Kwambali kama marehemu magufuli uyo mchungaji mwenyewe kanisa
@Veronicaaugustine-nb1vt22 күн бұрын
Sifa na utukufu ni Kwa bwana
@RoseBathlomeyo22 күн бұрын
Utukufu una wewe simba wa kabila la Yuda siku zote jina lako liwe juu juu juu zaidi Bwana hatimaye kanisa lako limerudi baba tunauona utukufu wako naamini huu ni mwanzo wa umoja wetu katika Roho Amen