It’s high time my brother, dhulma kwa watu wapwani zimezidi. Haki kila upande ifanyike, very true the Indians have been there forever but wamesahauliwa Kabisa infact kudharauliwa.
@Sidik-d7e2 ай бұрын
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@abuubilal65862 ай бұрын
MashAllah Allah akuhifadhi InshaAllah
@stambuliwash.abdillahinass81232 ай бұрын
Allaahumma aamiin (sote).
@zanzibarian1342 ай бұрын
Bw stambuli you said it all. Now the time has come kwamba wa pwani wote ambao ni wanyeji wa pwani to ungane pamoja and support for our rights. Umma hay
@stambuliwash.abdillahinass81232 ай бұрын
Hayyain! Ahsanta sana.
@Nora-v1m3p2 ай бұрын
Kweli pwani haina haki.n heri pwani si kenya ijitegemee
@kimanga00142 ай бұрын
Shukran sana
@abdallahkabuto83922 ай бұрын
Napenda uno sema, .
@RASHIDMWAMBO2 ай бұрын
Kazi nzuri
@stambuliwash.abdillahinass81232 ай бұрын
Ahsanta sana. Du'a zenu muhimu sana.
@Ruu974Ай бұрын
Very sad
@hilmihilal25932 ай бұрын
Mashaallah nimevutiwa sana kabisa na makala zako. Inshaallah Allah akuzidishie uthubutu, uhai na siha njema uendelee kutoa elimu hii muhimu.
@stambuliwash.abdillahinass81232 ай бұрын
@hilmihilal2593, nashukuru kwa maoni yako na du'a yako. Allaahumma aamiin.
@omaryakub53872 ай бұрын
Allah akueke akupe umri na afya ; uzidi kufahamisha jammi; jimbo jijikomboe wapiii wa pwani
@stambuliwash.abdillahinass81232 ай бұрын
Allaaahumma aamiin. Inshaa'Allah, sote.
@panafrican.nation2 ай бұрын
Kama mwana-Mlima Kenya asiyekuwa na ujuzi kamili wa mambo ya eneo la Pwani (zaidi ya kuzuru mara nyingi sana kama mtalii tu) sina la kusema ila kuwatakia haki itendeke
@stambuliwash.abdillahinass81232 ай бұрын
@panafrican.nation, shukran sana kwa kauli yako.
@سالمالجابري-ق8ك2 ай бұрын
Mashallah mashallah mashallah, kwa hii maelezo nnayoyaskia wallahi hii imenifanya mm kuwa na nguvu tena, nakuomba uendelee na hii ukurasa wako ya kuelimisha wapwani, wameonewa mpaka wamekua waoga kwa kuomba haki zao.
@stambuliwash.abdillahinass81232 ай бұрын
Shukran sana ndugu. Na mimi naomba du'a zenu kwa wingi.
@RASHIDMWAMBO2 ай бұрын
Mzee wako alikuwa genius kabisa, alitazama mbali maana alijua athari ya matokeo ya mkutano huo kwa kizazi cha sasa. Nakuombea ulinzi kwa Mola wakati huu hasa unapopambania haki za wakandamizwaji.
@stambuliwash.abdillahinass81232 ай бұрын
@@RASHIDMWAMBO nashukuru sana ndugu kwa du'a yako. Inshaa'Allah, Mola atulinde sote.
@RASHIDMWAMBO2 ай бұрын
@@stambuliwash.abdillahinass8123 insha'Allah
@AliNoorein-f4d2 ай бұрын
a,a,w,w.halı yako? shukran jazakallah.tupo pamoja ın shaa allah.
@stambuliwash.abdillahinass81232 ай бұрын
@@AliNoorein-f4d, Wa'alaykum salaam, wa RahmatuLlahi. wa Barakaatuh ndugu yangu. Bila shaka tuko pamoja.
@hassanWanjiku2 ай бұрын
Matatizo ni kua hua wanatusukuma kama kondooo badaae wanatufungia pahali then after hapo viongozi wanaotoka hapa bado wakienda vitambi vinawaongoza wanatusahau
@saidhiribae83312 ай бұрын
Wasomali hawataki lamu pekeake(ishakan). Tana river wamesema mupaka ni mto tana. Naoishi upande huu wanasema wenyeji hawana ruhusa kuja na kujenja barabara ya malindi garissa, ni kwao. Hali huko siyo nzuri kiusalama. Watu tisa walipigwa risasi na wasomali ( waliuliwa)
@stambuliwash.abdillahinass81232 ай бұрын
@@saidhiribae8331 Inshaa'Allah, tutajieleza ipasavyo ili watu wengi waelewe ukweli wa mambo ulivyo.
