Sweet and powerful song! Even if there's pain... With the LORD reigning every thing will be peaceful....
@salimitilaulensi89673 жыл бұрын
Mko vizuri sana ila jitahidini kumwinua Yesu kwa kudumisha tamaduni za kiadventista waacheni walimwengu wacheze sisi ni barua ya kusomwa.
@fnnyanda59933 ай бұрын
Yaani, hawapendezi kabisa,"Kwani kuna Waimbishaji Wangapi?" na Wanacheza kabisa.Kuna pepo wa aina gani kaivagamia Kwaya zetu?! na Wachungaji wapo,sijui wanatabasamu au Wamenuna.Jamani,😁😄😄😂😆😳😁👆.
@lucymtani30073 ай бұрын
Mbarikiwe sana,mungu awape kiwango Cha juu zaidi,mnatubariki sana nyimbo zenu
@EliasMbamba3 ай бұрын
Bwana awaongeze huu ujumbe uwafikie watu wote Dunia
@dayananicholas20853 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana watumish wa Mungu mfike mbaliiiii🙏🙏🎁🎁
@jamuhuritv87133 жыл бұрын
MUNGU awe pamoja nanyi tuko pamoja katika bwana...
@dayananicholas20853 жыл бұрын
Ameeen
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Amona
@BarakaMlowe-wd3rm Жыл бұрын
nipo tayar kupokea muujiza wangu
@luhanyamipawantobi68883 жыл бұрын
Kazi nzur mno👏👏👏👏👏👏
@NyasubiChoir3 жыл бұрын
Aminaa sanaa jiandae kupata wimbo wa mawe mikononi
@AbelKakoma-h8h7 ай бұрын
Keleke zashagwe is very nice song my SDA i love you all
@nathanielchisebe86982 жыл бұрын
Tunabarikiwa sàana na mama cesy
@EmmanuelCharles-d6x6 ай бұрын
Mungu awape nguvu kupitia huu wimbo ninafarijika sana amani iwatawale
@bitrecekabelege82 жыл бұрын
Bariki wa sana watumishi wa baba
@mkolopolaprimaryschool64992 жыл бұрын
I got you mr beneficial Nice song
@mshigilakarume44257 ай бұрын
Wimbo una ujumbe barikiwen
@georgealexander49913 ай бұрын
Mungu awe nanyi daima
@tatujosia8303 жыл бұрын
Mfike mbali kwaya yangu nyasubi! Mbarikiwe kwa kazi nzuri, ikiwezekana na wimbo wa Arobaini natamani kuusikia 🎧🎻🎺🎤
@NyasubiChoir3 жыл бұрын
Aminaa utaupata hiv punde
@tatujosia8303 жыл бұрын
@@NyasubiChoir shukrani
@emmanuelwerema12962 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana kw a huu wimbo
@elizabethi-wt9fs Жыл бұрын
Wimbo huu hua unanibariki sana MUNUGU kuwabariki mwende mbali zaidi
@awardmwaijega9797 Жыл бұрын
Watumishi hongereni sana
@sporahmuja58663 жыл бұрын
Amina, mbarikiwe nyasubi kwa wimbo mzuri je, umewahi fika pale, pale. 🙏🙏🙏🙏👏👏👏
@NyasubiChoir3 жыл бұрын
Ameee jiandae na wimbo wa mawe mikononi
@salumkalulu-de1md Жыл бұрын
Wimbo unafundisho zuri la unabii.Mungu awabariki.
@shumbushoemmanuel65983 жыл бұрын
Wimbo zuri sana APA Rwanda
@NyasubiChoir3 жыл бұрын
Barikiwa sana share na wengine nao wabatikiwe
@namsifumaduhumwita24953 жыл бұрын
Shagwe katika shagwe yake. Hata mimi nimeshangweka 😍😍😍. Kuimba ni kuzuri kwa kweli....
@kelvinotuoma18623 жыл бұрын
Nabarikiwa na nyimbo zako sana hasa wimbo wa watu wengi wanatafuta kuiga natamni siku moja mwakani ukaribie harusi yang
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Amina barikiwa sana
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Amina tunabarikiwa pia na nyimbo zako dada yetu
@bigizigentil3 ай бұрын
Mubarikiwe🇨🇩🇨🇩
@nselema-w8m Жыл бұрын
Mungu awabariki nyasubi kwa huu wimbo
@elizagerald40943 жыл бұрын
Barikiweni sana,
@eliachacha49743 жыл бұрын
Barikiwe mnoooo Nyasubi
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Amina
@jamuhuritv87133 жыл бұрын
MUNGU awe pamoja nanyi tuko pamoja katika bwana..🙏🙏🙏🙏🙏
@NyasubiChoir3 жыл бұрын
Ameee jiandae na wimbo wa mawe mikononi
@jeldasabena91463 жыл бұрын
Daah mbalikiwe sana nyasubi international choir wimbo ni mzr na una ujumbe mzr hakika tumebalikiwa katika uzinduzi wa hii album
@NyasubiChoir3 жыл бұрын
Aminaa twendelee kubarikiwa sote jianda kupekea wimbo wa mawe mikononi next wiki
@ganjilamoji14643 жыл бұрын
Mr fruv
@rosemutinda30763 жыл бұрын
Waoh🤗🤗 maneno matamu sana ya kutoa machozi ya furaha😊wanauliza huyu N nani?? Jibu, muulizeni Adam naye atawaambia huu ni uzao wa mwanamke utakao mponda nyoka kichwa😇muulizeni Isaiya naye atawaambia, huyu ni Emmanuel Mungu pamoja nasi😇muulizeni Yohana naye atawaambia, huyu ni Mwana kondoo aichukuaye dhambi ya ulimwengu😇..
@abodetidings83923 жыл бұрын
asante sana kwa hii nzuli sana kabisa
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Barikiwa sana
@cecoomrema22692 жыл бұрын
Wow wimbo mzuri Sana . Mungu awabariki waimbaji .hata na mie pia nabarikiwa mno kila nikisikiliza wimbo huu
@peterlot20503 жыл бұрын
Director hakuwa mzuri. Ni cameraman sio director
@kwandikwa87333 жыл бұрын
Nyimbo za Nyasubi ni nzuri zote,tatizo ni camera man
@kafwembajr.87853 жыл бұрын
Mbarikiwe sana Nyasubi.
@esthermassaro46633 жыл бұрын
Esther yasson mbarikiwe Sana katika bwana
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Amina barikiwa pia
@shaniachanceline2751 Жыл бұрын
Amen! What a sweet song God bless you all ❤❤❤❤❤❤❤
@oscarmashishanga33073 ай бұрын
BWANA AWE NANYI DAIMA
@sarahrhobi44873 жыл бұрын
Natamani niwepo pale...nipige kelele za shangwe
@NyasubiChoir3 жыл бұрын
Barikiwa
@miriamsamson45463 жыл бұрын
Bwana awabariki sn,namuona my sister Esther
@choraleverscanaanofficial7989 Жыл бұрын
God bless you
@rehemaelias95293 жыл бұрын
Aminaaaaa
@mariamfrancis30113 жыл бұрын
Wimbo nzuri Sana mbarikiwe
@jendayifreezer40923 жыл бұрын
Great keep it up nyasubi choir
@enockmaganga83092 жыл бұрын
Nimeipenda
@MOSESUYUNGU-pn7mb Жыл бұрын
Osiri SDA choir
@everlinekenga46312 жыл бұрын
wow amazng
@MOSESUYUNGU-pn7mb Жыл бұрын
Osiri SDA
@ombachiayienda91303 жыл бұрын
Woo wimbo mtamu 🙏🙏🙏
@NyasubiChoir3 жыл бұрын
Barikiwa
@kmoingiroi2543 жыл бұрын
Choir tamu sana yenye mafunzo na burudani. Naipenda endeleeni vivyo hivyo
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Amen
@davidsimonkofi36473 жыл бұрын
Hum God is Good, let's PRAISE HIM FOR LIFE...JESUS IS COMING.
@jescamashiku80063 жыл бұрын
Nyasubi mlikuwa kwaya nzuri mnaimba mmetulia kwa utukufu wa Mungu, mmekuwaje ? Mnataka kufanana na nani ? Hapana
@mwitachacha97853 жыл бұрын
Hawaimbi kwa roho tena wala akili bali, Mwili na 1 wakorintho 14:15 haiendani nao.
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Hata wakati ule Yesu anaingia Yerusalem Mafarisayo, Masadukayo na wakuu wa makuhani walianza kuwaambia watu wanyamaze wasipige kelele za SHANGWE Yesu akawaambia mkiwanyamazisha Hawa mawe yatapiga hizo kelele za shangwe kila nyimbo na mazingila yake rafiki tulikuwa na shangwe katika njia yake
@lucymapolu93033 жыл бұрын
Nakuona madame Bulugu Mungu akutunze my
@celinanalice54613 жыл бұрын
Mbalkiwe watumishi
@NyasubiChoir3 жыл бұрын
Amina
@bensonledama45463 жыл бұрын
mubarikiwe sana nyabusi Kwa wimpo msuri mungu awape nguvu nawa penda sana
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Amina tunakupenda pia barikiwa sana
@hakikadiguza40363 жыл бұрын
My only beloced choir.., mbarikiww ndg zangu
@anastaziawilson2493 жыл бұрын
3d
@hawasanane68923 жыл бұрын
Good song I love you Nyasubi
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
We love you too
@felixojuka76372 жыл бұрын
Very great
@esterseif20493 жыл бұрын
Nimebarikiwa
@EmmanuelCharles-d6x6 ай бұрын
Safi sana
@silviakahuya45263 жыл бұрын
Nice song i like the way you dress 😌
@wycliffnyakundi83303 жыл бұрын
Halleruyah
@shellalove32073 жыл бұрын
Great work 👌👌👌 keep on praising the Lord 🙏🙌 may God bless you all
@lizabethgurti82683 жыл бұрын
. . dgk dl
@lizabethgurti82683 жыл бұрын
My pop never us
@opticomaskari11313 жыл бұрын
Blessed joy in the kingdom of father the song motivate me surey
@sumbumipawa21673 жыл бұрын
Mpo vizuri
@sunitamambo753 жыл бұрын
Gosh what a nice dressing you got
@brendatom43373 жыл бұрын
Thumbs up for the uniform
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Amen
@asiawaryoba48223 жыл бұрын
Wimbo mzuri mbarikiwe wapendw
@aganochoir3 жыл бұрын
Amen NYASUBI Choir!!!!! May God Bless You
@NyasubiChoir3 жыл бұрын
Amen Agano choir
@shantellevis57793 жыл бұрын
Mmmmh!nyc choir 👏God bless Agano choir👍Amen
@wanjalamusochi94443 жыл бұрын
Ilike it keep it up!
@UHAKULAJ3 жыл бұрын
Mbarikiwe watoto wa Mungu nimewaongezea subscribe ongezeni kwangu pia
Wonderful and great message........ Blessings to all
@PT2016-33 жыл бұрын
"Message"
@elishabudumenge85383 жыл бұрын
Kazi njema sana nawapenda
@mariumjeremiah12473 жыл бұрын
Nice song god bless you🙏🙏🙏🙏
@berylakoth72243 жыл бұрын
Amen Amen 🙏🙌👏❤☺mungu abariki choir nzima
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Amen amen
@ganjilamoji14643 жыл бұрын
Bire mgunda
@aliceodhiambo95313 жыл бұрын
Ameeeen🙏🙏
@lewismuthomi19673 жыл бұрын
Wonderful continue with the same spirit
@valentinekaimenyikabubwa21413 жыл бұрын
I love 💕💕💌 it
@josephochola43523 жыл бұрын
Be blessed good sog
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Amen
@swesschao30953 жыл бұрын
We are blsd!!! GOD IS GREAT!! AMEEEEEN!!!
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Amen
@amoszacks73183 жыл бұрын
Amen Nyasubi..be blessed
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Ameni
@mosesamos8332 жыл бұрын
Amen to
@evansmoronge62463 жыл бұрын
Beautiful song with very strong message
@dorothyogweno83273 жыл бұрын
Quite inspiring
@dreamlineshift18013 жыл бұрын
This one is more powerful and genuine when mute also can understand So amazing
@nancynyake41693 жыл бұрын
Draw yourself LA
@nancynyake41693 жыл бұрын
Lp
@eunicenyandiko13893 жыл бұрын
Hallelujah!! Amen!!
@johnongaga5083 жыл бұрын
Amen! Keep it up
@trizahmogi14993 жыл бұрын
Nice song
@marthanangay28823 жыл бұрын
Amen
@stewardmgeni85943 жыл бұрын
Amina
@hellennabuya11973 жыл бұрын
Very smart like angle God bless you 🙏
@patricklengo24363 жыл бұрын
Lovely singing, I praise God for you
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Thanks a lot may God bless you
@bawesigajackson78773 жыл бұрын
Praise be to God always.
@catholictvmusichymes71742 жыл бұрын
Mimi pia ni muimbaji, karibuni sana kwa channel yangu.
@mariamcfarlane57743 жыл бұрын
What a beautiful choir. Brothers and sisters in Christ, keep it up. Wonderful songs to lift our souls up. Why would someone put their thumb down? Unless they are mad. Grow up
@elikanashadrack46783 жыл бұрын
Thanks so much and be blessed
@NyasubiChoir3 жыл бұрын
Thanks be blessed
@johnmanyali17953 жыл бұрын
Wonderful servant singers, more so the grey haired mum ❤leading the conquest in the spirit of Caleb:Kenya