Na salimu kwa jina la yesu ni mimi josephine na toka Texas amen amen mutumishi
@nadrasvibe7363 Жыл бұрын
Paster of kenya my house the witches come round 4.5pm please pray me and my children pray of and my house protection Jesus name Amen.
@eugeniengobobo71902 жыл бұрын
Asante sana mchungaji kwa namna unavyo tumiwa na Mungu Niko kongo Bukavu nafanya Mara kwamara mahubiri yako kwenye youtube
@tabumasumbuko72134 жыл бұрын
Asante Mchungaji endelea kuokoa maisha ya watu tunaangamia kwa kukosa maarifa damu ya Yesu itukomboe Amina
@agneswanzala3151 Жыл бұрын
Ni Agnes Nashukuru kwa kazi nzuri Mungu akutie nguvu
@نايفالشمري-ط3د4 жыл бұрын
Spirit of withcraft over me an my family i command to catch fire an burn to ash in Jesus mighty name Amen
@doricasmutuli67564 жыл бұрын
God is great .Bishop endelea kueneza injili wenye masikio na wasikie katika jina la Yesu.
@samalrael5872 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@watsonisrael40533 жыл бұрын
Asante mchunagaji Robart ninakuomba ututembelee Mafinga ili utubariki wewe MCHUNGAJI wa Mungu.
@basilisamsaka84692 жыл бұрын
Yesu NI Bwana YESU ni mokozi
@MartinAtalo9 ай бұрын
Yesu anaweza
@bernicewanjiku45583 жыл бұрын
Uuui"may God have mercy on us nd forgive us our sins, Jehovah lord protects us from those evil spirit in the name of Jesus Christ be praised always hallelujah. Mungu nilienda kwa damu yako takatifu pamoja na Familia yangu ni kweli witches craft they are all over the world devil u are a great lier u are powerless and power, Jehovah guns us with your precious blood in the name of Jesus Christ hallelujah and Amen 🙏🙏😭😭♥️🤗🙋
@robertmusee16804 жыл бұрын
Connecting from Switzerland napokea uponyaji na miungiza wangu kwa jina Ia Yesu Ameeeeeen na Mungu Akubariki Mtumishi Robert
@conjetamhagama84284 жыл бұрын
Pole Mama Wa Binti Bwana Yesu amfungue na kumuweka huru.
@monicalaizer19084 жыл бұрын
Mungu akubariki sana nakufuatilia youtube japo mtandao kwetu sio mzuri ila ninapopata nafasi naangalia shuhuda mbalimbali zinanijenga sana
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Mbona huyu dada hataki kusema mwenyewe mtumishi. Wengi wengi wengi wengi wengi mtumishi. Shughulika nao Tz TZ nzima mabadiliko, kadri Mungu atakazokutuma. Baba Mungu lete Roho ya uasi. Tusalimike.
@marthamwakio06mwakio453 жыл бұрын
Hawa wachawi washindwe kwa jina la Yesu, mahali wako wakufe wenyewe
@نايفالشمري-ط3د4 жыл бұрын
Witchcraft powers over me be broken in Jesus mighty name Amen
@eddiezunda10664 жыл бұрын
Mchungaji naomba uombee familia yangu niko Kenya. Pia naomba maombezi yako kwa mtoto wangu Egdius Murithi Junior Zunda hajatembea tangu kuzaliwa.
@mukeragabilodiana93914 жыл бұрын
Pole sana mungu amponye from Canada 🇨🇦
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
asante yesu watu wako wanaangamia kutokua na maarifa
@dicksonmalindila72062 жыл бұрын
Dada afunguke vzr mchungaji halafu aangalie camera
@godliveremmanuelmayombya7964 жыл бұрын
Amini
@stevenmwaisunga50904 жыл бұрын
Asante
@evequebutunga9311 Жыл бұрын
w
@melissamoraa45704 жыл бұрын
Unajifanya Kulia na unalazimishwa kuongea, weka satan nje kama uko ready kuokoka
@winnienyambura15643 жыл бұрын
I wish ungekuja Kenya mchungaji naeza furahia sana
@marthamwakio06mwakio453 жыл бұрын
I was blocked and my family kumbe ni nyinyi mnatutesa in the name of Jesus and the power of the Holy Trinity, get destroyed right now
@faustinaaugustine78354 жыл бұрын
Kaz yako ni njema mtumishi wa Mungu
@valenakomba76864 жыл бұрын
Mtu mwenyewe mpaka adodoshwe, amesema hataki lakini hataki kuongea vizuri.
@nginamugwe80934 жыл бұрын
Kweli natamani kuckia mahubiri ya Pastor Nicholas lakini sijawahi ckia only ushuhuda...but simpingi mahubiri yake namiss
@mercypaul98683 жыл бұрын
Mama was binti aombe sana
@faithkavete29674 жыл бұрын
Hata mimi nina roho ya kukataliwa mchugaji niombee. Nko Kenya.
@lovelynurukeil63594 жыл бұрын
Ujerumani mnakuja lini ni wapi mtakuja ujerumani
@lovelynurukeil63594 жыл бұрын
Njoni Belgium baba Robert
@sophiamwita33524 жыл бұрын
Mchungaji jmn hata mm miguu inanisumbuwa na mgongo cjui ndiyo tunabebwa niombee mchungaji no 0629645940
@joyceemmanuel74004 жыл бұрын
mchungaji mbn unamtafunia kila k2 kama anataka kuokoka ungeacha aseme mwnyw
@juliuschepkwony14364 жыл бұрын
Mchungaji uniombe na family yangu tuokoge ni Kenya
@florajames31974 жыл бұрын
Tutaaminije kama nikweli anachosema??kwanini asiongee bila kuhojiwa??? mchungaji hd kumuuliza maswali...kwanini hd ahojiwe???🤔
@imejachunga99584 жыл бұрын
Mbona waandishi was habarii wakiwahoji watu MNA amino bila kupinga?
@neemamathew74652 жыл бұрын
Shetani amefungu mdomo wa huyo bint,,, hawez kuongea s unaona alivoombewa majin yameanza kupiga kelele
@monicalaizer19084 жыл бұрын
Prophet umefika Kiteto naomba Mungu akikupa kibali ufuke na kwetu Simanjiro ni karibu na Kiteto namba zangu za Simu 0756460927
@jenymbogela7814 жыл бұрын
Mtumishi wamungu naomba uniombee na mm nipo mkoa Wa Njombe Wilaya Makete tarafa Matamba kwanamba 0787828962 ukweli namhitaji yesu ndani yamoyo wangu nafamily yangu,
nimejaribu kupiga simu haiendi.... +254726040590 ni no yangu.
@annamushiaminaaa43674 жыл бұрын
Uje Moshi babaa
@magrethrogath53074 жыл бұрын
Natamani kubatizwa niko arusha no 0762160419
@magrethrogath53074 жыл бұрын
Mchungaji natamani Santa kubatizwa niko arusha
@magrethrogath53074 жыл бұрын
Niko arusha 0762160419 natamani kubatizwa
@adhiambocarolyn98954 жыл бұрын
MUNGU NI MWEEMA . AMAKWELI YUPO MUNGU WA UZIMA
@revinphilemon33514 жыл бұрын
Mwanz mnakuja lini mtumishi
@lydiahaliali6964 жыл бұрын
Amen, jeman mungu tusahindie kwa Jina LA yesu
@m0seslawi933 жыл бұрын
Mchungaji ombea sana inchi ya Kenya na wanabii wanaotumia maji na mafuta nilifatilia mafundisho yako kuhusu mafuta na maji na kupuliza mtu maji kwa USO .hiyo in miugiza gani hiyo?