Kwa kuwa hatuna Raisi wa Tanganyika huyu mama mikataba yote anayoingia ni makosa makubwa kwa kutumia wachawa wake. Kwanza ni ujinga kuleta mtu nyumbani mwako na kumpa usimamizi wa kila kitu mwenye nyumbani mwsko. Atowe maamuzi ya kila kitu Mungu aliyetulet hapa Tanganyika. Hiyo Tanzania imeletwa na Mwalimu na KATIBA yake ya ajabu