Mzee wa CHADEMA Awasha Moto, Akatishwa Akiongea, Akataa Kukaa- 'Hatupo serious'

  Рет қаралды 39,448

The Chanzo

The Chanzo

6 ай бұрын

Hashimu Juma Issa ambaye ni mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA leo ameshiriki katika mkutano wa baraza la vyama vya siasa, hata hivyo mchango wake ulikatishwa kwa kile kilichotajwa ni kutoka nje ya mada, Issa alisisitiza kuwa viongozi wamekosa umakini

Пікірлер: 162
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 6 ай бұрын
Huyu mzee wa chadema apewe maua yake❤
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 6 ай бұрын
Hana maua ! Hizo ndiyo tabia zao
@JesuinaBabili
@JesuinaBabili 6 ай бұрын
Kabisa
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 6 ай бұрын
Safi sana katibu wa wazee chadema...
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 6 ай бұрын
Kama huyu ndiye mtendaji mkuu wa wazee wa chama, basi na chama kinafanana naye!!
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 6 ай бұрын
Asante Mzee wangu umenena vyema
@iwobidesouza319
@iwobidesouza319 6 ай бұрын
Man of the mwaka 2024, dah! Nimecheka sana 🙌
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 6 ай бұрын
Ndio raisi ajue kuna makasuriko mengi kwa wananchi wa Tanzania 🇹🇿..
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 6 ай бұрын
"Makasuriko" ni kitu gani wewe ongea vitu vya maana usituletee sheng za Kenya hapa. Sema kuna hasira nyingi au malalamiko mengi sheng waachie wenyewe 🙄
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 6 ай бұрын
Niliwambia humo kuna vyama vingine ni vya mchongo kazi kusifia tyuu😂
@mr.content266
@mr.content266 6 ай бұрын
Nilichogundua huyu mzee sio chawa tumpe maua yake.
@mungunimwemakilawakati1299
@mungunimwemakilawakati1299 6 ай бұрын
WANANCHI TULISHATOA MAONI YETU KWENYE KATIBA YA WARIOBA, ITUMIKE HIYO. KWA HESHIMA KUBWA, TUNAOMBA MAONI YETU YAHESHIMIWE!!
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 6 ай бұрын
N kwel kabisa Rais hayupo seriously
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
Nchi ilojaa mijitu mioga ambayo inahisi rais ni Mungu asietakiwa kukosolewa kila mtu chawa tena hao wavaa suti ndio watu wapuuzi mnoo.
@user-qv1vc3yl3d
@user-qv1vc3yl3d 6 ай бұрын
Kwani mada ni ya kukosoa Rais au ni kujadili miswada?
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 6 ай бұрын
hongera saana mzee wetuu
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 6 ай бұрын
Pole kwa mhemko mzee!Ukajifunze!!!
@devothakokwiyukya5179
@devothakokwiyukya5179 6 ай бұрын
Kama mzee huyu wa hovyo ..nawe unaemsapot ni hovyo
@user-mw7xl2zc8f
@user-mw7xl2zc8f 6 ай бұрын
Nchi ngumu Sana hii,kikao for nothing yaan inaingia kwenye kikao huku uzungumze wanachotaka wao😢
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 6 ай бұрын
Ndiyo au kusifia sifia tu yaani hii nchi hii!!
@claudesimukoko1436
@claudesimukoko1436 6 ай бұрын
Miti ingikuwepo umo ndani, nahisi tungempoteza uyo Mzee. Mzee nimemuherewa
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 6 ай бұрын
Mbona kama wanazimisha watu
@malkavoice2570
@malkavoice2570 6 ай бұрын
Kwani Raisi sio binadamu jamani mnamuogopa kiasi cha kuzuia mtu asiseme dukuduku lake. Mnazingua hatari sana
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 6 ай бұрын
Tatizo siyo kutoa dukuduku ila ni ametolea wapi hilo dukuduku!
@user-ry1pe3tu5s
@user-ry1pe3tu5s 6 ай бұрын
Hongera Hashim hongera Hashim hongera hashim
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 6 ай бұрын
Pole sana kwa ufahamu finyu
@jovitherkaijage614
@jovitherkaijage614 3 ай бұрын
Ongera, Mzee Ashimu wa chadema
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 6 ай бұрын
Huyo katiba wa wazee Chadema ni mzima kweli hajui wala anacho kisema
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e 6 ай бұрын
Umemwelewa Sana sema uchawa unakusumbu.
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 ай бұрын
​@@user-jc8el6je5eWANACHOFANYA NI KUPANGA MAISHA NG'AMBO YA MTO BILA KUVUKA MTO
@wanguwangu34
@wanguwangu34 6 ай бұрын
Niwape pole sana Wana kikao Kwa kuwa na mkti asiyejua nchi na wananchi wanataka nini, mnapoteza muda na PESA za nchi bira sababu ya msingi
@gweahshoo5120
@gweahshoo5120 6 ай бұрын
Hiv kweli ndio kuvurugwa ama nini?au mimi sielewi..yaan kuna mtu anapongeza alichofanya huyo mzee kweli?ndio tulipofikia nchi hii ujinga ndio unapongezwa...yawezekana hoja yake ni sahihi 100% lakin sehem aliyoleta si sahihi..ni sawa na kikao cha harus chenye ndugu jamaa na marafiki unaleta hoja ya kusuluhisha ugomvi wa familia
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 6 ай бұрын
Huyu mzee wa chadema ❤❤❤ yupo vizuri
@DoctorRengeda
@DoctorRengeda 6 ай бұрын
Nchi ya hovyo sana yani mnazingua kichizi mpaka sio poa ila mwisho wenu umekaribia ✌️🇹🇿📢👏
@samsonmathew6468
@samsonmathew6468 6 ай бұрын
Ameongea vizuri kabisa tatizo ni kwamba hamtaki kuambiwa ukweli na kukataa ukweli ni ugonjwa na ni udhaifu m'baya mno iko siku mtaelewa hata kwa viboko!!
@user-qv1vc3yl3d
@user-qv1vc3yl3d 6 ай бұрын
Hawa ndo wanataka wapewe nchi waiongoze kweli
@shukranitv2971
@shukranitv2971 6 ай бұрын
Nice mzee anaongea point
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 2 ай бұрын
Kazi kweli kweli
@charlesmurimi765
@charlesmurimi765 6 ай бұрын
Kuna mjinga hapa mezani naye ni chawa anapiga makofi
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 6 ай бұрын
Huyo Mtungi anaangalia Tumbo lake sio ustawi wa Taifa hili
@iskitogo
@iskitogo 6 ай бұрын
He is definitely sick
@nurdinkisaria9476
@nurdinkisaria9476 6 ай бұрын
😂 Ipyana classic
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 6 ай бұрын
Mzee hajui hata anachokiongea huyu ni msaga sumu
@simontv8124
@simontv8124 6 ай бұрын
😂😂😂, Mzee Noumaaaaa Sanaaaa 🤣🤣
@EliaEgbert
@EliaEgbert 6 ай бұрын
Huyu mzee wa chadema ni ovyo sana
@jovitherkaijage614
@jovitherkaijage614 3 ай бұрын
Hii ni kupoteza lasilimali fedha Kwa mambo Yale Yale , hii mbaya sana
@gabrielmwikanu1160
@gabrielmwikanu1160 6 ай бұрын
Hao ndiyo chadema, Bila fujo wanaona hawajakamilika Ndio tunaowategemea kuongoza nchi hii
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 6 ай бұрын
Mnaopewa dhamana ya kusikiliza watu muwe wavumilivu. Kwa stahili hii hamuwezi kufikia mnachokitafuta.
@NDEWARA
@NDEWARA 6 ай бұрын
Amewasha Moto upi huyu anayebwbwaja tu😂😂😂
@eliudmpisi
@eliudmpisi 2 ай бұрын
Jamani kilcho Baki ni kujitetea wenyewe ila Hawa atuna vngz jabisa duuuh
@nassorseif7907
@nassorseif7907 6 ай бұрын
Safi sana mzee umeupiga mwingi
@mayalakatema2576
@mayalakatema2576 6 ай бұрын
makosa MAWILI nimeyaona 1. Meza kuu kupiga makofi siyo sahihi 2. Kumzuia mjumbe kutoa maoni yake kisa kagusa Neno Rais 😭 my country is bleeding inahitaji kukombolewa kifikra inaangamia kwa kukosa Uwakilishi mwema 😳😳😳
@seraphinjosephmboya3646
@seraphinjosephmboya3646 6 ай бұрын
Hatuna viongozi tuna walaji, na watafuta favour ya RAISI
@user-ps5yv4nr9l
@user-ps5yv4nr9l 4 ай бұрын
Uhuru wa kuongea hamna nchi hii na ukijifanya muongeaji unauliwa hii ndo Tanzania
@jonassmajaliwa
@jonassmajaliwa 5 ай бұрын
Tanzania yangu😢
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 6 ай бұрын
Mbona huyo mwenyekiti wa mjadala ni dikteta sana! Hadi kero. Mbona mambo ya tume huru ina muunganiko mkubwa na katiba! Hivi anakwama wapi mwenyekiti dikteta huyo?
@isaacndashuka5959
@isaacndashuka5959 6 ай бұрын
Meza kuu mkampigia makofi mtu wa ccm aibu sana
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 6 ай бұрын
Aliongea ya kujenga ndiyo sababu alipigiwa makofi!
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 6 ай бұрын
Wewe mtanga zaji mwongope mungu sio binadam
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 5 ай бұрын
Hawa jamaa mtu akipewa cheo ujue answerable.
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 6 ай бұрын
Tatizo nchi hii wasomi ndo changamoto mtu simuache mtu haongee kile anachoamini?
@ChristinaMpwaga-ue7jf
@ChristinaMpwaga-ue7jf 6 ай бұрын
Wezi wampumbaza mzee wetu ila tumeeelewa
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 6 ай бұрын
Mwenyekiti wa HOVYO. Wangesikiliza mchango wake dakika zake ziishe basi, maana huo ndo mchango wake hata kama wenyewe hawapendezwi na maoni yake. ( Yan ni kujiaibisha kabisa)
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 6 ай бұрын
Alimaliza muda wake kuongea vitu nje ya mada!
@user-yd1pc8uy8x
@user-yd1pc8uy8x 6 ай бұрын
Hovyo Sana
@user-yd1pc8uy8x
@user-yd1pc8uy8x 6 ай бұрын
Hovyo Sana hajuagi Hana busala siku zote huyo Kama jinga furani hata Kama Kuna Changamoto wao wenyewe wanazo nyingi Sana
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 6 ай бұрын
Hao waliopo mezani ni machawa wa Rais. Huu mkutano ni kupofusha watu macho
@jesaminzo
@jesaminzo 6 ай бұрын
Mbona huyu msemaji yupo vizuri? Au mwataka kusifiwa tu? Ni nani amewaweka hao watu kuongoza hiki kikao?😂😂😂
@ismaildavid6970
@ismaildavid6970 6 ай бұрын
TATIZO WANAOGOPA UKWELI.
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 4 ай бұрын
Mzee yupo sw,tatizo hampendi ukweli
@steveJkaaya-qt1ih
@steveJkaaya-qt1ih 5 ай бұрын
kuda adek mnaogopA ukweli mzeee sema
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 6 ай бұрын
Ekeni uhuru wa kuongea jamani khaa kukosoana ni muhimu
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 6 ай бұрын
Safi sana mzee waambie ukweli, wengi humo wateule was rais hatuwezi kupata muhafaka mpaka warekeb ishwe
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 6 ай бұрын
Ukweli upi na ameutolea wapi!
@user-bp9ie1zq3v
@user-bp9ie1zq3v 6 ай бұрын
Kwa hili nimeamini chadema ni wapayukaji, huyo Mjumbe wa kamati mkuu wa chama kinachojiita chama Kikuu cha upinzani. Hii inanipelekea kuamini hawana uwezo wa kuongoza nchi
@wanguwangu34
@wanguwangu34 6 ай бұрын
Kwa watu wenye akili timamu hawawezi KUJADILI Tena katiba Mpya maana warioba alishamaliza na Samia alikuwa mjumbe.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 6 ай бұрын
Nashauri tuchague nchi tunayodhani ina Katiba nzuri halafu tuchukuwe kopi moja na tutowe yasiyotuhusu na tuingize tunayotaka, kwa majadiliano hatuwezi kupata Katiba mpya. Hakuna hata mtu mmoja anaeleta mfano wa angalau Ibara moja anabyotaka iwe kila mmoja anataka mjadala bila kutaja hata kasoro ya Ibara anayoizungumzia.
@Fantsonmpango-uz3jw
@Fantsonmpango-uz3jw 6 ай бұрын
Meza imejaa makada ndiyo shida, sasa taarifa ya nini mtu akijenga hoja yake, kwani hilo ni bunge?
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 6 ай бұрын
Taarifa za nini?
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 6 ай бұрын
Ni kweli tunamshukuru raisi Samia kuruhusu majadiliano lakini naomba yasikilizwe na kutekelezwa
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 6 ай бұрын
Magufuli alipingana na kikwete kimazo ,magufuli kaja na ubara ukabila na mikopo ,wacheni tutoe mawazo muhimu,...
@IsmailJafari-pe1dv
@IsmailJafari-pe1dv 2 ай бұрын
Watetea Ugal Kiukwel Mzee Apewe Ulinzi Km Namuona
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 6 ай бұрын
Ao waliokua mbele wote vibaraka wa Ccm, Mzee uko vizuri ,Ccm bila ya kuitoa madarakani watatuburuta sana yaani wanafanya Nnchi kama yao wengine wanatuona wajinga
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 ай бұрын
Kuweni wasikivu. Tunajenga nchi moja. Tusigombee fito
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 6 ай бұрын
Nnchi yenyewe toka Uhuru mpaka leo akuna cha maana, Zaid ya viongozi wa Ccm kuingia mikataba yenye maslai yao co ya Taifa na Kuiba ela za uma Ccm watu washaichoka wanatumia nguvu kuingia madarakani kwa mfano wabunge akuna alio wachagua,inauma sana Nnchi tajili wananufaika wachache
@evaemil856
@evaemil856 6 ай бұрын
Pete zimefanya kazi
@sadathahmada9066
@sadathahmada9066 6 ай бұрын
30 bwana😂
@evaemil856
@evaemil856 6 ай бұрын
Mnapoteza muda km Katiba mpya haiongelewi.
@michaelchombo8956
@michaelchombo8956 6 ай бұрын
Kwa ninni mnamlazisha akae chini asiendelee kutoa maoni
@NeemaLieda-qz3kd
@NeemaLieda-qz3kd 6 ай бұрын
Hii ndio kazi.alio tuachia baba wa taifa tutacherewa sana
@tanzanitetv
@tanzanitetv 6 ай бұрын
ACT wazalendo wenzetu CCM
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 6 ай бұрын
Wazee wanabaki kulalamika tu
@WemaChuma-qx3gz
@WemaChuma-qx3gz 6 ай бұрын
Kwanini mnamkatisha kweli ccm hampo siliasi. katiba Kwanza ya walioba.mbona ccm mnaiogopa hiyo katiba?
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz 6 ай бұрын
hahahahahaha
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 6 ай бұрын
Hiyo ndo CDM wazee wa details
@user-gy5ii3ig1d
@user-gy5ii3ig1d 6 ай бұрын
Hamna kitu hapo nisawa kumpigia mbuzi gita tu
@user-hq6yr2hm8b
@user-hq6yr2hm8b 6 ай бұрын
🇹🇿🤔
@richardmbasha1411
@richardmbasha1411 6 ай бұрын
Ifike mahali, watanzania woote tuache nidhamu ya UCHAWA na ndio inaturudisha nyuma..Kenya hapa rais anatukanwa na hakuna mtu anadeal na kumtetea atajitetea mwenyewe
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Sema usiogope sema mambo yetu Katiba mpya tena Warioba Inatakiwa Serikali 3
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 6 ай бұрын
Ovyo Ovyo Ovyo ovyo
@user-cb6yl8nu7z
@user-cb6yl8nu7z 6 ай бұрын
Umepiga mwingi mzee
@richardnganya2311
@richardnganya2311 6 ай бұрын
Hakuna Tume huru bila Katiba madhubuti.
@PhilipoMwita-ge2oj
@PhilipoMwita-ge2oj 4 ай бұрын
Mbona ccm mnakua kama mnamuogopa
@mohamedally121
@mohamedally121 6 ай бұрын
Mnasapoti ujinga tu, mtu anazungumza mambo kwa mijazba yake na hayupo ndani ya topic, amepew mda ameshindwa kuongea vzr, mbona kigaila kaongea kaeleweka
@shafee9128
@shafee9128 6 ай бұрын
Wewe watu sio wajinga maada ya kumpongeza mkuu ndio sawa hoja ya kutaka ufumbuzi wa kweli hamtaki ndio maana sasa watu wanajitoa tu ufahamu hayo ndio matokeo ya kukataa ukweli kila siku mwisho ndio watu wanaazaga uhalifu wa kisiasa we should have a fair share to make everything smoothly
@jumamchina9038
@jumamchina9038 6 ай бұрын
Eti Mwenyekiti WA Baraza la wazee duh! Kweli ndio maana Chadema ni hovyo. Kumbe ndio Aina ya wazee wao. No Hekma no Busara ila kubwabwaja tu Aibu!!
@johnmakundi9877
@johnmakundi9877 6 ай бұрын
Upumbavu mtupuuu hakuna hekima yoyote inayoongoza kikao hiki
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 2 ай бұрын
Katiba ya warioba ndiyo tunayo itaka
@mohddelo
@mohddelo 6 ай бұрын
Huyu anakiburi sana
@evaemil856
@evaemil856 6 ай бұрын
Ndivyo itakavyokuwa uchaguzi
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 4 ай бұрын
Mbona mnamkatiza?
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 6 ай бұрын
Mzee wa CDM yupo makini sana
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 6 ай бұрын
CCM sasa iwe mwisho tumechoka ni kichefuchefu tu
@karushakamusa5525
@karushakamusa5525 6 ай бұрын
Ukiwa unaongea ukweli daima utasimama peke yako. Ndo kilicho tokea
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 ай бұрын
Kapiga pentagon
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 6 ай бұрын
Maccm niwababaishaji wamiakanendarudi wapumbavu kabisa wanatuvurugavuruga sisiraia wanchihii huku wakipiga hela zetu bilaaibu walahofu yamungu hawana
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 6 ай бұрын
Mzee Issa umeongea point asante mzalendo wa kweli halafu wanamzuia kuongea
@ramadhanikassimu
@ramadhanikassimu 6 ай бұрын
Chabema anaoja
@Jonnibo
@Jonnibo 6 ай бұрын
Unaeza kusikia kafa ghafra 😒
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 6 ай бұрын
Watu wanahasira kuliko huyo mjue siku nchi hii itabadilika mtajinyie nyie jifanyeni wenye hekima tu na uongozi wenu huo
@jumamchina9038
@jumamchina9038 6 ай бұрын
Kama huyu ndio Mwenyekiti WA wazee wa Chadema ndivyo alivyo sasa Chama Chao kitakuwaje?
@erastoshirima8874
@erastoshirima8874 6 ай бұрын
Sasa katiba haiongeleiii tume ya uchaguziii we are not serious for sure
@YusufSasamalo-uz4ii
@YusufSasamalo-uz4ii 6 ай бұрын
Hatari
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
Mwanzo Mwisho Jinsi Hotuba ya Lissu Ilivyolitikisa Jiji la Arusha
49:01
Tundu Lissu Aliamsha Dude Sakata la Mikataba ya Madini, Bunge Lachafuka
6:46
Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla Wizara ya fedha Nov. 6, 2015
14:29
Kumekucha MAZITO YAIBULIWA SAKATA LA MSIGWA KUMBE IKO HIVI
22:07
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 63 М.
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН