Рет қаралды 15,630
Ukuzi wa aina mpya ya nyasi 'napier' nchini Kenya yenye mavuno tele na haishikwi na magonjwa. Aina hii inaitwa 'Super Napier Pakchong 1'. Unaweza ipanda hata sehemu ambayo haipokei mvua nyingi .
Kisha tunakuonyesha jinsi ya kupanda 'Super Napier Pakchong 1' kwa kutumia mbinu ya tumbukiza.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: bit.ly/3mhaLOh
Follow us on Twitter: / kbcchannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: www.kbc.co.ke/
#mkulimakbc #napiergrass