KATOTO KADOGO KAFANYWA KUWA KINARA WA KUANGUSHA NDEGE x264

  Рет қаралды 62,108

Robert Tv Tanzania

Robert Tv Tanzania

Күн бұрын

Please SUBSCRIBE to Robert Tv Tanzania official KZbin channel, Anointed Man Of God Pastor Robert Raphael:
/ @roberttvtanzania
#RobertTv #RobertRaphael #PastorRobertRaphael

Пікірлер
@princessjj8298
@princessjj8298 2 жыл бұрын
Kazi yako ni njema Pastor, Mungu aendelee kukutumia. Lakn unapotajataja mafuta na maji haipendezi, Mungu mwenyewe alisema yaacheni Magugu yaote pamoja na Ngao, hiyo kazi ya kung'oa magugu si yako, mwachie Mungu mwenyewe atawang'oa. Acha kutajataja mafuta na maji.
@amourjamal7292
@amourjamal7292 5 жыл бұрын
Yesu Nimwema saana Kwajili Yetu Sisi Binadamu Tupige Makofi Mbele Ya Yesu
@SibongileNgenge-q5j
@SibongileNgenge-q5j Ай бұрын
@shau78
@shau78 5 жыл бұрын
Kwa kweli bila Yesu hatuponi. Hatutoki. Achana na lidini lako. Halitakusaidia. Mtafute Yesu upone
@annahayasanday7174
@annahayasanday7174 5 жыл бұрын
Hakuna kama Mungu, Mungu anatupenda sana, ametufichulia siri nzito
@mukeragabilodiana9391
@mukeragabilodiana9391 5 жыл бұрын
Mchungaji enderea kuombea watanzania mungu awaokowe waache zambi zakichawi namtoto kweri mungu awasaidie
@zainacolette7153
@zainacolette7153 4 жыл бұрын
Yaaniuyu Baba anajuwa kukoleza maneno kabisa niajabu
@ninzizabrendah2766
@ninzizabrendah2766 4 жыл бұрын
Mcungaji rwanda tukafata100% tunakupenda sana Mungu akubari kwa kazi ngumu unayo yifanya Basi uongezewe mafuta mengi na ulindwe shalom
@shau78
@shau78 5 жыл бұрын
Yesu asante. Wewe ni mwema. Wewe ni kiboko ya shetani
@emminessbekker4040
@emminessbekker4040 3 жыл бұрын
Namwamini mungu kwa kila jambo atanipigania
@neematalange3792
@neematalange3792 4 жыл бұрын
Mchungaji miaka 200 uishi mungu akutangulie
@mwacuka119
@mwacuka119 4 жыл бұрын
Amen. All glory to God.
@ireneivy2178
@ireneivy2178 4 жыл бұрын
Amen jina la yesu lipewe sifa kwa kweli mungu anaweza yote,pastor Robert mungu akulindi mahali popote huendapo be blessed,
@sarahwanjala6601
@sarahwanjala6601 5 жыл бұрын
Amen nanganga na Yesu wangu
@buberwampobera3390
@buberwampobera3390 5 жыл бұрын
Yesu yupo kazini
@faidaimmaculee28
@faidaimmaculee28 5 жыл бұрын
Mungu nimwema
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 2 жыл бұрын
Mzee naona watu umeisha wafanya mandondocha kweli maneno ya uyo mtoto Kuna ukweli?
@tabumasumbuko7213
@tabumasumbuko7213 4 жыл бұрын
Mungu Baba akupe maono mengi mchungaji Robert
@vv2248
@vv2248 5 жыл бұрын
Amen jina la bwana lipewe sifatmilee
@hajimnzava3423
@hajimnzava3423 5 жыл бұрын
Unajua hawa wanao pelekwa kuzimu alafu Yesu anawakomboa Yesu anataka tupate somo Fulani
@leylawillah5781
@leylawillah5781 4 жыл бұрын
Yaani umeongea neno
@happymoraa8649
@happymoraa8649 4 жыл бұрын
Amen be blessed keep praying for us
@latfahaule127
@latfahaule127 5 жыл бұрын
Mungu wangu dunia bila yesu hatuwezi jamani
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 2 жыл бұрын
Mzee wewe nikama auna akili nzuri hivi uyo mtoto anayoongea unaona Yana maana kweli
@ninzizabrendah2766
@ninzizabrendah2766 4 жыл бұрын
Kufatiliya maombezi tu kwa KZbin tunapona kbs🤲🤲🤲🤲
@soniaqueen4579
@soniaqueen4579 4 жыл бұрын
AMEEN bwana yesu asifiwe
@faidaimmaculee28
@faidaimmaculee28 5 жыл бұрын
Amen amen ubarikiwe sana
@hezronmgaya386
@hezronmgaya386 3 жыл бұрын
Mung nimwema
@mukeragabilodiana9391
@mukeragabilodiana9391 5 жыл бұрын
Mchungaji murudirie tena huo mtoto ashuudiye vizuri tunakuomba umurudirie izohabari zakanumba atuereze vizuri
@godliveremmanuelmayombya796
@godliveremmanuelmayombya796 4 жыл бұрын
Amina
@neemamathew7465
@neemamathew7465 2 жыл бұрын
Huyu mtoto anajua siri nying za wasanii na watu wakubwa😳😱 ila shetani ameshindwa kwa jina la yesu
@mukeragabilodiana9391
@mukeragabilodiana9391 5 жыл бұрын
Jamani watuote muriomwamini yesu shika begi🧳💼🧳💼🧳💼nabibria 📖📖📖📖📖📖twende kutangaza injiri
@buberwampobera3390
@buberwampobera3390 5 жыл бұрын
Ubarikiwe
@mukeragabilodiana9391
@mukeragabilodiana9391 5 жыл бұрын
Buberwa Mpobera amina
@furahinsichona7235
@furahinsichona7235 5 жыл бұрын
Ktk ulimwengu wa roho Bado adui wa raisi ni wengi tuendelee kumuombea na kumfunika kwa Damu ya Yesu
@thomasmrosso6022
@thomasmrosso6022 4 жыл бұрын
Naomba msaada Wa namba ya simu mchungaji
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 5 жыл бұрын
Jamani yoote haya watu wanasimulia lakini kuokoka watu hawataki?
@suzanechristopher4631
@suzanechristopher4631 4 жыл бұрын
Namba yako mchungaji tafadhari
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 5 жыл бұрын
Wewe mama Wa Mtoto usimame hasa umetangaza vita kali na shetani
@salmashuffa3745
@salmashuffa3745 5 жыл бұрын
Mchungaji njoo kenya
@severinifulgensi2686
@severinifulgensi2686 5 жыл бұрын
Jaman kunduchi utakuwepo lini?
@apazmunisi2133
@apazmunisi2133 5 жыл бұрын
tunaomba namba za kuwasiliana nazo huku dar es salaam tupewe maelekezo vizuri ya kufika kanisani tafadhali
@everlynekaiga1784
@everlynekaiga1784 5 жыл бұрын
Jesus is alife
@magrethjoseph3295
@magrethjoseph3295 5 жыл бұрын
Mngekuwa mnatuonyesha wakati alikuwa hatembei na kuona!
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 5 жыл бұрын
@@magrethjoseph3295 yaani wewe unaona na mipira tumboni huamini kama alikuwa Mgonjwa?Ebu wakuwekee wewe huo mrija tuone kama utakuwa na Raha,acheni masiala Wamepona shika hilo tu
@highonebalo8289
@highonebalo8289 4 жыл бұрын
Hakuna shetani atamweza rais wetu John. Tunamwombea majira yote hata kuzimu wanajua Amezingirwa kwa Damu ya Yesu pande zote. Mungu Yuko upande wako rais wetu maana unamtanguliza ktk mambo yote. So, you are safe our beloved. Worry out in Jesus Name.
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 5 жыл бұрын
MUNGU ni mwema KWETUU
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 5 жыл бұрын
Mhh uchawi unatisha,hivi wana uwezo gani jamani kupaa hadi ulaya.kusafiri kwa ndege ya kawaida ni masaa 10 au zaidi,sasa wenzetu ni dakika tuu.inatisha
@mukeragabilodiana9391
@mukeragabilodiana9391 5 жыл бұрын
Mariam Fritsi kweri tuombe sana
@lolguy-x9n
@lolguy-x9n 4 жыл бұрын
arudi shule kijana mdogo.
@merrythadeo5318
@merrythadeo5318 4 жыл бұрын
Maji na mafuta hiyo umemsemea wewe, Kila mtumishi ana ufunuo wake,wewe fanya kwa sehemu yako na wenzio wafanye kwa sehemu yao,acha kujihesabia haki.
@eliakimchaiikobellah358
@eliakimchaiikobellah358 4 жыл бұрын
Exactly
@lolguy-x9n
@lolguy-x9n 4 жыл бұрын
mafuta inamuuthi sana. pia kuvalia tu miniskirt na kutengeza nywele. Although ukweli hawa wanafuta pia wengi wengi ni mashetani pia.
@happyabdallah8379
@happyabdallah8379 5 жыл бұрын
Naomba namba yako ya whatsapp mchungaji
@hamzachonya5129
@hamzachonya5129 5 жыл бұрын
Toba
@estherkeya7241
@estherkeya7241 5 жыл бұрын
Kweli mungu yuko
@susanatavachi7559
@susanatavachi7559 5 жыл бұрын
kweli mungu yuko
@susanatavachi7559
@susanatavachi7559 5 жыл бұрын
naomba namba yako whetsapp mchungaji miniko Nairobi Kenya jina Susan
@hamzachonya5129
@hamzachonya5129 5 жыл бұрын
@@susanatavachi7559 Aya nakupa 0762414815
@zainacolette7153
@zainacolette7153 4 жыл бұрын
Weyebaba. Unajuwakuwekachuvi kabisa
@zainacolette7153
@zainacolette7153 4 жыл бұрын
Mngunimkubwa hamtuwezi nyinyi Tuna Mngu sisi
@kinged9862
@kinged9862 4 жыл бұрын
Sijui ni mimi au huu ni usaini wa kijinga kwanza tokea lini mtoto wa miaka miwili akajua umri wake pili ndege gani hiyo ambayo ilianguka miaka ya hivi karibuni na mtu akapona Uraya sehemu gani hiyo ndege iliannguaka ndani ya umri wake na mtu mmoja akapona acheni kutufanya sie wajinga mbona kila mtu kanumba mwacheni apumzike kwanza Armani.
@flavianmeero6006
@flavianmeero6006 3 жыл бұрын
September 7 2012 - Yak-Service Flight 9633, a Yakovlev Yak-42, crashes just after takeoff from Tunoshna Airport, Yaroslavl, Russia, due to pilot error, killing 44 of the 45 people on board. Many were players and staff of the Lokomotiv Yaroslavl ice hockey team of the KHL, as the flight was destined for Minsk, Belarus for a league game.
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 2 жыл бұрын
Yaani watu kawafanya manyumbu
@doricemrema2177
@doricemrema2177 3 жыл бұрын
Amina
Chris Mwahangila - Nitetee Gospel Song SKIZA*860*655#
6:43
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 7 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Prospa Ochimana - Ekwueme feat. Osinachi (Live Ministration)
6:58
Prospa Ochimana
Рет қаралды 132 МЛН
WANAJESHI 75 WAKAMATWA KWA KUWAKIMBIA M23 CONGO, SERIKALI KUWASHTAKI
4:32
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,1 М.
SOMO:USIKU WA MANANE.
55:42
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 66 М.
FENNY KERUBO FT ROSE MUHANDO NYAMAZA (OFFICIAL VIDEO) Sms "Skiza 7635252"to 811
7:07
MCHAWI "JINSI YA KUINGIA KWENYE NYUMBA YA MTU USIKU" | Robert Tv Tanzania
45:22
FREEMASON WATAKA KUMCHUKUWA WAKATI AKIWA ANAFANYIWA MAOMBEZI
1:11:14
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 36 М.
Sh Xassan Al Waajidi Maxa Lagu Heystey Marku Laha Qabilta Sh Xassaan Abu Salmaan
22:08
imam shafici media قناة الإمام الشافعي
Рет қаралды 63 М.
Inflationen sjunker - chefsekonomen om läget i Sverige
13:36
EFN Ekonomikanalen
Рет қаралды 868