🇷
@hawwahawwa9590
@hawwahawwa9590 3 жыл бұрын
Mashallah upo vizuri madebe lidai
@leylabasmati7645
@leylabasmati7645 2 жыл бұрын
Napenda sana kazi zako nzuri sana
@abubakarsalim1505
@abubakarsalim1505 4 жыл бұрын
Nimekuwa wa sita leo madebe kuangalia picha yako Kenya tuna kukubali Sana bro
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 4 жыл бұрын
Kenya embakasi Niko hapa jirani
@johndemunga2903
@johndemunga2903 4 жыл бұрын
Nani alie sikia kama stress za mapenzi njo zina haribu sana inchi??
@tausihasheem5051
@tausihasheem5051 4 жыл бұрын
Madebe movie zako nzur bas tunaomba muendelezo wa Matusi...wengine tupo nje ya nchi....
@emmaphabian8362
@emmaphabian8362 4 жыл бұрын
Muendelezo wa matusi ipo kipaji app huku haiwekwi tena
@hamzayusuph6052
@hamzayusuph6052 4 жыл бұрын
Madebe Lidai kazi zako ni nzuri
@matumainiaugustino165
@matumainiaugustino165 4 жыл бұрын
Noma baba madebe lidai hesabu zinazotumika ni nne tu taja kama umesikia
@edwardmkilindi9210
@edwardmkilindi9210 4 жыл бұрын
Unajua madebe
@kimboniz3886
@kimboniz3886 3 жыл бұрын
Kazi nzuri madebe,big up sana
@dannymoses1882
@dannymoses1882 4 жыл бұрын
ambao tunaangalia saiz gonga like
@listonymkongwa3346
@listonymkongwa3346 4 жыл бұрын
Madebe please, tumalizien kwanza "MATUSI " AISEE
@nestorypastory6882
@nestorypastory6882 4 жыл бұрын
pakua kipaji matusi imemaliziwa
@rojamo7135
@rojamo7135 4 жыл бұрын
Yoteee au
@ab3ab313
@ab3ab313 4 жыл бұрын
Madebe nakupend bure
@pendomichael3815
@pendomichael3815 4 жыл бұрын
Ase madebe nakupata
@lukresiatemba293
@lukresiatemba293 4 жыл бұрын
@@nestorypastory6882 mbona nimepakua sijaelewa au mpaka nilipie
@simonsweka7305
@simonsweka7305 4 жыл бұрын
Lidaii fans....mpo tujuanee wazee kwa ku likee
@abdallawassir7063
@abdallawassir7063 Жыл бұрын
Madebi wewe kweli ni mwalimu mkuu
@abdulramanhemed3749
@abdulramanhemed3749 4 жыл бұрын
Kwanza pongezi sana kwa kazi zako pisi usituchanganye tafadhali RUDI KWA MATUSI KWANZA MPAKA UMALIZE SOKO UNALO BROO
@QBOYS911Facebook
@QBOYS911Facebook 4 жыл бұрын
I love this movies is very because I love this movies too is a great idea thinking
@calvinswai4725
@calvinswai4725 4 жыл бұрын
nakubali sana madebe napenda sana movie zako
@mohamedmwita6172
@mohamedmwita6172 3 жыл бұрын
Madebe nakukubali Sana kka
@jamesludelema7469
@jamesludelema7469 3 жыл бұрын
Nakupongeza sana madebe kwa kaz yako
@helbertharrison8725
@helbertharrison8725 3 жыл бұрын
Hii filamu ni nzuri sana ila picha yake inagiza sana bwana lidai
@ashneryjumanne9605
@ashneryjumanne9605 4 жыл бұрын
Nampenda sana uyu kaka mung u amuongezee maarifa
@maimunakhamis3443
@maimunakhamis3443 4 жыл бұрын
Iko love tu kwa sanaaaa kutoka kenya
@iigigijfjffjfif550
@iigigijfjffjfif550 4 жыл бұрын
Madebe na Linda munajitahidi Sana ahsateni Sana
@vedah3946
@vedah3946 4 жыл бұрын
Madebe lidai application ya kipaji app inazingua Sana tuwekee utaratibu wa kupata nakala zako na movies zako kirahisi
@xaverylibaba5371
@xaverylibaba5371 4 жыл бұрын
Kweli kabsa hata mm nmejaribu kulipia bila mafanikio
@alfredmwana9427
@alfredmwana9427 3 жыл бұрын
nakukubali sana nabii
@ashrifaabdalla3868
@ashrifaabdalla3868 4 жыл бұрын
Nimemis uyu mdada mwenye macho nampenda wallah
@venanceandembwisye9428
@venanceandembwisye9428 4 жыл бұрын
Madebe malizia movies kaka mnafel wap
@legallearningonlinetv1121
@legallearningonlinetv1121 4 жыл бұрын
Brother madebe tumalizie Matusi, tumeimiss muendelezo
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣matusi iko mwendelezo lkn hamna video
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣matusi iko mwendelezo lkn hamna video
@rachelmtekele1873
@rachelmtekele1873 4 жыл бұрын
Kweli jamani amalizie filam Ile matusi nzuri.sana.halaf ndo yuendelee.na nyingine
@legallearningonlinetv1121
@legallearningonlinetv1121 3 жыл бұрын
@@nurafedrick378,hahahaha umenishinda
@dr.bonye1
@dr.bonye1 4 жыл бұрын
Madebe Lidai noma sanaa
@magrethmateso6852
@magrethmateso6852 4 жыл бұрын
kazi nzur madebe
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 2 жыл бұрын
Wewe madebe ni 🔥🔥🔥🔥
@minabuelysee8
@minabuelysee8 4 жыл бұрын
asant saaaana Madebe
@yahayasamata971
@yahayasamata971 4 жыл бұрын
Kasumba ni Film ya mda sanaa naisi ilikuwa ndanii tuuu
@brianchirchir9530
@brianchirchir9530 3 жыл бұрын
hongera sana ,kazi yako safi sana(Kenya)
@abdurahimmwakibinga5318
@abdurahimmwakibinga5318 3 жыл бұрын
Lp media no one
KASUMBA     ''Sehemu ya Pili''
25:43
Madebe Lidai
Рет қаралды 249 М.
TETE (Official Swahili/Bongo Movie)
1:02:07
36 Pictures
Рет қаралды 299 М.
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 151 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 36 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
HOUSE GIRL EP 43  | S3 | LOVE STORY 💞💕
22:37
BUSATI TV
Рет қаралды 7 М.
MAHARI Sehemu ya Kwanza ( 1 )
16:23
Madebe Lidai
Рет қаралды 122 М.
HULKA SEHEMU YA KWANZA
44:48
Madebe Lidai
Рет қаралды 1,6 МЛН
DUNIA (Ep 12)
22:49
ASMA FILMS
Рет қаралды 102 М.
I LOVE MY TEACHER | 2 |
24:47
CLAM VEVO
Рет қаралды 325 М.
NDOTO     ''Sehemu ya Kwanza''
25:09
Madebe Lidai
Рет қаралды 476 М.
NABII MSWAHILI Part 1 by Madebe Lidai (Official Bongo Movie)
57:17
Africha Movies
Рет қаралды 774 М.
NDOTO     ''Sehemu ya Pili''
34:19
Madebe Lidai
Рет қаралды 281 М.
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 151 МЛН