Shukrani nyingi juu ya historia ya Pwani. Je hivi leo kero kubwa hapa kwetu twafanya nini?
@stambuliwash.abdillahinass8123Ай бұрын
@rajabSumba-cp3cy, kwa hakika, ndiyo maana tukaanza kushajiishana kuhusu tuangaliye namna ya kukutana kwenye hall ili tujadili mambo yetu bila uwoga.
@Dr.zaidi42 ай бұрын
Kibri na uongo wa waarabu, Maji ya shingo
@allroundmedia214 ай бұрын
Nasikiza ipindi hadija hadee 33:55 37:59
@mbarakomar225 Жыл бұрын
Wagiriama au mijikenda walzalwa na mzee myeye au walifanyakuja.
@coolbz1332 ай бұрын
Hapo sasa maana sielewi walikuja ama walizaliwa na myeye alafu episode nyengine amesema kuwa wagiriama wamepakaka na wakauma wachonyi na warabai kwa hio hao wengine kama wachoni warabai wakauma sio wakuja niwenyeji
@allroundmedia214 ай бұрын
Qnapongza kpindi hadija hadee
@johnkizito1713 Жыл бұрын
Uongo mtupu mnafundisha watu,
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Iwapo Mwenyezi Mungu amekujaaliya wewe kuujuwa ukweli, basi si utufundishe na sisi ambao wewe waamini sisi waongo?! Au vipi!?
@naimaabdallah40029 ай бұрын
Kwanini hukututafsiria kwa Kiswahili siote wanajua kizungu hatukufaidi chochote
@stambuliwash.abdillahinass81239 ай бұрын
Inshaa'Allah, nitalishughulikia hilo la kuwatafsiria.
@barghashbinsaid94143 жыл бұрын
A alaikom nauliza kabila la wasegeju Leo hii liko wapi
@stambuliwash.abdillahinass81232 жыл бұрын
Kwanza, samahani kwa kuchelewa kukujibu suali lako. Pili, wengi miongoni mwa jamii ya Wasegeju waliingiliana zaidi na watu wa jamii zilizokuwa zikiishi kwenye sehemu za kusini mwa Pwani ya Kenya. Kwa hivyo, lazima wawe washachanganya damu na kuendelea kuishi kwenye ufuo huu- pande zote mbili, yaani, kusini mwa Kenya (Kwale) na hata kaskazini mwa Tanzania (yaani, Tanga hadi kwenye mpaka wa Kenya/Tanzania.
@darkdarker4596 Жыл бұрын
The mjikenda were from the congo and mozambigue
@lenniefei67102 жыл бұрын
JAMANINI ISTAMBULI.....Nukuu za magazeti haziwezi kua ushahidi wa jambo lolote ulimwengu mzima!!! Nani asiejua wanahabari wanatia chumvi,hamasa,misisimko na uwongo katika makala zao ili kufanikisha biashara zao ama kuchukua mrengo fulani wa kisiasa ?!