KATLESI ZA SAMAKI - KISWAHILI

  Рет қаралды 104,571

Aroma Of Zanzibar & Beyond

Aroma Of Zanzibar & Beyond

Күн бұрын

Mahitaji - Katlesi 16
Samaki pound 1/500 gms
Mbatata pound 1 1/2 / 680 gms
Kitungu & Tangawizi vijiko 2
vikubwa
Majani ya kotmiri vijiko 4 vikubwa
Majani ya nanaa vijiko 2 vikubwa
Kitunguu cha kijani kiasi 6
Ndimu/Limao vijiko 3/4 vikubwa
Unga wa bizari nzima kijiko 1 kidogo
Chumvi kijiko 1 na 1/2 au kiasi
Pilipili manga ya unga kijiko 1 kidogo
Unga wa bizari nzima kijiko 1 kidogo
Pilipili mbichi kama utapenda
mafuta ya kukaangia

Пікірлер: 174
@zeinabsubra3903
@zeinabsubra3903 6 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah..Nitajaribu katlesi hii InShaaAllah..Shukran sana kwa reciepes nzuri"Allah(swt)akuzidishie"Aamin🙂
@aliyahaji8512
@aliyahaji8512 7 жыл бұрын
MashaaAllah naziangalia kila wakati video zako mpaka mate yanidondoka kila mara na jifunza mengi kutoka kwako
@nunungwal3012
@nunungwal3012 3 жыл бұрын
Mashaallah nimezipenda zote nitajaribu
@bahatib2172
@bahatib2172 6 жыл бұрын
Asante sana dada maana nilikua cjui jinsi ya kuchanganya vitu nilikua naboronga tuuu. mungu akuzidishie
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 6 жыл бұрын
Amin
@mohamedayda7756
@mohamedayda7756 7 жыл бұрын
mashaa ALLAH habibty. Jazaka lwahu lkheir
@christinahankaz953
@christinahankaz953 6 жыл бұрын
Can't get enough of aroma of Zanzibar, ever since I subscribed, I've been trying out your delicacies and I love the experience.
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 6 жыл бұрын
Thank you for your wonderful support
@pendondossy2158
@pendondossy2158 4 жыл бұрын
Mumeo ana raha sana watoto wako wa kike wanajua kupika hongera kwa kuwa mama bora
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
Ahsante
@bahatilesso3040
@bahatilesso3040 7 жыл бұрын
Allah akubarik mamaangu...I really like your videos thought cwez kujarib vyote kutokana na uhaba wa vifaa
@zamzamhamisi7332
@zamzamhamisi7332 6 жыл бұрын
MashaAllah dada mapishi yako masafi yanatamanisha hongera sana
@aliyahaji8512
@aliyahaji8512 7 жыл бұрын
MashaaAllah mungu awazidishie elimu zaidi tupate faidika kutoka Kwako ukhti
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Amin
@betinakima296
@betinakima296 7 жыл бұрын
inakaa tamu sana...asante sana kwa huo upishi.
@mozaissa988
@mozaissa988 3 жыл бұрын
mashallah allah akufanyie weeps ktk kutoa elim
@mrsmrshassan7473
@mrsmrshassan7473 7 жыл бұрын
Masha Allah , shukran Habibty , Allah akupe Neema na kheir nyingi , nakuoenda Ukhty
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Amin ya rabb
@fatmababaz6573
@fatmababaz6573 7 жыл бұрын
masha'Allah shukraan Allah akulipe kheri.