@Nora-v1m3p2 ай бұрын
Ilo n muhimu liwekwe wazi ardhi ibaki wakosti
@abdallahmasare31162 ай бұрын
Shukran
@rashidmwaita51632 ай бұрын
Kwani kuwa na mfumo kama wa tanzania bara na zanzibar pia haiwezekani?
@abdallahmasare31162 ай бұрын
Ipi tofauti kati ya colony na protecttorate?
@stambuliwash.abdillahinass81232 ай бұрын
Ipo. Tofauti ni kuwa kwenye eneo la Colony mtawala aweza kufanya atakavyo, wakati wowote atakao! Lakini, kwenye 'Protectorate' huwa hawezi kufanya atakavyo mpaka ashauriane na wenyeji.
@kuzonga2222 ай бұрын
Colony- ni kutawaliwa au kuongozwa, kutokuwa na mamlaka ya kujitawala au kujiongoza, kujiamulia chochote pasi na wanao watawala. Protectorate- from the word (protect; protection; protecting)- ni kulindwa au kukingwa. Sasa Mwambao au eneo la pwani au jimbo la pwani lilikua lalindwa chini ya uongozi wa Sultani na badae mwingereza aloachiwa kutoka kwa Sultani.
@omarmbarak15792 ай бұрын
Brother istabul hawa hawawezi kufanya hilo kuka nasisi kwa meza moja hilo ni swala ngumu kwao sababu ni kuwa wanaujuwa ukweli na hawautaki wao hilo star wakikubali watabidi warudishe raslimali za wapwani wako wa pwani ndugu zetu wanalijuwa hilo napia upande wa wakfu kuna mabwanyeye wetu ndio wanakula hizo wakfu.
@sankofaman41122 ай бұрын
"The political re-adjustment in this world means that those who are not sufficiently able, those who are not sufficiently prepared will be under the mercy of the organized class for another hundred or two hundred years"-(Marcus Garvey). Kaka kama uko na patreon account au kuna njia yoyote twaweza kuchangia ili elimu hii isambae tujulishe ili tuwe sehemu ya haya mapinduzi ya ki fikra. Asante sana!
@stambuliwash.abdillahinass81232 ай бұрын
@sankofaman4112, fikra yako ni njema na ni kitu ambacho tulikuwa tunajadili na wenzangu. Kwa hakika, itakuwa vizuri zaidi iwapo tutaweza kupata mchango wenu wakati huu ambapo tunapanga kuanza mijadala ya kwenye hall ambako tutawaalika watu kuja kujadili nasi mambo ya haki za watu wa Pwani kwa jumla. Inshaa'Allah, Mwenyezi Mngu atatutakabaliya na kutuwezesha kufikia lengo. Shukran sana.
@wilsonkombeyeri46232 ай бұрын
Mbona usiseme kiswahili? Hizo ni salamu za majini
@salimmachila57362 ай бұрын
Translation: Amani juu yenu na Rehma ya Mungu na baraka zake... ni salamu za majini kweli?
@stambuliwash.abdillahinass81232 ай бұрын
Kwa hakika, wengine huwa wanafaa kupuuzwa tu. Yaliyo mumo yamumo!
@rayisadesigns26462 ай бұрын
TUNATAKA MOMBASA HURU!! DAWA NI KURUDI KWENYE ASILI, WAKENYA WABAKI KUWA WAKENYA NA WAMOMBASA AU WAKOSTI WABAKI KUWA WAMOMBASA. KIUFUPI DAWA NI KUVUA KOTI LA KENYA ILIYOVESHWA MOMBASA NA WAKOLONI WA KIINGEREZA NA WAMOMBASA (WAKOSTI) WABAKI HURU WAWE NA TAIFA LEO LA MOMBASA.
@SuleimanJuma-f8m2 ай бұрын
Kesi ishapelekwa east african court arusha ilifaa tarehe 9 juzi ifanyiwe ile inaitwa mention lakiini bado sijapata taarifa kuliendaje.
@salimmachila57362 ай бұрын
Hicho kipindi tuwekee kwa KZbin pia
@abdallahkabuto83922 ай бұрын
Narudi Tena kusema,vipi watu weyeji kwale wanafushwa kutoka makazi Yao ya jadi na ma Zionist weusi kama vile Palestine.
@azizamri15222 ай бұрын
Kwani nyie watu wa Mombasa sio Wakenya?
@HisMajesty642 ай бұрын
Wanatutambua kama wakenya wanapohitajia kura zetu. Wakishapata ushindi na utawala tunakua wageni. Hatuna umuhimu tena kwao.