Je mimi nina elimu ya dalasa lasaba 2 naweza nikapata kazi
@madukakisinza268010 ай бұрын
Namukubali sana mutoto wa singida na wewe dada enderea kutupa madini watu wa timeze ndoto mungu awabaliki asanteni💪💪🙏🙏🇹🇿🇹🇿
@hassaniabdallah265410 ай бұрын
Nakuwa wakwanza naomba like 😂
@OfficialDatingAssistance10 ай бұрын
👍👍
@dorahbenard183710 ай бұрын
Da shena Asante Kwa kutuletea watu wanatupa idea nzuri sana ila pia nilikuwa naomba ututafutie fursa za nchi zenye free visa ili tuanzie huko af pia ututafutie watanzania walioko Brazil pia naona wako na fursa sana za kazi ubunifu tukipata watu itatusaidia kutusanua vip tupite na tufikie ndoto jmn nakuomba dada angu please
@maurusgervase701710 ай бұрын
black singapore ananfunguka vizuri sana, dada umetisha sana kwa platform nzuri ya kutuelimisha ila basi tuwe na platform ya kutujumuisha na sisi tuliopo nyumbani ili tuweze kushirikishana fursa za namna ya kufika huko.
@Tausishaban-he5io10 ай бұрын
Seriously jmn
@jennytugara947010 ай бұрын
Duh Kaka umeongea ukweli mtupu na umeshauri vijana wenzako vizuri wenye masikio wakusikie!!!!!
@homeandaway281110 ай бұрын
Asante kwa elimu nzuri kaka, kwahiyo ujumbe muhimu ni SOMENI na TONGOZENI 😂🎉
@ednamugezi356010 ай бұрын
Hi darling, where can I find the link for the interview that you did with Tanzanian lady who is married to a Spanish man living in Barcelona?. A friend of mine is insisted in watching it and learning something from it but she can't find it on you videos
@salminasalim563010 ай бұрын
will you please send the us the link as you explained thanks in advance
@jaffjeff691210 ай бұрын
Black Singapore Tz mwanangu naangaika na dating ili nivuke states
@FirdausKhalifa-c3j10 ай бұрын
Sio wanawaogopa ni lugha...na alafu wanaigeria ni wezi waliobobea katika mapenzi...ndo mana South afrika wanaigeria hawapendwi wanawatapeli sana wadada
@FirdausKhalifa-c3j10 ай бұрын
@lylm4147 tafuta namna ya kufanya tuje kujifunza mimi ntakuwa mwanafunzi wako namba moja
@JohnAnthony-n3d27 күн бұрын
asante sana dada angu kwa kutukutanisha na huyo ndugu yetu kikubwa naomba namba yake atupatie account zake tuzidi kujulishana mengi ntashukuru sana nataka kwenda kusoma marekani nina mengi ya kuzungumza na kaka angu
@SiabaFadhili10 ай бұрын
Sister nashauri hiyo bantu uweke Link hapa kila mtu angie moja kwa moja
@mwajumakudema584010 ай бұрын
Hizo website au hao maagents angewataja
@jessicamwasandube94410 ай бұрын
Safi Sana Shena,kazi nzuri sana,kutupa michongo ndugu zako
@Salmah-l6f10 ай бұрын
😂😂 mana atali sana
@NtawebasaZainabu9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@SalomeKhalfani-cm9xy10 ай бұрын
Mie nimempenda kaka yetu atupe dili sasa zakuja huko
@rehemadaudi439010 ай бұрын
Fanya chaou shena ,tusikiliza huyu kaka anayefanya shambani pls pls haraka tumecuoka sana hii Tz .
@Erasto.LuhazaEmakulataerastolu2 ай бұрын
Habari zenu.jamani naomba mniunganishie mimi kazi za mashambani paspot ninayo niko tayari kwa safari mda wowote mnisaidie
@NeemRamadhani-j8h10 ай бұрын
Da shena, naoomba Link ya kaka , kuusu kazi za mashamba marekani.
@GraceMethuselaNtwale10 ай бұрын
Naomba link mpendwa
@MillyKapaya8 ай бұрын
Ni yule yule kijana mwenzako from Zanzibar kaka nishike mkono pia ndoto yangu ilikua kuishi uko
@AgredaMoyo10 ай бұрын
Yaaan kwa maelezo yako inaonesha kila sampli umepitia😂😂
@SaidHaarith6 ай бұрын
Broo naomba hiyo link
@TabuH-mw5bc9 ай бұрын
Naomba namba Yako boss
@GraceMethuselaNtwale10 ай бұрын
Naomba namba yako pia
@nyakatongongo429210 ай бұрын
Dada .nakufuatilia sana mi mama na familia yangu tupo south Africa sasa naomba no ya daJasimin wa German🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@kisagentabirage66939 ай бұрын
Habari dada napenda chanel yako, unavyo wahoji wenzetu wakiofanikuwa kutangulia huko, so for me naomba connections Ili nieze kuja huko America Ili nieze kuja kupanbania maisha tafadhali sana dada
@jacksonjuma365310 ай бұрын
Asante sana dada kwa madini
@talentshow202410 ай бұрын
Leo nimewahi ama?
@nellykibukila56777 ай бұрын
Dada mimi naishi marekani naomba kaka yetu anisaidiye na number yake .kwa ajili ya ku usiyana naye i am interested.
@gracequeenpers473110 ай бұрын
Duh apo kweli wadada wengi wapo kwa ajili ya kitu flni....... Ila apo kwenye wivu ndio penyewe jmni mtu ambae hna wivu n wew hkupnd bhna
@nellykibukila56777 ай бұрын
Dada Asante kwa kutuleteya uyu kaka .na mimi katakana link ya iyo kazi kaka yangu
@MartinaMsimbe-qk8ug9 ай бұрын
Nimependa
@MadinaMalk-yd6kp10 ай бұрын
Madini yakutosha kaka💐
@ImeldaIsdory10 ай бұрын
Good Job Guys.
@jumahassan719010 ай бұрын
Kutoka mabwepande bunju b police department daresalam Tanzania Africa nakupata live I nifike hapo ulipo
@OfficialDatingAssistance10 ай бұрын
Shukran kaka,nakupata vema 😁🙏
@OmanOman-ns3iw10 ай бұрын
Dada namimi nataka kaz huko je naipataje
@mpelamwahikapitingana806910 ай бұрын
Naomba Link hiyo ndugu yangu
@MillyKapaya8 ай бұрын
Please help me interested
@franciskassanga799910 ай бұрын
tunaomba tuwekee hiyo link hapa
@severalaswai115010 ай бұрын
Hi Shena hope uko poa naomba niunganishe na huyo kaka tafadhali.
@jovovichmedia942410 ай бұрын
Nicheki
@ElizaGeorgeBujiku10 ай бұрын
@@jovovichmedia9424bro
@AFRIS10 ай бұрын
Habari dadaangu naweza kupata njia yaku mpata bwana black mana haja toa datels anapatikana vp ,?
@ZamdaAli8 ай бұрын
Ww tupe namba
@sophiakassim678410 ай бұрын
Shena tuletee Rukia Laltia
@kashindesalha810710 ай бұрын
😂😂Maji mama yanii😂😂
@enemtatuka586310 ай бұрын
Dada uyoo
@zenjibar6410 ай бұрын
Webongo ukiwambia kuhusu kazi km hivyo wanakwambia kuibiwa . Hawaamini. Km ni za ukweli .
@sumeyaahmed418710 ай бұрын
Mbona hamtujibu Jamani kwenye message
@JohnAnthony-n3d27 күн бұрын
Majina anayotumia mitandao ya kijamii huyo kaka
@nellykibukila56777 ай бұрын
Kaka tu saidiye na number yako
@rehemadaudi439010 ай бұрын
Shena tunawasiloanaje na huyu mdogo wetu tunataka kwenda hatujui cha kufanya jamani, jibu msg basi shena pls
@peterkariuki907310 ай бұрын
Kweli
@OfficialDatingAssistance10 ай бұрын
Mcheck Instagram yake black Singapore
@Lizzyktd10 ай бұрын
TUNASHUKURU SANA DADA SHENA@@OfficialDatingAssistance
@peterkariuki907310 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistanceWhatsapp number yake naiomba pliz
@emmanuelkitonga644010 ай бұрын
Viza ya mwaka mzima ipoje
@WandishaNatianota10 ай бұрын
Shena niko Columbus Ohio naomba niunganishe na huyu msingampore
@OfficialDatingAssistance10 ай бұрын
Instagram yake ni black Singapore utampata
@AlexAlex-r6k10 ай бұрын
Nipe link na number yako mjomba
@Dariatwaha6 ай бұрын
Dada mm natafuta kazi marekani.nina paspoti kabisa nafanyaje dadaangu
@shakiru-y7g3 ай бұрын
nahitaji kazi,hiyo ya matunda
@Omaralawy-x6e9 ай бұрын
Nimfrah apo ety nipack gar langu
@MarcusKomba-m4y9 ай бұрын
Je ndugu niajent gani wa huwa kika asie tapeli watanzania mtaje tujue
@AnnaMgala-n6g10 ай бұрын
Kumbe Bora Nije. Kudeit na mzungu hahah wabongo tuache woga
@sophiasaid37910 ай бұрын
Ujui kingereza 😅😅😅😅😅😅😅
@farhannahomary550510 ай бұрын
Hizo za kujitolea nazitaka
@MariamSalimu-e2g6 ай бұрын
Mimi nataka kazi ya shambani jamani msaada
@joelirunde282310 ай бұрын
Hello Sheba Unge pin link ya msingapore tuweze ku follow
@OfficialDatingAssistance10 ай бұрын
Ipo kwa Description hapo
@nellykibukila56777 ай бұрын
Hello Sheba tafa zali ambiya kaka yetu atupe number yake.
@ramadhanimjema476410 ай бұрын
Asalaam Aleykhum. Naomba mawasiliano ya huyo jamaa. Ramadhani Kareem.
@OfficialDatingAssistance10 ай бұрын
Black Singapore
@Lizzyktd10 ай бұрын
TUNASHUKURU SANA KAKAYETU PIA TUMEFURAHI KUKUONA TENA
@JanethFaraji5 ай бұрын
Mamb vp natafut Kaz ichi yaij
@AlexAlex-r6k10 ай бұрын
Tupe number
@tausimbulumi50310 ай бұрын
black singapoli punguza spead ya kuongea hili watu waelewe
@winladyemanuel943510 ай бұрын
Tunaomba huyu kaka atupe username yake tuweze kumdm
@OfficialDatingAssistance10 ай бұрын
Black Singapore
@peterkariuki907310 ай бұрын
Whatsapp number ya huyu kijana naiomba tuyajenge.
@saraharonie49765 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistanceblack Singapore
@kevinmary712910 ай бұрын
China hakuna freedom , human rights and democracy ndio maana