KAULI YA KOCHA HAMDI BAADA YA MECHI DHIDI YA JKT TANZANIA

  Рет қаралды 6,446

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Пікірлер: 58
@VIVIANMUKULU-kr8xp
@VIVIANMUKULU-kr8xp 16 сағат бұрын
Alhamdulillah kwa yote, tulijua tuu sababu waliungana ili tupoteze naimetokea yote kwa yote alhamdulillah, tutakutana
@innocentmmandago3029
@innocentmmandago3029 3 сағат бұрын
Let's be strong!
@errydeo8865
@errydeo8865 6 сағат бұрын
😂😂😂😂 viandishi uchwala! Kakiweka Sawa! Not his first game in Africa 🤣🤣I like his attitude, we gonna win the league! I love no nonsense coach!
@frankmichael9866
@frankmichael9866 16 сағат бұрын
Leo timu ni kama ilkua imechoka sana, intensity haikuwepo kabisa.
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 14 сағат бұрын
Wachezaji ndo maana baadhi wanasema wachezaji wamfurahi kutoka Ramovic kutokana na uvivu wao, walliokuwa wanaipambania team Mzize na Mudathir.
@FEISALAHMED-p4j
@FEISALAHMED-p4j 14 сағат бұрын
Kocha ni mzuri tu wacheni ushamba
@errydeo8865
@errydeo8865 6 сағат бұрын
Hawajui! Attitude Yake ndo imenikosha! Wachezaji Wana KAZI dressing room!
@ShomaryHassani
@ShomaryHassani 4 сағат бұрын
Mzur wa sura au
@songombingo108
@songombingo108 16 сағат бұрын
Nimeangalia namna Wachezaji walivyocheza hawakuwa na fiziki iliyozoeleka. Upambanaji umepungua. Hofu yangu huenda Kocha Mwarabu aliyerudishwa wa viungo hana uwezo tena. Ni bora yule wa Ramovic.😢😢
@RoseManyama-j5u
@RoseManyama-j5u 13 сағат бұрын
Na huyo mtamfukuza kam ndo hivo
@sittandaki2135
@sittandaki2135 15 сағат бұрын
Nilisema kabla ya mchezo huyu kocha hakuna kitu hakuna kocha hapo kuna maneno tu huyu ni Robertinho part two Huyu kocha anajifanya mjuaji sana huwezi kumwanzisha chama harafu utengemee matokeo mazuri
@ahmednembo415
@ahmednembo415 16 сағат бұрын
Bad day at work, but we will make it inshallah.
@VIVIANMUKULU-kr8xp
@VIVIANMUKULU-kr8xp 16 сағат бұрын
Viongozi nawaomba tuachen upole kwanin wanacheza mechi zetu hawa nyau? Nasisi tucheze zao asee vita nikubwa
@maryamm7765
@maryamm7765 16 сағат бұрын
Masikin namuonea uruma huyu kocha Mungu amfanyie wepes na timu yake
@athumanishiza7374
@athumanishiza7374 15 сағат бұрын
Hakuna kocha
@JohnMyula-u9j
@JohnMyula-u9j 16 сағат бұрын
Aanomechoka sana nimelala ntaamka mechi ya makolo ikiisha hatasisi tucheze mechi zao pumbavu hao
@VIVIANMUKULU-kr8xp
@VIVIANMUKULU-kr8xp 16 сағат бұрын
Umeonaee nilisema wameungana ili tupoteze
@abdurabihassan1188
@abdurabihassan1188 3 сағат бұрын
Kocha tupo pamoja.
@KennedMathayo
@KennedMathayo 15 сағат бұрын
Hamna cocha hapa
@vaxminja9053
@vaxminja9053 15 сағат бұрын
Huyu siyo kocha hawezi kupeleka timu popote
@Kabaikonline
@Kabaikonline 16 сағат бұрын
Hamna kocha hapa
@VIVIANMUKULU-kr8xp
@VIVIANMUKULU-kr8xp 16 сағат бұрын
Yaan wachazaji hawachezi kabisa wazitoo kweli uchawi upo
@CHARLESJUMANNE-d3m
@CHARLESJUMANNE-d3m 15 сағат бұрын
We mbwa kwel Amna coach hap
@ProsperJesse-u4x9l
@ProsperJesse-u4x9l 4 сағат бұрын
Tumecheza HOVYO
@AminaTanzania
@AminaTanzania 13 сағат бұрын
Makolo kweye kuloga mnajua ira yanga fungukeni acheni kukaa na kusubiria mechi mtaraumu wachezaji na kocha timu inarongwa sana mpaka hatua ya mwisho ijinia nyinyi hamuoni kolo na hao
@FEISALAHMED-p4j
@FEISALAHMED-p4j 14 сағат бұрын
Yanga mbona munaongea mavi kocha yuko sawa nyinyi mnataka ushindi tu kwa wenzenu hawatii mzoezi mpira wadunda
@AsiaBakari-e3k
@AsiaBakari-e3k 15 сағат бұрын
Mmh mwaka huu😢😢😢😢
@Bizo-hd
@Bizo-hd 14 сағат бұрын
Siyo kila comments ni ya mwananchi😂
@leonardkusenha9754
@leonardkusenha9754 14 сағат бұрын
Hivi mnaomlaumu kocha mnataka kuniambia siku nne tano alizokaa ndo zingeweza kubadili chochote leo hata kama yanga wangeshinda basi ni kwa uwezo wa wachezaji sio kocha so hata kufungwa sio makosa ya kocha
@christophermbuga9623
@christophermbuga9623 13 сағат бұрын
Unachezesha mastaa wote, mashabiki wanakupa nguvu, unafungwa ma JKT iliyoko nafasi ya TISA? Mnashambulia hamfungi!!!! Yaani!!
@mujunibikombo764
@mujunibikombo764 15 сағат бұрын
Viongozi badilika kuamini ngozi nyeupe?Nashaanga kwani hatuna makocha wa africa wanaweza kufundisha timu zetu asa Simba na yanga
@bakarimasanga3634
@bakarimasanga3634 38 минут бұрын
Hebu list down kwa mfano....
@shakirasaid7124
@shakirasaid7124 14 сағат бұрын
Yaan yang hata siwaamini tena mnatufanya roho juu kama tunaoga nje hata siwaelew yaaan mwaka huu ni mateso hakuna rahaaa hata.
@innocentwenceslaus2171
@innocentwenceslaus2171 3 сағат бұрын
We si shabiki halisi. Matokeo yoyote ya timu lazima uyapokee
@terrence9477
@terrence9477 15 сағат бұрын
Kila siku nawaambia mtu mwerevu huwashirikisha watu matokeo na sio mipango. Ally komwe kila siku anawashirikisha mipango, who does that? lakini pia hata mwanzo wa msimu, aziz ki alipoulizwa naye akasema tuna mipango ya kuifikisha hii timu mbali, kiko wapi? Ukiwa mwerevu huwezi kuwashirikisha watu mipango, washirikishe watu matokeo. Viongozi wetu bado hawajakomaa
@aminasogo5780
@aminasogo5780 14 сағат бұрын
Viongozi mnatuuza kweli Kila siku tunabadilisha makocha ubingwa hakuna tusidanganyane
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 15 сағат бұрын
Hesi anatuuza makoch gan hawa, mbona msomal ameshinda na ken gold ammuamin hesi unatuza vtan
@GodfreyKarino
@GodfreyKarino 16 сағат бұрын
Yanga tume zidi mno kubadilisha macoach kwaiyo haya yanayo tokea ndo matokeo sasa
@frankmichael9866
@frankmichael9866 16 сағат бұрын
Punguza mdomo, yanatokea yapi, tumepoteza game ngap?
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 14 сағат бұрын
Ndio mechi yake yakwanza bongo msijizime data
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 14 сағат бұрын
Tunaweza kusingizia kocha lkn wachezaji wetu Wana mgomo kabisa yaani mwamba afanye uchunguzi
@MaalimuHashimu
@MaalimuHashimu 15 сағат бұрын
Just a first match he complain of referees
@thobiaskasian6560
@thobiaskasian6560 11 сағат бұрын
Eng HERSI anajiona anajua sana hataki kuambia ukweli,DUBE SIO STRAIKA WA KUCHEZA YANGA,PIA WACHEZAJI WENGI N WAZEE HAWAWEZI KUPISHANA NA TIMU INAYO CHEZA IKIKIMBIA MDA MWINGI Uwanjani, WACHEZAJI wamechoka
@GwamakaAmosi
@GwamakaAmosi 14 сағат бұрын
Biashara za makocha zitaisha lini ?
@NuruallyJumalusewa
@NuruallyJumalusewa 25 минут бұрын
Viongozi xx mnatuchanganya shida yenu tusichukue ubingwa ila xx tunautaka mala tano timu iko kiwango cha chin sana iko slow mnatubadilishia makocha tu waviungo mmemtoa tena
@OlivaMHANDO
@OlivaMHANDO 14 сағат бұрын
Kocha ndo huyu raisi wetu,, wachezaji wanalala uwanjani bira kujuwa kwamba wapo kwenye mashindano,, ingineer, ingineer, ingineer unatupeleka wapi na hiyi yanga?..
@FEISALAHMED-p4j
@FEISALAHMED-p4j 14 сағат бұрын
Wananchi wacheni mbambamba matokeo ya futbal ni MATATU
@hockingsshangali1747
@hockingsshangali1747 14 сағат бұрын
Bora kukamiwa na wachezaji kuliko kukamiwa na marefa na wachambuzi , wacha Tff na bodi ya ligi.watakoma. lengo ni kutovunja recoding ya simba weweeeeee.
@aishabakari8040
@aishabakari8040 16 сағат бұрын
😏
@issamlibwa9398
@issamlibwa9398 15 сағат бұрын
Huyu nikama robatinh tu Hana lolote
@FortuneKigane
@FortuneKigane 16 сағат бұрын
Unavyoongea unatia huruma ila nkimuangalia mnyama yupo nyuma angu nasem ww hutakiw kuonewa huruma mseng ww na chasamb hamn tofaut
@BilaliAlly-f2n
@BilaliAlly-f2n 15 сағат бұрын
888
@KayagwaElisha
@KayagwaElisha 16 сағат бұрын
Kocha ni shati la mgahawa.. Hakuna lolotee
@sittandaki2135
@sittandaki2135 15 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kumbe tuko wengi hapa hakuna kocha kunamaneno tu sijui viongozi wanashida gani yote haya wameyataka wenyewe
@mujunibikombo764
@mujunibikombo764 15 сағат бұрын
Huyu kocha ni wa bei rahisi nini?Unamtoa Singida unamleta yanga are you serious nyie viongozi
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
HAIER
1:00
GSM GROUP OF COMPANIES
Рет қаралды 56 М.
KUANZIA LEO KUPIGA PICHA SIO HARAMU TENA ? || Muhammad Bachu || January 2025
49:13
WACHEZAJI BAADA YA MECHI DHIDI YA JKT TANZANIA
3:30
Yanga TV
Рет қаралды 8 М.
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН