KAULI YA ALLY KAMWE BAADA YA KUTUA CROWN FM

  Рет қаралды 32,909

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@BullahSambiga
@BullahSambiga 17 күн бұрын
Ewe mw mngu tunakuomba utujaalie tuweze kushinda mchezo wa kesho🙏 inshallah
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 16 күн бұрын
Ni sahihi sana Job anaipigania sana team na ni mtu makini,mara chache sana ukimuona akifanya makosa,ni very professional.
@PaulSanane-j1e
@PaulSanane-j1e 17 күн бұрын
Kama unaikubali young Africans 🔰🔰🔰 gonga like ❤ hapa
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 17 күн бұрын
Gusa aachia twende kwao yanga bingwa insha Allah 💛💛💚💚
@SaidAkili
@SaidAkili 16 күн бұрын
Inshallah KHER Allah awatangulie wachezaji wote Inshallah
@Mita100_Bme
@Mita100_Bme 17 күн бұрын
Mbona kama kesho haifiki🎉 Litakufa lile lizembe❤
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 17 күн бұрын
posho mlima supu irudi tena jamani tushushie na maji ya kunywa ya GSM 🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@shutamediatv7791
@shutamediatv7791 17 күн бұрын
Wakwanza , like hata 2 jamanh😅😅😅😅
@hafia.056
@hafia.056 17 күн бұрын
Wananchi wooote vipi lakini apo lakini Aaaa tunaona sugar muwaa cream maziwa chai. Looks like it's good good good stuff always enjoyed it. The Giant Youngs Africans it's oyeee oyeee hayaa Twendeee kazi all wananchi Thank you so much wananchi
@mealsbymana6561
@mealsbymana6561 17 күн бұрын
Kila siku katika kila usiku, nawaombea wachezaji wangu wawe na afya njema isiwe majeruhi inshallah tuweze kushinda tupate pointi tatu.💚💛💪🏾
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 16 күн бұрын
insha'Allah tutashinda,✅💚🖤💛
@abdulhalimahmed1576
@abdulhalimahmed1576 17 күн бұрын
Tajiri hana baya GSM
@AloyceSangi-f7f
@AloyceSangi-f7f 17 күн бұрын
Nacubali semaji sema na ball unalijua😢😢
@Elisante-l6m
@Elisante-l6m 17 күн бұрын
Keshoo hataa waombejee lazima tushindee kwa njia yeyote
@Byeradidasi
@Byeradidasi 17 күн бұрын
Mungu atasaidia tuna Imani nae
@DoryGeorge
@DoryGeorge 17 күн бұрын
Tuko pa1 semaji na mwenyekt wa vilabu❤❤❤
@SimonhyMayala
@SimonhyMayala 17 күн бұрын
Naiombea young ushind
@chollejr_
@chollejr_ 17 күн бұрын
Et jigii mshery😂😂😂
@mwajabuYusuph
@mwajabuYusuph 17 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉Mungu ibariki Yanga african ishinde kesho mashetani wanao iombea yanga african mabaya WAKAFIE UKO MMBWA HAOOO NA MANGUO YAO MEKUNDU KAMA WAGANGA WA KIENYEJI WAKAFIE UKO
@khamissehel-jr1cs
@khamissehel-jr1cs 17 күн бұрын
dua gani hiyo unawaombea wenzako?
@chollejr_
@chollejr_ 17 күн бұрын
Alichojifunza mashabiki awatakiwi kua wapole kesho kinukee 😂😂😂labda wasiingie uwanjan
@chollejr_
@chollejr_ 17 күн бұрын
Lkn tunaomba police wasituingilie 😂😂😂kesho kinawaka ata jukwaani
@AmaniOmari-ev2gu
@AmaniOmari-ev2gu 17 күн бұрын
Tp mazembe atakula goli 3
@myself-T2
@myself-T2 17 күн бұрын
ikawe kheri kwetu,wachezaj naomba mjitume asilimia mia.sisi tutatimiza wajibu wetu kama mashabiki
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 17 күн бұрын
Allahamdulillah tunaomba kesho In sha Allah mwenyezimungu ajalie mpate goli napoints zakutosha mwenyezimungu atuhifadhi tunawaomba kwamwenyezimunguaIn sha All 3:51 3:52 atusaidie tushinde goli 3
@agneskaseya8473
@agneskaseya8473 17 күн бұрын
Mungu atuongote tupate point tatu mkayomba mkamala
@chollejr_
@chollejr_ 17 күн бұрын
❤❤❤❤❤iwe kheriiii
@prospermakundi
@prospermakundi 16 күн бұрын
Mungu wetu atatuwezesha kupata pointi tatu
@fadhilimkanimkole272
@fadhilimkanimkole272 16 күн бұрын
😂😂😂ila kamwe
@mulishid
@mulishid 16 күн бұрын
Kesho ushind lazima
@kitah9639
@kitah9639 17 күн бұрын
Young Africans
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 16 күн бұрын
Inshallah tutashinda ushindi wa 4_0
@KitebiMagope
@KitebiMagope 16 күн бұрын
Manara ye ninan katika tim
@MuslihiShafii
@MuslihiShafii 17 күн бұрын
Hakuna kubwa kwa allah ushindi lazima bi izni allah
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 17 күн бұрын
Juma hayo Simba amekasilika sana hapo
@MariamZanzibari
@MariamZanzibari 17 күн бұрын
Allah ibariki yanga
@HarunakiongoziMohamed
@HarunakiongoziMohamed 16 күн бұрын
Sajili wachezaji,mambo ya kuruka ruka ruka tu,winga wawili, kiungo mkabaji, striker mmoja
@salummasenga5030
@salummasenga5030 16 күн бұрын
😅😅mbn umekasirik...SAS kinachozungumzwa unakielewa
@kitah9639
@kitah9639 17 күн бұрын
🔰🔰🔰
@KhamisKisine
@KhamisKisine 17 күн бұрын
Pamoja s.ana ally kamwe daima mbele nyuma mwiko
@chollejr_
@chollejr_ 17 күн бұрын
😂😂😂😂oyaaaa kamwe wewe utakua VVIP mashabiki labda wasiingie uwanjan
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 17 күн бұрын
Allaah Akbar
@chollejr_
@chollejr_ 17 күн бұрын
Touch release attack
@ManjaHisani
@ManjaHisani 17 күн бұрын
Tena Ali kamwe wambiye hatutaki masihara sisi tunataka robo tufike
@LouisKatunda
@LouisKatunda 17 күн бұрын
🔰✊
@sittandaki2135
@sittandaki2135 17 күн бұрын
Ushindi lazima
@PgodPgod-mz3dx
@PgodPgod-mz3dx 17 күн бұрын
Tunatoboa tundu.
@Elisante-l6m
@Elisante-l6m 17 күн бұрын
Itafikaa
@Arashamael
@Arashamael 17 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@ElikanaBahati
@ElikanaBahati 17 күн бұрын
achana n like kwanz toa neno kwa wachezaj we2
@erickfene1642
@erickfene1642 17 күн бұрын
Gsm
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud 17 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🏆🏆💛💛🔰🔰💚💚🔥🔥🔥🔥
@HijjaanamsaidOneman
@HijjaanamsaidOneman 17 күн бұрын
Huyu camera man kuma tu
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl 17 күн бұрын
Hijja. Una. Jina. Zuri. Sana. Ndugu. Yangu. Matusi. Ya. Nini. Mitandaoni. Kama. Hupendezewi. Na. Interview. Hiyo. Si. Unyamaze. Kwani. Hilo. Tusi. Hata. Wewe. Linakuhusu. Kwani. Usingekuwepo. Hapa. Duniani. Bila. Hiyo. Kuma. Uliyoitaja
@Erickomondtz08
@Erickomondtz08 17 күн бұрын
𝐊͢𝐚͢𝐤͢𝐚͢ 𝐤͢𝐚͢𝐦͢𝐰͢𝐞͢𝐞͢ 𝐭͢𝐮͢𝐧͢𝐚͢𝐤͢𝐮͢𝐣͢𝐚͢ 𝐮𝐦͢𝐬͢𝐢͢𝐭͢𝐮͢𝐚͢𝐧͢𝐠͢𝐮͢𝐬͢𝐡͢𝐞͢𝐞͢ 𝐤͢𝐤͢ 𝐬͢𝐢͢𝐬͢𝐢͢ 𝐭͢𝐮͢𝐩͢𝐨͢ 𝐡͢𝐞͢𝐰͢𝐚͢𝐧͢𝐢͢🫶🫶🫶🧡🧡💛💛💚🧡💚💚💚💚💚💎
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
AHMED ALLY AMCHANA ALLY KAMWE BILA UWOGA, IBENGE HAWAACHI SALAMA
10:06
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 82 М.
ALLY KAMWE AKITAMBA GUSA ACHIA SASA IMEANZA KUFANYA KAZI
10:08
KAYUNGILO MEDIA
Рет қаралды 5 М.
YANGA MBELE KWA MBELE SONG| WACHA WAISOME NAMBA.
2:49
Yanga TV
Рет қаралды 38 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН