Familia zaidi ya 40 zaachwa bila makao Bamburi, Mombasa

  Рет қаралды 12,928

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Familia zaidi ya arobaini zimeachwa bila makao huko bamburi seven star kaunti ya mombasa baada ya nyumba zao kubomolewa usiku wa manane chini ya ulinzi wa polisi licha ya suala hilo kuwa mahakamani. Waathiriwa wanadai licha ya kutumia taasisi za serikali kutafuta haki, mabwenyenye wameendelea kutumia magenge ya wahuni kubomoa makazi yao na kupora mali.

Пікірлер: 56
@mwinyijuma2686
@mwinyijuma2686 2 ай бұрын
Hawa sio wenyeji Bali ni wavamizi tuu.
@omurogaro6768
@omurogaro6768 2 ай бұрын
Waizi wa viwanja kama hauna karatasii ondoka kwa watu acheni kupenda vya bure
@andrewagwenge6597
@andrewagwenge6597 2 ай бұрын
Hehe this woman saying amekaa hapo 20years na hizo vitu wamejenga 1 month ago .Na huyu reporter wa citizen should get facts right ,unaona hataki kuonesha the rest of the field .
@galtina
@galtina 2 ай бұрын
Km mmedhulumu watu ondokeni kwa amani , km hamjadhulumu mtu na mko na vibali vya hio aradhi serikali itamtetea bila shaka
@bornlychula7043
@bornlychula7043 2 ай бұрын
Acheni kugrab shamba za wenyewe period
@BMboss108
@BMboss108 2 ай бұрын
Hapo sasa..uwa ni squatters wana vamia.shamba za watu
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 2 ай бұрын
Acha ufala kuma ww, why should they not come afternoon?
@DavisrubiroKariuki
@DavisrubiroKariuki 2 ай бұрын
Hii ni grabbed land wamekua wakifukuzwa kutoka kitambo but hawaskii
@بنتعبدالرحيممحمد
@بنتعبدالرحيممحمد 2 ай бұрын
Kenya hii mnyonge hana haki mungu ndie hakimu mkuu😢
@AthumanOsoo
@AthumanOsoo 2 ай бұрын
Hawa wakipata shamba lako wazi wanaingia na kuzipiga bei, tunawajuwa, grabbers hawa
@jmansule7884
@jmansule7884 2 ай бұрын
Nawajua hawa ni ma grabas
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 2 ай бұрын
Hii kenya kweli mimi hata sijui kuwa linaelekea
@YusufMwalimu-nu4no
@YusufMwalimu-nu4no 2 ай бұрын
FRANSIS MTALAKI UKIHOJI HAWA WAULIZE KAMA WANA KARATASI HAIWEZEKANI WATU MIA WARITHI SHAMBA MOJA KWA NI NDUGU WA DAMU WOOTE WATOE MOTHER TITLE KUONYESHA WAMEGAANYIWA AM WAMENUNUA
@douglaskhakamemindoti3455
@douglaskhakamemindoti3455 2 ай бұрын
I thought DP was clear that Night Eviction was stopped
@AthumanOsoo
@AthumanOsoo 2 ай бұрын
Hapa ni utange, next to pastor lai church, walivamia hii shamba last month,
@achibelatotolakijaka4687
@achibelatotolakijaka4687 2 ай бұрын
Halafu hamtaki maandamano itabidi wakenya mujiunge this is very bad
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 2 ай бұрын
Sasa saa hii tajiri ya kiliya anasikizwa lakini maskini yeye hana haki yoyote haya kiongozi mliyemchagua huyo zakayo anaharibu kila kitu
@abdulazizkilai7285
@abdulazizkilai7285 2 ай бұрын
Tumeishi hapo miaka hamsini hata Babu zetu walizikwa hapa😂😂😂😂
@athmanhamza4898
@athmanhamza4898 2 ай бұрын
Ardhi sio yenu mwafanya nini hapo???
@timothyonyango9
@timothyonyango9 2 ай бұрын
Why at night honestly. The responsible person should be in custody by now but since he or she has bribed the government no justice for the poor.
@rispaamollo7056
@rispaamollo7056 2 ай бұрын
Tuombe Mungu atuondolee hii serikali ya RUTO. Wanasiasa wananyakua mashamba.
