Let people learn.....health is the greatest wealth one can have
@falkhippner94545 жыл бұрын
Very True 💞
@blessedlovedandfavoured41295 жыл бұрын
Have mercy oooh lord.. Just trust in him who lives forever... Health comes from God.. Please lets trust in Jesus.
@charlowmathew97625 жыл бұрын
Walay huyu mzee ndio mkora mkubwa kuliko wote Duniani na inabidi Iwekwe kwenye historia kama Mtu hatari zaidi duniani kwa ukora
@annastasiajackson33295 жыл бұрын
Charlow Mathew😂😂😂😂😂
@bekathiongo3595 жыл бұрын
Kabisa😀🤣🤣🤣
@rumpelstiltskn55745 жыл бұрын
Charlow Mathew ...a fool and his money are soon parted! 😒😏😂😂😂😂🤦🏿♂️ hakuna ukora hapa! Watu wengi ndio wajinga! 😂😂😂😂🙆🏿♂️
@yasmininder36205 жыл бұрын
Kweli
@wanjiruthuni71265 жыл бұрын
Peter my long lost customer,nimekuona and u look Soo healthy
@kahunakorteze27637 ай бұрын
Legend. Every year, Every generatin has their hype/narrative/scam. It is not unique to Kenya but similarly present the world over.
@ARTCELLENCY5 жыл бұрын
Msilaumu mzee, nyinyi ndio mlipeleka kiherehere
@viviannegesh52285 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 exactly
@benjohnson17635 жыл бұрын
😁😁😁Correct
@rumpelstiltskn55745 жыл бұрын
...kuwa na huruma bana! 😂😂😂😂
@faithchepkemoi4732 жыл бұрын
Wonders shall never end!!
@happymsaki17205 жыл бұрын
Watu waliacha dawa kwa kweli inasikitisha sanaaa ni UONGO wa ajabu
@eunicewairimu50155 жыл бұрын
Nimeona naekana sacco nikajua wakenya Sana Sana wakikuyu WAliende, 👏👏🤣Africa hatukosi vituko,, babu WA loliondo biguni ataonea viusasa
@pj34975 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Desamz235 жыл бұрын
I know some who went and 2 died before they arrived.
@eunicewairimu50155 жыл бұрын
@@Desamz23 y are u commenting u genius??! Nipe brains zako nitumie
@kahuhowanjoki72275 жыл бұрын
😂😂
@nzamul14465 жыл бұрын
This is sad. I totally understand why this guys went. God help you guys thru this journey.
@Geoffreynyachae5 жыл бұрын
Waiting for part two
@wangagirl35086 ай бұрын
Nimetoka kwa citizen kuja tena kuona loliondo😂😂😂😂😂😂😂😂
@aminashabani28503 жыл бұрын
Babu mshenzi sana ingekua awam ya tano angefungwa maishaa
@tatuhongeranurushaus4853 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣magu asingemuacha salama
@happymsaki17205 жыл бұрын
Yupo Babuuuu eeeeeheeeeh
@elpinarichard18845 жыл бұрын
Duh nakumbuka huko mwaka 😋
@WairimuMuya5 жыл бұрын
So this man alkua anaplan kuwamaliza wah, part 2 naisubiri
@rosemutinda30765 жыл бұрын
Mimi hata kama ni jirani anasema ako na tiba siwezi. Yesu alisema tuwe maskini sana na hawa watu Mat 24. I can pray for myself with faith and get healed.
@benjohnson17635 жыл бұрын
Very true Rose
@dylanimbili38185 жыл бұрын
uyo mzee Samunge ni mkora
@JophasJohn-oh8zu10 ай бұрын
Huko ndo nyumbani
@wanjiruwanganga57075 жыл бұрын
Woiye
@themortonhub5 жыл бұрын
People have problems but they don't know the real problem, many have refused to go to hospitals for the fear of the worst. Some look for who to blame family members, others neighbours etc. Let not be fooled by people who play our psychology by brain washing.
@makelula32405 жыл бұрын
mzee alipata utajiri kwa kuuwa watu 🚶🚶🚶
@tonnynamasaka46055 жыл бұрын
DCI na DPP ichangamkie hii scandal 😁😁😁
@ammbuthia27405 жыл бұрын
Mwaura 😂😂😂😂 nyumba ya mūmbi nitwethire indo
@thykingdomworld5 жыл бұрын
Nimeona Naekana sacco ikipeleka watu huko 😂
@felixmakinda76893 ай бұрын
@@thykingdomworldNimecheka sana 😂
@hanifajuma3425 жыл бұрын
😁😁😁 watu wanapenda mababu.
@benjohnson17635 жыл бұрын
Mzee hakuita mtu. Walijipeleka wenyewe na magonjwa yao
@vincentorina10395 жыл бұрын
Makomakoooo???
@abubakarikisuju802 жыл бұрын
Huyu mzee alikuwa tapeli sana" mpaka Rais Bush wa marekani alikuja kugonga kikombe"urithi wake wa utapeli kauchukua mwamposa
@aziondeshirazybwoy64955 жыл бұрын
Babu kumbe bado yupo mngu ambatiki sanababu
@rehemaahamadiahmadi5665 жыл бұрын
Tusisahau kwamba Kuna mwingine katokea hapa Kenya na maiti ziko hospital walifariki Jana na wagonjwa wako hospital
@rynelorandrichierynelorand45155 жыл бұрын
Everyone is desperate for cure, I mean in today's lives everyone is suffering from something you don't know so GOD help us
@FreshCreater5 жыл бұрын
Waa
@sweetmelodyintlband4 жыл бұрын
Pesa haipatikani kwa njia ya haki
@paulebby15525 жыл бұрын
Wanyakyusa ni wavivu sana ndo maana alitumia akili kupata hela
@najmerry29775 жыл бұрын
Waja bhana binti anazikwa bembeni ya mji
@lydiaagwuma6565 жыл бұрын
Alitajirika,akajenga nyumba na rentals. Akawekewa stima na Magufuli,,nyambafu hii
@rumpelstiltskn55745 жыл бұрын
Lydia Agwuma ...😂😂😂😂😂😂🙆🏿♂️
@jamesgathaiya64505 жыл бұрын
Kakamega walikua wameenda kijiji mzima
@kevinondicho49525 жыл бұрын
Hahaha
@benjohnson17635 жыл бұрын
😁😁😁😁
@jaynenjoroge55155 жыл бұрын
Hahaha na nilikuona huko kwa babu
@jamesgathaiya64505 жыл бұрын
@@jaynenjoroge5515 😂😂😂😂huyo babu lazima ni billionaire sasa kaa county mzima ilienda huko
@hanifajuma3425 жыл бұрын
Tanzania ndio usiseme nilikutana na wengi waliokua huko.
@Iam_rehema5 жыл бұрын
People were desperate for cure.Babu took advantage of their illnesses and desperation.
@tashkariuki76525 жыл бұрын
Ngai nilikua nasikia ati huyo mzee alikua ameambiwa na mungu atakufa after kupatia watu ndawa
@Sandravalentinememusi193 жыл бұрын
Na amekufa jana
@mcwilliesyoks62765 жыл бұрын
How much were they paying for the medicine?
@CherieDeDieu5 жыл бұрын
Kshs. 20,000/= per cup.
@mcwilliesyoks62765 жыл бұрын
@@CherieDeDieu 😱😱😱
@hanifajuma3425 жыл бұрын
Watu wengi walikufa baada ya kuenda kwa babu na kuacha dawa za ARV. hatari.
That babu should be arrested for scaming and putting lives at risk
@sallysarch94415 жыл бұрын
Yes he is a fraudulent man
@Sherl95 жыл бұрын
I can feel the desperacy ya kutaka kupona. I will not throw a stone as am human and not perfect. Nobody chooses anataka kuwa mgonjwa ugonjwa gani. Lack of knowledge itatumaliza....
@millicentayango38795 жыл бұрын
Wapumbavu hao
@teresiakinuthia62155 жыл бұрын
mzee huyo bado ako hai ama ?
@mariachepkulel34675 жыл бұрын
Life and kicking 😀
@hillarymwangi82515 жыл бұрын
But his wife passed on.
@brightkalan1335 жыл бұрын
Wololo
@sophiatessia39145 жыл бұрын
Hako kamzee yafaa kafungwe kwenye jela
@ismailtarimo12574 жыл бұрын
SIPENDI MAUJINGA!!
@jamesgathaiya64505 жыл бұрын
Loliondo my foot
@frunkkiongo72095 жыл бұрын
Kuna watu walishuhudia kupona kweli bona hawa ni kinyume?. I met a guy from Sudan and his wife confessing of recovery
@modeemojombo56624 жыл бұрын
Jirani yetu anakiri kupona HIV.
@qtrqmadilu63905 жыл бұрын
Mlipewa uchawi tupu
@sallysarch94415 жыл бұрын
This conman is still conning and killing people he needs to be stopped
@magimagi2345 жыл бұрын
People ignore the blood of Jesus too much and run to all form of witchcraft.
@umiy19715 жыл бұрын
UJINGA NI WENU WENYEWE , UKIAMBIWA NA WEWE JIAMBIE ...huyu babu ni muuwaji na anastahili kushtakiwa kwa kuwa ni chanzo cha maafa ya wengine
@jamilaishmail48jamilaishma25 жыл бұрын
Loliondo Scam!!
@Sadaamberlin83075 жыл бұрын
Con
@happymsaki17205 жыл бұрын
Wajinga ndio waliowao ni nykti za mwisho watu walikufa mnooooooooooo
@sallysarch94415 жыл бұрын
This guy doesn’t look like he has HIV
@diversitychannel0075 жыл бұрын
If you believe this nonsense you need help! like serious help..... con of a new age!!
@rumpelstiltskn55745 жыл бұрын
_Alxvndr Aleky ...no con job here, just natural selection!😂😂😂😂🤦🏿♂️
@sintoderrick62775 жыл бұрын
Wajinga ndio waliwao. Scientists spend sleepless nights and millions of dollars to come up with cures and remedies halafu mnaenda kuchemshiwa mizizi na kamzee hakajui vile virus hufanya kazi???!!!
@rumpelstiltskn55745 жыл бұрын
Sinto Derrick ...wewe na scientists ndio mjinga kushinda wote! 😂😂😂🤦🏿♂️🙆🏿♂️🤷🏿♂️
@aminattai51785 жыл бұрын
Kama ingekuwa muislam angekuwa na kesi ya kujibu kwa mauwaji ya watu wakati akijua sio dawa ya kiukweli,lakini ni mkirisitu ndio yamepita na kubasi story na yeye uyo mzee alipoulizwa wakambana sana vile watu wengi walifariki yeye alisema dawa hii utapona kama utakuwa na imani.from zero to hero na sasa ni tajiri mkubwa kule kwako.
@annsommer96405 жыл бұрын
Haijasemekana dini yake huyo ni kama mganga na mganga hana dini musipende kuingilia wakristo hivo
@benjohnson17635 жыл бұрын
Mambo ya Imani na dini za watu inatokea wapi sasa?
@sureshyash42775 жыл бұрын
watu wengi wanafanya sarakasi kwa jina la ukristo hio inaamana kua kuna NGUVU KATIKA YESU KRISTO hivyo wengi kujaribu kuiga mfano tu ila hawana NGUVU ZENYEWE. nabii Mohammed aliponya nani katika uislamu, alifufua nani na alipatia nani matumaini alipokua dunia hii😀😀😀😀 hivyo hamna haja ya yeyote kuiga mfano wake wala matendo yake na wanaojaribu kumuiga ni hawa terrorist wa kuua kwa jina la allah akbar. ushawai skia mtu akiua huku akisema kwa jina la yesu🙂🤔🤔🤔🤔