Hiyo kauli sio tata 😳 Hajapozwa na mdomo,Yuko sawa kabisa.
@AthumaniKimwaga5 ай бұрын
Nafkir hilo kundi lipo....ili litoke kwenye Chungu Cha akina Sisi....
@AishaOman-k6f4 ай бұрын
Yupo.sawa.kwakuua.maporini.heee
@saluuhans5 ай бұрын
Siri za Ccm zitafichuka sana mwaka huu
@daviddsouza7355 ай бұрын
Kuanzia kipindi cha nanlii vijana wametumika kunanlii kullaahh matokeo yake vijana wanaendelea kuuza mboga za majani mitaani
@ElishaOisso5 ай бұрын
Ningukua mhariri wa gazeti kichwa cha habari cha gazeti ningeandika ROHO WA MUNGU AMSHUKIA DC LONGIDO …
@YOSHUAMWAMPETA5 ай бұрын
NDIO MAANA HUJAWA MHARIRI .MAANA UNGEPOTOSHA SANA UMA
@mbondelotv83805 ай бұрын
Kabisa
@ElishaOisso5 ай бұрын
@@YOSHUAMWAMPETA KWA HIYO SAHIVI NAPOTOSHA KIJIKO
@liannsambu72645 ай бұрын
💯💯💯💯💯 bila kupingwa
@marcokaroje89805 ай бұрын
@@YOSHUAMWAMPETA wewe ni mbogamboga wa chukuchuku mtekaji mahukumiwa siku ya kiama mnafikiri mnaojipendekeza kwao watawasidia mnatakiwa kutubu dhambi mbaya za mauwaji kabla hamjafa
@benedictomahombo5 ай бұрын
Nawakubali sana goodmoring ya wasafi media..ninyi sio machawa
@Peterchipemba5 ай бұрын
Wasafi,,mpo safi sana kwa upembuzi wa habar,,uchanganuzi wa habar pia na udadafuzi wa habar,,mnafukunyua habar vizur vizur sana,,nimewapenda.
@BarakaSimon-xy9mp4 ай бұрын
Mungu anawafedhehesha hao
@AbdallaMwagora-sm1rj5 ай бұрын
Mm sijashtuliwa na kauli za DC wa longido hata mwenda zake alisema hataki kuiona tume ikitangaza WAPINZANI.
@OlivreKimario5 ай бұрын
Na ndie aliyewatuma
@bahatielias64435 ай бұрын
Alikuwa muuaji yule na dikiteta mkubwa,mpaka huwa najiuliza sana siku amekufa Kuna viumbe walilia balaaa huku wengine tukisema Mungu kaamua na kufanya bahari itulie
@lusekelowilliam20685 ай бұрын
Hawa jamaa hawa kumbe ndo wanakuwaga hvi studio😂😂😂😂
@MWINYIKADHI4 ай бұрын
😂😂ndio unawaona Leo kumbee
@DottoMagesa4 ай бұрын
Na nyinyi wasafi mko vizuli sana mwenyewe kuhariri
@isaackemanuel37125 ай бұрын
Mungu atabakia kuwa Mungu hata kama mtatumaliza kutuua
Mbn mnamuonea huyu jamaaa kwel msemakwel nimpenz wa munguu
@kobelovitus63375 ай бұрын
Mkiona mgonjwa anaanza kutaja aliowauwa,kwanza mjue ni mchawi lkn pili ni dalili kwamba muda c mrefu atafariki
@sifuelinyaki33415 ай бұрын
Huyu dc atakuwa anawajua wale watu wamekuwaga adim sana kwwnye hii nchi.. wale wasiojulikana..
@EmmanuelSabibi5 ай бұрын
Hajaponzwa na mdomo wke ,bali ni mungu katamka kwa kutumia mdomo wke na kutaka kuwaumbua ccm maana ndio hua tabia yao, ila jua tu ,mungu hua hafichi ukweli hua anaumbua pale apoona watu wamechka kuishi na mfumo wasioupenda
@wilisipanganiwilisi37515 ай бұрын
Watu hawawezi kukaa na uovu wa ccm mioyon mwao japo wanaitumikia Cha hicho God is win & God is wine Viva young of TZ @ mwakasagule finest
@mamachris68115 ай бұрын
@@wilisipanganiwilisi3751 walioko ccm wengi hawaipendi,wapo kimaslahi zaidi Yaani imekuwa kama Suger daddy ( sponsor) 😆😆😆
@CharlesAlly-jp1ms5 ай бұрын
Siku za mwisho maovu yote yatawekwa wazi mungu mkubwa😂
@modestwenceslaus95 ай бұрын
Damu za Watu waliodhulumiwa haki zao za kuishi zimeanza kuwalilia.
@AlhajiIssa-jb9hr5 ай бұрын
D.C longido mdomo wazi😮
@storytownTv5 ай бұрын
Naitakia Tanzania usingizi mwema wakifikra..😢 mitano mtaenda nae .. ila hamjui mnaenda nae wapi..!?
@anchelouskyaruzi39925 ай бұрын
Sio mbali ndugu zangu, mwisho wa mambo UKARIBU, yachunguze matendo yako fanya uamuzi mambo ya kesho huyajui, njooooo!
@HaibaSalehe-tb5vn5 ай бұрын
Mazingira ya 2020😂😂😂 ila huyu baba anamengi
@Hussein-gx4qu5 ай бұрын
Huyo katoa ushahidi wa wazi kumbe wao ndio watekaji anatakiwa akamatwe
@marcokaroje89805 ай бұрын
DC wa Longido,na m/kiti UVCCM wanahusika katika matukio ya utekaji kupitia kauli zao sasa serikali itachukukua hatua gani licha ya kuwatumbua?UVCCM kumbe wanapotekeleza uhalifu huu huwa wanateuliwa kuwa ma DC/RC?
@marcokaroje89805 ай бұрын
@@Hussein-gx4qu kuwateka watu wanaoapinga siyo suluhisho LA kudumu sasa wakiwageukia wakaanza kutekwa wao ndiyo machafuko yataanza
@HashimYahaya-hd3zm5 ай бұрын
Nyie mbwa nawapenda kwakuchombeza ❤❤❤❤❤❤
@SamwelMkilya5 ай бұрын
3:53 msema ukweli ni mpenzi wa mungu😅😅
@OmmyJames-xn7ji5 ай бұрын
ANGESEMA WAKATI ULE WA GIZA ANGEKUWA HERO 🦸♀️
@adrianomaulaga15995 ай бұрын
Kwani kwa sasa kuna Mwanga?
@OmmyJames-xn7ji5 ай бұрын
@@adrianomaulaga1599 UKO MWANGA SASA ILA MAPALOKO WAMEZIDI 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@BraxedaDomina-xn4zc5 ай бұрын
Ss ndio kuna giza kbs
@JosephJerome-k1i5 ай бұрын
Wazee wa minyama na matonge😂 salute to you
@elisantefrank47805 ай бұрын
Huwa napenda sana uchambuzi wenu. Hakika Mungu azidi kuwabariki ninyi.
@msafiriomary8935 ай бұрын
Nikweri kabisa hakuna kiongozi wa ccm miaka yote anae shinda uchaguzi wanapita kwa hujuma tuu
@SaidAbdala-f7p5 ай бұрын
Kwa huku zanzibar. Ccm tushaawambiya. Watafute kazi nyengine za kufanya. Kwa maana huuu ndio mwisho wao. Hawa majambazi .washatutesa sana. Sasa subiri mara hii. .halafu mimi siamini kama marhum Maalim seif sheriff hamad. Kama kafa kwa corona . Kwa nini tundu lissu alipelekwaa. Nairobi kutibiwa. Sababu walijuwa kuna madokta Ccm ndani ya muhimbili.
@GeorgeElias-p5o5 ай бұрын
Pepo inakuhusu🤲🏾
@bahatielias64435 ай бұрын
Wale wauaji wakubwa
@shammhagama25275 ай бұрын
Hahahaha nyie watangazaji mnajua kukera😅😅
@liannsambu72645 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 kama ametoa Siri Yao Kuna shida gani hahah
@Shalom8035 ай бұрын
Na bado watatafutana na kuumbuana. Mungu ayaweke wazi yote yanayofanywa dhidi ya haki na uhuru wa nchi hii.
@GodlvJohn5 ай бұрын
KAZI ngumu nakutotumia akili ipe ccm,bali chadema hutumia akili namaalifa,Kosa la DC Nikusema ukweli nasiwakwanza kusema ukweli hata wanai nchi tunajua hivo, Mungu angamiza hii ccm ifute kwenye uso wadunia niwahalifu kama wahalifu wengine
Ingekua nimimi nimgeandika DC LONGIDO KAYATIMBA!!!!😂😂😂😂😂
@rasheedmbaraka71995 ай бұрын
Daaaa DC kauaaaa sanaaa huyu..longidooo mmetishaaa sana kweli mlikuwa na kiongozi asiyejitambua...daaaaaa
@SmartOfficial-u5j5 ай бұрын
Anajitambua
@JamesJoseph-b1l5 ай бұрын
Mbona kama wamelongwa viongoz wanatoa sri waliofanya zaman mungu anawachakata taratibu
@YonahMwamwaja5 ай бұрын
Watu kama Hawa MUNGU ndio anawataka wasema kweli anasema mliyoyasikia sirini semeni kwenye mapaa ya nyumba,
@jumahamadomar91245 ай бұрын
Mwenyezi Mungu mkubwa yaani unapozoweya kudhulumu Mungu siku moja atakuvua nguo mchana kweupe mbele ya wakwe zako Ccm mwaumbuka nape ameongea matendo mabaya ya ccm na leo mwengine ameengeo...duu mwaumbuka
@RaphaelHhari5 ай бұрын
Jamani eee hivi watanzania mmelogwe? tatizo si Dc wala CCM bali tatizo ni sisi watanzania hatujitambui hivi kweli kwa katiba hii ya Baba wataifa na ccm kuna haja ya kumchagua kiongozi je kazi ya katiba hii ni nini, kwamba Raisi ambaye ni mgombea ni mwenyekiti wa chama kinachoshindana na Raisi anateua viongozi wote wenye maamuzi ya mwisho mfano tume huru ya uchaguzi ya taifa mwekiti anateuliwa na raisi wakuu wa mikoa, wilaya,wakurungezi na wengine wengi jamani sasa hapa kuna kuchagua kweli viongozi,raisi anatoa maagizo tu kwa wateule wake nataka hivi na hivi nani atayempinga jamani ?
@MichaelNgiloriti5 ай бұрын
Daa kazi ipo huyu DC
@omaryramadhani2905 ай бұрын
Siku za mwisho za CCM zimefika
@RenoMashala5 ай бұрын
ila ii mijamaaa ukizingua mtaani ikapata info zko ni balaa utajuta weee😂😂
@DjJohnBashir-oy7cx5 ай бұрын
DC yupo sawa ila hakuna watangazaji hapo kelele tupu
@nicolausminja6895 ай бұрын
Unafikiri Nape alisema uongo!?hiyo ndio hali alisi ya uchaguzi Tanzania.kwenda kupiga kura ni kupoteza mda tuu kama Hatuna katiba mpya.kupiga kura ni maigizo,🤔Ndio maana ya Tamisemi kusimamia uchaguzi.
@TonyHen-p8b5 ай бұрын
Kaungama hadharani
@RaymondSaid-g8g5 ай бұрын
Hawa viongozi wanatakiwa wachaguliwe na wananchi sio kuteuliwa nikweli uchaguzi wa 20 ni wizi mtupu kaongea ukweli mama kafeli unamfuta mtu kwa kusema ukweli 😂😂😂
@jei_maimu69575 ай бұрын
Wazee wa mabao ya mkono😂😂
@johnkaliwanje4345 ай бұрын
yaan hapa hatuitaj intelejinsia ya polisi, iko dhairi kabisa, ndio maana wako kimya sana
@shammhagama25275 ай бұрын
Hahahah wahariri wa mchongo mmeuaa😅😅
@thetas085 ай бұрын
Si ukweli sasa. Mnashabikia nini kayakoroga nini acheni zenu na vipni di vyenu zero
@allybora40215 ай бұрын
Bado awajasema Bado kabisaaaaa
@En_Diel5 ай бұрын
5:55 waliosoma Russia washaelewa 😁
@SaidiPala5 ай бұрын
Ningekuwa Mimi muhariri ningesema DC rongido fyeee!!!
@mountoftransfigurationchur28795 ай бұрын
You guys are very funy😂😂😂
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm5 ай бұрын
Ndiyo tabia ya CCM kasema ukweli mtupu wako madarakani kwa mabavu hawawezi ushindani kamwe
@martinmpuya56395 ай бұрын
Ameandika kitu cha kweli,hii ndio Tanzania yetu.ila chenye mwanzo hakikosi mwisho
@thetas085 ай бұрын
Nyie radio uwoga hadi vidoleni hamseni chochote kazi kelele tu acheni zenu
@RizwanAbdallah5 ай бұрын
Kaka zangu alicho ongea nisawa maana wanafanya kweli mungu anawaumbua maana damu iliomwagika haipotei
@shosekomba4495 ай бұрын
Ha ha haaa Zembwela❤❤
@EmanueliWildausoni5 ай бұрын
Dc maporini atakuwa alifanya uovu sana porin alienda kufanyaje kuna kura za porini? Watanzania tuacheni ujinga ccm ni wahuni kushinda wahuni wote kauli ya Nape kauli ya yule kijana aliyesema wakiwapotza wapinzan polis wasiwatafute na kauli ya huyu DC ni kauli tata sana ni bas cjui watanzania tunataka tusanuliwe vp??????
@simonzelote59985 ай бұрын
Mimi nilishawahi kusema hata kondoo akipitishwa na chama tawala atakuwa kiongozi kwa sababu ya haya yanayofanywa na chama pamoja na watu wachache
@mbondelotv83805 ай бұрын
Nchi ya michakato ni tanzania kweli......mmmmmmh..! Nilikuwa sijui
@brightonferdinand41825 ай бұрын
Sasa hivi ukiwa msema kweli unakuwa kama Dili. 😂😂 Watatumua mmoja mmoja...
@kainimlowe96465 ай бұрын
Mimi mhariri ningesema dc longido akipata Cha mtema kuni
@Thewonder-t7l4 ай бұрын
Kumbukeni Finland walitabiri Vita Tanzania Miaka hii na ilisemekana kwamba walitaka kutoa ubalozi wao Tanzania sasa sijui ni kwelii au?
@rithaurassa5 ай бұрын
Mwisho wa ubaya ni aibu tupu.
@AlexcpetroCpetro5 ай бұрын
Kwetu kuna diwani ana ogopa Trafiki na mbunge ana ogopa Polisi mkoa kagera kaisho MURONGO.
@ShortyShorty-mr3jb5 ай бұрын
😂😂😂duuuuuu wazee wa minyama
@SamweliKitiku5 ай бұрын
Nachoka ndani ya nchi yangu tanzania ninaposikia maneno yakiongozi huyu kuongea haya manen
@JamesMramba-ll4cq5 ай бұрын
Hahaha wakuda ila kitenge Atari sanaaaaa mnajuwa kunogesha habari
@BlackKing89-l1u5 ай бұрын
Mimi ningesema... DC LoNGIDO!!!!.... KUSHNEEIIIII!!!!!🤣🤣 SIRI IMEFICHUKA!!!!! CCM MAJAMBAZIII!!!!!
@DottoMagesa4 ай бұрын
Alisema ukweli
@joycenose23565 ай бұрын
Kala kashiba na kuropoka😂😂😂
@ezekielmwakajila37905 ай бұрын
Hahaha joketi style 😅😅😅
@YOSHUAMWAMPETA5 ай бұрын
MAMBO BAAAADO! HICHO KIPINDI KINAWAFAA SANA.
@KondoMkange5 ай бұрын
Nyinyi mnashindwa kuelewa kilakitu kibaya kitakuwazi wazi kwasababu sasahivi watu wanabigasana kuljuwane hiduwa nihatali sana
@joachimsironga15605 ай бұрын
Ila kaongea ukwel ila wapambe sasa ndo hawaaaaaaaaa wa mpira wa siasa yaani hawaeleweki
@PeterMahona-zd3oz4 ай бұрын
Wanajiamini kwasababu wakati mnaenda kupiga kula mnakuta kula zimejaa kwenye viboki ndiyomaana kwenye vituo unakuta kula zimezidi waliojiandikisha
@newtonnyembe82285 ай бұрын
Hapo kwanza SEMENI kwa pamoja bye bye 👋👋 Issue ya Afande vijana wake inaishia hapo. Mmeshahamishwa tayari "kushineyi"
@piusmusigula35125 ай бұрын
😊 3:37
@AmaniOmari-ev2gu5 ай бұрын
Haaaaahaaaa nani kasikia joketi style
@onesmomwakasege52155 ай бұрын
Nape kawafungulia njia
@CharlesAlly-jp1ms5 ай бұрын
Ulimi kiungo kidogo rakini matatizo yake ni makubwa 😂😂😂
@salehsimba53065 ай бұрын
Ile radio yetu imepoteza mvuto kwa kuwa machawa
@morrisabdon78815 ай бұрын
gazeti langu, DC Longido ajiunga na Nape .
@mamachris68115 ай бұрын
@@morrisabdon7881 😆😆😆 Nape ni mnafki,huyu ni msema kweli 😆
@STEVENKAJUMBA5 ай бұрын
Kitenge shida
@saluuhans5 ай бұрын
Kikao cha waariri 😂
@jonfredkewe34515 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂KITENGE anavunja mbavu zangu
@HamisiRamadhan-g4k5 ай бұрын
Kumbe hakuna haja ya kupiga kura
@olaislukumay22085 ай бұрын
Hando wapi
@SilveryMasalu5 ай бұрын
Wilaya iko wazi kwa Mchungaji Msigwa
@STEVENKAJUMBA5 ай бұрын
Mzimu wa magufuli unawatesa ccm .
@MathiasNiwandindaАй бұрын
😢😢
@RashidShinza5 ай бұрын
Mama unayumbishwa huyu sio wakuwa hai mfiche huyo kama vp mpe uwazilimkuu sabaya achezenao hao wanatumwa na shetani