We Muhammad Bachu uko vizuri kweli kwa ufafanuzi we ni mwiba kwa majadida
@aliwesonga539911 күн бұрын
Maa Shaa Allah, shukran jazaakaAllahu kheir Sheikh Muhammad Nassor Bachu,kwa kweli umenifungua macho sana,umenisaidia kutohukumu mambo kwa pupa.Allah Akihifadhi na Akuzidishie ilm uzidi kunitoa masikio taka,in Shaa Allah
@salumtakao98283 күн бұрын
Allahumma aamin
@HassanIddy-v1b15 күн бұрын
M,bachu hongera❤aya ya allaah iko pamoja nawe((وقل جاءالحق وزهق الباطل إن الباطل كان زهوقا))سورة بني إسرائيل
@jamalsaid747515 күн бұрын
Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah JazakaAllaahu'khayran Sheikh Muhammad Nassor Bachu
@BodaBodatz13 күн бұрын
*_اللهم ثبتنا على هذ الدين_*
@abdallahmkali325110 күн бұрын
Ostadh Bachu Allah akuhifadhi kwa kuzungumza haki
@abdillahsaid502515 күн бұрын
JazakaAllah kheir kwa ufafanuzi wako sheikh, siku zote mtu ukiwa unazikimbilia aibu za watu na kusema urongo juu yao, basi Malipo ni hapa hapa duniani. muache afedheheke kama alivyowafanya wengine wasiostahili
@YusufuMustafa-c5m15 күн бұрын
Ushabiki ushabiki na chuki zimewajaa ajabu mnaehangaikanaye wala hawafikirii kabisa kwakuwa anajua nyote ninyi ni wanafunzi wachanga katika wanafunzi wake hamuwezi kujadiliana na Sheikh labda mkasome kwake huwo ni ushauri tu nawapa ndugu zangu
@abdillahsaid502515 күн бұрын
@YusufuMustafa-c5m sina wakati wa kubishana na wewe, Ikiwa huoni ujumbe wangu vizuri ,rudia tena mpaka uelewe ama utabaki uki reply upuzi tu
@OmarSalum-y9c15 күн бұрын
Mh umejichokea
@OmarSalum-y9c13 күн бұрын
Qassim ni sh mkubwa dunia nzima hakuna anae mkutia na wala hawezi kukosea katika chochote unaonaje apo
@BodaBodatz13 күн бұрын
*_اللهم ثبتنا على هذا الدين_*
@rashidmohamed194915 күн бұрын
Maa Shaa Allahu. Uko vizur sheikh Muhammad Bachou kwa uchambuzi.
As salaam a'laykum warahmatullah wabarakaatuh Binafsi napenda sana jitihada zako ktk kuliendeleza gurudumu la uislam mbele lakini hili ulilolifanya hapa sioni km limekaa sawa, hapa hukutakiwa kuingia kabisaa.. ilikuwa unyamaze. Natumai kwa hili ulilofanya faida yake ni ndogo kuliko madhara. Wallahu musta'an
@HassanIddy-v1b12 күн бұрын
Uwo ni ufahamu wako wewe hakuna madhara ya kubainisha haki haya ni malipo kwa k,mafuta kwa Yale alioyoyafanya kwa mashekhe wa kisuna ktk kuwadhalilisha,
@ShamsudeenOmary12 күн бұрын
@HassanIddy-v1b Punguza speed kidogo akhii
@Abouuthaiminahmadfawzanalathar10 күн бұрын
Nadhan sisi msimamo wetu bado ni ule ule na sheikh wetu tuna mzania heri abu fadhly Kassim mafuta
@ShamsudeenOmary10 күн бұрын
@Abouuthaiminahmadfawzanalathar Na'am hii ndo haqi na hatupaswi kumsimanga kwa hili bali kumuombea amani ili sunnah isonge mbele na vilee bado tupo wachache ...km watu wa bida'a washamsimanga imetosha sisi tusiwape nguvu ikiwa tunakiri bado sunnah inahitajika kusomeshwa tusiwavunje moyo madu'ati wetu hao hao wachache tulionao ..hakuna mkamilifu, wallahu musta'an
@yuenbiao17778 күн бұрын
@@HassanIddy-v1bsio wakisuna ni kukosoa kila mada badala kutengeneza
@muhammadnassibu770613 күн бұрын
Allah amuhifadhi sheikh ABUL fadhl na fitna za mahizbi na ampe subra katika daawah na haqq والداعون إليها" الصابرون على أذى المخالفين "
Allah akuhifadhi sheikh Muhammad bachu na azid kumbainisha ile fitna mbaya duniani muovu kasimu mafuta
@HuseynDaudi13 күн бұрын
Abuu Fawzaan njoo bana utunyamazishie huyu hadhayaaniy , atupigia kelele kwenye da’awa yetu, Na kwa ishni ya Allaah atanyamaza
@hamisisaidi952515 күн бұрын
Umechambua vizuri sana sana kabisa. Ukisikia elimu ndo iyo sasa fanya vitu au ongeaa mambo bil adillah basi. Nimependa ulivyoifafanua passport size. Ulivyo mpa dalili shekh delele(humeid) Ulivyo mpa dalili shekh kassim mafuta. Naam jazaqallahu khair (allah atukubali sote.)❤
@AbuuBakar114 күн бұрын
Mimi challenge yangu ipo katika filter yake alipo andika KWANZIA LEO PICHA NI HALALI je sheikh kasema picha ni haraam kwa utashi wake au kaegemea Hadith na aqwal za maulamaa? Kama kaegemea Hadith na aqwal za maulamaa iweje bachu anae itwa sheikh aseme KWANZIA LEO PICHA NI HALALI? MFANO Sheikh msimamo wake kuhusu sigara mirungi vyote ni haraam je siku akionekana akivuta sigara itakua halali au haraam? JAMANI MKITOA ELIMU PUNGUZENI HASIRA
@RahmaKhadija-vi5nz13 күн бұрын
ALLAH amuhifadhi kassim mafuta na mashekh wote wa kisalafy
@ismailyusuf375512 күн бұрын
Amsamehe Kwanza mana amefanya HARAMU
@MariamIddi-ui9wn11 күн бұрын
ALLAAH awaongoze
@safiaothman517511 күн бұрын
Aamiin
@mohamedimiraji549511 күн бұрын
Amuhifadhi katika uongo?
@jamalsaid747510 күн бұрын
@@RahmaKhadija-vi5nz Itabidi sh Kassim Mafuta Aombe msamaha na Mapema sababu sote Tunasubiri kauli yake. Safari hii naona hakuna njia ya kukwepa ni lazima Ajibu. Tafadhali muulizeni Mbona kimya kingi ?
@masoudmohammed425815 күн бұрын
Huyu Muhammad Bachu ananiudhi na hapa tu kuzungumzia masalafi Allah awalinde masheikh zetu. Sheikh Abdhallah Humeid. Sheikh Qassim mafuta
@HusseinAbdul-is9xq15 күн бұрын
NAMI sipendi lkn mkuki Kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu waambie masalafi kurejea ktk hekima ktk dawa lkn kuondosha ujubu kw baadhi Yao kujikweza kujiona wao Pepo anaweza kumpita muislam mwenzie kisa tu..😢
@aboubakarmakha419414 күн бұрын
Usilolijua ni KWAMBA BACHU ALIKUWA KWENYE SAFU YENU MNAOJINASBISHA NA MASALAFI AKAONDOKA HUKO
@mohamedsaid180414 күн бұрын
@@aboubakarmakha4194Bachu hajawahi kuwa salafi. Ni Answari tangu na tangu.
@HusseinAbdul-is9xq14 күн бұрын
Kwani nn maana ya salafi?
@Tandalesse14 күн бұрын
@@HusseinAbdul-is9xq Salafi ni yeyote kati Waislam mwenye kufuata mwenendo wa wajawema waliopita. WALLAH A'alam
@shaabansheehabdallah87707 күн бұрын
Assallaaam Alleykum Warahmatullah wabbarakatuh Binafsi tulipofikia Ummah wetu masheikh zetu mtafute njia YA kuelewana ili tufikie malengo. Kuhusu hio picha ima alijipiga mwenyewe, au alipigwa tena kwa ridhaa yake kulingana ilivyo. Ilivujaje hayo ni mengine! Lkn masheikh zetu Allah Subhannah Awahifadhi, Tafuteni namna ili muunganishe Ummah. Kuna mengi Ummah unahitaji kutoka kwenu unless hamjui mumebeba nn kwenye Ummah huu. Allah Atuongoze. Ameen YAARAB.
@HassanSalim-hl8qs15 күн бұрын
Hatupuuuzi kitu shekh bachu Allah akuhifadhi wewe ni tunu wallahi halafu shekh bachu kuna mkristo mmoja mombasa anawasema watu wa sunna
Asalam alaykum warhamstulah wabarakatu huyu mtoto wa bachu hayuko katika dini ila lengo lake ni folowazi
@OmarSalum-y9c13 күн бұрын
umejuaje acha kusema uongo kijana toa ushahidi
@k.kchakua137615 күн бұрын
Safi ..Jazaqallahu khaira watakuelewa tu Sheikh wangu
@Abuuabdillah25915 күн бұрын
Asalam aleykum warhmatullah wabarakat kesho inshaa'allah taariq za sheikh abuu ruduud/abuu fawzan. Zinaendelea kumjibu Muhammad bachu kuhusu hii kadhia ya picha za sheikh abul fadhli kassim mafuta allah amuhifadhi na amlinde.
Akijitokeza jadida yoyote kutetea upumbavu atatandikwa radi matata,
@Muktazitv15 күн бұрын
Abuu Ruduud yule jaahil au mwingine😂😂😂😂
@abuuswalha461412 күн бұрын
Somen acheni mijadala itakuja kuwagharimu siku ya Qiyama
@BakariKhamis-l9d14 күн бұрын
Muhammad bachu umeishiwa leo mmeungana mashia makhurafi mahzb kuhusiana na kushangiria kadhia ya ya picha kwa tuhuma tu subhanallah allah akuongoze
@rashadmurshid14 күн бұрын
Mashia gani, kwan ile si picha??
@Rukaka_jr14 күн бұрын
Hakuna cha makhulafi wala masufi, nyie masalafi ni mbwa kabisa yan nyie ndo mnatuharibia dini yetu, nyie ni kirusi kuliko mashia mnamkufurisha mumtakae na mnamsunisha mtu mumtakae kama vile uislam ni principles za familia yenu
@MkoleIssa-q7j14 күн бұрын
Rukaka mbwa ni wewe na mama yako na baba yako
@SalimDahungamshahara13 күн бұрын
Kama ni mbwa wachukue wakulinde ,,,kk una matatizo kuwaita waisilaam wezak mbwa
@KhamisDaud-nz3rc13 күн бұрын
Redio Iman ilikua Haram tulipokua na uhitaji tukaihalalisha Taasisi ilikua ni Haram baada yakua na uhitaji wa kusajili taasisi tukaihalalisha Leo Tena limetokea hili la picha subhanallah VP tumuamini shekh Qasim ktk kadhia hizi zote na Hali yy ndio mzungumzaji mkubwa
@MuslimBakar-uf6xd15 күн бұрын
Masheikh acheni malumbano mbora mble ya Allah ni yule aliemchamungu
@Mohamedi.1214 күн бұрын
acha kumtetea mtu muasi bana .huyo Qasim Mafuta ndio mtu wa kwanza kuwa kufurisha na kuwatoa nje ya uislamu. HazRāt Muhammadi Mustafa s.a.w alisema "usimwite mwislamu mwenzako kafiri " yeye ni bingwa wa masalafi kuwaita waislamu wenzake makafiri.HuzuR s.a.w alisema alimkemea sana Usama kwa kumuua yule mtu aliyetamka shahada.kuwa umemuua mwislamu mwenzako .sasa huyo kasim mafuta na masalafi wenzake wanawakufurisha hata watu wanaoswali na kufunga swaumu .sasa acha wamchane na hiyo ni matokeo ya vitendo vyake
@ShemsaUmmuFawzaan11 күн бұрын
Allah amhifadh sheikh wetu kipenz Abul fadhil Qaasim maafuta Na wew Muhammad bachu hebu kuwa na adabu na ujiangalie maneno yako Maana ni kama unapetuka mipaka Hebu shika heshima zako Allah akuongoze wew Muhammad bachu
Alaa kumbe mnapenda kuona picha za masheikh wa kija dida😂😂😂😂
@RamadhaniShembilu-l1e15 күн бұрын
MASHALLAH KUMBE SHEKHE WETU UMERUDI UMRA, AYA ALLAH AKUPE WASAA, UTUPE FAIDA NA KUONDOA HIZI SHUBHA ZA KINA YUSUFU DIWANI, WANAOTUITA SISI WAKATORIKI,TUSAIDIE. KUWAWEKASAWA HAWA
@suleali491515 күн бұрын
❤endeleni kuleta maneno yenu
@suleali491515 күн бұрын
Tunawasikilizia mukitoa asubuh mchana tupo kazini
@HiziniSimuliziFupi15 күн бұрын
Nilishangaa hili jangala muda wote kukaa kimya kumbe hulikuwepo
@abuumansour847915 күн бұрын
Acha maneno ya kifedhul ww adab huna ata ya kuvalia nguo yaonesha una mdomo mcha sana huenda hivyo Allah akuongoze@@suleali4915
@Tandalesse14 күн бұрын
@@HiziniSimuliziFupi linawatimueni "masufi" na talbis zenu mpaka mpo hoi.
@husseinmongolare341714 күн бұрын
Shukran sheikh ❤❤❤
@jamalsaid747515 күн бұрын
Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah Kiboko ya Salafiyyah Jadida. Sh Muhammad Nassor Bachu.
@AbdulIssa-o7e15 күн бұрын
@@jamalsaid7475 ni yupi katika maulamaa duniani walokutangulia wa ahlsunnah wakasema kuna salafiya jadida au huyoo babu yenu hizbi wa answari sunnah barahyani ndo mnakaririahwa, answari sunnah waongo sana hawakuijurisha daawa salafiya walipokuja watu toka saudia kusoma wakaitangaza daawa hii salafiya ninyi mkaona watu wanawakimbia nkasema et sisi ni masalafi original wale majadida mkabadilisha gia juu kwa juuu, mmefeli xana ndiomana answari sunnah man haji yenu haeleweki ni mah hajji mseto, ma ikhwan humo humo khawariji utawakuta hukooo, yani ninyi na usalafi mbali mbali watu kama kina kishki wale et ndo mnawaesabu masalafi, wakati anawasifu watu wa bidaa matabligh, na kufanya daawa na makhawariji wa kiibadhi oman arafu yey na kaka yake yule wanajiusisha mpk khitima arafu mnadai ni salafi answari sunnah ni mahizbi mmepinda mpo mbali na usalafi
@HassanIddy-v1b15 күн бұрын
😂😂😂kweli
@aboumahadally13 күн бұрын
Hamna lolote mmezidiwa kwa hoja Basi mnazua Mambo yasiyo na maana ili kimchafua mtu kwa ki2 ambacho hajafanya ili kumchafulia Allah atawalipa hapahapo duniania waongo wakubwa nyinyi
@AbdulIssa-o7e10 күн бұрын
@@jamalsaid7475 nani alokutangulia katika masalafi au wema waliotangulia wakaita jina hilo jadida kama so ww na barahyani wenu itaqi llah mcheni Allah enyi mahizbi.
@AllySaid-q8n12 күн бұрын
Allah amuongoze huyu bachu n ss
@NemaJuma15 күн бұрын
Assalaam alaykum ndugu zangu. Mimi nasikitika Sana kuona masheikh zetu wanajadili kuhusu mambo ambayo kimantiki kahayana maana yoyote,huku vijana mitaani tumezidiwa na mzigo wa maasi, vijijini uislamu wetu upo chini.nyoyo zetu zimekufa vijana kwa wazee tumeathiriwa na mipila na matamthilia,hakika masheikh zetu muandae majibu ya kumjibu allah.kuna mada hazina maana yoyote kujadili.huku vijana tunaangamia kwa maasi. m.mungu awalipe madai wote wenye Nia njema na huu uislamu na wale madai ambao wapo kwaajili ya mihemko na riyaaa Allah ndie mjuzi wa malipo yao. Kama Kuna muislamu nimemkwaza ktk hili naomba anisamehe.allah atuongoze
@husseinmbarouk15 күн бұрын
natamani kulia walah da umesema kweli
@WakaliFashionTz15 күн бұрын
Hii pia niktk dini
@mootelahamongus63315 күн бұрын
Kwa hiyo hapa hakuna faida iliyopatikana?
@mohamedmgeni864615 күн бұрын
Wa alaykumus salaamu wa rahmatul Laahi wa barakaatuh. Allah Akubaariki Akhy. Mie pia nina mtazamo kama wako. Tuna matatizo makubwa sana yanayohitaji ufumbuzi. Welekeze nguvu za da'wa ktk kuondoa hayo matatizo.
@NemaJuma15 күн бұрын
Sawa ndugu yangu tufanye kwa mtazamo wako faida ipo, kwa Hali ilivyo inaonekana kasimu mafuta amefanya khiyana au amekosea, Basi kama amekosea tumuachie hukumu hiyo m,mungu.sikitiko langu tunajadili lile alilokosea kcm mafta na kwanini tusijadili na sisi madhambi yetu au khiyana zetu tulizozifanya. Vile vile nawasihi vijana wenzangu hizi comment zinaishi baada ya kufa kwetu ikiwa mtu unajibu kwa mihemko Basi m.mungu ndie atakaetulipa@@mootelahamongus633
@ustadhashhadumalla102213 күн бұрын
شكرا وجزاك الله خير للجهودك أخي الحبيب
@ZongoKibwana15 күн бұрын
Basi bachu inatosha tumbo wazi Tena 😂😂😂
@KasimuMsabaha10 күн бұрын
Jamani mimi naona tumdhanie vizuri Sheikhe wetu Abul Fadhil
@libarlee663515 күн бұрын
Allah Akuhifadhi
@nguyekorajabu159212 күн бұрын
Shukran sana kwa Uchambuzi madhubuti Shkh Mohammad Bachu . Very analytical , Confident , knowledgable ,Smart and Clarity in talks . Hongera kwa Kipawa !!
@ABUUJAAFAR9215 күн бұрын
Kuacha shughuli zenu na mkashughulika na swala la picha za sheikh qaasim,,,hii dalili tosha kwamba sheikh qaasim ana man zila ya juu Sana,,,Allah amuhifadhi .
@mobilespecialschool421615 күн бұрын
Kwa hiyo asiambiwe kama kakosea na yeye keshajiita sheikh???
@ABUUJAAFAR9215 күн бұрын
@mobilespecialschool4216 sijasema asiambiwe mm..kuwa mwepesi wa kuelewa .
@mobilespecialschool421615 күн бұрын
@@ABUUJAAFAR92 kwa hiyo message yako ina maana gani ili niwe nimekosea.??
@ABUUJAAFAR9215 күн бұрын
@@mobilespecialschool4216 akili yako ndogo huwezi elewa ...usufi kwani ama uhizbiy?? Naona hujielewi
@MuhudharMbeta15 күн бұрын
Allah amlipe kheri sheikh wetu abul fadhwl qaasim mafuta
@ibrahimjumaa53815 күн бұрын
Allahuma Ameeni thuma Amen ya Allah, lakini kakosea
@HiziniSimuliziFupi15 күн бұрын
Allahummah Amiin
@jumanneissa822615 күн бұрын
amiin
@OMARIOMARI-j5j15 күн бұрын
na picha zake
@KaramaKarama-jm7qo15 күн бұрын
Ameen ameen thumma ameen
@HassanSalim-hl8qs15 күн бұрын
Safi sana shekh wangu
@abdulmalelemba918915 күн бұрын
Nafikiria ipo haja ya sheikh Qassim Mafuta kukiri juu ya shutuma zilizopo dhidi yake, si vibaya ikiwa ameteleza kuudhihirishia Umma kuwa kuna kosa limefanyika na huo ndio Ucha Mungu.
@AlmasAbdallah-r3g15 күн бұрын
Sio kukiri ni kuzungumza juu ya qadhia hii maana kukir ni kukubali sasa kama hajafanya kwanini akiri hilo??
@IbraFareed15 күн бұрын
@@AlmasAbdallah-r3g Kaka hili jambo kama ndo unarijua leo Itakua hata passport size yenye hujui sheria zake Embu nenda kasoma Tanzania Passport Photo Requirements kipengele cha Photo Requirements for Passport size Afu uje tuje kuongea Kwenye ukweli acha ushabiki sheikh
@OmarSalum-y9c15 күн бұрын
kweli hajafanya cjui unataka ushahidi gani ili uamini
@abdullabdull577115 күн бұрын
Hivi kupiga picha na kufanya ujasusi kwa muislamu mwenzako ni lipi linahitaji kukiri maana hao masheikh zenu wanaulizwa picha wamezitoa wapi?? Kama ni selfie kwa maana alipiga kwa simu yake vipi huyu bachu picha alizipata wapi???
