Mungu akubariki sana dada Shena Kwa msaada wako mkubwa uliompatia Rahma, Sasa hivi hata aumwe nani asirudi Botswana.Mungu kamsaidia karudi salama asije rudia au kudanyika kurudi tena Botswana.wakimuhitaji kumwona mtoto waende Tanzania wakamwone
@roseeuphrase385315 сағат бұрын
Mungu ni mwema kila wakati, afadhali sana amerejea nyumbani salama salimini ❤🎉
@FatmaHaji-sf6xqСағат бұрын
Mashallah.mungu akubarik sana
@dominaferuzi390120 сағат бұрын
Asante Sheina Kwa hiyo arrangement ya kumsaidia
@dominaferuzi390120 сағат бұрын
Hongera Sana kurudi Mungu Yuko pamoja nawe. Jipange kuanza upya isolate tamaa
@alitwiga12032 күн бұрын
Masha Allah, Wallahi I’m very happy for you mdogo wetu rahma
@AshaAljasry5 сағат бұрын
Eti Botswana iko wapi?
@christinewomanoffaith547910 сағат бұрын
Na sura Ina furaha na nuru SS Asiende Tena huko ,asidanganyike
@SaidHaarith4 сағат бұрын
Rahmma mm naitwa hadia nakufatilia sana ningependa tuwe marafiki chukuwa no zangu my
@vivianmahoo8611Күн бұрын
Mungu awabariki wote waliomsaidia❤
@ShadaiyaMustapha2 күн бұрын
Kwakweli pole na hongera rahma❤
@vero572 күн бұрын
Namkumbuk huyu dada,mungu ni mwema sana, afadhali, 🙏🏽🙏🏽
@ireneojugo241615 сағат бұрын
Mtoto ana miaka mipangi
@SahalaImamu2 күн бұрын
Da shna nakupigia simu imezima please pokea ntumie link niingie online
@daudisebyiga93302 күн бұрын
Nimefurahi sana kwa kufanikisha hili. Siku niliyosikia nilipata uchungu sana. Well done Shena.
@immaculatakadyanji59272 күн бұрын
Vipindi vyako shena vimenifundisha mambo mengi sana.
@alitwiga12032 күн бұрын
Hongera sana dada shena 🙏🏽🙏🏽
@nashnene63262 күн бұрын
Chezea bongo weye 🙌kila kitu hakiendi, hata network tu, ndio ukaona watu wanaondoka zao kutafuta maisha
@collincole42522 күн бұрын
Wow 🙏🏾🙏🏾
@ghanimajongo7817Күн бұрын
Da shen asante saanaa mung azidi kukutia nguvu
@Oman-m5k2j2 күн бұрын
Barikiwa wote mashaalah
@NeemaMartin-om1cz2 күн бұрын
Mm nataka kujuwa je mumewe aliridhia kurudi kwa hawamu hii au jeshi la police waliingilia kati na je nichanga moto gan alikutana nazo wakati anarud Tz kwa hawamu hii
@Fatimas_SpaceКүн бұрын
❤
@alitwiga12032 күн бұрын
Rahma ametokea mkoa upi tz?
@MashakaNgosso-l6s2 күн бұрын
Mimi nataka kumuuliza raha a kwamba ndo mmpeana taraka au bado
@DadaSarah-h4fКүн бұрын
MUNGU akubariki una karama nzuri na upendo wako Swali sasa mtoto wake aliruhusiwa kurudi na Mtoto?na Kwa baadaye haitaleta shida
@immaculatakadyanji59272 күн бұрын
Mungu mkubwa umerudi salama
@chayogasperi97832 күн бұрын
Kwani Tanzania anaishi wapi network iwe ya shida hivyo ??