Рет қаралды 56,561
Rais William Ruto sasa anadai kwamba wakfu wa ford, kutoka nchini marekani umekuwa ukifadhili maandamano yaliyoshuhudiwa nchini. Akizungumza katika kaunti ya Nakuru leo, Ruto ametaka mashirika ya kimataifa yanayochochea uhalifu na utovu wa usalama kukoma, na badala yake kuheshimu demokrasia ya Kenya ama yaondoke nchini