It is hearts such as this that are willing to share knowledge for development that are truly remarkable and deserving of the highest applause and reward. God bless you guys for sharing all the information you have shared
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
Thank you brother for the Compliments!
@mosesnartey43166 жыл бұрын
I really love your commitment to share with other, just unfortunate I can't understand the narrative
@rufanomushi11068 жыл бұрын
safi sana kaka tuendeleee kuelimishana wandugu uwo ndio uzalendo na hongera sana bro sule hongera sana kaka tuzidi kukaza
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
Nashukuru sana Rufano
@nafsajuma59198 жыл бұрын
hongera sana kaka selemani pia samahan umetumia kiasi gani kuandaa n.a. kupanda hadi ziote
@MaishaBaluhya-nf5ok Жыл бұрын
Tafadhari naomba namba ya simu kwa msaada zaidi
@pamelaowiyo98674 жыл бұрын
Good job
@bestonmwasalemba69158 жыл бұрын
safi sana mkuu, napenda sana, tuko pamoja
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
Ahsante sana
@bestonmwasalemba69158 жыл бұрын
ok
@fatmanasser68297 жыл бұрын
Suleiman H. Halletu NAweza kupata namba yako ya sim
asante sana baba hata mm nataka niingiye kwenye kilimo cha tikiti nitskutafuta ili nipate ushauri wakoo inshallah
@magaitumbo71114 жыл бұрын
Safi nimeipenda hii. Ni mbegu gani unayolima ndugu.
@emmanuelgabriel8488 жыл бұрын
hongera sana bro kwa udhubutu lakini vipi mafanikio yakuwekeza kweny kilimo
@pulcheriamayombo52223 жыл бұрын
Asante nimepanda matikiti ila nimekosea kipimo cha mche na mche.
@TEACHER.CLEOPHAS3 жыл бұрын
I really like watermelon farming and I'd like to start the process.
@funlityoung8 жыл бұрын
Nice farm 🍉👸🏾💚!
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
Thank you Lime Dyme
@amonzachary27182 жыл бұрын
Boss vp msimu mzuri wenye soko zuri kwa zao la tikiti ni upi yani nilime mwezi gan ilinivune msimu gan wenye bei nzuri sokoni wa zao la tikit
@scholasticamchokopa6515 Жыл бұрын
Ni mwez gani nzr wa kuandaa shamba la matikit? Yaan msimu mzr ambao unaweza kuuza Bei nzr ukapata faida
@AzaeliMbise4 ай бұрын
Kamanda nimekuelewa ubari.mm ninapenda kulima laki sina eneo
@ghanacabletv53168 жыл бұрын
assalaam 'alaykum ndg Suleiman... umenisaidia sana ktk majaribio yangu ya kilimo cha tikiti. Mungu akulipe kila la kheri.
@joazmgute87467 жыл бұрын
Safi bwana sureman me nmeshalipia shamba nasubir tuu maji yapungue ili nianze maandaliz swali hilo shamba ulilo kadiria milion 30 lina ukubwa gan lakin unaweza kunipa makadilio ya ghalama had kuvuna
@dyankson6 жыл бұрын
HONGERA! Safi sana kiongozi. Vijana tuzidi kuhamasishana kuwekeza kwenye kilimo. Kiongozi nimeanza na mladi wa shamba kilimo cha tikiti ili mwakani niwekeze 2 hekta. Tafadhali naomba namba yako ya simu tu-exchange uzoefu na ushauri. Asante
@jeremiaaugustino71873 күн бұрын
Hizi elimu tunapewa mtaani uzeeni...wakati shuleni tulikua tunachora panzi. Viongozi wetu sijui wako na akili gani
@silaspaulmakula43968 жыл бұрын
hongera kwa kazi nzuri, ila naitaji pia ushauri wako kwani na mimi najishughurisha na kilimo hicho cha matikiti
@telesphorymwashem9484 жыл бұрын
Kaka sulemani naomba namba yko tuwasiliane
@audaxmuganda8 жыл бұрын
asanteni sana lakini pia ningependa kujua anamwagilia kila baada ya muda gani na vipi siwez kupata namba yke anisaidie baadh ya mambo maana na mimi ndo naelekea huko kwenye hcho kilimo.
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
Maji ni vizuri ukawa unamwagilia kila siku japo inategemeana na mahali ulipo maana sahz kama huku kwetu Tabora jua ni kali sana, hivyo namwagilia kila siku. Namba zangu ni 0763806485
@fatmanasser68297 жыл бұрын
Suleiman H. Halletu shukran sana mimi sipo tanzania ila nikija tanzania nitakutafuta ili unipatie shamba huko nilime hayo matikit
@ayubumunapindamunapinda80163 жыл бұрын
gram 1 nyany imara f1 ya mbegu be I gan
@hassanyusuph32043 жыл бұрын
Kwa makadilio ni baaada ya mda gan unaweza kujua mda huu mmea unajitengenezea sukari yake ,ili kupunguza kiasi cha maji
@rebecakwaleka80295 жыл бұрын
Wa tabora tunakuonaje? Na unalima tikiti pekee au unaweza shauri hata mazao mengine mfano nyanya,tango na mengine
@thegrandpentahotel38565 жыл бұрын
unamjuwa anayeelimisha tabora?
@masalimsuhitv64397 жыл бұрын
sana
@JaphetMwaisaka-kc3ri Жыл бұрын
Ko kwenye matuta unaweza kupanda
@stevenmsuya95836 жыл бұрын
sumugani unatumia?
@deusdeditngholombi61247 ай бұрын
Nieipenda hii
@emmanueleddiemwamakula33985 жыл бұрын
Hivi hii programu iliishia wapi? Nimejaribu kufuatilia ila sijapata mrejesho
@elizabethturuya59585 жыл бұрын
Msaada wako tafadhari.umesema kunakipindi ambacho unatakiwa kupunguza maji I'll tunda lijitengenezee sukari yake yenyewe... Je katika kipindi hicho hauweki maji kabisa na je kipindi hicho matikikiti yanakuwa na muda gani.... Pia umeongelea swala la kupiga dawa..je Ni dawa zipi ulixokuwa unatumia..
@hamisilipaye92415 жыл бұрын
Ninaomba namba yko ya simu kwa maelekezo zaidi maana umenivutia sna kwa uthubutu wko
@digitalaffiliatemarketing2105 ай бұрын
Siku ya 50 ndiyo matikiti huanza kukomaa na kutengeneza sukari..inapofikia siku ya 65-70 yanakuwa full tayari kuvunwa...so, siku za mwishoni baada ya siku ya 50, unamwagilia mara mbili Kwa wiki, kama ni kiangazi hakuna mvuna...kama kuna mvua nyingi hutakiwi kumwagilia kabisa.
@joazmgute87467 жыл бұрын
Nipo mbeya
@danfordjosephjosephdanford71156 жыл бұрын
bwana sulemani kwa hiyo ndiyo tumekoea hapa tu
@jumanzumbi12158 жыл бұрын
hi sullemani,kwa shimo unaweka Mbegu ngapi Na matikitiki yakianza kuzaa unabakisha mangapi kwa mche mmoja
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
Inategemeana na umbali wa mashimo yalivyo, kama umefanya mashimo kwa umbali 2m squares weka mbegu mbili kila shimo, lakini kama umeweka kutoka shimo hadi shimo cm 50 na mstari hadi mstari 2metres weka mbegu moja moja kila shimo. Na matunda yanapoanza kutoka ni vizuri ukayabakisha matatu japo ni vizuri kipindi cha kupunguza matunda kwenye mche ukapata mtaalamu akakushauri vizuri namna ya kupunguza matunda kwenye mche wako. Ahsante Bwana Juma Nzumbi
@verohmchihiyo50298 жыл бұрын
Hi suleiman...hongera kaka, naomba contact zako kama hautojal...n kuhus kilimo cha matikiti
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
Karibu Veroh. 0763806485
@jameska12438 жыл бұрын
Ndg Suleiman lam sorry bila kujali ningeomb namb yako by James,
@jacobshirima48604 жыл бұрын
bwana sulemani je naweza kupanda tikiti kwa mbolea ya kuku?
@manasesimon7651 Жыл бұрын
Mkuu unatumia dawa gani kuthibiti dondoo
@cyprianpeter8 жыл бұрын
naweza pata contacts zako?
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
0763806485
@cyprianpeter8 жыл бұрын
thenx
@cyprianpeter8 жыл бұрын
unaweza nisiadia vtu muhimu katka matunzo ya kitunguu katka kitalu
@danfordjosephjosephdanford71156 жыл бұрын
vip bwana mkubwa toleo lingine tutalajie lini?
@fahadfahmy7 жыл бұрын
Matikiti tunayoyaona au majani tunayoyaona?
@DIweni5 жыл бұрын
Kwa mashina ambayo hayakuota yanaachwa au unarudia kupanda?
@khamisally57885 ай бұрын
Unamuachia nani sasa weka mbegu wewe
@ibrkisale16125 жыл бұрын
nakuxoma xana endelea kuelimixha
@danfordjosephjosephdanford71156 жыл бұрын
apu date nyingine
@adammakoye41986 жыл бұрын
naomba ujibu meseji nakutumia kwny namba yko hiyo ya voda