Maandamano Ya Vijana Wa Gen Z Yaliyofanyika Mwezi Juni Mwaka Jana Hayakuwa Haramu. Haya Ni Kwa Mujibu Wa Jaji Bahati Mwamuye Ambaye Kw Auamuzi Wake Amesema Kuwa Kuzuiwa Kwa Kwa Maandamano Hayo Kulikiuka Katiba.
Пікірлер: 35
@jamesnganga63874 күн бұрын
AWESOME tutarudi Soon✌️🇰🇪🤣🤣🤣
@DjHashtag_2545 күн бұрын
V.IV.A. 💯
@tubedynasty20245 күн бұрын
Gen Zb comrades must fight on until justice and democracy thrives in Kenya........ abductions and extra judicial killings must stop and the killer squad sent to prison
@LeonardsalimKhalunje4 күн бұрын
Japheth Koome na polisi wake
@GbNero4 күн бұрын
Twende Nalo
@qtypowelh63484 күн бұрын
Buying fear is not our part, season 2 loading, sugoi direct
@Nicholas-yr2sq5 күн бұрын
Very good tunarudi kwa barabara soon🔥
@harrynjenga4 күн бұрын
Hata Askari wamewamiss!
@Nicholas-yr2sq4 күн бұрын
@harrynjenga very good, tutanjua Ni Nani wengi, Kati ya Askari Na Sisi💪👍
@harrynjenga4 күн бұрын
@Nicholas-yr2sq Wacha kujichocha kijana. Hata mdomo ndio husema inaenda choo but sio hio ukunia!
@Nicholas-yr2sq4 күн бұрын
@@harrynjenga okay let's wait, the day is almost, ###
@harrynjenga3 күн бұрын
@Nicholas-yr2sq dinywa we msee!
@YSEclips5 күн бұрын
Kwa hivyo tulipigwa teargas bure? Kama kuna law firm iko na kichwa kenya, mgeanza class law suit tupate reparation juu ya hii story.
@Linet-ns1pd4 күн бұрын
We are ready to return again 😂😂😂😂 hadi huyo so cold president wetu mbaka atakaporudi home.
@peterkoigi65684 күн бұрын
If that the case he should be arrested and brought to justice. Otherwise hiyo ni parasha
@eddyedduu69124 күн бұрын
Hebu tupewe number ya huyo Judge tumrushie kakitu.
@paulinewangila-cs6ys4 күн бұрын
Kila siku vita na maandamano inarudisha uchumi na maendeleo ya nchi nyuma,tujaribu kutumia njia sahihi kwa kuchukuwa vitambulisho ili tuwatowe viongozi wote wasio wajibika kwa kazi zao na kuiba mali za uma tuwatowe ofisini ❤
@dolphineafundi1835 күн бұрын
Hii maandamano hunishtua😢
@timothykamau36194 күн бұрын
Kaa home tu
@timothykamau36194 күн бұрын
Kaa home tu
@Bru-q3r4 күн бұрын
Why, then, were Gen Zs shot and abducted? Ruto must stop breaking the law.
@naftalimuthami31354 күн бұрын
Tunajaribu kulenga lakini streets zinatuita
@eddiepicaso5 күн бұрын
Government at itishwe na Judiciary since when?
@patriot_20224 күн бұрын
Government aka Executive hutishwa na sisi. All Judiciary does ni kutupatia assurance
@anwarabdi49553 күн бұрын
Sai ndo mnatoa judgement wakati watoto ya watu wameuliwa this corts za kenya they are olways inkompitent😊
@Robloxfuntv-n4h4 күн бұрын
Waliokufa wafufuliwe sasa
@evanskirangi46644 күн бұрын
😢😢😢
@legitboss10883 күн бұрын
I like your thinking.The courts need to arrest anyone associated with their murder juu fr,shit pains
@runonyakairu36415 күн бұрын
It was not kanja buy that time it was masengeri
@YSEclips5 күн бұрын
@@runonyakairu3641 doesn't matter, it's the same office. Don't be confused by them
@legitboss10883 күн бұрын
So?? ...will Kanja and the rest be arrested?.Our courts fails us as usual.Hawa maaskari need to be presented before court and be arrested.Precisely anyone associated including this wizard,Ruto need to be kept in the bars for all I care😭😭🤦🤦