Kazi ya dollar $250 kila siku masaa 8 kwa siku kwa wiki Dollar $1500 kwa mwezi Dollar $6000

  Рет қаралды 27,337

Dnyota usa

Dnyota usa

Күн бұрын

Пікірлер: 306
@Summerbtz
@Summerbtz Жыл бұрын
Kuna baadhi ya wabongo ambao wapi USA wanatupotosha na kututisha kuwa USA hakuna fursa za kutosha mpaka uwe umesoma sana lakini kaka nakuona upo tofauti sana na wengine Mungu azidi kukubariki sana
@Justine_Tz1
@Justine_Tz1 Жыл бұрын
Kweli kbsa wabongo tuna gubu san yaaan huwa wanatutish sana mpaka huwe n mavyet lkn kwa huyo bro nimeKubar hana rohosafi
@mohswlh5087
@mohswlh5087 Жыл бұрын
Safi sana mzee baba nimefurah sana Allah akuongoze inakuwa vp kwa mtu anaetaka kuja U.S unaeza nipatia support kwa hii
@celifpower4993
@celifpower4993 Жыл бұрын
@@Justine_Tz1 hakuna kitu uko ww tulia zako bongo
@lydiajohn6865
@lydiajohn6865 Жыл бұрын
Kaka naomba e Mali yako. Mungu akutunze sana
@emmanuelmsemo3545
@emmanuelmsemo3545 Жыл бұрын
​@@Justine_Tz1.salute man
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 Жыл бұрын
Bro wewe mtanzania watofaut sn tofauti nawengine wakija huko hawataki wenzao waje huko kujitafutia. Bro God bless you
@Summerbtz
@Summerbtz Жыл бұрын
Thanks very much for the explanation bro God bless you
@davidmachange2056
@davidmachange2056 Жыл бұрын
Appreciate you so much brother, so much to learn from you mkuu, God Almighty blesses you abundantly.
@nurdinblesh3115
@nurdinblesh3115 Жыл бұрын
Nakubali sn bro unatupa madini ambayo wengine wanatuvunja moyo mwenyez mungu akusimamie kwenye arakat zako na uzidi kutupambania na sisi wenye kutamani kusafili🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@ramadhaniomary7083
@ramadhaniomary7083 Жыл бұрын
Nashukuru ndugu nimekuelewa
@francinaalex788
@francinaalex788 Жыл бұрын
Nip namb yako
@mcbclaxccode005
@mcbclaxccode005 Жыл бұрын
Kaka tuzidi kukuombea uweze kutusaidia na sisis tusiokua na uwezao wakupata pesa ya visa kwa haraka tusaidie kuweza kupata njia rahis ya kutusaidia watuwengi tuna hasira na maisha ila kazi nikupata pesa yakuweza kufika huko mana kibongo bongo nazani unaelewa daha comment imekua kubwa samahani 2ko p1 Kaka mpaka tufike malengo allah akufanyie wepes upate njia bora tufike marengo
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Okay
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 8 ай бұрын
Dula nakukubali Sana ndugu,,Kila la her katika upambanaji wako,,unaonekana unaupendo Sana na huna roho mbaya kabisa na unatamani Kila mtu afanikiwe,,safi kaka nitapambna namimi nataka nije huko inshallah
@hemedMohammed-l2u
@hemedMohammed-l2u 2 ай бұрын
Daa broo utanisaidiaje mi najiamini ntapambana sana kaka nakikubwa uwaminifu tuu kwenye kazi zawatu kaka daa aisee pia pole kwamajukum pia
@JacklineIkoki-u6g
@JacklineIkoki-u6g Жыл бұрын
Hongera sana uko direct saana nooo konakona barikiwa saana
@kasaba7
@kasaba7 Жыл бұрын
Mungu akubariki uzid kufanikiwa broo..tunazid pambana
@lytwilliam7050
@lytwilliam7050 Жыл бұрын
keep up a good work dula! tupo pamoja!
@edrianarichard6610
@edrianarichard6610 5 ай бұрын
Asante sana kwamaelezo nimefurai nikija ntakutafuta❤
@tonytony329
@tonytony329 Жыл бұрын
Kaka D✨ wewe ni mtu na nusu aisee kwa maombi yangu Mungu akulinde sana
@farajanyaliswacki9754
@farajanyaliswacki9754 Жыл бұрын
Wewe ni mtu wa Mungu ndugu, endelea hivyo Mungu atakuinua zaidi.
@mihamboissa8195
@mihamboissa8195 Жыл бұрын
Namependa ushauri wako actually upo tofauti sana na wabongo wengine huwa wanasema maisha ya ulaya in magumu sana bora ubaki bongo kwan ulaya maisha ni tabu bro be blessed.. Unaelimisha
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Sawa pamoja
@idrisshija6263
@idrisshija6263 Жыл бұрын
VIP broo
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
@@alphanabdalha3147 +15167783253 WhatsApp
@alphanabdalha3147
@alphanabdalha3147 Жыл бұрын
@@dnyotausa6154 mbona aingii whasp au kina namba zimebak
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
@@alphanabdalha3147 +15167783253 save kwenye whatsapp app
@Agacirovaluemedia
@Agacirovaluemedia Ай бұрын
Asante sana,so hera ningapi yakutafta visa,
@CarolineMushi-e3s
@CarolineMushi-e3s 2 ай бұрын
Hongera sana kaka je na mm mwenye miaka 44naweza kuja kufanya huko kazi na pia kwa mm sina mtaji wwt unanisaidiaje
@duncanlochukudi8111
@duncanlochukudi8111 Жыл бұрын
Asante sana kaka ,mimi ni mkenya nina visa ya miaka mitano ya kutalii, napanga jinsi vile nitakuja.
@omamomanhelena9433
@omamomanhelena9433 Жыл бұрын
Mungu aku bariki Sana kaka tupe njia na sisi jinsi ya kufika paspot ipo
@innocentpaschal-yk2hg
@innocentpaschal-yk2hg Жыл бұрын
Kwa form four feriya inatufaa iyo
@innocentpaschal-yk2hg
@innocentpaschal-yk2hg Жыл бұрын
Mmh ni mawazi lkn Je nikipewa bomu bila kujuwa au naruksa ya kukanguwa iyo mizingo
@augustineswai5174
@augustineswai5174 Жыл бұрын
good job kk we shall be there....
@Rahma94Oman-cn5qo
@Rahma94Oman-cn5qo 2 ай бұрын
Hongera kaka kwa kupambana ivi ukitaka kuja lazima uwe sh ngap hadi kufika huko
@marcelpaulbiste5268
@marcelpaulbiste5268 Жыл бұрын
Mungu akulinde brother
@ndihokubwayoherman2473
@ndihokubwayoherman2473 9 ай бұрын
Watching from Burundi 🇧🇮 boss kazi ni kazi boss
@kbdesgners
@kbdesgners Жыл бұрын
Yea yea bro keep push it bro nakubal San see u to the top kak Nakubl San Nam niponjian kak bless up bro
@mskJr1993.
@mskJr1993. Жыл бұрын
Keep it up Bro
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 Жыл бұрын
Powa kaka unaroho nzuri kunengini vitu kama hivyo hawasemi mungu akubariki
@RamadhaniMateo
@RamadhaniMateo Жыл бұрын
Vip uko umeme aukati kati,?
@allyfatma7359
@allyfatma7359 Жыл бұрын
My self....I appreciate so much...pamoja Sana
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Asante
@maalimmossramaofficial8062
@maalimmossramaofficial8062 Жыл бұрын
Oyo niaje mwamba mimi nina mwanamke yupo uko tayari utanisaiduaje
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 Жыл бұрын
Pamoja sana mnyama tuko pamoja tupe link yako tuongee nitakusapoti sana
@hamisianafi-hc5gd
@hamisianafi-hc5gd Жыл бұрын
Broo napenda unachokifanya nataman kua kamaww nataman kufikahapo ilauwezonimdogo nikotayar htamshahara wamwezi uwewako broo
@amadiyamadiy475
@amadiyamadiy475 Жыл бұрын
Thx kk kwailo na vp kuusu sisi huk tuliop burundi fursa kam hiy twaweza kuipat maan napaitaj san kk
@kassimkhalid1185
@kassimkhalid1185 Жыл бұрын
KAKA NIMEISHI MAREKANI USIFANANISHE NA MAISHA YA CANADA HAPA CANADA MAISHA MAZURI SANA SEREKALI YA CANADA INAWATHAMINI SANA RAIYA WAO..CANADA CANADA MATIBABU BURE DAWA BURE...MAREKANI HAMNA CHA BURE . CANADA KAZI KIBAO KULIKO MAREKANI.
@hanswan1
@hanswan1 5 ай бұрын
Na mimi nimeishi kote Canada wanalipaje kwa kazi???
@barakaemmanuel8871
@barakaemmanuel8871 9 ай бұрын
Dullah Mimi ni mengi sana najifunza kutoka kwako. Ila naamini soon tutaona live ❤big up mwamba
@aliyahmedahmed590
@aliyahmedahmed590 Жыл бұрын
Wewe unajisifu unaingiza dollar 250 kwa siku halafu unataka watu wakuchangie ....wacha Utapeli watu wapo wanaishi Pia na maisha wanayajua vizuri...
@johnsilomba902
@johnsilomba902 Жыл бұрын
Hiyo Bike Inatumia Umeme ?
@eliakitungo8642
@eliakitungo8642 Жыл бұрын
Natamani tuongee brother! Sijui muda gani unaweza kunipendelea nikapata mawili matatu kutoka kwako.
@abcccc2665
@abcccc2665 Жыл бұрын
Naomba namba kaka
@williamelias7328
@williamelias7328 Жыл бұрын
Bro ur Good at all,hongera kwa mapambano
@hassanignoretemba2999
@hassanignoretemba2999 Жыл бұрын
Nakubali bro...am on my way soon 🏃🙏
@leksonsanza5184
@leksonsanza5184 Жыл бұрын
Nipatie njia nzuri yakuja USA
@zakenbrothers
@zakenbrothers 9 ай бұрын
Unaweza kutafuta visa wanayotoa kila mwaka kwa mtu yeyote
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 6 ай бұрын
​@@zakenbrotherswee hio utakesha Kam unapesa wpo watu
@obedshadrack896
@obedshadrack896 Жыл бұрын
Kabisa mwana kwetu, tunashukuru bro,
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Sawa
@saidizuber8831
@saidizuber8831 Жыл бұрын
pambana kaka natamani sana nami nije Ku pambana ttzo pesa ndio Najitahidi kujichanga
@zakenbrothers
@zakenbrothers 9 ай бұрын
Unaweza ukafanikisha hilo Ila ukiwa unaendelea kutafuta hela jaribu kuapply na visa
@ibrackibrahim6909
@ibrackibrahim6909 Жыл бұрын
I appreciate brother
@JeniferJunior-qi3le
@JeniferJunior-qi3le 9 ай бұрын
Hello am jenifer,jaman nisaidie na mm nipate kaz ata ya kuchuma maepo
@zakenbrothers
@zakenbrothers 9 ай бұрын
Apply visa upate chances utafanya kaz yoyote utakayo
@abdullahmhina2207
@abdullahmhina2207 9 ай бұрын
M.mungu akubariki sn ktk kz zako na tunakushukuru kwa kutufungua km vp tupe number yako
@elidaimaboniphace-im9xt
@elidaimaboniphace-im9xt Жыл бұрын
Nimependa Dnyota...toka juzi natazama hizi Video kwa kweli ni Shule kubwa nzuri na adhimu sana.
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Sawa enjoy
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 4 ай бұрын
Kazi ya delivery bro inaezachange visit visa to work permit au kunaendaje ebu nipe idea kidogo
@DaudiKunambi-z2x
@DaudiKunambi-z2x Жыл бұрын
Kaka dula tuko pamoja mm nipo Dubai nazichanga nije huko naitwa Denis abias
@DaudiKunambi-z2x
@DaudiKunambi-z2x Жыл бұрын
Nakupa tano mkuu
@malmavoice8989
@malmavoice8989 Жыл бұрын
Bro imechukua muda gani kufikia level zako hizo?
@NasBamiza
@NasBamiza Жыл бұрын
Hakika kaka nakukubali sana one nitakuona najipanga tu
@jackmalipo4774
@jackmalipo4774 Жыл бұрын
Kazi kazi
@bennywalase1434
@bennywalase1434 Жыл бұрын
Tupo pamoja kaka piga kaz mzee D
@omarmohd4683
@omarmohd4683 Жыл бұрын
Mungu akubariki broo
@minaezekiel1972
@minaezekiel1972 Жыл бұрын
Hongera brother !! Wew mtanzania mwenye moyo wa dhahabu !! Tunaomba Number yko ya WhatsApp kwa kuomba ushauri na kusaidiana mawazo!!
@erigoals3323
@erigoals3323 Жыл бұрын
mkuu upo vzur....tushikane mkono binafsi najiweza kwa nauli na hela ya kula wiki mbili tatu huku nikipambania mchongo...mahitaji maongez zaid toka kwako
@zakenbrothers
@zakenbrothers 9 ай бұрын
Apply visa unaweza pata chance uende pia hata na familia yako
@patrickfumbo9372
@patrickfumbo9372 Жыл бұрын
Inspired 🎉
@OmbeniIbrahim
@OmbeniIbrahim 3 ай бұрын
dula ninapo angalia video zako kweli zinanitia moyo na me naimani nitapambana nitafika
@wazirjuma7149
@wazirjuma7149 Жыл бұрын
Ndungu kibongi tunasena mpaka huku ni shilingi ngapi
@BakariFarijala-bd3jc
@BakariFarijala-bd3jc Жыл бұрын
dah umeni ni inspire sana mzee Dullah natamani sana fika huko mzee
@zakenbrothers
@zakenbrothers 9 ай бұрын
Unaweza ukapata visa ukiapply
@NicasAsyakisye
@NicasAsyakisye 6 ай бұрын
Nishanunua baiskeli yangu napiga zoezi, huku natafuta 9mill.
@siasia5469
@siasia5469 Жыл бұрын
💪Nimekukubali D.Star❤️👌 "Kazi Kazi"
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Kazi kazi
@clevermushi7692
@clevermushi7692 Жыл бұрын
@@dnyotausa6154 mkuu..namba zako muhimu sana kwetu
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
@@clevermushi7692 +15167783253 WhatsApp
@clevermushi7692
@clevermushi7692 Жыл бұрын
@@dnyotausa6154 👍
@jonathansolomon456
@jonathansolomon456 Жыл бұрын
​@@dnyotausa6154twakufurahia sana kk
@edrianarichard6610
@edrianarichard6610 5 ай бұрын
Je kama ujui kuendesha bisicle😂
@yusufumwakyambiki8062
@yusufumwakyambiki8062 Жыл бұрын
Nakubari bloo
@CheerfulJackalope-uu9ls
@CheerfulJackalope-uu9ls 5 ай бұрын
Nataman kufanya kaz hapo mkuu nionyeshe njia boss
@jacksonwaTanzania
@jacksonwaTanzania Жыл бұрын
kweri broo dinyota i hope i one day nifike huko mkuu nin passport tayri
@princegray9164
@princegray9164 Жыл бұрын
Kaka tunashukuru Sanaa tunaomba pia unawe una tuambia na matumizi ya huko yalivyo kwa kila siku mfano kula gharama za kupanga na mengineyo
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Sawa
@yahayamuya9138
@yahayamuya9138 Жыл бұрын
​@@dnyotausa6154 Brother nisaidie jinc yakupata visa
@allybulushi624
@allybulushi624 Жыл бұрын
Ishaala Muungu atakulipa Mm hata ningiya tu lazima ni kutowe cpo kama wengine mm
@harriethkalindili7980
@harriethkalindili7980 Жыл бұрын
Hongera
@kavishejrkavishe9643
@kavishejrkavishe9643 Жыл бұрын
Aiseee unaupiga mwingi sana weka namba ya simu basi tuwasiliane zaidi
@ndihokubwayoherman2473
@ndihokubwayoherman2473 9 ай бұрын
Big up boss
@AdelaidaNyota-lz5ty
@AdelaidaNyota-lz5ty 2 ай бұрын
Kaka naomba unitafutie kazi ya dani pia mimi ni fundi cherehani tafathali naomba namba yako nisaidie mikazi ya kiwandani ,mimi nakubari kuwa mtumwa
@joeljoel9180
@joeljoel9180 Жыл бұрын
Pamoja kaka wacha tutafute pesa nazani tutawasiliana nahtaji sana sana kuja huko kutafuta maisha, ila cjajua unafanya inshu ya visa kwa gharama gani kk,
@samsont.albini5998
@samsont.albini5998 Жыл бұрын
Nice bro stay blessed
@HarunElias
@HarunElias 10 ай бұрын
Nakubali kaka
@danstanmgaya1251
@danstanmgaya1251 Жыл бұрын
Ngoja nitafute pesa broo then tujue namna ya kufanya bongo miyeyusho aisee kizungu nitajulia huko huko nikifika
@MfakiSonyo
@MfakiSonyo 6 ай бұрын
Brother dulla tz umetokea mkoa gani
@aminahassan7396
@aminahassan7396 Жыл бұрын
Asante sana kaka,ningependa kuuliza nikiwa nataka kazi nurse nafanyaje na inalipaje marekani?
@aminahassan7396
@aminahassan7396 Жыл бұрын
Ndio nimesomea nursing
@aminahassan7396
@aminahassan7396 Жыл бұрын
Asante
@khadijaali4657
@khadijaali4657 Жыл бұрын
Mm nataka kuja huko kaka nitafute Facebook na hilo jina langu la Khadija Ali
@BahariaAdam
@BahariaAdam Жыл бұрын
Kiongozi salute
@HashimuSalumu-mg6ht
@HashimuSalumu-mg6ht Ай бұрын
Kaka vp mambo vp Mimi ni derevA naendsha truck naomba namba yako
@elishandalaShandala
@elishandalaShandala 7 ай бұрын
Safi mkuu
@peterdominic8527
@peterdominic8527 Жыл бұрын
Safi sana kaka Kwa unachokifanya
@IsmailSabu-lb9tq
@IsmailSabu-lb9tq Жыл бұрын
Naipenda iyo
@zengomwiru6315
@zengomwiru6315 Жыл бұрын
M 6 za viza ni mtaji kwa watanzania lakini pia ni ngumu SANA kuipata.
@Uwezo_Cotton
@Uwezo_Cotton Жыл бұрын
Sisi tupo tayari kuja ila hio milioni9 ya viza bongo ni tatizo la ukoo mzima😂😂
@ussmanjr
@ussmanjr Жыл бұрын
Broo !.. nakubali sana . Mm ni uss natokea mjini Zanzibar Mwembe njugu. Nimemaliza shule nikiwa na umri wa miaka 18 hivi Sasa. Na Sasa hivi nipo ktk field za utalii. Lkn ni miongoni mwa malengo yangu kufika abroad km ww hapo , sas unaweza kunisaidia kufika hapo?.. nisaidie please 🙏 km kijana mwenzk mpambanaji
@zakenbrothers
@zakenbrothers 9 ай бұрын
Application ya visa ya Marekani itakusaidia kupata chance ya kwenda
@carloshernandezvalda2136
@carloshernandezvalda2136 Жыл бұрын
Pamoja audiomack jina nani mie ndoleo wangu umenisanua
@enelykamela4524
@enelykamela4524 Жыл бұрын
I'm in my way to come soon I will be in USA
@piusgadau6328
@piusgadau6328 9 ай бұрын
Mimi naona unafanya kazi vizuri , hicho kiwango ambacho ni malipo je? Tunasikia kwamba serikali ya huko... Iko makini sanaa kwenye Kodi ningeshauli utolee ufafanuzi mambo ya Kodi pia mtu asishtukia anakatwa robo tatu Kodi yakawa maumivu tupu
@husseinhashimu1590
@husseinhashimu1590 Жыл бұрын
Big up
@fintanmkesha1077
@fintanmkesha1077 Жыл бұрын
Dura mm naitwa Fintan Mkesha from kigoma kwanza aise mungu akubalik sana pia mm nilkua naomba nayako ya whtsaap pls
@eliakitungo8642
@eliakitungo8642 Жыл бұрын
D STAR HONGERA KWA KAZI NZURI YA KUTUFAHAMISHA MAMBO MAZURI. BINAFSI UMENIPA NGUVU YA KUJITUMA ZAIDI. NAJUTA KUCHELEWA KUANZA KUKUFUATILIA. NAOMBA MAWASILIANO KAKA NATAMANI SANA KUPENYA NITIMBE USA KIONGOZI.
@danvincentotieno1
@danvincentotieno1 Жыл бұрын
Nionyeshe njia
@ramadhaniomary7083
@ramadhaniomary7083 Жыл бұрын
Daa hongera kwa mapambano na kutuelewesha safi sana
@NusuraNickson
@NusuraNickson 11 ай бұрын
Hi rafiki
@clevermushi7692
@clevermushi7692 Жыл бұрын
Duhh..nikipata nafac me fasta nakuja kutafuta ela boss
@delphinnkoma5757
@delphinnkoma5757 Жыл бұрын
Asante sana bro
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 Жыл бұрын
Broo izo pesa nyig sana kwa mwez milion 1,380000 sualagu lipo hapa kama kwel mtu kwa mwez anapata pesa hz kwann mtu ulaya anakaa miaka 20 bado anabeba mabox tu mana pesa hii kwa miaka 20 mtu una karbun tirion kama kwel mtu anapata pesa izo zote inakuwaje aendele kutumwa tena mana pesa nyig sana
@elishandalaShandala
@elishandalaShandala 7 ай бұрын
Mimi ninae passport sasa naanzaje mchongo
@ndihokubwayoherman2473
@ndihokubwayoherman2473 9 ай бұрын
Mapumuziko nayo nimuhimu boss
@Elimishatv
@Elimishatv 5 ай бұрын
Nimependa mimi nikifika huko nakuwa bilonea.
@ibrahimsaidi5068
@ibrahimsaidi5068 Жыл бұрын
Niaje brother d naomba contact zako plz
Story kidogo ya mambo yetu
14:10
Dnyota usa
Рет қаралды 2,2 М.
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,8 МЛН
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Huku ndio kibera ya Yues/ Ghetto ya Minneapolis
13:39
Huku Yues
Рет қаралды 104 М.
MAISHA YA MAREKANI NI YA MADENI | WENGI WANAKUFA KWA STRESS YA PESA | ELIMU YA FEDHA
1:20:10
Nyumba za kupanga maisha ya Ughaibuni mji wa Newyork
28:17
Dnyota usa
Рет қаралды 2,5 М.
Njia ya visa kwa bei rahisi
8:16
Dnyota usa
Рет қаралды 4,8 М.
Abari njema kwa wanaomba visa ya marekani
29:11
Dnyota usa
Рет қаралды 15 М.
SIRI KUBWA 6 ZA KUFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
23:41
Victor Mwambene
Рет қаралды 10 М.
MAISHA YALIKUA MAGUMU NILIPOFIKA USA | NASOMEA UIGIZAJI | CHANGAMOTO KUBWA NI KUKATALIWA
57:20
Nyumba za kupanga marekani mjini NewYork
17:51
Dnyota usa
Рет қаралды 3,4 М.
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,8 МЛН