@IbraFareed15 күн бұрын
@ sikiliza 25:18 ameelezea Usipoelewa apo sheikh Allah akuongoze
@canoksancomprehensivelearn718215 күн бұрын
haki iko wazi kuwa kaiga icha lakin wanafunzi wamekuwa wanaamini sheikh wao hakosei kabisa na hakupiga picha ila wamekuwa wanafunzi wanaamini bila kuuliza tusiwe kama magalatia wanaamini mambo yoote wanayoelezwa na wachungaji wao bila kuhoji
@AliKhatib-vy1oj10 күн бұрын
Ss shekh Muhammad bachu nataka kukuliza mwezako kachupa mipak ww mbona apoap wamuita dilele hivi hujui kua jina hilo mwenye halitak n alla pia kakataz kuitan majina mabay au afaaa shekh
@HijaMussa-v5r15 күн бұрын
Allah atustiri, Hakuna mkamilifu..
@swalehramadhan-b9g13 күн бұрын
Kabisa, hata huo anaemsema mwenzie nae anayake anayo yakataza na anayafanya
@sultanmohammed415714 күн бұрын
Shkh idengue zaidi kofia zaidi uwe shkhe ulio pendent.
@ShafyJuma-r5c14 күн бұрын
Muhammad bachu kidhalilisha watu wapat faida gan Hili linaonesha kwamb hakik ww una elim lkn huna hekma Hakutakua na faida ya elim yk mbel ya Allah فمن اوتي حكمة فقد اوتي خيرا كثيرا Huna hekima
@Mightysauced14 күн бұрын
Tulia wewe
@Tandalesse14 күн бұрын
Kumbe ni mbele ya الله,nilidhani ni mbele yako.
@MuntazySaidy9 күн бұрын
Kumbe Huyu Ndo Qaasim Mafuta Daaah Aiseeee,, Hasa jamani tungemjulia wapiiii Alhamdulillah Leo nimemuona hta kwa Picha mahan nilikua namsikiag tyu ingawa nilimuona Zamani Sana na Sijui Mwak gan tena Zamani Sana Mtwara Tandahimba😅😅😅😅
@jumaswalehiddy12 күн бұрын
Bachu Asahivi nakuchukia sana kwa ajili ya Allah kwa sababu ya kuwatuhumu wmasheikh wa haqi wew kwanza nikuulize picha ndio unaona upate sehemu ya kuleta maneno mengi
@SAIDIYABUSHINGEDJUMA12 күн бұрын
@@jumaswalehiddy soubhanallah usimchukiye mjuzi anapo koseya bali mkumbushe kwasababu awo ma sheikh wa haq nawenyewe ni binaadam wana weza waka tereza ila tatizo ambayo ipo ktk jamii yetu ya kiislam unapo kosea hawa kulinganiyi bayana bali unapigwa raddu mtandaoni ina bidi tubadilike
@HassanIddy-v1b12 күн бұрын
Wewe jaahili kweli kweli😢unamchukia bachu kwa kwakumuweka sawa mafut😂mbona hujamchukia mafuta kwa kuwadhalilisha watu wa haki haliyakuwa yy anepinda?
@Omari-o3d11 күн бұрын
Kwani yeye anakupenda kwanza akujui
@Abuu_ayman11 күн бұрын
Kwa kwell dah
@Aymanland11 күн бұрын
ETI UNAMCHUKIA KWA AJILI YA ALLAH. HIVI ALLAH KWANZA UNAMJUA WEWE? MAANA KAMA UNGEKUWA UNAMJUA KWANZA ALLAH NDIO UNGEJUA KUMCHUKIA MTU KWA AJULI YA ALLAH INAKUWA VIPI HUELEWI KITU WEWE KATIKA DINI.
@abubakarshaban611812 күн бұрын
In sha Allah mashaykh wa kisalafi hawatakujibu wewe mtoto fedhuli usie na adabu...
@HassanIddy-v1b12 күн бұрын
Mpuuzi wewe jaahili wamafuta chuki zimekujaa mpaka zinamwagika
@abubakarshaban611812 күн бұрын
@HassanIddy-v1b una matatizo wewe? Mwenye chuki hapo Nani alieanza kuzungumza mwenzie? Huyo Bachu hana kazi Ila ni yeye bize na Shaykh Kassim na Shaykh Abdallah... Ndo maana hawamjibu alhamdulillah... Wanakujua ni katoto kafedhuli... Huyu Bachu ashindane na hao hao masufi mpaka anakimbia mjadala kwa kuulizwa tu "Je Nani kasema kila atumiae Hadith dhaifu huitwa muongo" Ibn Qayyim ametumia Hadith dhaifu nyingi ktk baadhi ya vitabu vyake na maulamaa wengi, Nani kasema ukitumia Hadith dhaifu unakuwa muongo? Mpaka Leo hajajibu... Sasa huyu ndo ajibiwe na Shaykh Kassim? Ataongea pekee mtandaoni kama chizi....
@haji975411 күн бұрын
@@abubakarshaban6118wewe waleta hoja zengine badala ya kutuonesha wapi hapo bachu alipokosea kwenye hii video na ututhibitishie hiyo picha ya kassim mafuta ni passport size ama ilipigwa bila yy kujua…ushabiki acha ongea mambo ya kweli kama huujui ukweli ni kheri unyamaze si lazima ujifanye wajua na hujui.
@abdallahshabani71015 күн бұрын
Nakuunga mkono akhiii bachu...aje asemeee....
@BodaBodatz13 күн бұрын
*_اللهم ثبتنا على هذا الدين_*
@jamalsaid747510 күн бұрын
@@abdallahshabani710 Swadaqta Sheikh. Lazima Aombe Msamaha kwa Allaah na kwa Waislamu.
@sheikhabuusakakin324315 күн бұрын
فرَّج الله همك، وقضى دينك، وأسعدك في الدنيا والآخرة "♥"🤲🏽❤❤
@HassanIddy-v1b12 күн бұрын
آمين يا رب العالمين
@JafariNyallu15 күн бұрын
hhaahhhaa😂 we bachu mkorofi kwel, Aya bwanaaaa
@HassanIddy-v1b15 күн бұрын
Alaa Leo utaongea yote😂😂
@maryamabdallah314012 күн бұрын
Mkorofi atampata mkorofi mwenzake...@jafariNyallu
@rifaa1-ws4ew14 күн бұрын
جمييييييييييييل وواضح......الله يحفظك ويقويك
@ShafyJuma-r5c14 күн бұрын
Muhammad bachu kidhalilisha watu wapat faida gan Hili linaonesha kwamb hakik ww una elim lkn huna hekma Hakutakua na faida ya elim yk mbel ya Allah فمن اوتي حكمة فقد اوتي خيرا كثيرا Huna hekima 24:15
@khalifa_kuchi13 күн бұрын
Yaan ww nakwambia sijui km kassim hajakupa mdg wake ama mwanawe ila ipo sk yatadhihir na mengine kw vile nyny mushazoea kuwatoa w2 ktk manhaji subirin mara hii kassim atolewe yy
@Salafymsa13 күн бұрын
Ameeka vitabu vengi hapo ili aonekane na elimu lkn wala elimu pia Hana ni mropogaji tu هدانا الله وإياه
@HassanIddy-v1b12 күн бұрын
Kweli masufi wa kijadida sasa hoiii wamebaki kuropoka
@ShafyJuma-r5c10 күн бұрын
@@Salafymsa hakika amiin
@MuntazySaidy9 күн бұрын
Kumbe @@khalifa_kuchi Huyu nd kaasim Mafuta ?? Nda alhamdulillah Nimemuon mahan MDA Sana Nimemuon zamani
@rashadmurshid14 күн бұрын
Hawana amana kweli hao. Washakuwa kama mapadri wanaowafumba wakristo kwa fumbo la imani! Wao wakifanya ni halali lakin wengine ni makosa
@zanzibaronlytv347015 күн бұрын
Sote hatuna uhakika kma kajipiga mwenyewe au la bali uhakika ni yeye na Allah, tufanye kajipiga ni kosa kafanya kweli lakn insha'Allah atatrajui , tunamjua sheikh wetu. Lakin si kajipiga mwenyewe je dhambi hii ya kuisambaza mtaenda kumuomba radhi na Allah mtamjibu nini? 2, akiwa hajajipiga mwenyewe bali kapigwa au kaeditiwa je waliofanya hivyo watamjibu nn Allah?
@SadamSaid-x1q15 күн бұрын
Hakika umeongea.
@salumtakao98283 күн бұрын
Huyu bachu ni mwamba 😅. Kapita upande ambao wengi hawakuoona . Kumbe kivuli bana kipooo😂😂
@abulbashar115 күн бұрын
Hojja ya kibwatil kbsa, Allah akurehemu
@OMARIOMARI-j5j15 күн бұрын
ukwel usemwe. kuwakufurisha waislam. wanaumbuka wao
@أبوبنتين-م4غ8 күн бұрын
Allah amuhifadhi sheikh Qasimu
@TheAmadoni15 күн бұрын
Ustadh Mohammad Bachu me hupenda sana khutba zako ila hapa umefeli. Wewe ndio mwanzo watoka UMRAH, kisha ukirudi tu wamrukia mwenzako kwa tuhuma. Picha ya visa za kwenda Saudia waeza piga na kilemba. Yaruhusika
Kwahiyo mtu akitoka umra akiona munkari uovu basi asiuseme!!wewe vp?
@rashidmohamed194915 күн бұрын
Mvivu wa kusikiliza
@swalehramadhan-b9g13 күн бұрын
Namm Ivo Ivo nampenda lkn hapa kachemka
@abuarafatmkweli74812 күн бұрын
Na kilemba sawa... pia inaruhusiwa kupigwa upande?
@mamasaad911514 күн бұрын
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته Afwan Sheikh AbdaLLah Humeyd حفظك الله twaomba Tara'ju' ya maneno yako wale waliosoma na wakatakharraj جامعة ni Wanawake na wale waliosoma msikitini ni wanaume Alhamdullilah kisha Akaraddiwa na Sheikh Nurein Ibn Uthman حفظه الله kwenye KZbin channel Deen khaalis
@@alawisaid280 Subhana'Allaah Hatari hii. Ma Salafiyyah Jadida safari hii naona wamepata kiboko yao Sheikh Muhammad Nassor Bachu na pia Dr Islam Muhammad. Sh Kassim Mafuta Ameingia Mitini! Wiki 1 sasa kimyaaa.
@jamalsaid747510 күн бұрын
@@alawisaid280 Yaani ust Kassim Mafuta Tafadhali Ajitokeze Aombe Msamaha au Ajitetee kwa Kauli yake.
@SabriKhamis-gz9cy8 күн бұрын
Mimi nawapenda mashekhe wote walowekwa hapo..... Halafu Sheikh basi tupe fat_ wa kuhusu ilo jamb la picha🙏🙏
@ALIKHAMIS-un4fv15 күн бұрын
Mche Allah Muhammad nassor bachu usiongelee jambo usilo na uhakika nalo una uhakika kama sheikh Kassim mafuta amejipiga yeye hiyo picha
@Abuunuwayra15 күн бұрын
Enhee Upo Uhakika Na Sio moja Tuh Picha Zipo nyingi zake Sio Hiyo moja tuh
@abuuzwiin187615 күн бұрын
Sasa ww wataka ushahidi Gani kassim mafuta ni mzushi katika uislam na wote wanao mtetea
@faridfrefre3515 күн бұрын
Ukiambiwa ulete ushahidi siku ya Qiyama utaeza???@@abuuzwiin1876
@faridfrefre3515 күн бұрын
@@abuuzwiin1876kaa chini usome dini acha mipasho na kufikilia maisha ya watu
@MgazaMhina15 күн бұрын
Hivi umesikiliza hii video
@bwakiismail12614 күн бұрын
Bachu hamna kitu mche Allah acha janjajanja
@AnbdulaziziJuma-qn7qw14 күн бұрын
Nilijua tu huyu kihereher lazima aongee hahahahha maana anatafuta ukubwa kwa nguvu
@shami6aguero10214 күн бұрын
wallah linaongea kwamidharau linajiona kama yeye halikosei😆 alafu ety anasem shadow ktk picha huwez kuweka kmbe nalo lishamba katika adobe Photoshop…aje tumfundishe kuedit 😂😂
@Mightysauced14 күн бұрын
@@shami6aguero102qasim mafuta alipiga picha full stop 😂😂😂
@maryamabdallah314012 күн бұрын
Waambie 😅@@Mightysauced
@abuarafatmkweli74812 күн бұрын
@shami6aguero102... ametoa hoja zaidi ya hiyo ya kivuli kuhusu hiyo picha.
@rashidabbas112112 күн бұрын
Allah amuhifadhi sheikh Qaasim
@jamalsaid747510 күн бұрын
@@rashidabbas1121 Ni lazima Ajibu Sh Kassim Mafuta sababu naona Kimya wiki 1 sasa. Mbona Ameingia Mitini? Mwambie vipi Tunasubiri kauli yake!
@jamalsaid747510 күн бұрын
@@rashidabbas1121 Asiingie Mitini Sh Kassim Mafuta ndio itabidi Aseme kweli kabisa na Aombe Msamaha kwa Allaah na Waislamu.
@AlhajiIssa-jb9hr15 күн бұрын
Mjomba amemiss selfie 🤳
@SaidMhando-y5k13 күн бұрын
Mashaallah sheikh bachu
@jamalsaid747510 күн бұрын
@@SaidMhando-y5k Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah Alhamdulillah Shukran sh Muhammad Nassor Bachu kwa Elimu na ufahamu mzuri.
@azizijumanne576013 күн бұрын
Shk kasim mafuta allah amhifadhi na wabaya ishaalah
@jamalsaid747512 күн бұрын
@@azizijumanne5760 Allaah Amuongoze ili awache Fitinah na kutia chuki kwa Ahlus Sunnah.
@jamalsaid747512 күн бұрын
@azizijumanne5760 Sh Kassim Mafuta Allaah ampe Tawfiq na Hidaayah ili awache kutia fitnah na Chuki kwa Waislamu haswa Ahlus Sunnah wal jamaa.
@jamalsaid747512 күн бұрын
@@azizijumanne5760 Lakini Sh Muhammad Nassor Bachu anaweka mambo wazi kabisa na sasa Wanamfahamu kiongozi wa Salafiyyah Jadida Afrika mashariki na kati ni Ust Kassim Mafuta..
@jamalsaid747512 күн бұрын
@@azizijumanne5760 Naona Fitinah zitakoma mara hii.
@azizijumanne576012 күн бұрын
Huyo bachu ni mtu wa fitna..we unaona ni passport iyo imeeditiwa na wabaya au unasema nn
@OmarAlly-iz8ot14 күн бұрын
Kwanza kabisa Shekh Muhammad Bachu Allaah akulipe kheri kwa bayana na ufafanuzi wa kielimu na ki inswaaf bila kumtaja mtu kwa jina au laqab ya kejeli na dharau. Pili, matukio walio yapekua ndugu zetu masalafi dhidi ya Mashaayikh wengine na wakayaeneza mitandaoni, nimengi mnooo, tena mengine ya aibu na fedheha, Shekh Qassim Mafuta nimmoja ktk waliofanya hivi. Tatu, inaonesha wazi masalafi sio wakweli kwenye Da'wa na wanajisahau na kutenda mambo ambayo washawaumiza wengi kwa mambo hayo. Nne, ndugu zetu masalafi wamewaeka mashekhe zao kwenye daraja la Utume, au kuliko hata Utume: 1-Usalafi huu ni natija na matunda ya misingi alio iweka Shekh Rabii ktk Da'wa. 2-Maulamaa wengi wamesha umizwa na Shekh Rabii. 3-Nawao wamemrekebisha na kumnasihi Shekh Rabii na kumzindua kuhusu athari na maafa ya Da'wa yake. 4-Hajakubali nasaha kutoka kwa Aalim yeyote!!!. 5-Shekh Rabii majanga alio yasabbisha na fitna alizo zisabbisha kwa Da'wa yake ilio khalifu Da'wa ya Assalaf ktk kuamiliana na Wana Sunnah na kuwahukumu kwa makosa yao, wafuasi wake wanayaona na wanaona Da'wa inavyo fifia kadiri siku zinavyo kwenda, lkn bado wamemganda na kupita mapito yake, na kudai ndio Usalafi!!!. 6-Masalafi wa Tanzania na Kenya, wameshikilia Da'wa na mifumo ya Shekh Rabii ktk kuamiliana na watu, ndio ukaona maafa haya yanayo tusokota leo. 7-Hakuna ktk wao aliekaa ma kutafakari maafa haya ss pia tutakua tume changia kudhoofika kwa Da'wa na kueneza chuki baina ya Wana Sunnah na Waislamu kiujumla, kwaio nirudi nyuma au niache khasa huu mwenendo. 8-Mifumo mipya na yaajabu ya Da'wa ya Shekh Rabii imefanya Maulamaa wengi kudhulumiwa na kuvunjwa heshma zao, na wafuasi wa Shekh Rabii wakaendeleza dhulma kwa Mashaayikh walioko kwenye nchi zao, na wakawadanganya watu kwa Maulamaa walio nje ya nchi zao kua hawafai, lkn ukifatilia utakuta hawafai kwa sbb Shekh Rabii ndie aliesema kua hawafai!!!. 9-Masalafi-walio athirika na fikra za Shekh Rabii ndio walio wasema Mashaayikh kwa dhulma na uaduwi, na wengine wamewasema kwa jahli, yaani hawatafuti uhakika wa kile kilicho nasibishwa kwa mtu, bali wao wanamjeruhi mtu na mumsema vibaya, bila ya uhakika wa yale wanayo yasema bali kwa kusikia tu, kama ilivyo kawaida ya Shekh Rabii!!!. 10-Na kwa sbb hii ndio Shekh Rabii akakosolewa na Maulamaa wengi yakua hafati misingi ya kielimu kwenye ruduud zake nyingi, bali huenda na mihemko ya wafuasi wake alio itengeneza mwenyewe, kwaio akiambiwa tu fulani kafanya hivi au kasema hivi, yeye hua hataki kuhakikisha kile alicho ambiwa, bali anaweza kuandika kitabu na akastash-hidi kwa maneno alio ambiwa tu bila kujua ukweli wake, kwa sbb hii ndio unakuta ruduud zake nyingi, hazina vigezo vya kuitwa ruduud za kielimu, kwa sbb zimejaa nukuu au tuhuma zisizokua na msingi wowote kwenye kumraddi Aalim. 11-Wafuasi wa Shekh Rabii wakafata nyayo hizi na matokeo yake walio yaharibif ni makubwa zaidi kuliko walio yatengeneza. 12-Sasa huku ndiko uliko tokea usalafi huu tunao uona leo, wenye usalafi huu wamesha haribu sanaaa, na wamesha kata watu kwa dhulma sanaa, na swafu ya Wana Sunnah wameikoroga na kuipanguapangua. 13-Mambo haya sisi tunaosoma na kufatilia yanayo endelea duniani ktk mambo ya Da'wah twayajua vizuri sana. 14-Ndugu zetu masalafi Da'wa ya Shekh Rabii ktk kujeruhi wasiostahiki kujeruhiwa, au ktk kupituka mipaka kwa hao walio kidhi vigezo vya kujeruhiwa, ndio walio ifanya kua Da'watussalafiyyah. 15-Sasa wao masalafi leo wanayafanya mambo makubwa na ndugu zetu wanao uhakika kwenye mambo hayo, sasa wanapo rekebishwa, eti mahizbi hamuwezi izima Da'watussalafiyyah!!! Labda watueleze kwa nafasi kama hizi Da'watussalafiyyah ni nini? Na hao wanaoitwa mahizbi wanaizima vipi? 16-Shekh Muhammad Bachu hajamtukana Shekh Abul-fadhli, bali ameeleza uhalisia ulivyo, yakua Shekh Qassim kakosea lamsingi aje atubie mbele za watu, kwani alishaanza kudanganya watu na kutaka kujitetea kwenye kosa lake kwa mujibu wa msimamo wake, na Shekh Muhammad Bachu keshasema aje mwenyewe au awakilishe mtu kua hio picha hakupiga, ili aoneshwe picha nyengine zinazoonesha kua yeye ni muongo nasio Multazim ktk misimamo yake. 17-Naamini masalafi maafa ya mihemko yao walio irithi kutoka kwa Shekh Rabii wamesha yaona, lkn tu................. 18-Kwaio hakuna sbb ya kujitetea na kumfanya Shekh Qassim nikama Malaika, kwa sbb makosa yake yashabainika, lkn pia asiguswe, yeye alivyokua anawadhulumu Mashaayikh nisawa, lkn kosa lake yeye ni waajib lifumbiwe macho! Khaa!! Usalafi huu mmeutoa wapi kama sio kwa Shekh Rabii. 19-Usalafi ni kuhurumiana, kusitiriana, kunasihiana kwenye makosa, kudhaniana dhana njema, na kuombeana kheri, na kushikamana na yale waliokua nayo Assalaf na Maulamaa wetu wakubwa, kama vile Ibnu Taymiyyata, Ibnul-Qayyim........................ Al-albaany, Ibnu Baaz, Ibnu Uthaymiin............................. Allaah awarahamu Maulamaa wetu wapendwa walikwisha tangulia, na awahifadhi walioko hai. 20-Lamsingi masalafi watengeneze walio yaharibu ktk Da'wa, na wafanye suluhu na ndugu zao walio wakata kwa dhulma na hamasa, na wakubali kulaumiwa ma kukosolewa kwa yale makosa walio yafanya, na baada yahapo, mihemko iwekwe pembeni, na watu wafwate Sunnah na wawasokote wazushi wenye inadi. Shekh Qassim amekosea kweli kwenye jambo hili, na kosa lake lisinasibishwe na Usalafi, anatakiwa atubie yeye, na anasemwa kwa sbb huu mche aliupanda na kuwasema Mashekhe wengi tu tena meengi hakuyasema kwa haqqi bali hamasa na mihemko ndio ilio tawala, ndiomana akaharibu na kuweka visasi kwenye nyoyo za wana Sunnah. Mwisho nasema hivi: Musiojua kiarabu someni lugha ya kiarabu, kwanza, khalafu someni Dini vizuri, na muelewe kua elimu ya Shekh Rabii na wafuasi wake, ni sehemu ndogo sana ukilinganisha na elimu walio nayo Maulamaa wengine, na wafuasi wao ktk ahlissunnati wal-athar, kwaio someni sana ndugu zangu, na musikubali tahadhari yeyote inayotolewa na Shekh Rabii na Wafuasi wake, dhidi ya Aalim au Daa'iyah yeyote wa Ahlissunnati waljamaa'ah. Kwa sbb Shekh Rabii na wafuasi wake, hawana umakini ktk kufwatilia khabari zinazo wahusu Mashaayikh, khalafu kuna talbiis nyingi zinafanywa na Shekh Rabii na wafuasi wake, mfano: Kuna Aalim Anaitwa AbdurRahmaan Abdul-Khaaliq amesha fariki huyu Mwana Wachuoni, Allaah amrahamu, Shekh Rabii alisoma pamoja na huyu Aalim, na walikua marafiki zaidi ya miaka 30. Lakin kilicho tokea huwezi amini,................................... Ukisoma vitabu vya Shekh Rabii akifanya Raddi kwa huyi Aalim utachoka........lkn sikiliza majibu ya huyu Aalim kwa Shekh Rabii, utakuta usalafi ulio nyooka na inswaaf na tafiti za kielimu.................................... Kwaio Shekh Qassim uliwafanyia Mashekhe dhulma kubwa, leo wewe kushasahau, hapana lete bayana, mimi siungi mkono ukashifiwe wala utukanwe, lkn siungi mkono pia uslub wako ktk kuamiliana na Mashaayikh wengine wa Sunnah, na ktk kukwepa mitego na hoja ambazo zinakufunga, usifanye ujanja, ulipokosea kubali kua umekosea tu, mambo yaishe.
@nusalim338914 күн бұрын
Mashallah,kwa hirs ya kuandika maqala ndefu,kiufupi haya mambo yalianza 1990 wkt wa gulf war,kuhusu kuomba msaada wa kijeshi marekani dhidi ya uvamizi wa Saddam,serikali iliomba kura za maoni kwa masheikh,pakagawanyika makundi mawili,albani alikuwa kundi la kukataa lakina safar na Salman aludah,ibn baz uthaimin na jopo wakapitisha kwa dharura,ila wao hawakuwatuhumu waliokataa Wala kuwatenga,ila ndio akazuka rabii na aljami wakashambulia sana waliokataa,na kuweka chuki juu Yao,na kuwapa majina ya ajabu,kana kwamba wamekataa tauhid vile,alwalaa wal baraa Yao ikawa kubwa kwa serikali Kuliko masheikh waliopinga,ila cha ajabu albani aliwatandika sana ila wanamuacha kwsbb wanamtumia kwny mambo yao
@nusalim338914 күн бұрын
Inafaa warudi ktk wasatia ambayo rabii na aljami waliiona,mfano bin uthaimin na ibn baz hata na fauzan hv Sasa,angalia muqaribiina wao na wanafunzi wao sio madakhila,ni shk wa kawaida Bali wanatuhumiwa uhizbia,masheikh watatu wanatembelewa na Kila sheikh,na wanafanya kazi na taasisi mbali mbali,Bali lejna na kwny hai'atu wanashirikiana Hadi na masheikh wanaotandikwa na madakhila,km bakr Abu zeid,ibn jibrin,almune'e ,almutlaq,na ss hv alusaimy,rabii kaweka mabano na brand na kikundi tanzu kwny kundi mama la usalaf
@OmarAlly-iz8ot15 күн бұрын
Kwanza kabisa namshukuru Allaah kwa kurejea salama huko nchini Saudiarabia
Kiboko ya Ma Salafiyyah Jadida ni Sh Muhammad Nassor Bachu 😊
@HassanIddy-v1b12 күн бұрын
😂😂😂hahahaa chawa wa mafuta anawasha kwelikweli😊😊
@jumanneissa822615 күн бұрын
ASALAM ALEIKUM WARHAMTULLAH WABARAKATU NAPENDA KUTOA BISHARA YA KHER KWA MASALAFI WOOTE KWAMBA WAKAE MAKAO WA KULA RADD (1) KWA MUHAMMAD BACHU KUHUSIANA NA KADHIA YA PICHA YA SHEKH WETU MBORA SHEKH KASSIM MAFUTA KASSIM ZILIZO SAMBAZWA SHEKH ABU FAWZAN ABUU RUDUD HIVYO KAENI LAKAO WA KUSKILIZA LATANGO PORI MENGINE INSHALLAH 😂😂
@ANASMATIWILI-x5x14 күн бұрын
RUDUUD imeahirishwa maana si jambo la kukurupuka akhy hili jambo ni kubwa
@jumanneissa822614 күн бұрын
@ANASMATIWILI-x5x sio sababu ya kukurupuka bali ni dhalula ya dawla ikitangazwa lududi kisha ikatokea dhalula ya kuailishwa sio kukurupuka
@ANASMATIWILI-x5x14 күн бұрын
@@jumanneissa8226 Naam Nina taarifa hiyo ww unaonaje suala hili
Hahah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Sheikh mafuta kapendeza kwa pozi lake hilo alopigwa picha bila kujua ilhali kaangalia kamera 😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂
@ShafyJuma-r5c14 күн бұрын
Muhammad bachu kidhalilisha watu wapat faida gan Hili linaonesha kwamb hakik ww una elim lkn huna hekma Hakutakua na faida ya elim yk mbel ya Allah فمن اوتي حكمة فقد اوتي خيرا كثيرا Huna hekima 24:15 😮
@Tandalesse14 күн бұрын
😂😂😂😂 Kisu kimefika mfupani.
@mohamedimiraji549511 күн бұрын
kwahiyo mtu akizunguza haki unasema hana hekima kisa kagusa ujahil wenu. Hiyo pasport size fake yenyewe haina strait angles!
@ShafyJuma-r5c10 күн бұрын
@mohamedimiraji5495 uwo wenu ndo ujahili ss Maan ادعو الى سبيل ربك بالحكمة و موعظة حسن Jiangalie hata km up ktk hak Kuna hatar Kwanz nyie mnafanya ria,mnatafta Hela na mungu anawaona dawa yen ipo jikon wanafik wakubw mtadhalilika2
@Saidimkwizu10 күн бұрын
@@ShafyJuma-r5csheikh kasimu mafuta mwaka Jana alisema Namna dokta Islam na barahiyani walivojiharishia hawawezi kutwaharika hata Kwa maji ya bahari. Je hapo walilingania Kwa hekima au hukuona au ni sawa nan alitumia maneno makali zaidi? Kiufupi nawapenda mashehe wote wa kisuna lakin watu waache kuteteana kwenye upotevu na kwenye lugha nzuri wote inatakiwa watumie lugha nzuri kasim mafuta huwaita wenzake mahizbi kisa ni picha na barahiyani na bacho huwaita wenzao majadida kiufupi wote wabadilike
Sheykh kasim mafuta Allah amuhifadhi tunaona Ako namadui wengi sana wanao ngojea atereze alafu washerekeye
@AllyKiduka15 күн бұрын
Kasimu ni kiburi hajitambui sio anamaadui awe na maadui ananini wengine hawana?mropokaji mnoo ALLAH ABAMUDHALILISHA
@mobilespecialschool421615 күн бұрын
Maadui ni hao wanaompamba sio wanaomkosoa
@HiziniSimuliziFupi15 күн бұрын
Kweli akhui ndo Fuarah yao hawana kazi ilivwapate Vews lazima wamuongelee ndo wapate kula
@IbraFareed15 күн бұрын
Kaka hili jambo kama ndo unarijua leo Itakua hata passport size yenye hujui sheria zake Embu nenda kasoma Tanzania Passport Photo Requirements kipengele cha Photo Requirements for Passport size Afu uje tuje kuongea Kwenye ukweli acha ushabiki sheikh
@HanifaOman-oo4pl15 күн бұрын
Sana yani Allah ampandishe daraja. Inshaallah
@BarghashiAlly14 күн бұрын
Hapa sheikh Muhammad bachu nakuunga mkono 100%
@jamalsaid747512 күн бұрын
@@BarghashiAlly Swadaqta Alhamdulillah
@jamalsaid747512 күн бұрын
@@BarghashiAlly Swadaqta
@ThabitMwangu15 күн бұрын
Mnalalamika Leo ila alipokuwa anatukana wengine mlishangilia kama tadinu tudanu,kimsingi Mafuta aache kujinadi kwa uchamungu na kuwatukana wengine na kuwakufurisha
@AlhajiSingano-s5q13 күн бұрын
Allah amuhifadhi Shekh wetu Kassim Mafuta.
@twaibumikidadi737715 күн бұрын
Atakuwa amepata simu mpya smart fon 😅😅😅 Jazakum Allah khayran ttnazidi kuelimika
@rashidmohamed194915 күн бұрын
😂 Ana test ubora
@ahmedsalehe948912 күн бұрын
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 sheikh ana smart Phone mpya, mbona hii kama tambo la macho matatu vile
@HassanIddy-v1b12 күн бұрын
Ujadida unawasumbueni sana😂😂😂
@Thesmartboy-t3l11 күн бұрын
Japo nimechelewa katika majlisa ya akh muhammad bachu lakn bado nina fursa ya kucomment al ahky Qaasimu Maftaa hawezi fanya utoto kama huo all in all da'awaa salafi itakua juu always📌📌📌📌
@abumuadmahatmohamed15 күн бұрын
Ukiona adui yako anakushangilia ujue uko kwa shida. Hivi mumepata kuungana na makhurafi na mashia dhidi ya Sheikh Abul Fadhil Qassim Mafuta Allah amhifadhi.
@mobilespecialschool421615 күн бұрын
Bado hamjasema bachu atawanyoosha mpaka muelewi dini ni nini
@ibrahimjumaa53815 күн бұрын
Swala ni picha unaongea upuuzi mwingine..
@zanzibaronlytv347015 күн бұрын
Yani kka unaakili Sana mashaallah, wamesema kweli wanazuoni makundi yote potofu yataungana kuwapiga vita masalafy
@ibrahimjumaa53815 күн бұрын
@zanzibaronlytv3470 umekariri upuuzi kwa kubanwa akili na fiqra huru!! Sasa hiyo hoja yako ni Nini hapo katika hili suala la pichaa!!?? Huyu Sheikh Abuu Fadhila Qassim Mafuta hakosei??
@IbraFareed15 күн бұрын
Kaka hili jambo kama ndo unarijua leo Itakua hata passport size yenye hujui sheria zake Embu nenda kasoma Tanzania Passport Photo Requirements kipengele cha Photo Requirements for Passport size Afu uje tuje kuongea Kwenye ukweli acha ushabiki sheikh
@anifasinani185213 күн бұрын
Allah atuongoze Kwakweli Sasa Shekh Mohammad hiyo picha nyie mmeipata wapi.....
@HassanIddy-v1b12 күн бұрын
Muulize mafuta kwanza yy kwanini amepiga picha😊😮
@nahlaaasidee184815 күн бұрын
Maiti inipiga chafya... Mzee wa Hadhayaani.
@JapharyMawanza-q3q14 күн бұрын
Mwalimu wake bado yuko nae naona hataki kumwacha tunasubir taaliq inayofuata🎉🎉
@abuuraslan12 күн бұрын
هههه الله المستعان anatafuta vita
@ibinswidiiqi322615 күн бұрын
Alie kuambia Anaogopa ni nani mche Allah Unajinasibu na dini na ushekh unakalia KUENEZA maneno ya uongo mche Allah sio Kila kitu Chasemwe Muogope Allah
@udu-abdissamy15 күн бұрын
Sheikh Muhammad Allah akuhifadh uzidi kuwabainisha hawa salafi uchwara
@jamalsaid747512 күн бұрын
@@udu-abdissamy Swadaqta Ndio maana yake. JazakaAllaahu'khayran.
@barkeabuubakar-dr8tl15 күн бұрын
Mafuta yana mambo 1)Yanatelezesha uanguke 2)Yanatelezesha usikamatike 3)Na kuna methali inasema kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa yaani (kuwadanganya watu )
@ZaharaniZaharani-ts7wv15 күн бұрын
Kasharudi tena pahali hapekalika 😅😅 tafrahani ,mtu halali