@shuuabdallah9731
@shuuabdallah9731 5 жыл бұрын
Masha Allah mungu akulipe kherii
@ummusamira3518
@ummusamira3518 7 жыл бұрын
Shukran jazzakallahu lkheri mpenzi wangu
@mamj9126
@mamj9126 5 жыл бұрын
Nakupenda weee Mamy wallah ❤️❤️najifunza mengi asaaaa kupitia ww Allah atujaalie kwa sote inshaallah
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 3 жыл бұрын
Salam alekum napenda sàna samaki mashaallah
@tabuabdallah4398
@tabuabdallah4398 7 жыл бұрын
shukran ukhty mashaallah
@barkesaed5261
@barkesaed5261 3 жыл бұрын
Mashallah
@ruditaboti3157
@ruditaboti3157 7 жыл бұрын
nimependa sana. asante sana
@muhmahahmshaibrahim3109
@muhmahahmshaibrahim3109 7 жыл бұрын
barakaAllahu fiyki
@ashaahmed1353
@ashaahmed1353 7 жыл бұрын
Vry nice.
@mahfuzzrochaa4861
@mahfuzzrochaa4861 7 жыл бұрын
shukran mungu akuzdishie elmu ya duniani na akhera
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Shukran, Amin kwetu sote
@fatmaal-ismaili5514
@fatmaal-ismaili5514 4 жыл бұрын
Mash Allah 🤩🤩🤩🤩
@ilvyzzfrancis4850
@ilvyzzfrancis4850 7 жыл бұрын
soo YUMMY ,asante kwa darasa
@nsab1506
@nsab1506 6 жыл бұрын
Ur the best from Muscat 😙
@salmambanda8720
@salmambanda8720 5 жыл бұрын
Shukran habibty
@ssk9653
@ssk9653 7 жыл бұрын
ما شاء الله. اختي جزك الله خير.
@fatimasaid4193
@fatimasaid4193 7 жыл бұрын
مشاء الله اختى زين الله تساليم يد حالو مشكوره مشكوره حببتي
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Shukran
@shuusimpson6987
@shuusimpson6987 7 жыл бұрын
mashaallah ahsante
@maryamkimwana7427
@maryamkimwana7427 7 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Shukran, amin kwetu sote
@bijumakassim3697
@bijumakassim3697 7 жыл бұрын
Shukran Sana dadangu Allah akuzidishie inshaallah
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Shukran AMIN kwetu sote
@ernestkayanda4710
@ernestkayanda4710 7 жыл бұрын
+Aroma of Zanzibar Da Dada
@rosechild5021
@rosechild5021 7 жыл бұрын
That look so yummy, I'm gonna try them tomorrow.👍🏼👍🏼
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Inshallah, do let me know how they turn out
@rosechild5021
@rosechild5021 7 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar I did try them and they were lovely, my little girl loved it. Thanks so much may god bless u
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Falou Ally That's so wonderful to hear that your family enjoyed them, thank you for your feedback and support x
@ShamimAhmed-hn5kk
@ShamimAhmed-hn5kk 7 жыл бұрын
Asalamu aleykum warahmatullahi wabarakatu shukraann habibty Allah akubariki akujaaliye umri Na afya amiiin
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Shukran, amin kwetu sote
@mimamkassy6563
@mimamkassy6563 7 жыл бұрын
vry nyc
@samiraalrajhy7693
@samiraalrajhy7693 7 жыл бұрын
Mashallah yummy
@fatmahamad1715
@fatmahamad1715 7 жыл бұрын
maaashaalah ila uo unga baada ya kutia kweny mayai unaitwaje? na unaweza tumia unga uo Tuu au ata wa ngano wa kawaida?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Ni unga wa machenga ya mkate yaani bread crumbs unaweza kufanya mwenye numbani, tumia mkate mkuu utiew kwenye oven upashe moto mpka ukauke au weka juani mpaka uwe mkavu halafu saga kwenye blender au twanga kwenye kinu untapata chenga chenga
@hafsatubahati2003
@hafsatubahati2003 5 жыл бұрын
MashaAllah Allah akuzidishie elimu Zaid
@hajiabdulla858
@hajiabdulla858 7 жыл бұрын
Ahsante for the video sister. Nilikuwa naomba if possible utuoneshe jinsi ya kupika katlesi za nyama ya kusaga.
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Inshallah nikijaaliwa kupika nitawaletteni x ahsante
@raudhatrashid5173
@raudhatrashid5173 7 жыл бұрын
mmh aunt Asante San
@mmmmzmmm8387
@mmmmzmmm8387 6 жыл бұрын
Ahsante mpz
@zaitunijuma7831
@zaitunijuma7831 3 жыл бұрын
mashallah dd honger zako
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 3 жыл бұрын
Ahsante sana
@zuweinaalhabsy8046
@zuweinaalhabsy8046 7 жыл бұрын
mashaallah shukran dd.ila mie nikipika time ya kuzikaanga zinakatika kabla sijazitoa kwenye moto.inaweza kuwa nini sababu dd wapi nakosea? napenda sana kutumia tuna ya kopo ile tuna in water.pls dd niambie wapi nakosea.
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Zinakatika kwa sababu zinakua zina maji, tuna ya kibati ikaushe na viunge kwenye frying pan halafu changanya viungo vengine kama kawaida
@zuweinaalhabsy8046
@zuweinaalhabsy8046 7 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar shukran dear in sha Allah ntajaribu kufanya tena
@raidkham8488
@raidkham8488 7 жыл бұрын
Shukran ummy..which days will u be uploading your videos?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
It depends where you are , but from my side Tue Evenings and am trying to add fridays as well if I can so it will be 2 videos a week this is because of Ramadhan and I have alot to cover
@raidkham8488
@raidkham8488 7 жыл бұрын
Am in nairobi kenya☺☺☺shukran fr the reply
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Tue evening is Wed early morning for you I think
@raidkham8488
@raidkham8488 7 жыл бұрын
Okay😊
@catherinenahman656
@catherinenahman656 3 жыл бұрын
Ur the best jamn. Na swali, unga wa mkate unapatikana wapi?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 3 жыл бұрын
Ahsante , unga wa mkate yaani bread flour...? Sijui huko ulipo lakini unga huu ni adimu kuoatikana supermarket za kawaida
@catherinenahman656
@catherinenahman656 3 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar asante
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 7 жыл бұрын
ALLAH AKUJAZE KHERI
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
AMIN
@fatumaalishebibi5561
@fatumaalishebibi5561 4 жыл бұрын
Aunty cutlass Na mimi
@farajamuyinga420
@farajamuyinga420 6 жыл бұрын
Jazzakallah kher
@nihifadhiabdul5211
@nihifadhiabdul5211 4 жыл бұрын
Shukran Sana 🙏
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 6 жыл бұрын
Mashallah👌
@takyatupu6839
@takyatupu6839 5 жыл бұрын
Yummy catless 😋😋
@katotosumbe7782
@katotosumbe7782 6 жыл бұрын
looks yammy yammmmyyyyy...... hiyo kama duara ni nn
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 6 жыл бұрын
Olives/zaituni
@katotosumbe7782
@katotosumbe7782 6 жыл бұрын
thanks kwa kunijuza madam. na enjoy sana mapishi yako familia yangu inafurahia sana
@mwajumaaliy8119
@mwajumaaliy8119 7 жыл бұрын
shukran habibty love u
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Love you too dear
@sallynznas6461
@sallynznas6461 7 жыл бұрын
thank you sister
@khadijahamidu6823
@khadijahamidu6823 6 жыл бұрын
mashallah shukran Jazakallah kheir
@bintihamisi6917
@bintihamisi6917 6 жыл бұрын
mashallah najifunza mengi
@rahmasellemani4563
@rahmasellemani4563 7 жыл бұрын
mashaallah shukran
@mohamedhadidja7395
@mohamedhadidja7395 6 жыл бұрын
Salam alaikum mi nina suali kwa upande wahuu unga womkate je unaweza kuchukua mkate wowote ukaukausha kwa oveni halafu ukausaga jee inafaa a?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 6 жыл бұрын
Sawa mkate wowote lakini uzuri usiwe fresh uwe mkukuu , unaweza kukausha kwa oven au hata nje kwenye jua
@cecymaro1374
@cecymaro1374 5 жыл бұрын
thank kwa somooo😗😗😗
@fatimasaid4193
@fatimasaid4193 7 жыл бұрын
Allah Hafiz Allah akujalie Kheri ufaulu duniani Na kesho akhera
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Shukran, amin kwetu sote
@alimohamedalisaid7040
@alimohamedalisaid7040 6 жыл бұрын
Nice one mashallah mungu akuzidisia ameen thuma ameen
@halimakhalfan2110
@halimakhalfan2110 7 жыл бұрын
Pishi zuri, ila cjaelewa hapo kwenye machenga ya mkate? Yanauzwa masokoni au?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Hizo ni bread crumbs yaani machenga ya mikate unaweza kutengeneza mwenyewe nyumbani, tumia mkate mkukuu weka ndani ya oven la moto mpaka uwe mkavu usiiungue , kama huna oven unaweza kuanika kwenye jua ukisha kua mkavu utasaga iwe machenga ,
@fatmahamad1715
@fatmahamad1715 7 жыл бұрын
Assalam alykum warhmatullah....thnx ma lv tunajifunza Vingi jazakallha kheir.....swali langu katles za nyama nazo nyama unachanganya mbatata?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Aleikum Musalaam, ndio kwa katlessi unachanganya mbatata
@fatmahamad1715
@fatmahamad1715 7 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar shukrani
@shadyasalum7492
@shadyasalum7492 6 жыл бұрын
Aunt fathiya huwez tumia unga mwengine zaid ya chenga za mkate?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 6 жыл бұрын
Ukitia unga mwengine hazitokua na ladha nzuir itakua unga ndani
@lailatiabbas4389
@lailatiabbas4389 6 жыл бұрын
Allah akupe wepesi zaid inshallah
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 6 жыл бұрын
Amin
@sidoyahya7711
@sidoyahya7711 6 жыл бұрын
mashallah mm nmejaribu kupika lkn naona zmekuwa lain sana kwahyo zinateketea kwenye mafutaaa cjui nmkosea nn
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 6 жыл бұрын
Pole sana itakua mchanganyiko wako haujashika vizuri labda viazi vina maji au pia mafuta yamoto sana au si ya moto wa kutosha
@neema1271
@neema1271 6 жыл бұрын
Shukrani
@mayusahussein4721
@mayusahussein4721 6 жыл бұрын
Masha allah
@ramilimohammed5265
@ramilimohammed5265 7 жыл бұрын
Aroma of zanzibar Asante chakula nikipendacho sn mate yamenijaaa lol
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Mashallah, basi mambo mazuri hapa
@subiramashaka2279
@subiramashaka2279 6 жыл бұрын
Dada naomba kuuliza majan ya Nana kwajina lingine
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 6 жыл бұрын
Nanaa ndio kiswahili kiengerza ni mint
@trendingvideos6651
@trendingvideos6651 7 жыл бұрын
Mama please unaweza orodhesha viungo unavyo tumia kwenye mapishi in English ili kwa sisi wa nje tuweze vinunua please n thank u so so much ile recipe ya Halfcake ni hatari yaani nilizipika kila mtu alizipenda thank u a lot umefanya mapishi yamekuwa very easy
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Tracy Mike ahsante sana kwa feedback yako nimefurahi kuwa ime enjoy mapishi ya half cake. Kwa hakika video zangu zote zinakuja kwa English na Kiswahili pia kwa hivyo kwenye video ya English utapata viungo vyote kwa kwa English in the description box , na kwa kiswahili itakua kiswahili respectively x ahsante san
@bintsalim258
@bintsalim258 7 жыл бұрын
Masha Allah,,Allah akuzidishie elmu zaidi nasi tufaidike kutoka kwako my lovly sister...
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Shukran, amin kwetu sote
@PhuongPham-bn2cj
@PhuongPham-bn2cj 7 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar q
@salmahassan6809
@salmahassan6809 7 жыл бұрын
very nice mashaa allah
@raniaalkhaifi5698
@raniaalkhaifi5698 5 жыл бұрын
Helu ✌️
@rukiamwinyihija7849
@rukiamwinyihija7849 4 жыл бұрын
Mungu akubariki,but hizo dania na hayo majani mengine ni shida kwetu kupatikana
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
Wewe uko wapi kwani , dhania no kitu kinapatikana kila soko unawza kupandisha hata jikoni kwako sio kitu adimu kabisa
@rukiamwinyihija7849
@rukiamwinyihija7849 4 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar ,maswa simiyu. hadi mwanza may be huku kwetu hapana
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
@@rukiamwinyihija7849 unaweza kupika bila hyio
@rukiamwinyihija7849
@rukiamwinyihija7849 4 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar nimekuelewa dada
@shangeorge8202
@shangeorge8202 5 жыл бұрын
Asnt mam ang
@siriyamwanamkemkakamavu
@siriyamwanamkemkakamavu 7 жыл бұрын
😚😚😚😚
@fatmatarimo7528
@fatmatarimo7528 7 жыл бұрын
ahsante kwa mafunzo ila naomba kuuliza majani ya nanaa n nn maana m cjui
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Majani ya nanaa ndio kiswahili kwa English ni Mint leaves, ukienda dukani ulliza
@fatmatarimo7528
@fatmatarimo7528 7 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar ahsante sasa nimeelewa
@fatmamambo8311
@fatmamambo8311 5 жыл бұрын
shukran
@raudhatrashid5173
@raudhatrashid5173 7 жыл бұрын
aunt Asante San npenda San katles
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Wajib
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 6 жыл бұрын
MashaAllah
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 7 жыл бұрын
asante saan ddaty Allah akupe afya
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Amin
@maryamkimwana7427
@maryamkimwana7427 7 жыл бұрын
mamii naomba unifahamishe kupika egg chop
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Inshallah, nitajitahidi
@abudebinabri1287
@abudebinabri1287 7 жыл бұрын
salaam natakaunitumie jinsi y kufanya sambusa beef
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Aleiukum musalaam, recipe ya kufanya manda za sambusa ni hii hapa bonyeza kzbin.info/www/bejne/mZO7g36FrtNlgbM
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Jinsi ya kutengeneza nyama ya sambusa utapata hapa kzbin.info/www/bejne/aZC2l6aAesiAepo
@hythamalmaamiry9355
@hythamalmaamiry9355 7 жыл бұрын
mashallah
@shamzone388
@shamzone388 7 жыл бұрын
Nimetuma kwenye comment ya katles au kabab za nyama
@aliyahaji8512
@aliyahaji8512 7 жыл бұрын
nafikiria umetoka ZANZIBAR
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Ndio nimetoka Zanzibar lakini sasa naishi America
@mariammbughi2702
@mariammbughi2702 7 жыл бұрын
unawezaje kutengeneza chenga za mkate nyumbani
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Chenga za mkate unaweza kutumia mkate usiwe fresh uwe umekaa kiasi siku 4/5 , ukate vipande au slice, tia kwenye oven moto mdogo , au kausha kwenye jua kali, tia kwenye blender la vitu vikavu usage au twanga kwa kinu
@mariammbughi2702
@mariammbughi2702 7 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar shukrani
@husnajumanne9801
@husnajumanne9801 7 жыл бұрын
Asalam Alykum sister kiukwel Allah akubarik sanaa sanaa mana binafc wansaidia sanaa plz usiache kutusaidia tupo weng tunofaidika mnoo kwa elmu na moyo mkunjufu cc tusojua mapish pole kwa kla utapoungua plz nahtaj ur WhatsApp no.plzzz
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Aleikum musalaam, shukran sister. Mie siwezi kutoa nbr yangu hapa nifate instagram au niletee email aromaofzanzibar@gmail.com shukran
@magrethpaul6321
@magrethpaul6321 3 жыл бұрын
M nikipika zingne zinapasuka kwenye mafuta
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 3 жыл бұрын
Lbada zinakuwa na maji maji hazijashika uzuri
@magrethpaul6321
@magrethpaul6321 3 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar zinakua. Laini sannnnna
@magrethpaul6321
@magrethpaul6321 3 жыл бұрын
Nifanyaje ili ziwe kavu
@zenarajabu9241
@zenarajabu9241 6 жыл бұрын
Nanaa ni majani yepi ayo mamy mie siyajui hayo
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 6 жыл бұрын
Nanaa ndio kiswahili dada kizungu ni mint ukienda sokoni uliza dada
@zenarajabu9241
@zenarajabu9241 6 жыл бұрын
Asante nikisema nanaa ntapata sio
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 6 жыл бұрын
Ndio jina la kiswahili hilo watu wote wanaita nanaa, uliza please
@zenarajabu9241
@zenarajabu9241 6 жыл бұрын
Asante sanaa jazakaaallh kheri maa
@masseanadir2904
@masseanadir2904 6 жыл бұрын
Sorry sister hizi chenga za mikate ni mikate hii unatengeneza ikisha kauka?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 6 жыл бұрын
Ndio ni mikate ilokauka ni vizuri kutumia mikate ilokua ya zamani kidogo sio fresh, kausha kwenye oven kwenye moto mdogo au kwenye jua mpka iwe mikavu halafu saga kwa blender au kinu
@masseanadir2904
@masseanadir2904 6 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar asante dadaa
@ummuaymazoza7276
@ummuaymazoza7276 3 жыл бұрын
Mbona zangu nikipika zinapasuka shida huwa nn
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 3 жыл бұрын
Zitakuja zina maji maji
@shamzone388
@shamzone388 7 жыл бұрын
Hiyo hapo email yangu...shukraaan
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Angalia vizuri email, nimeleta imerudi address sio sawa
@innocentmhagama5196
@innocentmhagama5196 7 жыл бұрын
Nanaa ni nini kwa English? Tafadhali anayejua aniambiie
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Hope Kabano inaitwa mint leaves
@aminahaj8780
@aminahaj8780 5 жыл бұрын
Na hizo nyengine tutazila hatuzitupi 🤣🤣🤣
@OmanOman-hr6cb
@OmanOman-hr6cb 5 жыл бұрын
😄😄😄😄
@aliyahaji8512
@aliyahaji8512 7 жыл бұрын
nakuuliza ukhti unatokea wapi ww huyo kuku wa nazi namwona anafanana na wa hapa kwetu ni kuku aina gani kwa sababu kuku wa hapa kwetu hawana tamu na hiyo nazi ya kopo kama zetu
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 7 жыл бұрын
Mie naishi America
@asmaaramadhani319
@asmaaramadhani319 4 жыл бұрын
Mashaallah
@husseinshariff9799
@husseinshariff9799 5 жыл бұрын
Masha Allah
SAMAKI WA FOIL/MCHEMSHO WA SAMAKI WA NAZI/ Foil Fish
8:33
Ika Malle
Рет қаралды 43 М.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН
BIRIANI YA NYAMA YA MBUZI - KISWAHILI
11:54
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 232 М.
Katlesi za Samaki With English Subtitles
6:34
Laylunnar Delicacies
Рет қаралды 1,9 М.
Kebab za Samaki /Mapishi ya Kababu Tamu Sana /Fish Balls Kebab Receipe / Tajiri's kitchen
9:13
Tajiri's Kitchen Swahili Flavor
Рет қаралды 4,5 М.
How To Make Swahili Biriani | Chef Ali Mandhry
11:40
Chef Ali Mandhry
Рет қаралды 2 МЛН
Katlesi za samaki/tuna(potato & tuna kebab)
4:15
Shuna's Kitchen
Рет қаралды 42 М.
Kitoweo Cha Mayai | Jikoni Magic
4:44
Jikonimagic
Рет қаралды 314 М.
Samaki wa Kupaka ( Kiswahili)
7:35
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 191 М.
Mishkaki ( Zanzibar Mix Part 3) Kiswahili
6:14
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 246 М.
jinsi ya kupika katlesi za samaki tamu sana na rahisi |farwats kitchen |
4:09
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН