| HEKAYA ZA LOLIONDO | Babu asisitiza dawa ilifanya kazi [Part 2]

  Рет қаралды 267,373

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 167
@judithcherono4141
@judithcherono4141 5 жыл бұрын
pole sana kwa wenzetu mliodanganywa Msiamini mwanadamu yeyote amini Mungu ndio mponyaji
@mejoolimevoroo5928
@mejoolimevoroo5928 4 жыл бұрын
Mungu ndyo mbonyaj wa kweli hakuna ukweli juu ya mwanadamu,,,,, mwamini Mungu tu
@mwendapoleee
@mwendapoleee 3 жыл бұрын
Mungu akikuponya sio lazima ukunywe ama usafiri wapi apana,palepale ulipo anakuponya.God is allmighty,omnipresent,omnicient and omnipotent!
@salimmohamedsalim2837
@salimmohamedsalim2837 5 жыл бұрын
Hata manabii hawaja muona mungu we iweje useme mungu amekutokea achauzushi mzee na umrudie mungu ili aweze kukusamehe
@kiluiwangu3842
@kiluiwangu3842 4 жыл бұрын
Huyu mzee alikuwa anamuona jinni huwez kumuona M/Mungu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Tapeli sana huyu Mzee amechangia kupoteza maisha ya watu, kanisa pia lilichangia kumpromote huyu tapeli,,,,
@georgeikinya2779
@georgeikinya2779 5 жыл бұрын
The old man seems to have improved health wise. It’s as if that concoction was revealed as he say purposely to medicate himself , more so economically. Continue defrauding them fools Mzee and build now houses for rent or lodges.That place looks so gorgeous with rolling mountain ranges at the background.
@eugenyraphael4334
@eugenyraphael4334 4 жыл бұрын
Tuliponaa!hakika Mungu ni Mwema.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Hahahaha,,,,hatudanganyiki tena
@salehesengiyanka5397
@salehesengiyanka5397 4 жыл бұрын
Aswekwe ndani huyo mzee, au vp wadau
@cateogwayo8138
@cateogwayo8138 4 жыл бұрын
Amini Mungu wako na umwombe atakuponya,wacheni kukimbilia miujiza ndio utatupiwa pepo haujui ni wa wapi..
@ruthwatson3057
@ruthwatson3057 5 жыл бұрын
Wenye wanasema pesa haileti raha,,,,, angalieni huyu mzee. Amenona, uso unang'aa, kanunua shamba, tena kubwa, kaanza mijengo na hata kwake kunakaa hewa iko freshi,,,,,,,miti na majani tofauti tofauti. Kuna wezi kila pahali, barabarani, kwa serikali, kanisani, ndani ya gari hata mama mboga ni mwizi tu ila njia ya wizi ni tofauti tu. Babu ameuliza,,,,,, kama mlienda hospitali juu ya ukimwi na mkapewa dawa,,,,,, mnaenda kwake kufanya nini????😀😀 Kwangu mimi, hapo ako na point. Hospitali inatupa dawa na tunakufa bado tunasema ni upendo wa mwenyezi mungu lakini Babu akiwapa kikombe na mfe,,,,, mnateta. Hivi sasa niaje sielewi? Msisafiri mbali yote hiyo kuenda kutafuta hadithi. Endeni mbunge, makanisani, na hata kwenye watoto wetu wanasomea. Huko ndiko wezi wako. Babu hana makosa kapsaaaaaaaaa🙌🙌
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 4 жыл бұрын
Mtangazaji nakupenda bureeeee bi Jamila
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 4 жыл бұрын
Poleni saana maana biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
@pindabutter2736
@pindabutter2736 5 жыл бұрын
namuamini babu, wenye imani tu watapona, na hiyo imani sio mawazo wakati unakunywa sasa nikipona nitaendelea na mambo uliyo kua ukifanya. hapo haopo ukiwa na mafikara hayo tu.....ataukinywa vikombe kumi auta pona. moyo wako upo bado kulipiza kisasi.
@abdullahiibrahim5609
@abdullahiibrahim5609 5 жыл бұрын
Inallilah wainna ileyhi rajicuun. Hata mtume kipenzi chake Allah(sw) hakuwai kumuona Allah(sw ) hata baada ya kupelekwa na Angel Gabriel Je wewe ndio nani Mungu akujie kwa ndoto? Kweli mtume Mohammed (pbuh) hakukosea aliposema kabla dunia kuisha kutatokezea manabii waongo na wngne watajiita Mungu.. Hayo yote ni Alama ya kiama... Ya Allah tuongoze
@kosgei4372
@kosgei4372 5 жыл бұрын
The big question is where he put all the billions that he made Six million people each paying an avarage of sh20k not forgetting all the prominent people that paid millions to get the concortion.
@curraffafriq1863
@curraffafriq1863 5 жыл бұрын
Pwagu hupata pwaguzi. Same way he fleeced people is the same way he was fleeced. Still you can see some benefits he gained from that endeavor.
@magdalenamumbi3950
@magdalenamumbi3950 3 жыл бұрын
Not 20k. 25 Kenya shillings. Lol
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 2 жыл бұрын
Wewe unasema umemuona mungu mshenzi wewe, Musa mwenyewe aliomba kuwa amuone lakin hakumuona kabisa, wewe umekuwa nani mpaka umuone jamani!Ongea na shetan wako na udanganye Wadanganyika wako lakin uongo wako utakutana nao huko kwa mungu
@LawrenceGingo
@LawrenceGingo Жыл бұрын
nikikumbukaga hakirizawatanzania baaziyao achatu shida mpate kutaeriwa mtaperiwe mnataperiwa makanisa I kwawaganga wakienyej nataka niwambienduguzangu mungu anawakat wakutuumba nakutuondoa ikifika wakat tumborako halihitajitena chakula ambacho ilikua unachezanacho mudawote namkifrahia nanduguzenu basi ujue muda umewadia hakuna chamganga wara mwanga hapo
@ntamugabobizi4580
@ntamugabobizi4580 4 жыл бұрын
Mungu diye muponyaji uke amini
@charlesoketch2001
@charlesoketch2001 5 жыл бұрын
Uyu Babu anataka kichapo 🙂
@khamisabdallah5043
@khamisabdallah5043 5 жыл бұрын
Hhhhh. Sanaaaaaa
@yasmininder3620
@yasmininder3620 5 жыл бұрын
Aki
@theresiakaruhanga1169
@theresiakaruhanga1169 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Tapeli sana huyu babu!!!
@janenjenga5639
@janenjenga5639 2 жыл бұрын
I won't judge him.bcz Yahweh says my people perish for luck of knowledge and wisdom.wangemkimbiliye yeshua Messiah.test spirit first.
@philipkomba5525
@philipkomba5525 5 жыл бұрын
kiukweli hapo ndipo ninapo wasifu media za kenya hasa citizen, yaan hamuachi kitu kiishie tu hewani mnafuatilia mpaka mwisho wa jambo,... yaan media za TZ hawana hata lile wala lile wapo wapo tu !
@esthernsami7732
@esthernsami7732 4 жыл бұрын
Hilo ni tapeli kubwa kutokea sauthafrika. Amesababisha fifo vya watu wengi sana siyo tu Tz hata Kenya. Waliokuwa wajanja walirudia matibabu yao wa Hosptal. Mfungeni ndugu wananchi wenzangu
@felistashayo7686
@felistashayo7686 4 жыл бұрын
We mzee mungu anakuona tapeli mkubwa wee
@otianasang1553
@otianasang1553 4 жыл бұрын
Ulishachukua hela mzeee
@otianasang1553
@otianasang1553 4 жыл бұрын
Kwahiyo kunawatu.walikufa mwee.poleni.mliokunywa kikombe.
@medardtaligilsa8938
@medardtaligilsa8938 4 жыл бұрын
Huyu anamsingizia mungu kwa uganga alioufanya. Tubu mzee dawa na tiba ni yesu tu
@fauzishma8033
@fauzishma8033 5 жыл бұрын
Mzee afaa makofi huyu Eti nilimuuliza mungu Huyu mzee mjanja
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Wote walio i onja ile dawa wali kufa wote kati ya mwaka huo na miaka miwili baadae. Too sad
@frolalupogompumbavuwewesiw179
@frolalupogompumbavuwewesiw179 3 жыл бұрын
Kabisa
@frolalupogompumbavuwewesiw179
@frolalupogompumbavuwewesiw179 3 жыл бұрын
Kabisa
@curraffafriq1863
@curraffafriq1863 5 жыл бұрын
Sasa hata kama pia Magufuli alikunywa dawa.... This guy is untouchable, he holds deep secrets.
@tabumussa9406
@tabumussa9406 4 жыл бұрын
tatizo kuna firigisi zilipita ndiyo mana ulikubarika pande zote umeuwa wengi sana
@karolluky9072
@karolluky9072 4 жыл бұрын
Kamati ya ulinzi na usalama pamoja na idara ya kinga na tiba walijua kilichokuwa kinafanyika??
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 4 жыл бұрын
Muongo mungu namiti shamba wapinawapi🤷‍♀️🤷‍♀️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 4 жыл бұрын
Rose Uwambe sema tu muongo inatosha, lakin kuhusu miti nisahihi kwan Yesu hayawah Fanya hivyo?
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 4 жыл бұрын
@@augustinomwamasinga2200 Ndona sikia nawewe haaa haaaa
@oppsinlyf
@oppsinlyf 5 жыл бұрын
Uwongo ulioje huu sasa. Na sasa kama bado watu walipona mbona wengine hawaji kunywa dawa
@rashid.mwenyezimunguakurin2968
@rashid.mwenyezimunguakurin2968 4 жыл бұрын
wewe mzee mpumbavu sana mungu utachomwa moto siku yamaripo
@reginatumaini6140
@reginatumaini6140 5 жыл бұрын
Jameni jameni
@edwinamakokha1827
@edwinamakokha1827 5 жыл бұрын
Watu wamepugua kwa sababu wengi wao waliaga.
@umpump8472
@umpump8472 5 жыл бұрын
Amegara uso amenona pesa pesa😉
@hassanshareef6572
@hassanshareef6572 4 жыл бұрын
Bado ndoto za korona sasa 😆😆
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 4 жыл бұрын
Bwanah
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 4 жыл бұрын
Ambilikile! Huo niuganga wa kienyeji tu!
@marycosmas4043
@marycosmas4043 4 жыл бұрын
Mzee nabii hebu tuletee dawa ya Corona basi, walioenda kwa babu kunywa kikombe chake nawakapona hebu jitokezen jamani
@mbitheveronica3804
@mbitheveronica3804 4 жыл бұрын
Huyu Mzee ajawai,wekwa korokoroni Ameuwa wengi,conman
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 4 жыл бұрын
Mshenzi huyu babu alitia watu wasi wasi kwel eti anamuuliza mungu pumbav kwel ww mwenyewe mgonjwa
@srafhatbhai5291
@srafhatbhai5291 4 жыл бұрын
Dawa ungali ?
@jesinterawuor518
@jesinterawuor518 5 жыл бұрын
Hile wakati wenye waliwacha dawa ya HIV walifuka wengi sana kwa sababu walienda Lolihondo kudanganywa haaaaa siwezi mimi .Wakenya Umezoe kudanganywa sana kama huko mgonjwa endelea na dawa yako ya Hospital na uamini Mungu .
@mariambeautysonghuseni9549
@mariambeautysonghuseni9549 4 жыл бұрын
Huyo mzee kasababisha watu chungu mabovu kuanga dunia hafai nanimuongo sana tena naafiki sio kweli eti dawa ilikuwa inaponya muongo sana
@maggynowak3555
@maggynowak3555 5 жыл бұрын
Wztu hawasemi hiyo dawa ilikuwa na masharti. Swali ni hili je walifuata maagizo?
@gemkachar
@gemkachar 5 жыл бұрын
tatizo letu waafrika ni ujinga
@allimatunda2252
@allimatunda2252 4 жыл бұрын
huyu mzee alitapeli sana watu anatakiwa aombe samahani ati anaongea na mungu
@barakatsuma8496
@barakatsuma8496 5 жыл бұрын
MBNA hakuna wale walipata tiba wakaongea uponyaji wao
@azenathnyaway2328
@azenathnyaway2328 5 жыл бұрын
Huyu babu Kama yuko hai anavaa kunyongwa kadanganya watu wengi sana
@rumpelstiltskn5574
@rumpelstiltskn5574 5 жыл бұрын
...na hawa waliitwa na nani!? 🤔😒😏😂😂😂😂🤣🤦🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
@periswarish7022
@periswarish7022 5 жыл бұрын
Walijipeleka😆pole kwao
@Bigboy-nx3nc
@Bigboy-nx3nc 5 жыл бұрын
Wakunyonge wewe kwanza
@damasmaleo4845
@damasmaleo4845 4 жыл бұрын
Wapo waliopona na mtambue dawa ya babu haikua ya kuzuia kifo
@salimukuziwa2408
@salimukuziwa2408 4 жыл бұрын
Damas Maleo mzembe wa mwisho ww mzee kama hukupata kpnd kile utakua unamatitz tibu na corona mzembe ww
@edmundboateng7324
@edmundboateng7324 5 жыл бұрын
is this not moringa tree.
@estherjohn953
@estherjohn953 5 жыл бұрын
Babu piga kazi kwenye mafanikio lazima changamoto pia
@hatibumgunga1574
@hatibumgunga1574 Жыл бұрын
😂😂😂
@mustafaabdalla281
@mustafaabdalla281 4 жыл бұрын
Mungu wake huyu anakusudia mizimu
@nasrynnassor1492
@nasrynnassor1492 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@fitinahamisi7496
@fitinahamisi7496 4 жыл бұрын
Huyo babu naye katuchosha
@sameermilo2492
@sameermilo2492 5 жыл бұрын
Uongo
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 жыл бұрын
Innalilahi
@lidiahjohnnyaboke3805
@lidiahjohnnyaboke3805 5 жыл бұрын
Si wewe ni millioner
@rajabungereza8755
@rajabungereza8755 4 жыл бұрын
Siokwamba wamepona ila wamekufa wote ndiomana hawaji tena
@kenethmsigwa7051
@kenethmsigwa7051 4 жыл бұрын
Atibu na corona basi huyu mzee
@aminashabani2850
@aminashabani2850 3 жыл бұрын
Apate kichapoo babu ameanza tena
@KaranjaPk
@KaranjaPk 5 жыл бұрын
Atiwe ndani
@miriamwanjiru1090
@miriamwanjiru1090 5 жыл бұрын
Mtajua hamjui
@zawadimwakatobe4875
@zawadimwakatobe4875 4 жыл бұрын
Hi
@yusuphujaffar2154
@yusuphujaffar2154 4 жыл бұрын
Umeua jamaa zetu wengi sana unalindwa na imani fulani ungekua imani fulani siku nyingi tungekusahau lana wewe nautaadhibiwa tu
@sallysarch9441
@sallysarch9441 5 жыл бұрын
He made 90 000 a day. Now do the math. Coz 5 shillings a cup. Seeing 18000 people a day do the math
@fromtheeastmakaveli5552
@fromtheeastmakaveli5552 4 жыл бұрын
Its actually 500tsh a cup to everyone
@joycekjuma7677
@joycekjuma7677 4 жыл бұрын
Na gorofa haikuisha ptwoo
@magdalenamumbi3950
@magdalenamumbi3950 3 жыл бұрын
I paid 25 Kenya shillings
@valcomangapie4520
@valcomangapie4520 4 жыл бұрын
Mimi valence marki mbuya nilikujwa dawa ya babu na nilipona kabisa miguu yangu dawa ya babu inaponyaaaaaaa
@mcwilliesyoks6276
@mcwilliesyoks6276 5 жыл бұрын
I think babu aliona hawezi ishi akiwa masikini life yake yote na watu wakona pesa kila mahali duniani ndio akatumia akili zake za uzeeni kupata pesa za haraka bila kuibia na kuumiza mtu. So he just used his brains
@festaelieza3556
@festaelieza3556 5 жыл бұрын
Hata iyo miti ya dawa imewekwa na Mungu ndio maana imeandikwa tumepewa kila kitu tumiliki pia miti tiba acheni uzuzu fatilieni vitabu
@christophernzige3913
@christophernzige3913 4 жыл бұрын
Ana pepo huyu,
@salehrasta9165
@salehrasta9165 4 жыл бұрын
Kusoma raha,chezea akili za watu
@allanmibei
@allanmibei 5 жыл бұрын
Mzee ako na shamba kubwa
@gilberthmollel3066
@gilberthmollel3066 4 жыл бұрын
Kuna watu walipona na kuna watu hawa kuonyeshwa na dawa ya babu
@dahbossqueentalkshow3778
@dahbossqueentalkshow3778 5 жыл бұрын
Nini utusumbua sisi wafrika
@neurofan6815
@neurofan6815 5 жыл бұрын
Huyu babu atatiwa mbaroni lini lakini?..hizo hekaya zake za Mungu kumtokea akawaambie majuha wengine korokoroni?!!🤔
@labsonwilliam4187
@labsonwilliam4187 4 жыл бұрын
By God's power Corona will disappear
@zulekhasaidmohamed4043
@zulekhasaidmohamed4043 4 жыл бұрын
Kwanini see kali hamchukuli hatuwa au nimchwa atakawatu wamuamini
@mjige9088
@mjige9088 4 жыл бұрын
Mwizi huyu mzee
@mwagentedy9402
@mwagentedy9402 4 жыл бұрын
Ufunuo umenena kabisa nyakati za mwisho tunawaona manabii wa uwongo ni wengi
@husseinkazungu5101
@husseinkazungu5101 5 жыл бұрын
Amenona sana alipata pesa za wajinga
@yasmininder3620
@yasmininder3620 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@hassanshareef6572
@hassanshareef6572 4 жыл бұрын
Waliokunywa wengi wamekufa sababu ili para limewaambia wasitumie tena dawa za hospital
@musitemusite4316
@musitemusite4316 3 жыл бұрын
Kikombe miatano tu
@zulekhasaidmohamed4043
@zulekhasaidmohamed4043 4 жыл бұрын
Mrogo watuwote hawakupona atakapesa huyo babu Mrogo
@zay2nyusuph736
@zay2nyusuph736 4 жыл бұрын
We babu wewe?mhh
@leganmtulo5258
@leganmtulo5258 4 жыл бұрын
Were mzee katubu hizi ni nyakati za mwisho
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 4 жыл бұрын
Huyu babu ametabir Corona wiki tatu zimepita sasa
@evasaimon2101
@evasaimon2101 4 жыл бұрын
Muongo huyo
@sallysarch9441
@sallysarch9441 5 жыл бұрын
He should go to jail for fraud
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Of course!!!
@azizaz1628
@azizaz1628 4 жыл бұрын
Sasa hivi ataongeza wagonjwa wa corona
@azizaz1628
@azizaz1628 4 жыл бұрын
Babu umeanza tena
@nurumambovphelman7852
@nurumambovphelman7852 4 жыл бұрын
Utukuamini tena hhhhhhh
@kiluiwangu3842
@kiluiwangu3842 4 жыл бұрын
wengi wamekufa ni muongo sana
@omarishabani6024
@omarishabani6024 4 жыл бұрын
Huyu Suma peleka ndani
@JanetRosesB
@JanetRosesB 5 жыл бұрын
Hiyo loliondo nimefikiria juzi
@sidratybinkhamis2837
@sidratybinkhamis2837 4 жыл бұрын
Alikuwa shetani wewe huyo katika ndoto
@joycekjuma7677
@joycekjuma7677 4 жыл бұрын
Yaani out of those millions of pipo gorofa haikuisha?haramu n haramu tu haina faida😭😭
@salimmohamedsalim2837
@salimmohamedsalim2837 5 жыл бұрын
Yule Dr.shika alifungwa vp huyu mzee??
@ismailtarimo1257
@ismailtarimo1257 4 жыл бұрын
WA TZ WENGI WAKISIKIA NABII TAYARI WANAMPA 100% IKI KIZEE KIMEWAKOMESHA,,BABABUU BABABU ACHENI MAUJINGA
@nancywanjiru1146
@nancywanjiru1146 4 жыл бұрын
B
@abdinaasira6268
@abdinaasira6268 5 жыл бұрын
loliondo wa babu
@maulidimaulidi3899
@maulidimaulidi3899 4 жыл бұрын
Itv
@maulidimaulidi3899
@maulidimaulidi3899 4 жыл бұрын
Itv
@salumhaji4892
@salumhaji4892 4 жыл бұрын
Maulidi Maulidi Avf
@joseojuang6402
@joseojuang6402 4 жыл бұрын
BABu vp corona
@cirukarago7251
@cirukarago7251 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣😆😆😆😂😂🤦‍♀️🙆‍♀️
@rumpelstiltskn5574
@rumpelstiltskn5574 5 жыл бұрын
Ciru Karago ...hata mimi nimeshindwa kuweka ndani! 😂😂😂😂
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 4 жыл бұрын
Jamani eti mungu alinitokea usiku usingizini 🤣🤣🤣🤣jamani dunia imeisha
@fatmaalwy4853
@fatmaalwy4853 4 жыл бұрын
Mamy mdogo Mamy sasa adanganye watu atasema anadawa ya korona uoteshwe wewe nani
@neemaselemani1106
@neemaselemani1106 4 жыл бұрын
Siku za mwisho,, biblia inasema watatokea manabii wa uongo ndo hao ,,
@sarahnyambura1634
@sarahnyambura1634 5 жыл бұрын
Huyu babu pengine ana kichaa
@zawadimwakatobe4875
@zawadimwakatobe4875 4 жыл бұрын
H
| HEKAYA ZA LOLIONDO | Tiba ya Babu wa Loliondo [Part 1]
11:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 59 М.
NDOA YA KICHAA NAENDA NYUMBANI
6:40
CLAM VEVO
Рет қаралды 1,7 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
| GHOSTS OF LOLIONDO | Revisiting Babu's famous concoction [Part 1]
19:07
Habari za Nipashe ~ December 25, 2024
26:12
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 30 М.
Rais Ruto akosa kuzungumzia swala la utekaji nyara wa vijana nchini
1:43
KIJANA APOKEA KICHAPO KIKALI HUKO MATETEMA
5:01
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 139 М.