@mwikalijosephine5178
@mwikalijosephine5178 2 ай бұрын
People taking advantage over others , Kenya is loosing control
@YusufMwalimu-nu4no
@YusufMwalimu-nu4no 2 ай бұрын
Mkihoji wanyika kama Hawa wauluzeni kama wanakaratasi ni waongo wagiriama Kila maali wao wanavamia wakidai ni kwao hata sisi wamevamia shamba yetu na maneno ni hayo hayo
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 2 ай бұрын
Tuchaguen hasila. Hasila ajua shida za wananchi mtoto wa masikin. Ndio hio Sasa na bado mtalia Sana hakuna siku shetan atakua na huruma. Ruto ni shetan hawezi wahurumia
@YusufMwalimu-nu4no
@YusufMwalimu-nu4no 2 ай бұрын
Mtalaki ulikuja hadi shambani kwetu uka report habari za uongo na hukuwai kujua mwenye shamba haswaa maana ulipewa hadi jina la babangu na hao wanyika nkadhani utafanya utafiti zaidi kumbe ukaishia hapo na leo umerudi tena na hao hao mashoga NIWAVAMIZI WA MASHAMBA HAO
@AffectionateCroissant-ov8yz
@AffectionateCroissant-ov8yz 2 ай бұрын
Citizen hua hawafatilii barabara mbovu mijini hao nikuchochea tu
@AnkoLolo-mv5bk
@AnkoLolo-mv5bk 2 ай бұрын
Serikali gani na hamuitambui wakenya
@FASSALEHALIB
@FASSALEHALIB 2 ай бұрын
SUB HAANALLAH.
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 2 ай бұрын
Hawa ni professional squatters. 20yrs ago hilo eneo lilikua having Nyumba yeyote. Hizi sehemu zilikuwa mashamba ya watu. Hakuna mgirisma ama mijikenda ambae asili yake Ni Bamburi ama Mombasa kwa ujumla. Wanajieka kwenye mashamba ya wenyewe half Wanadai ni ya babu zao wakitegemea eventually watagawanyiwa hizo ardhi. Baadae wanauza halafu Wanaenda kuwa squatters Shamba nyengine. Hii ndio mchezo wanacheza. There is no history of mijikenda living within what was the 10 mile strip of the east African coast ruled by the Sultan of Zanzibar. The only people owning land within the 10 mile strip were Swahilis and Arabs. Mijikenda had their own lands. Watu waangalie historia. Hawa mijikenda squatters wasidsnganye watu! No body should sympathize with them .Uongo kabisa !
@JohnsonCharo-z3q
@JohnsonCharo-z3q 2 ай бұрын
This is not true, the sultan of Zanzibar alipofika Mombasa alimfukuza jamii moja ya kichonyi in Nyali aliyeitwa Nyale. There after they changed the area and called Nyali Estate. So to say hakuna wamijikenda who used to live and stay in Bamburi hii ni story ya uwongo kabisa. The Arabs come to fight the mijikendas and bajunis and the Swahilis in the coastal cities of Zanzibar. Pemba. Mombasa. Malindi and Lamu, who lived peaceful and in harmony to each other. So Babu usimtenge Mijikenda na mswahili this language is not good and it can bring chaos. Ya nini kuchochea uhaswma usiokuwepo. Tumia ligha yako vizuri Babu na zaidi issue ya kubomolewa hawa watu usiku sio nzuri na wala sio kisheria hata kama hao ni wavamizi. Kuna mahakama na Kuna vitengo vya usalama, ni Sheria gani police atumike na usiku kusimamia ubomoaji. Na hii ndio tunasema as Gen Z, Ruto must go with his Cabinet period. Hata wakiwa na makosa, hawa watu haikustahili hata mbele za macho ya kibinadamu wavunjiwe usiku. Mbali na mbele za Mungu. This time Gen Z hatutakaa mpaka katiba iwe inafatwa kisheria. Atakekoaei katiba anasalimiwa
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 2 ай бұрын
@@JohnsonCharo-z3q The Arabs did not come to fight the local people. They were invited by the Swahili to help them fight the Portuguese. Most of the land at that time belonged to Swahilis other areas were just unclaimed. If you happen to notice Beach road in nyali just recently (1990) got demarcated and subdivided by the government. As recently as early 70s most of the land in Bamburi kisauni, utange belonged to swahili people having inherited them from their ancestors. Even Ronald Ngala in his book acknowledge the precence of Swahilis at the shores of East Africa when mijikenda migrated to the coastal areas. I agree their might have been pockets of some individual mijikenda families here and there but the main inhabitants along the shores 10 mile strip were Swahilis and later Arabs. Most Swahilis and Arabs regarded this areas as farmlands. So if Nyali was taken by the arabs how come even old Nyali was regarded as government land and nobody had title claims on it. I personally know a lot of swahili families who owned land around Kongowea and Mkomani. Those days all areas outside the main Island were just trees and bushes.
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 2 ай бұрын
Wallah this is not fair alafu tukiandamana other kenyans mnalalamika bure kabsa
@NasraOfficial-zi5oz
@NasraOfficial-zi5oz 2 ай бұрын
Ruto ndie mwenye kusighn tena ndio awatete😢😢
@hanhans3276
@hanhans3276 2 ай бұрын
Uongo tu..
@Abutwaibah001
@Abutwaibah001 2 ай бұрын
Musha uza shamba zenu sasa mwarudi mwataka kukaa kwa mabavu.
@AffectionateCroissant-ov8yz
@AffectionateCroissant-ov8yz 2 ай бұрын
😂true
@alphonceokoth6381
@alphonceokoth6381 2 ай бұрын
These people complaining are just organised land grubbers pretending to be squatters
@abdulazizkilai7285
@abdulazizkilai7285 2 ай бұрын
Wakisha grab Kisha wanauza wanaondoka na ku grab kwengine ...😂😂😂
@brendaakinyi7774
@brendaakinyi7774 2 ай бұрын
Usikuwe ni solai estate maana nitakufa tu lol
@DavisrubiroKariuki
@DavisrubiroKariuki 2 ай бұрын
Hawa ni squatters wamekua wakifukuzwa kutoka kitambo.wamegrab shamba za watu sana
@hawaqinky8600
@hawaqinky8600 2 ай бұрын
Hapa ni ugatuzi ama?
@bossej1212
@bossej1212 2 ай бұрын
Wacheni ufala. Nyinyi ni grabbers. Mumegrab hii shamba juzi tu hata mwezi haujaisha. Hapo mnalaumu serikali bure. Grabbers nyinyi. Hiyo no tabia yenyu. Serikali msitete hawa watu wamegrab hii shamba tukiona hata mwezi haujaisha. Badala yake kamata wote weka ndani. Hawa ndio baadhi wanaletea serikali jina mbaya
@bornlychula7043
@bornlychula7043 2 ай бұрын
Kabisaa
@salimhassan3369
@salimhassan3369 2 ай бұрын
Kumamako na mamako kumamake na mamake mamako kumamake wewe una roho waongea ni si unge nyamaza ao ni binadam atakama Kuna sehemu wakosea Kuna njia zakufata
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 2 ай бұрын
So wavunje usiku??
@YusufMwalimu-nu4no
@YusufMwalimu-nu4no 2 ай бұрын
Wagiriama ni wavamizi hata kwetu waliingia wakidai si ni WA tZ tulipigana nao sana Hadi tukahama mtaa na tupo na karatasi zote stahiki maan shamba hatukununua bali tulirithi kwa wa zee wetu wao Wadai ni kwao na hawana karatasi Acha kutetea wanyika hawajielewi Kila siku wasema tu wamekaa miaka mingi hapo tu na kumbe walivamia Jana wakajenga vibanda tuuu​@@salimhassan3369
@YusufMwalimu-nu4no
@YusufMwalimu-nu4no 2 ай бұрын
Wagiriama ni wavamizi hata kwetu waliingia wakidai si ni WA tZ tulipigana nao sana Hadi tukahama mtaa na tupo na karatasi zote stahiki maan shamba hatukununua bali tulirithi kwa wa zee wetu wao Wadai ni kwao na hawana karatasi Acha kutetea wanyika hawajielewi Kila siku wasema tu wamekaa miaka mingi hapo tu na kumbe walivamia Jana wakajenga vibanda tuuu​@@salimhassan3369
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 2 ай бұрын
Maskini mungu ndio atake mtosha
@achibelatotolakijaka4687
@achibelatotolakijaka4687 2 ай бұрын
Ni Ruto miaka yake ikiisha ni basi wakenya wanatumia sana
@remiomar7154
@remiomar7154 2 ай бұрын
Wengi wanajuta kupimgia raisi kijana kura
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 2 ай бұрын
Hivi wakiambiwa vijana watoke Ruto atatoka 😂😂😂😂 picha pia ya kushinda kuangalia
@remiomar7154
@remiomar7154 2 ай бұрын
@@raiyaaaraiyaa6054 elewa nilicho maanisha usikurupuke kucomments mulimkata Raila mukaona huyo ndio anaweza
@fatumaadam7970
@fatumaadam7970 2 ай бұрын
Tuwatembele
@alphonceokoth6381
@alphonceokoth6381 2 ай бұрын
These are organised land grubbers
@YusufMwalimu-nu4no
@YusufMwalimu-nu4no 2 ай бұрын
Habri zi kinafki acheni @citizentv fuatilieni ukweli waizi hao
Naibu Rais Rigathi Gachagua amuomba Rais Ruto msamaha
3:33
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 1,4 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 5 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 109 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 15 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Mwanaume ashambuliwa na wahalifu Mtopanga, Mombasa
10:06
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 51 М.
Wafanyabiashara Malindi, wataka washukiwa wa uporaji wa mali wanaswe
2:53
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 586 М.
The Amazing MYSTERIES of CATS in Islam
13:33
Virtuous Islam
Рет қаралды 535 М.
Israeli air strikes on Lebanon intensify | BBC News
8:24
BBC News
Рет қаралды 704 М.
What is happening in the Middle East? | BBC News
16:32
BBC News
Рет қаралды 185 М.
How Israel Assassinated  Hezbollah Commander?
8:48
AiTelly
Рет қаралды 2,9 МЛН